Jinsi ya kumfahamu mtu mwenye ugonjwa wa afya ya akili na hatua za kuchukua
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
- Ikiwa leo ni maadhimisho ya siku ya afya ya akili duniani, Mwananchi Digital imezungumza na daktari wa afya ya akili kutoka hospitali ya taifa ya Mirembe Dk Ninaeli Urio ambaye anatueleza namna ambavyo unaweza kumtambua mgonjwa wa afya akili na kumpatia matibabu huku akieleza namna ambavyo mitandao a kijamii imekuwa kichocheo kikubwa ya ugonjwa wa afya ya akili.
Nimeathirika na anxiety ama warathi ya wasiwasi Kwa miaka 30 nimebaini kua Nina tatizo la afya ya akili miaka 4 iliopita nikaanza mazoezi kusoma chakula na kujifanyia uchunguzi Kila siku nashkuru sana naenda vizuri 💪 na nimebaini Dr wengi wameugua!
Pole sana
Ok
Hii
Dr. kuvujia damu kwenye ubongo ni organic?
Doctor mwenyew anaonekana amepata afya ya akili😂😂😂😂😂
Mchokozi sana ww😂😂😂
Ata kama mtu ameumwa kwa muda mlefu inawezekana kutika
Gharama ni vip bureee au
Na gharama zikoje zamatibabu
Ugonjwa wa Afya ya akili ndio nini?