SELE MFUNGWA MIAKA 30 |SITAKI KUOLEWA |WANAWAKE 40 WANANITAKA |MAJIMAMA |MAMA WITI MZURI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 680

  • @munirachangawa2928
    @munirachangawa2928 3 ปีที่แล้ว +7

    Uncle sule weweeeee umenifurahisha.eti mi nataka kuowa sitaki kuolewa.wapi likes za sulee...

  • @Sandra39823
    @Sandra39823 3 ปีที่แล้ว +12

    Ingawa amefungwa 20 year, ametoka kama knowledge ni zengine, lakini huyu mtu ana akili sana, anajibu vizuri sana, ako vizuri sana kuongea, haropokwi, ako vizuri sana kuongea, Mwenyezi Mungu ambariki sana, na amuongoze katika njia ilionyooka, i really love his talk, may God bless 🙌maximum TV.

  • @hafsaaali6518
    @hafsaaali6518 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwani wanawake tunafeli wapi yani mtu timchangiye sisi halafu atufanyiye mchujo kweli hapana hebu tutafuta pesa tuache kujifedhehesha hapa kwenye mchujo sijapapenda kweli wadada tufanye kazi wanaume wapo tu wazuri sana ukiwa na maisha yako uko vizuri utapata maanaume mzuri kabisa

  • @qwqw1665
    @qwqw1665 3 ปีที่แล้ว +19

    Tulikua tunamani kumuona jamani zahiri twakuaminia natwkupenda 🙏🙏🙏🙏🙏🙏👍👍👍👍👍👍

  • @wamugimohammed3848
    @wamugimohammed3848 3 ปีที่แล้ว +1

    Asalam Alaykum! Masha Allah mtangazaji wetu Allah atakulipa kwa kazi nzuri unayofanyia umati Mohamad! Ila kakangu huyo Allah atamwogoza Amin! Tena kama ni utungaji wa mziki? Mm singependa kabisa kulingana na Mtihani aliyo pitia, Ajalibu sana kutowa ( NASHID) YY NI MUISILAM ASIKUFURU! DIYO NABII ISSA TWAMTABUA SANA , LAKINI ANAE TIBU NI ALLAH PEKE YAKE! ALLAH AMWONGOZI NA USHINDI ATAPATA AMIN AMIN

  • @rogathekileo6946
    @rogathekileo6946 3 ปีที่แล้ว +7

    Asee kaka unajuwa kohojii ila sulemn anaonekana ayuko wazii sana ajitahidi afanye biashara ela inaisha inatakiwa iingie siyo kutoka

  • @janemusumba820
    @janemusumba820 3 ปีที่แล้ว +27

    Huyu ndugu yetu ni MWAMINIFU sana

    • @fahadjinni5845
      @fahadjinni5845 3 ปีที่แล้ว

      Tena sana ...na ukichat nae kam mpo umri mmoja hana kujiskia had rah

    • @xxmidnightzepetosuni8106
      @xxmidnightzepetosuni8106 3 ปีที่แล้ว +2

      Allah amzidishie kaka yetu

    • @suhaylasuhemed7157
      @suhaylasuhemed7157 3 ปีที่แล้ว

      @@fahadjinni5845 Naomba km Una namba yake nitumie pls

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 3 ปีที่แล้ว +2

    Miaka 19 mama witi mwanamke wa 3 mashallah ulikua si mchezo

  • @rukiakhamsin9220
    @rukiakhamsin9220 3 ปีที่แล้ว +5

    Msanii wa kaka zahir fireee twampenda sana kaka selemani,na nawaombeya sana mungu awabariki team maximum yote🥰❤❤❤❤

  • @vero57
    @vero57 3 ปีที่แล้ว +22

    Umependeza sana kaka sele,kazi nzuri kaka zahir, mungu ni mwema sana

    • @HappynessJose
      @HappynessJose 3 ปีที่แล้ว +2

      Zahir vp Edina wetu tunaomba habar sasa

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu sele ana shukran na mtu anae ajielewa subhanallah hodari sana maskini lakini mwenyewe ana mshukuru allah

