HII NDIO STESHENI YA SGR KILOSA, ILIPOFIKIA MPAKA SASA NA UTOFAUTI WAKE NA STESHENI NYINGINE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @husseinloyy1912
    @husseinloyy1912 2 ปีที่แล้ว +6

    jpm mungu akupe makazi mema kwa wema wake..na allah pia mpe afya njema raisi wetu kazi hii iishe

  • @nitumesokoni3164
    @nitumesokoni3164 2 ปีที่แล้ว +11

    I wish taasisi zote za serikali zingekuwa na vitengo vya habari vinavyotoa updates kwa wananchi kama hiki kitengo cha TRC

  • @michaelsiweya4969
    @michaelsiweya4969 2 ปีที่แล้ว +7

    Safi sana kwa update nzuri... Tunaelekea mwishoni.. Kazi ni nzuri sana... ILa nimependa sana mandhari reli inamopita... Mazingira yanavutia sana.. Nadhani baada ya reli kwisha miji ya kisasa itajengeka sana ..Na tutasahau kama kuna barabara za lami

  • @sometimes5621
    @sometimes5621 2 ปีที่แล้ว +18

    Ndoto za JPM R.i.p.

    • @smukelomkhize9775
      @smukelomkhize9775 2 ปีที่แล้ว +5

      JPM ilikuwa Kama zawadi iliyoshushwa na Mungu , Tumepoteza Rais aliyekuwa na Ndoto Ya kuifanya Tanzania Yetu Nzuri iwe Kama Ulaya

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 2 ปีที่แล้ว +2

      Wafitini hawakufurahia ujasiri, ushujaa, maono na uzalendo wake

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 7 วันที่ผ่านมา

    Hongera sanaa serikali sasa inatakiwa mijengo ya station zinazojengwa ziwe bora zaidi hii imependeza sanaa viwango vya kimataifa yeyeyote hawezi toa kasolo ipo bomba sanaa apewe maua yake mchoraji wa jengo

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 2 ปีที่แล้ว +9

    Kinaoneka kidogo lakini Siyo kidogo Ni kikubwa Hiyo video tuu ukifika Hapo hutaamini

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 2 ปีที่แล้ว +6

    Asante JPM wetu Mzalendo Kwa Hii zawadi Uliyotuwchia r.l.p JPM wetu Mzalendo

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 2 ปีที่แล้ว +2

    Msituletee train za mafuta, kwanza haitakuwa na spid 160 tuliyoitaka, pili mafuta yataharibu mazingira na kuharibu reli yetu

  • @salumjuma324
    @salumjuma324 2 ปีที่แล้ว +6

    Kwa kweli tutafarajika sana mradi huu kuendelea utatunufaisha sisi wananchi wa Tanzania
    Hongera Mkurugenzi Kadogosa
    Hongera sana Mheshimiwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
    Ki ukweli huu ni mradi mkubwa wenye tija kubwa kwa jamii

  • @sabbob574
    @sabbob574 2 ปีที่แล้ว +4

    Ongera sana TRC bila kumsahau JMP. Vipi Mwanza- Isaka mbona kimya hamuonyeshi chochote?

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 2 ปีที่แล้ว +5

    R. I. P. Baba Magufuli Tingatinga Jembe mjeshi jiwe mwongoza njia pumzika pumzika pumzika pumzika pumzika pumzika pumzika 😭💔😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 love you forever daddy Magufuli. 💔💔💔💔🙆🙆🙆

  • @stephenknutson6256
    @stephenknutson6256 2 ปีที่แล้ว +2

    Thank you for this presentation. C C in English doesn't work. It's rather interesting reading the comments. Many wishing for a fancier design. I suspect that is because of the station in Dar, which is truly beautiful. But isn't a practical design for further expansion which will come. Railroad stations need to be foremost, utilitarian. The design of this building does that. Waiting to see what Dodoma station will look like. Thè people of Tanzania should be proud of what they are accomplishing.

  • @risktaker4111
    @risktaker4111 2 ปีที่แล้ว +1

    Home sweet home

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 4 หลายเดือนก่อน

    Hi station imejengwa vizuri bila blabla maanake hawakuwepo wakwamishaji itaipa heshema taifa letu

  • @mkude
    @mkude 2 ปีที่แล้ว +4

    Hongera mama samia suluhu kwa kuendeleza kazi nzuri

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 2 ปีที่แล้ว

      Huna lolote kazi ipi anayo indeleza wakati miradi yote mmfuu mwendo wa kinyonga mbona BWAWA LA UMEME linamshinda wakati anajuwa fika hizo trains haziwezi kwenda bila ya huo UMEME 🤣🤣🤣 ndio maana tunasema hakuna wa kuziba pengo la mzee baba Magufuli 🏃🏃🏃🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

    • @mkude
      @mkude 2 ปีที่แล้ว

      @@shinipapaya846 wivu mbaya sanaaaa utaumia sanaa kwa wivu wako,hakuna mradi hata mmoja aliefeli kuufanya hilo bwawa linaendelea kama kawaida kwa taarifa yako na bado kuna miradi mingi mipya kainzisha na inafanyika,poleeee

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 2 ปีที่แล้ว

      Kwenda zako na uongo wako wa mchana kweupee na kama umefunga ni bora ule tu mimi nakaa karibu kabisaa ni hili bwawa huku Morogoro kisha unanambia ujinga wako 🤣😂🏃🏃🏃‍♀️🏃‍♀️

    • @mkude
      @mkude 2 ปีที่แล้ว

      @@shinipapaya846 wewe ndo hujielewi ngoja siku likishafungukiwa ndo utaelewa,wewe unajifanya kiziwi hali yakuwa unasikia unajifanya kipofu hali yakuwa unaona,ila ipo siku utadhuhurishiwa

  • @jamesjames2368
    @jamesjames2368 2 ปีที่แล้ว +6

    Kwa kweli am disappointed 😞☹️, kwanza kazi ni pole pole sana. Kuna mmoja ame comment amesema " warehouse" . Kwa kweli amepatia, inaonekana kama " warehouse. Kwanini msiaangalie sehemu nyingine!! Na kuona how creative walivyo 😞 . If we are poor in terms of materially doesn't mean that we are equally poor in terms of thinking be there creative. Annoyed 😠 Halafu hawa wahandisi, with due respect, wanatuangusha 😞😞😞 namsikiliza..!!

  • @jamesmwita2995
    @jamesmwita2995 2 ปีที่แล้ว +1

    Station ni nzuri ,,,lakini kwanini wanajenga majengo mafupi hususani jengo hili la kirosa na Ile station ya morogoro ,,majengo mafupi mpaka linapunguza uzuri wa muonekano wa jengo

    • @smukelomkhize9775
      @smukelomkhize9775 2 ปีที่แล้ว +2

      Station Ndogo Hiyo au kituo kidogo huwezi compare Na Ya Dar

    • @zawadix9574
      @zawadix9574 2 ปีที่แล้ว +1

      Wana jenga na budget yao

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 2 ปีที่แล้ว

    Toka jpm atutoke mmekosamvuto naniwazembe

  • @hajiiddi1085
    @hajiiddi1085 2 ปีที่แล้ว

    Wewe Mtangazaji unaongea saana!tuoneshe Video ya mradi umefikia wapi?

  • @machaggechacha3422
    @machaggechacha3422 2 ปีที่แล้ว +1

    Treni station kama warehouse ya kutunzia mazao au vyombo vya kulimia masamba.