KUMEKUCHA DIVA KUOLEWA NA MJERUMANI, AMERUDI KWENYE DINI YAKE RASMI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ก.พ. 2024
  • #diva #boramedia
    Ahsante kwa kufuatialia BORA MEDIA kwa habari na matukio mbalimbali kama bado huja Subscribe youtube channel yetu fanya hivyo sasa ili kuwa wakwanza kupata habari zetu kwa wakatI
    Follow us on instagram at / boramedia
    Follow us on facebook at / boramedia
    Whatsapp no; +255 654 682 050
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 29

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 4 หลายเดือนก่อน +2

    Karibu Diva kanisani. Tunza siri zako.

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 4 หลายเดือนก่อน +5

    Da diva ana tatizo gani ingekuwa mimi nisingeandika hii barua ningefanya kimyakimya

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 4 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu kweli ni kichaa sio mzima, huyo mjerumani yuko wapi na sura yake iko wapi

  • @Official83640
    @Official83640 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kesho yupo live na shekhe😂😂😂

  • @sikudhanimohammad7692
    @sikudhanimohammad7692 4 หลายเดือนก่อน +4

    Diva hana msimamo

  • @shery-bf8xh
    @shery-bf8xh 4 หลายเดือนก่อน +2

    Angefata kuolewa kimya kimya tu ila diva bado anastress za abdul akiangalia jinsi mwanaume alivyo mtia sibu mitandaoni na kumvua nguo na matukio kila uchao doo diva anamihemko .miaka 5 inamaana alikua akimdangia mumewe au? Basi asimlaumu abdul kwa kuchepuka na wanawake wengine kumbe na yeye alikua anafanya😅😅😅

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mkiambiwa muwemnasikia😂😂😂😂😂

  • @swala_master
    @swala_master 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kwani kuolewa Sisi inatuhusu nini

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 4 หลายเดือนก่อน

    Diva utamjuaje yuko ujerumani. Na huyo utakuja kutulilia. Tunza siri zako Diva, ungefunga ndoa kimya kimya ndio utuambie. Kakukoga hauwezi kumuacha labda uokoke na upate delivery

  • @vumiliakilosa4548
    @vumiliakilosa4548 4 หลายเดือนก่อน

    Diva anamtisha abdulazak harafu mtu mwenyewe hatishiki anajua alichokifanya mbona utatapatapa sana na huondoki kwa abdul

  • @karimjuma4019
    @karimjuma4019 4 หลายเดือนก่อน

    Labla dude lake linamuwasha jamaa ujui kumkuna vizur

  • @irakozeshela1809
    @irakozeshela1809 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂we diva una mambo kweli😅😅 aca utani bana

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 4 หลายเดือนก่อน +2

    Diva hata sura yake hatuijui ana sura 100

    • @johanjoha5262
      @johanjoha5262 4 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂
      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
      😂😂😂😂😂😂😂

    • @user-uj5wg9mm2t
      @user-uj5wg9mm2t 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @mwanaishaabubakar5013
    @mwanaishaabubakar5013 4 หลายเดือนก่อน +2

    Leo tena? Hukuwa muaminifu

  • @swala_master
    @swala_master 4 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂😂kigagula

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 4 หลายเดือนก่อน

      Kisha kumutumia akamupa hilo jina. Watu hawana shukrani kweli.

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ni mkristo ila huyu muongo alisema yeye kubadiri dini amependa sio kwa ajiri ya abdul huyu dada anamapepo

  • @user-lk1ru4kj6r
    @user-lk1ru4kj6r 4 หลายเดือนก่อน

    Olewa Diva usitangaze

  • @deboramartin8111
    @deboramartin8111 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mweeeeee diva kiukweli waende hospital akapimwe na akili ya medula obulangata maana hanielewi

  • @lastborn7810
    @lastborn7810 4 หลายเดือนก่อน

    Heeee makubwa 😢

  • @user-fy9pw2zr8l
    @user-fy9pw2zr8l 4 หลายเดือนก่อน

    sasa huo atamuticha nani mtoto hana mara nini kashindwa na mtanzanie mujelaman njo ataweza

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim 4 หลายเดือนก่อน

    Nyambafu watupu hao

  • @righitkileo
    @righitkileo 4 หลายเดือนก่อน

    Mweeeeeeeeee

  • @itsangela7886
    @itsangela7886 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂

  • @FelistersMejumaa-fp6cc
    @FelistersMejumaa-fp6cc 4 หลายเดือนก่อน

    Bora media mumebadili logo ya media yenu kumbe,, nmeitafuata naona yaja kivyengine

  • @user-fy9pw2zr8l
    @user-fy9pw2zr8l 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