Figisu za CCM Wajumbe Feki, Watishia Kupiga Viongozi ACT Wazalendo, Lawama kwa TAMISEMI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • #MitaayaWote #VijijiVyaWote #maslahiyawote #miezi10 #wanachamamilioni10 #taifalawote #maslahiyawote #actmedia #thefutureispurple #habarizauhakika #habari #miaka10

ความคิดเห็น • 55

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Mjumbe wa shina sio kiongozi wa Serikali Bali ni kiongozi wa CCM tu,Hana mamlaka kuwaongoza wakazi wote ambao sio wanachama wake wa CCM.

  • @amosmangura
    @amosmangura 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Miaka 60,,, bado tunashida😊

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Futeni vyama vingi ijulikane moja kuliko huu uhuni ni kupoteza fedha bure

    • @VannVideo
      @VannVideo 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kabisa

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Watandikeni, hawana adabu. Kwani ulemavu mtu aliomba. Umesema kweli.

  • @Mosmwampa
    @Mosmwampa 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kila kinachofanyika kisharatibiwa na CCM, washaandaa mazingira ya wizi tangu huko Tamisemi wanaona watz mazuzu tu

  • @khalidbelhasa2137
    @khalidbelhasa2137 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mwenyez Mungu atatupa tulalo litafuta. Muda ukifaka

  • @MakameAly
    @MakameAly วันที่ผ่านมา +3

    Tanzania hamna demokrasiya

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nyinyi si mlikataa maandamano mkawapinga CHADEMA? mkaendeleza mapambio? wacheni UFALA.

    • @JocelyneMary
      @JocelyneMary 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tena mwambie asitupigie kelele mlijifanya wakala wa ccm mtajijua wenyewe

  • @clauschaula2050
    @clauschaula2050 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kama hili Lina ukweli namkumbuka Nape na kauli zake kuhusu uchaguzi.Ubinafsi utatumaliza.

  • @w4058
    @w4058 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Uhuni uhuni Hasbunallah Waniimal Wakiil

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ikiwezekana Hizi shahidi zikusanywe,kwaajili ya uthibitisho,zipelekwe mahakamani zikaongezewe kwenye lile shauri lililoko mahakamani,ili sasa uchaguzi uahirishwe hadi hili 👇🏿
    #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi✍️🏿

  • @nassorally-xi6zh
    @nassorally-xi6zh 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hawajamua Hawa demokrasia ya mchongo2

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wahuni hao CCM

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Africa bado sana, it will take too much time

    • @VannVideo
      @VannVideo 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ila Tanzania tumezidi

  • @salama1113
    @salama1113 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Namnawangalia tuu😂😂😂

  • @BungeyiSaiboku
    @BungeyiSaiboku 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kamateni mpige kabisa

  • @w4058
    @w4058 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kweli kabisa na wafute wabaki peke yao

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hao wamezoa kuiba kura umeshafika wakati wao hao Kondoo Kondoo ni wauwaji tu si watendaji

  • @salumnassor3857
    @salumnassor3857 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mnakumbuka juzi kati walikataa maandambano hawaa safi sna ccm pig spana hawo mliona watapstikna chadema

  • @AmisiLulacha
    @AmisiLulacha 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Tulijuwa hivyo tangia zamani wakati Raisi ulipo tangaza mkweo atasimamia ucha guzi wa mitaah bila kupiga kelele hatuta fanikiwa lakini nyinyi wa Ect niwana fiki wakubwa chadema walipo sema hayo mulibisha leo mukowapi

  • @nicolauslema88
    @nicolauslema88 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jino kwa jino.

