Ajabu kwangu ni kuwa sikuwahi kuusikia wimbo huu japo ninapousikiliza hapa unapopiga yaani ni bonge la wimbo aisee, Japo ukweli ni kuwa zamani mambo ya mila na desturi pamoja ishu za utamaduni yalirudisha nyuma sana maendeleo ya vitu vingi
@@zamaziletanzania dah aisee yaani kila nikiwa mjini iringa nilikuww najaribu kupiga picha ilipokuwa tancut club nilikuwa sipati jibu asante sana kwa kunifungua macho kumbe kule sabasaba
Asante sana JK kwa kutuletea vipande vya historia adhimu ya mziki. Nina maswali machache hapa. 1. Nina hamu ya kujua ni kwa namna gani siasa ya wakati ule (political economy) ilichochea/kuhamasisha utungaji wenu wa nyimbo? 2. Kwa maoni yako unadhan uthibiti (moderation) ya utunzi wa mashairi ambao ulikua unafanya na mamlaka wakati huo kwa namna gan uliongeza au kupunguza ubunifu wenu katika sanaa? Sambamba na hilo, ni namna gani sasa chombo kama BASATA kina akisi kile ambacho CHAMUDATA Ilifanya na athari zake (kwa mtizamo wako) zipoje? Asante sana.
1. WANASIASA WA WAKATIULE WALIKUWA WAPENZI WA MUZIKI WA DANSI. 2.UDHIBITI ULIONGEZA UBUNIFU KWANI ULIWEZESHA KUANZA KUFIKIRI NI NAMNA GANI KUFIKISHA UJUMBE HUSIKA BILA KUINGIA KATIKA MTEGO WA KUKIUKA MAADILI.... SWALI LA ULINGANI WA BASATA NA CHAMUDATA SIJALIELEWA
Hapa naomba sana kujua Kisa cha wimbo Imma
siri ya kampuni
Kudos🎉 Brother Kitime....Wimbo wenye mandhari ya kubembeleza😊 najiuliza kwa nini usiurekodi upya kwenye bendi yako?😅
Ajabu kwangu ni kuwa sikuwahi kuusikia wimbo huu japo ninapousikiliza hapa unapopiga yaani ni bonge la wimbo aisee,
Japo ukweli ni kuwa zamani mambo ya mila na desturi pamoja ishu za utamaduni yalirudisha nyuma sana maendeleo ya vitu vingi
Safi sana!!! 🙌
Asanteeee
Dah! Historia yako inasisimua sana!!! Lakini wimbo wa Binti Almas kama nakumbuka nilikua naupiga kwenye vipindi vyangu au nimechanganya?
Nashukuru maisha yangu
Mzee.john kitime naomba kuulizia hivi hiyo Tancut club pale iringa mjin ilikuwa mitaa ya wap
Ilikuwa karibu na uwanja wa sabasaba.....siku hizi ni ofisi za kampuni ya ulinzi
@@zamaziletanzania dah aisee yaani kila nikiwa mjini iringa nilikuww najaribu kupiga picha ilipokuwa tancut club nilikuwa sipati jibu asante sana kwa kunifungua macho kumbe kule sabasaba
VP safari hizo za marejeo ya Mwadui ulikutana tena na Binti Almasi?
bahati mbaya sikuwahi kurudi tena hata nikutana nae sitaweza kumkumbuka
😂
Asante sana JK kwa kutuletea vipande vya historia adhimu ya mziki. Nina maswali machache hapa.
1. Nina hamu ya kujua ni kwa namna gani siasa ya wakati ule (political economy) ilichochea/kuhamasisha utungaji wenu wa nyimbo?
2. Kwa maoni yako unadhan uthibiti (moderation) ya utunzi wa mashairi ambao ulikua unafanya na mamlaka wakati huo kwa namna gan uliongeza au kupunguza ubunifu wenu katika sanaa? Sambamba na hilo, ni namna gani sasa chombo kama BASATA kina akisi kile ambacho CHAMUDATA Ilifanya na athari zake (kwa mtizamo wako) zipoje? Asante sana.
1. WANASIASA WA WAKATIULE WALIKUWA WAPENZI WA MUZIKI WA DANSI.
2.UDHIBITI ULIONGEZA UBUNIFU KWANI ULIWEZESHA KUANZA KUFIKIRI NI NAMNA GANI KUFIKISHA UJUMBE HUSIKA BILA KUINGIA KATIKA MTEGO WA KUKIUKA MAADILI.... SWALI LA ULINGANI WA BASATA NA CHAMUDATA SIJALIELEWA