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 3 ปีที่แล้ว +5

    Amina kaka yangu Mungu awabariki pamoja na kaka Zahir🙏🏼🙏🏼

  • @qwqw1665
    @qwqw1665 3 ปีที่แล้ว +12

    Waooo twakupenda sule ukomakin sana

  • @ashakufakunoga4904
    @ashakufakunoga4904 3 ปีที่แล้ว +12

    Ila huyu kaka anajielewa sana .. Allah aendelee kumfanyia wepesi

  • @rukiakhamsin9220
    @rukiakhamsin9220 3 ปีที่แล้ว +6

    Masha Allah,seleman umenawiri lakini chunga hicho kitambi kitaharibu mambo

  • @allyussene
    @allyussene 3 ปีที่แล้ว +8

    Naomba like zenu

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 3 ปีที่แล้ว +8

    Hongereni sana mlisababisha kumfikisha hapo alipo😘😘😘

  • @emilykadogo8931
    @emilykadogo8931 3 ปีที่แล้ว +13

    Very good bro mwenyewezi mungu akupe umri

  • @rahmamungu2nusulunatamaaza404
    @rahmamungu2nusulunatamaaza404 3 ปีที่แล้ว

    Kwakweli huyu kaka ni mzuri Mungu amjaaliye apate mke mwenye kujuwa Mungu
    Hongera sana kaka zahiri kwa kazi yako,

  • @janemuthoni723
    @janemuthoni723 3 ปีที่แล้ว +5

    Sasa yule shangazi mwenye alikufunga si ni aibu sana kwake sahiii juu dunia mzima imejua ukweli wake

  • @rukiakhamsin9220
    @rukiakhamsin9220 3 ปีที่แล้ว +3

    Na sisi wanawake tuwe waelewa Huyu ni mmoja ,na ashaweka wazi kuwa amepata mtu,;mbona tuwe wabishi?hebu tuwaombee mema Kwenye safari ya ndoa yao,kuliko wanawake wengine kukaidi na kulazimisha kumtaka,na yeye ana mchumba ,inaweza ikaleta tafaruku plzz siyo kwa ubaya ,wale ambao bado wanamtaka selemani plz mucheni,na nyinyi mungu atawajaaliya mahusiano yenu /ndoa

  • @liliankemuma9475
    @liliankemuma9475 3 ปีที่แล้ว

    Wa kumuo Sele ni mkristu au mwislamu

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว +5

    Maashallah uyo mpambanaji mwenzetu vizuri Sana Allah a wafanyie wepesi mkutane mfunge ndoa lnshallah

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 ปีที่แล้ว

    zahir upo vizuri na kipindi chako hongera

  • @husnashaibu6312
    @husnashaibu6312 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah mashaallah kazi nzur sana @ Maximum TV.

  • @lailajeremia1259
    @lailajeremia1259 3 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana Mungu akawafanyie njia pasipo na njia.

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 3 ปีที่แล้ว

    Kaka Zahir sagi sana allah azidi kukuongoza ktk maisha yako na kaka zahir fanya mpango wa sister Edina tujue mrejesho

  • @kurwpaul1134
    @kurwpaul1134 3 ปีที่แล้ว +5

    Nakupenda ndg yangu tumechagua Vyema kigoma Juu 🙏🙏🙏

  • @daishajumanne5990
    @daishajumanne5990 3 ปีที่แล้ว

    Mmh huyu dada alio mkubali huyu kaka anamoyo sana anataka ku share biashara pamoja bila kijali wanaume wanatabia ya kubadilika musitazame uzuri kwa haraka mzuri ila huyu mwanzo alisema anamtaka yoyote wafanye maisha mala kabadilika haya tunangoja mlejesho musije kulia tu na pesa zenu za timu hamamu pesa rial zinauma mno

  • @monaidi1232
    @monaidi1232 3 ปีที่แล้ว +6

    Masha Allah masha Allah

  • @saudambinga3832
    @saudambinga3832 3 ปีที่แล้ว +9

    Kikubwa anatakiwa apate kazi Ili ajisimamie kwa kweli

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 3 ปีที่แล้ว +11

    Kazi iendelee Mungu ailinde maxman tv na tim nzima.