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 38 นาทีที่ผ่านมา

    Mbona mapema sana hayo mambo😮

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ameelaamiwa kukuita kilema CCM imetuchosha

  • @meshackgelson672
    @meshackgelson672 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kaz iendelee

  • @humphreybilly7437
    @humphreybilly7437 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Chadema je

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kazi imeaza yani watanzania sijui lini tutajitambua

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ichi ya mahajabu

  • @w4058
    @w4058 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na wewe Amis wacha upumbavu kuwa ita ACT wanafiki mnafiki ni wewe wapi walisema maneno hayo na wewe pia mnafiki mmoja Hasbunallah Waniimal Wakiil

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa kauli ysko tayari huyo jamaa keshapata ulemavu kwa damu ya Yesu. Aidha, peleka hilo shauri la kukudharirisha ktk vyombo vya sheria

  • @w4058
    @w4058 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Na wewe Amis wacha upumbavu kuwa ita ACT wanafiki mnafiki ni wewe

  • @JumbeOjaso
    @JumbeOjaso 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dalglish mbaya hizi,kuna siku hali hii itageuka damu,kwa hasira za watsfuta haki dhidi ya wakoloni.
    Hakika mwenye macho aone na mwenye masikio na asikie .😢

  • @bonifaceBuliba-c8r
    @bonifaceBuliba-c8r 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Muwe na simu za kurekodi matukio kwa ushahidi sio kuongea kwa maneno tu mbona mmelala ACT wazalendo zama za kulalamika zimesha pita chukueni hatua UBAYA UBWERA Hatutaki vilio.

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wananchi wote wana haki ya kujiandikisha.

  • @JoshuaSalimu
    @JoshuaSalimu 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    AISEE CCM ACHENI UPUMBAVU

  • @landomalekano6570
    @landomalekano6570 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna Haki Ya Kumzuia Mtu Kujiandikisha Ndiomana Kuna Pingamizi..baada Ya Kujiandikisha

  • @msambalamjukuu3866
    @msambalamjukuu3866 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa Mzee iyo TAMISEMI ipo chini ya CCM ndio maana mm stoweza kupiga kura tatizo yule anae isabu kula na anaetangaza matokeo amewekwa na CCM tumien akili

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mm naona hakuna haja ya kua na vyama vingi hio serekali ndio hio ccm hamuna kitu hapo bora kibaki chama kimoja tu ila wazungu wameleta mfumo huu walijua watu watapigana na kuawana ss hatuelewitu

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani mamboyakifanyika kwa hakI Kuna tatizo gani

  • @CharlesMwakajinga-r5d
    @CharlesMwakajinga-r5d 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chadema inapiga kelele nyie munanyamaza ccm itawamaliza

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    CCM daima haichi mbinu chafu ili wabaki madarakani

  • @veronicanabina3380
    @veronicanabina3380 5 นาทีที่ผ่านมา

    Kura zimeanza kuibiwa asubuhi, tutafika tumechoka, MUNGU TUTIE NGUMVU

  • @w4058
    @w4058 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wapigwe nani?? Ikiwa umekusudia Act wewe utapigwa na MMungu

  • @bonifaceBuliba-c8r
    @bonifaceBuliba-c8r 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    peleleni Wagombea wakachukue form za kugombea mapema msije mkafuata tarehe ya Mchengerwa za tarehe 1/11/2024 SHERIA inasema kuchukua form ni siku 26 kabla ya Uchaguzi ambavyo kuanzia tarehe ya leo na jana Mko sahihi kuchukua form msisubili tarehe mtaambiwa mmechelewa mawakala waapisheni wenyewe mkiwa maeneo ya Halimashauli baada ya hapo wasambazeni kwenye vituo vya kujiandikisha.

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kuna vyama na kuna NGOs, mnatengeneza ujinga mnajitekenya wenyewe , shida njaaa tu, mashamba yako mengi uko mkoani kama hamna kazi twende tukaunge azimio la MUSOMA , KILIMO kwanza nk

  • @w4058
    @w4058 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Samia looo

  • @adaNahimana-y7b
    @adaNahimana-y7b วันที่ผ่านมา

    Wapigeni Hao

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uwongo huwo ni kushindwa uchaguzi tu hasa Makati wa kura kama vyama vya Pizani wanajua CCM inawatu wengi sana Tanzania tu na walio kuwa nje ya nchi ni wengi sana tuwache uwongo

    • @omarhababuu3159
      @omarhababuu3159 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nazani akiliyako imeungana namshipa wamavi au maisha magumu unadanganya. Una uchawa. ili ccm wakuone upate. Ajira lakini ujuwe msema ukweli nikipenźi chamungu lakini ww haki unasema siohaki kwakupigania tumbo lako bambana japo kuuza karanga utafanikiwa