UGUNDUZI NA MAENDELEO YA DAWA HATUA YA KWANZA NA YA PILI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Leo tunaangazia hatua mbalimbali za ugunduzi na maendeleo ya dawa.Katika video hii utajifunza hatua mbili za awali za ugunduzi dawa na katika video inayofuata utajifunza hatua zilizosalia mpaka dawa kuingia sokoni.
    Tahadhari;Kuna makosa kidogo ya kiuandishi wa neneo Ugunduzi katika kichwa cha habari,Talanta media inaomba radhi endapo kuna usumbufu wowote utasababishwa na ukoseaji huo.Pia E ya kwenye ADME itafaa zaidi ikiashiria Elimination kwa sababu Excretion ni utoaji dawa kupitia michakato inayofanyika kwenye figo.Na hivi Elimination ni mchakatojumla wa utoaji dawa mwilini.
    Asante.

ความคิดเห็น •