  • @hanoonkarak3323
    @hanoonkarak3323 3 ปีที่แล้ว +9

    Kaka zahir mwambie huyo atafute mwanamke asiye na kitu aanze nae maisha huyo asikurupuke

  • @kibabysaid6692
    @kibabysaid6692 3 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki mke mwema

  • @waleedalrashdi6416
    @waleedalrashdi6416 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani peesa siyo kitu Sisi tuko omani tunaogopo waniumu watazani wanapenda pesa Sana 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyo mwanamke ajiongeze kuchanga ela namwanaume mh sijui lkn kwadunia yareo

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah akusaidie tu ila tumuombee dua huyo shemegi awe mtu Mzuri asijekukugeuka mana sio hoja kuzungumza nae anaweza kujiact tu ila zidisha dua tu.

  • @trishaali2742
    @trishaali2742 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamani zahir Allah akueke

  • @guenterernst5481
    @guenterernst5481 3 ปีที่แล้ว +7

    Naomba kama ataweza amsilimishe mwanae na x wake inshaallah

  • @robinakamwine8405
    @robinakamwine8405 3 ปีที่แล้ว +7

    MashaAllaah

  • @allyjumakukulo4972
    @allyjumakukulo4972 3 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli bro zaihir Allah akuongozee unayoyafanya taraji malipo kwa allah!

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 3 ปีที่แล้ว +1

    Waooo tulimmis sana nikweli unakumbuka fadhila wengine hata shukran hawana

  • @fauziaabdullah3733
    @fauziaabdullah3733 3 ปีที่แล้ว +6

    MashaAllah Allah barik zahir na team maximam hongereni

  • @3azxtv843
    @3azxtv843 3 ปีที่แล้ว +2

    Khadija
    Mashaallah

  • @marianamontoedi2333
    @marianamontoedi2333 3 ปีที่แล้ว +3

    Baba Witi kitambi hichooo

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 3 ปีที่แล้ว +13

    Nimefurahi kumwona kaka tena,,

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 3 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah

  • @zakiarashed144
    @zakiarashed144 3 ปีที่แล้ว +7

    Maa shaa Allah

  • @faridaiddi104
    @faridaiddi104 3 ปีที่แล้ว +1

    Zakhiri unazdi kuwabonge ukuwa na rohonxuri bwana mungu hukupa neema
    Sema unasauti ya mafua
    Kaka sele kufanana haina shida ni bibi ake maana dada wa baba kwa mtoto ni shangazi na shangazi wa mama au baba kwa mtoto wa mama au baba tunaita bibi hivo kafanana na bibi ake

  • @frank.medadi16frank68
    @frank.medadi16frank68 3 ปีที่แล้ว +5

    Wakwanza kucomemt nawapenda saana

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akurehemu selemani huko uliko

  • @hadijaharerimana1687
    @hadijaharerimana1687 3 ปีที่แล้ว +3

    Kiuhalisia seleman anajipenda

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mmefanana sana

  • @mwanajinacayemite2336
    @mwanajinacayemite2336 3 ปีที่แล้ว +1

    Angalia sana wanawake usio wajua wasije wakakutoa kafara kwa utajiri wao. Mjue kwanza ujue anafanya nini walau ujue wanaomzunguka kidogo. Usije ukavutika kwa sababu yupo nje ya Tanzania.

  • @ramlaali4130
    @ramlaali4130 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamn uyo mtoto atakuwa muislam au mkristo?

  • @munirachangawa2928
    @munirachangawa2928 3 ปีที่แล้ว

    Maximum TV hongereni.huwa nafrai nikiona mtu amekuja na shida na matatizo na akafanikiwa kupitia maximum.zahir big up bro.

  • @aishahamid3544
    @aishahamid3544 3 ปีที่แล้ว +1

    Saiv kawa smati hongeren maximum tv kwa juhud zene

  • @ukhtyrayyan7884
    @ukhtyrayyan7884 3 ปีที่แล้ว +4

    Mtoto ulokia mamaake hujamuowa simwanao sele hasa weee ukikita nimuislam

  • @esterntandu1999
    @esterntandu1999 3 ปีที่แล้ว

    Sele kinyonzi mzuriiii sana,hivi unamkumbuka dada FARDA mwarabu wa Manyoni?

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 3 ปีที่แล้ว +5

    èhh selemani anajiona bonge moja la handsome😂😁😃😀😅😆
    na sisi tuna kipindi Chetu cha namtafuta mwenza😃😂😁

  • @qwqw1665
    @qwqw1665 3 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana jaman utatoboa tuu bora naww ujiongeze kwautafutaji amin tuu kwamungu🙏🙏🙏🙏🙏

  • @janemuthoni723
    @janemuthoni723 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa ni handsome

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah umependeza Baba angu Allah akuongezee riziki yenye khery na ww.

