NISIKILIZE MWANANGU - KAA LA MOTO & MZEE NGALA (SMS 7399724 to 811 to set as SKIZA tune)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Hip hop and Bango fusion..Kaa la moto a Hiphop Scholar and an Emcee from Kenya mixing up Bango with the LEGEND Mzee Ngala .Keeping the good music alive...AFRICAN MUSIC..Keeping Coastal culture alive...
2024, nimefika kwa Mzee Ngala 🎶👍❤😊
Asanteni wote for the support..Nawapenda sana.....watu wangu..
Mbn umzp sana Broo kulikoni
Napenda San nyimba zko Broo am Suleiman ktk kilif
Kali kila lukicha.
Twashukuru sana kaka, Mungu akubariki zaidi
Twakupenda
This song will never loose taste
Bamburi kisauni mtopanga to the world hiphop is alive ...elimisha jamii mwanangu nakufollow kila mahali.
THIS IS MUSIC NOW!!!!!!! EVEN IF THEY DONT PLAY IT, KEEP PRODUCING THESE TIMELESS MASTERPIECES!!!!!!!!
🔥🔥💯💯
Mazee wee ni moto bro.
🔥.
Blessed
Timeless.
My grandpa told me about bob marley
My dad told me about about 2pac
I will tell my grandkids about kaa la moto
Rap that make sense
Ushauri kabambe🎉🎉
Who is playing this song with me in 2019..kaa la moto bruv u need to drop hits this year..
tuko wengi
2021 november
I'm here again after 7 years
Great message
Tha mimi nahenza
Kaaa la Moto ,this is my favorite song,iko na maneno mazito,I respect you bro to date,una flows....big up
Can't believe this track is 8 years old. Nyimbo kama hizi hazizeeki.
hii ni bonge ka kazi, mimi nitaikubali miaka yote, kweli hiphop ni tamaduni
nakukubali milele kaa la moto the way from Tanzania
Sikuwa nafuatilia Kaa la Moto hapo mwanzoni tafadhali wakenya tumpeni shavu huyu jamaa
The only artist that I can listen to after 10 years and still the sound is fresh. KLM, Nas and Damian Marley I rate you guys.
endelea na kazi mzuri baba. one day conscious music will be appreciated
kaa la moto piga zingine kali kama hizi, more collabo na mzee ngala zikuje kwa fujo let them flow kwa floor. ushauri pomoni.
this is music
where have i been ? never heard this 7yr old song !
Nce kila jambo lina mwisho liwe kubwaa liwe ndogo
Noma safi sana, nimerudia manne kuicheza nikiwa Munich German.
Hii Kitu Ni Kali Sana #kaa_la_moto 🎧🎤 na #Mzee_Ngala🎤🎷 U HAVE DELIVERING THE POWERFUL CONTENT EVER 🙏🙏🙏 From Tz 🇹🇿 #MUCHRESPECT TO YOU🙌🙌🙌
Kaa LA moto wewe ni conscious sana arif big up huku A city tunakukubali laana
Vionjo vya muziki na ujumbe ni murua,Mzee Ngala aina muziki wake nailinganisha na Fundi Konde....Kunta...Kinte.
i lov ur xongs
Weuwe Vipi kaka ushamada industry. La kwanza mistari imekomaa na hamna ubaguzi wa kabila wala dini. Mfano ulipotaja Bible na Koran. Big up sana..Kaa la moto zidi kuwapa moto.
Kala la moto is most underrated rapper in the country
Mzaa chema haishi kunena umesema yaliyo n wema silaha sio zuna Bali ninasaha njema .... Kaa la moto bldy apackutoka barisheba timamu🔥
Nakubali bro umeweza sanaa
The legend.
@Mzeengala.
@Kaalamotokiumbe.
@Hiphophistoy.
2024 we there💥💥
Kaa la Moto upo juu bratha....mashairi yamekubalika kwa jamii..
Huu mziki mnene sijui mbona haipati airplay 🔥
Musiki wenye mizizi... Keep winning sir!
nice one......mzee wetu na kaa la moto kiumbe. pwani isonge mbele
kenyans can never be ready for this but hype some music that dont make sense
I feel it's time for you to shine. 💯.
kali sana brathe.
100 years from today and this track will still be making sense. 10/10 I MUST SAY!!
It is true.
Veeeeeery true
Very true
Dahiphop Guru the 1st blend of hip hop and bango so nice and educative
🔥🔥🔥
Kaa la Moto na Mzee Ngala Ngala Mwenyewe. Powerful message brought out in a great way using a coastal setup! Keep up guys! Proud of you!
