🚨Kauli ya Kocha wa Simba Fadlu Davids,Kutoka misri,Hali ya kikosi,Je apewe muda.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 4

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi timu za Taifa huwa wanakutana kwa muda gani? Acheni uzwanzwa kama una wachezaji super quality hata siku moja wanakiwasha.

  • @seifbalawa8537
    @seifbalawa8537 3 หลายเดือนก่อน

    Iyo sio shida yetu simba ndio itakuwa timu ya kwanza kuwabadilisha mawazo ya wachambuzi

  • @josephmwise3177
    @josephmwise3177 3 หลายเดือนก่อน

    Jitahidi angalau tule Christmas wote ingawa najua huwezi kumaliza msimu.

  • @franccoz94
    @franccoz94 3 หลายเดือนก่อน +1

    Acha propaganda mbona national team zinafanya mazoezi week mojaa tuu,na team zinaingia kwenye mfumo