  • @abigaelmabuga1315
    @abigaelmabuga1315 3 ปีที่แล้ว +5

    Nilimiss kumuona tena huyu kaka,hivyo nimefurahi

  • @hadijaharerimana1687
    @hadijaharerimana1687 3 ปีที่แล้ว +2

    Alafu nilichogundua seleman ana bahati sele kama unasoma hiz comment nakutakia maisha mazur

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว

      Kweli ana bahati ya asili watu wa namna hii ufanikiwa katika jinsi ya kushangaza sana mpaka na watu wakabaki midomo wazi

    • @hadijaharerimana1687
      @hadijaharerimana1687 3 ปีที่แล้ว

      @@Mpakauseme haswa da mi namuombea kila la Kher

  • @memoryngambi3758
    @memoryngambi3758 3 ปีที่แล้ว +1

    Ue Makini kwenye upande wakutafuta mke,ungetafuta wa tz hapahapa nyumbani ili Tabia uzitambue,kua Makini,utadumbikia kwenye shimo Kama hutokua makini,. ushauri wangu ni huo.

  • @zettyhassani2244
    @zettyhassani2244 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakika mungu nimwema Kila kitu kitakaa sawa inshallah

  • @mariamissa4029
    @mariamissa4029 3 ปีที่แล้ว +2

    Naam umeongea pointy sana kaka zahir mwamme ni wajibu wake kumtunza mwanamke

  • @sameerazanzibar3740
    @sameerazanzibar3740 3 ปีที่แล้ว +2

    Zaheer mbav zang ety wewe nakupenda kwel kibabe.

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyo sele badae mtajua.. Hana msimamo

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

      😁😁😁huyu anapenda wanawake wenye vijisenti atakuja kufukuzwa mchana kweupe

  • @mumyally5901
    @mumyally5901 3 ปีที่แล้ว +7

    sasa seleman, je ukioa utakua wampigia sim mama witiny kama unavyo mpigiaga sim kila siku, utaleta ugomvi ujue badilika sasa

  • @salamanauthartanzania6301
    @salamanauthartanzania6301 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah pongezi nyingi kwako Zahir

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 3 ปีที่แล้ว +4

    Manshallah tabarakallah 🥰🥰🥰🥰🥰

  • @didahnidhar8009
    @didahnidhar8009 3 ปีที่แล้ว +4

    Kuwa makin na watu wengine wamama wengi wanataka kuua watt wawatu kwa maradhi Allah akuepushe mwaya

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว +1

      umeonaee wee kma ulijua vile juzi tu kuna mkaka mdogo kaambukizwa baadae kabisa ndiooo mama kamwambia kuwa yy kaathirika kamdanganya kwa kutumia pesa

    • @didahnidhar8009
      @didahnidhar8009 3 ปีที่แล้ว +1

      @@heyumi2340 umeona sasa apo kwasababu wamemuona ametoka jela wanajua atakua na mhemko na wanawake kwahiyo awe makin tu

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว +1

      @@didahnidhar8009 pia yy mwenyewe anaoneka mpenda wanawake dar kuna kila aina ya wanawake na wengi wanakula dawa ni wako vizuri huwezi kumjua

  • @mohdjuma3712
    @mohdjuma3712 2 ปีที่แล้ว

    Maskini selemani Kama bado yuhai mungu akusamehe makosa yako RIP

  • @fsaad5116
    @fsaad5116 3 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo hela ndio uizalishe kaka bahati haiji mara zote. Make use of it

  • @roseatieno6691
    @roseatieno6691 3 ปีที่แล้ว

    Asikatae kamba ye sio star , ye ni star manake tunamuona tena watu washampenda kupitia mtandao so ye ni star.