Hapo zaidi kaka.................... congrats
Maisha ni mafupi Ila watu ni warefu sana
Napenda hii combination ya hip hop na bango. Kali sana. I love it. Keep it up Kaa La Moto. Watching and listening in machakos county
Tamu zaidi
Kongole 🔥🔥
Mzee Ngala alikataa Uibe filamu na kidege picha
KLM is the guru...fusion of uswazi vibez
Kazi safi sana kaka hapa pamoja na Mzee wetu.Congratulations.
✊ ushindi sana kaka
Legends
Jamaa namkubal sna from tz
Dis song reminds of my late brother,he loved mzee ngala so much that he made me love bango music.kaa la moto keep it real usiwe ka wengine songs zao nikuhusu utajiri na wanawake,wakijiita waflame wa hiphop...kisauni mtopanga hiphop is alive because of you.mad love my brother
Wimbo mtamu wenye ujumbe.
Hongera sana nyimbo tam sana nimepnda
waoh sijawai penda bongo but hili nyimbo lina mafunzo sana love it kaa la moto we mkali kurap mzee ngala nimeskiza
best song i have ever had God bless kenya
Nilikuwa wapi hii ikitokea, best song I have heard in 2019 🙌
I say.... Nishakuskiza. Ujumbe ulo kolea. Maneno hayatoshi kukueleza Kwa kukusifia... Hip Hop Bango.... Mshamaliza!!
crossing borders....... bigup FATUMA! na mzee ngala.. na kiumbe of my heart
Mzee ngala na kaa la moto hapo mmemaliza
HAVE BEEN WAITING FOR SOMETHING LIKE THIS FOR SO LONG....Nitakutafuta tufanye kitu kikali...You are a true HIPHOP EMCEE....like Kalamashaka and Professor Jay
I would like to join in this bro..This is hip hop..with proper support Kenya can sing
kila jambo lina mwisho liwe kubwa liwe ndogo ,hata lije na vishindo vyafurahisha macho
How am I just coming across this nice 6 yrs later? Nice. Thanks to KTN History Makers!
hip-hop meets bango. hiki si kioo cha jaguar, Bali hiki ni kioo cha jamii
pongezi mzee ngala pamoja na kaa
uko juu mno ya Leo Kali kuliko ya Jana arosto.k kaniambia.
Yaani mm napenda venye kazi zako unazifanya tofauti na wenzako hapa pwani, endelea hivo na utafika mbali.
Wimbo mtam sana
jombaa ujumbe ushafuka hii ndio hiphop Asilia aisee
Its a nice chune,,,miondoko ya kipwani mzee ngala amefuse hip hop ikaingiliana vyema. BIg up Kaa la moto.
Eee bwana ndio ngoma kali mzee ngala na mnoma wa hiphop kaa la moto wa hapa hapa pwani ...big up bro..
Kali sanaa. Natamani ningekuwepo hata nipige verse
Kaa la motoo🔥🔥☄️
Iko nini has just introduced me to some dope music
Hiphop na bango blend safi sanaa
Mistari zako siku zote imekoma
kazi mzuri..love the song
Still a big tune. you stand counted among the Hip Hop heads. Proud o you Kaa
Nimeipenda big up palipo mzee hapakoseki jambo
song stil strong...big ups mkaka
Kaa la moto chukua vijana wengine uwainue muimbe kiswahili bro
noma sanaaaa......nakubali eee bana ndio
arostoboy ndani ya Saudi jeddah akupata live... big up bro
HipHop kioo cha jamii
Kazi safi, one love
My alarm tone song it motivates me #kaa la 🔥🔥 👏👏👏🎶🎶
Big up kaa la moto kiumbe.
Hii ngoma,kusema kweli ni usia kwetu sisi, big heat! hongera Sana Mzee Ngala na Kaa La Moto.
Massive kakaa
Noma waaah🎉
Kazi safi sana
Inakuzwa haipotei popote..
great song kaa la moto......mzee ngala the legend....imeeleweka....mziki ulioenda shule.....big up sana.
big up Kali sana
Ai, moto sana..
2023 still a hit
big up bro....
Baba ngala nakupenda sana
Wooow wimbo mzuri
I love the flow creative humble natural and blessed Moral
Kila Jambo Lina mwisho liwe kubwa liwe Dogo . 23/03/2020 #Corona