JIHADHARI NA MANABII WA UONGO || EV DANIELY JOSHUAN || RGCM GOBA CENTER

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 30

  • @bahatishitindi
    @bahatishitindi 15 วันที่ผ่านมา +3

    MUNGU akubariki sana mtumishi na unanifanya nijefunze na kukua kiroho najihisi niko sehemu sahihi nikisikiliza mahubiri yako Bishop

  • @RenimwahNafutali
    @RenimwahNafutali 10 วันที่ผ่านมา

    Ameen mwangu mungu ukubariki San na kukuongeza viwango vya juu zaidi

  • @SoilahMooshe-p7c
    @SoilahMooshe-p7c 15 วันที่ผ่านมา +2

    Amen.MUNGU TUREHEMU MM NA FAMILIA YANGU

  • @andreakomba3727
    @andreakomba3727 16 วันที่ผ่านมา +1

    Nakupenda sana Mtumishi wa MUNGU,endelea kunena kweli ya MUNGU,BWANA YESU akubariki sana

  • @VailethSenga
    @VailethSenga 3 วันที่ผ่านมา

    Amen baba

  • @SalomeMsilu
    @SalomeMsilu 14 วันที่ผ่านมา

    Aise mlioko dar mnaneema sana,kuwa pamoja na Baba hapo,na kuabudu mahali sahihi, natamani hiyo neema ienee mpaka huku

  • @VictorJulius-b7o
    @VictorJulius-b7o 15 วันที่ผ่านมา +1

    Ni kweli kabisa Toba na msamaha ndio injili ya kweli...

  • @anna19805974
    @anna19805974 15 วันที่ผ่านมา

    ubarikiwe sana mtu wa Mungu, nimekuelewa.Umesema kweli na kweli utuweka huru. Mwenye masikio na asikie

  • @Fina-86
    @Fina-86 7 วันที่ผ่านมา

    Ameeeen

  • @WinnieKanje
    @WinnieKanje 15 วันที่ผ่านมา +1

    Nakukubali sana mchungaji, endelea kubarikiwa Kwa ajili yetu

  • @SylvesterKibamba-m4c
    @SylvesterKibamba-m4c 14 วันที่ผ่านมา

    Ubalkiwe mtumishi nakupenda unafundisha kweli ya Mungu

  • @johnsonrugina1856
    @johnsonrugina1856 11 วันที่ผ่านมา

    Nikweli kabisa hasa ukimfuatilia hatua kwa hatua

  • @yohanaMhina-h1x
    @yohanaMhina-h1x 14 วันที่ผ่านมา

    Daah wee unafundisha vizuri Sana Yani Kama kuhani Mussa unafundisha watu waijuwe toba

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 15 วันที่ผ่านมา +1

    Umesema ukweli kabisa 🙏

  • @MargaretBaya-m1b
    @MargaretBaya-m1b 15 วันที่ผ่านมา

    Bwana akutunze evangelist!

  • @StephanoGeorge-w1x
    @StephanoGeorge-w1x 15 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa sana mtumishi wa BWANA

  • @ErnestLule-z7t
    @ErnestLule-z7t 15 วันที่ผ่านมา

    Amen. BWANA YESU atusaidie

  • @jacklineonany2948
    @jacklineonany2948 15 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @eliaswilson1063
    @eliaswilson1063 15 วันที่ผ่านมา

    Nikweli kabisa

  • @ClaraBasilus
    @ClaraBasilus 15 วันที่ผ่านมา

    amina baba sema tuponeee

  • @AjuaeGwimile
    @AjuaeGwimile 15 วันที่ผ่านมา

    Ameni

  • @FundingPips-d1i
    @FundingPips-d1i 15 วันที่ผ่านมา

    Ameeeeeen

  • @monicahmwalozi
    @monicahmwalozi 15 วันที่ผ่านมา

    Wooooh 🔥🔥🔥

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 15 วันที่ผ่านมา

    Kweliiiiiiii!! Wengine hattta kwenye makanisa Yao hawatuiti eti tunaimba NYIMBO za kukemea dbaambi!

    • @RenimwahNafutali
      @RenimwahNafutali 10 วันที่ผ่านมา

      Nabarikiwa San na nyimbo zako Simba wakike, panda mlimani, na nyingine nyingi

  • @josephsevelinibeho1223
    @josephsevelinibeho1223 15 วันที่ผ่านมา

    Aminaaaaaa

  • @MachoziMukuchaBaraka
    @MachoziMukuchaBaraka 15 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏

  • @ElikiSeverino
    @ElikiSeverino 15 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @Norisi-c6u
    @Norisi-c6u 14 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @Kikestyles
    @Kikestyles 13 วันที่ผ่านมา

    Amen