  • @faridahalil4456
    @faridahalil4456 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mama Zabibu vipi hali yake kuhusu jicho na mama Happy nae vipi hali bado wanaendelea kuishi pale pale

  • @asiyaamoury8556
    @asiyaamoury8556 3 ปีที่แล้ว +3

    Zahir mungu atakulipa

  • @joycekatangwa8263
    @joycekatangwa8263 3 ปีที่แล้ว +2

    Una vipaji vingi mdogo wangu, Mungu azidi kukuinua

  • @golder3410
    @golder3410 3 ปีที่แล้ว +2

    Unasema hukuwajibu vibaya Ila uliwajibu vibaya naona unasahau ulikotoka,Sasa nakwambia ukweli mm Sisi team fulusi hatuaminiki

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

      tuliopo uarabun tuache shobo kumshobokea mwanaume au wanaume wa kwenu mtandao

  • @mwangosmgs6471
    @mwangosmgs6471 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashala 🥰

  • @najmaulaya8819
    @najmaulaya8819 3 ปีที่แล้ว

    Usimsahau mungu mungu kaka seleimani kwa yote yaliokutokea Allah zaidi mbele yako💖

  • @naidasuleyman6005
    @naidasuleyman6005 3 ปีที่แล้ว +1

    Maa Shaa Allah baba yuko very smart

  • @vummymushi6127
    @vummymushi6127 3 ปีที่แล้ว +1

    Ata macho mnafanana

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 3 ปีที่แล้ว +2

    Nilimmic Masha Allah hongera Kwa maximum na wachangiaji kiujumla Kaz mmeifany mung atawalipa

  • @jamilanyakibali5174
    @jamilanyakibali5174 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah. Zahir. Unamaswari. Mazito

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 3 ปีที่แล้ว +3

    Zahir ungefungua kipengele cha kuhoji wafungwa na umuweke Sele atangaze, anayo sauti ya kuhoji, anajua kupozi sauti, ana busara ya kujibu maswali na anajua kusoma nyakati, Zahir lifanyie kazi

  • @angeakeza6542
    @angeakeza6542 3 ปีที่แล้ว +1

    Saf san kk

  • @gracekaniki789
    @gracekaniki789 3 ปีที่แล้ว +1

    Ji song sasa

  • @omarymsham2305
    @omarymsham2305 3 ปีที่แล้ว +9

    Ni kweli hasitegee pesa ya mwanamke,majukum ya familia ni ya mume,akitolea macho pesa ya mke hapo ndoa haiwez kudumu wataishia njiani

    • @sadamrisho7719
      @sadamrisho7719 3 ปีที่แล้ว +3

      Upo sahihi kaka uyu kaka ajielewi

    • @omarymsham2305
      @omarymsham2305 3 ปีที่แล้ว +2

      @@sadamrisho7719 inabid ashauriwe vizur.huwez kuwa baba mwenye saut kwa kutolea macho pesa ya mke, mwanamke akichoka atamuona mbaya

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 3 ปีที่แล้ว +4

      Angetafuta mke kwao kijijini, au atambulishwe na jamaa zake wanaojua wasichana, hawa wa mitandaoni siwaamini, tena wa Uarabuni ameshazaa na watoto inaonekana kabisa sio mwanamke wa kuachia mwanaume atumie pesa zake anazopigia deki kwa jasho kwa muarabu, Sele jihadhari sana

    • @mariamgodfrey53
      @mariamgodfrey53 3 ปีที่แล้ว +2

      Hajielewi huyu

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว +1

      @@darajalakidatukilomgi2362 hata hao wadada waliopo uarabun baadhi yao hawajielewi nn wamefata uarabun mm nipo uarabun sitaki shobo na mwanaume kuhusu pesa hapo kwa pesa mwanaume atanisameh ninachowashaur wadada waliopo uarabun waache kumshobokea mwanaume

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 ปีที่แล้ว +7

    Umependeza sana kaka angu

  • @fariarizaq7528
    @fariarizaq7528 3 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah mashaallah Allah asidi kukubariki sana

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 3 ปีที่แล้ว +7

    Maashaallaah maashaallaah hakika mungu mkubwa pia ata zidi kukusimamia inshaallah

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah sele mungu azidi kumfanyia wepesi ameen

  • @marrypatrick3276
    @marrypatrick3276 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka zahir umeongea point kumuelewesha kuhusu kutaka mwanamke anaejiweza kimaisha

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashagala hongereni mnachangamkia fursa.

  • @tatumluv6054
    @tatumluv6054 3 ปีที่แล้ว +10

    Mashallah sauti yako iko poa 👏👏😘

  • @wemayisambi277
    @wemayisambi277 3 ปีที่แล้ว +3

    Kaka Yule Dada wa lindi