Sultan Kasambula brother Skasy naomba nisaidie jina la wimbo mmoja ulikuwa mzuri sana kwenye nyimbo za Ngorongoro heroes au nisaidie list ya nyimbo za Ngorongoro heroes
Masafa marefu, Hii squad ilikuwa tishio kwa bendi kongwe za muziki wa dansi Tanzania, Hapa walikutana mastaa wa muziki wa dansi, Kinanda kinapapaswa kwa umahiri mkubwa na Abdul Salvador ( Father kidevu).
Kawelee huyo siyo wanted shabani hana ndevu mustach au masharubu mnakariri nyie hamumjui masna mtu aliepiga nae bendi kasmbula skasy au siku hizi anaitwa Sultan kasambula. Kasema ni Kawelee mpini wa nguvu huo nyuzi moja moja
Sultan Kasambula brother Skasy naomba nisaidie jina la wimbo mmoja ulikuwa mzuri sana kwenye nyimbo za Ngorongoro heroes au nisaidie list ya nyimbo za Ngorongoro heroes
Solo kawelee motimwana,kibanda Ally zege
Hapana solo ni shabani yohana wanted Muzee
Wote warefu na nywele Afro look enzi hizo, music wa dance, nyimbo taratibuu. Enzi hazirudi tena. 22.09.24.
Kaweleee enzi hizo tancut aliasing ilikuwa nomaaa
Mlikosea Sana wimbo kuanzia katikati
SOLIST HUYO NI KAWELE MUTUMANWA
Comentsenta iringa alimaalufu olofea enzi izo mama yangu
Kawelee ,kyanga songa, kasaloo kyanga ilikuwa nomaaa
Hatariiiiiii
Kamweneeee nyela vanyaboma
Masafa marefu, Hii squad ilikuwa tishio kwa bendi kongwe za muziki wa dansi Tanzania, Hapa walikutana mastaa wa muziki wa dansi, Kinanda kinapapaswa kwa umahiri mkubwa na Abdul Salvador ( Father kidevu).
Masahihisho. Mpiga kinanda wa hapo ni Haji Lizege (Zagar)
@@simulizizamwanaupwa2644 asante kwa masahihisho.
@@felixmagulu6142 kinanda cha Salvador ni hiki th-cam.com/video/z9O816_TBMk/w-d-xo.html
Solo la Shaban Yohana "Wanted" lilikuwa 🔥🔥
@@ellyrenalda5883 uko sahihi kabisa,Aliwahi kupita vijana Jazz huyu mwamba.
🔥🔥🔥
Solo kapiga nani?
Kawele Mtimwana "Stop engine "
Hapana ni Shabani yohana wanted!
Hapana ni Shabani yohana wanted