TENZI ZA ROHONI - Usinipite mwokozi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 662

  • @lulupeter-xf9gs
    @lulupeter-xf9gs 11 หลายเดือนก่อน +53

    Ee bwana naomba usinipite mwaka 2024 Kwa upendo wako juu yangu hata wengine ambao ukuwajibu mwka 2023. Mwaka huu uwajibu maombi yao Amin🙏

    • @iddymkeamkea4034
      @iddymkeamkea4034 10 หลายเดือนก่อน +3

    • @josephnganganjoroge6275
      @josephnganganjoroge6275 9 หลายเดือนก่อน

      Mungu atakujimbu, God always replys most times not the way we expect, check well maybe your prayers have been answered only that the answer is where you're not expecting so you're not checking. Joseph had dreams and were answered by him being sent to Egypt as a slave

  • @mariamtwangi-t1r
    @mariamtwangi-t1r 10 หลายเดือนก่อน +10

    Ee yesu usimipite katika katika shughuli ninazo zifanya hata katika masomo yangu hapa chuo kikuu , amina 🙏🙏

  • @glory.nyimbozadinishirima2825
    @glory.nyimbozadinishirima2825 9 หลายเดือนก่อน +35

    Usinipitee mwokozi mwaka huu 2024

    • @DanMutiso-um7uv
      @DanMutiso-um7uv 3 หลายเดือนก่อน

      Angel amesema nikusalimie

  • @RehemaYassin-n8t
    @RehemaYassin-n8t 9 หลายเดือนก่อน +82

    Kama bdo ukizkiza hii nyimbo wabarkiwa kma mm kwenye huu mwaka Eka like bila kupita amen tarehe 31/3/2024❤️❤️❤️❤️ asante mungu

  • @northwest8516
    @northwest8516 2 ปีที่แล้ว +40

    Gonga like kama we ni mkristoo

  • @ShamiraPeramiho
    @ShamiraPeramiho หลายเดือนก่อน +3

    Usinipite mwokozi, unapozuru wengine na mm unikumbuke maana sina tumaini zaid yako yesu 😢😢

  • @MararmaHomes
    @MararmaHomes 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kweli baba ninaomba unisikie naomba usinipite 😢😢😢

  • @CharlesChangwe-uf8rz
    @CharlesChangwe-uf8rz 9 หลายเดือนก่อน +6

    Napenda sana huu wimbo baba wa mbinguni tubariki sisi wanawako katika pilika zetu amen

  • @miriammusuvi7912
    @miriammusuvi7912 ปีที่แล้ว +8

    Maombi yangu huu mwaka wa 2023 Bwana naomba, usinipite Bali unikubuke ,Amen

  • @TeblaMuyava
    @TeblaMuyava 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hii wimbo inanitia nguvu hapa uwarabuni 😢wacha Mungu abaki kua Mungu siku zote💯🩷🙏🙏🙏

  • @EsterMnyone
    @EsterMnyone ปีที่แล้ว +5

    Eee mungu usinipe mokozi wangu na familiya yangu naiombea ndungu jamaa na marafiki wangu wote ❤🎉❤❤❤

  • @josephatonyambu108
    @josephatonyambu108 ปีที่แล้ว +5

    Yesu yesu ... unisikie .unapozuru wengine usinipite ..Ameeeeeen

  • @AnnastaciaKaniniKituna
    @AnnastaciaKaniniKituna ปีที่แล้ว +5

    Hata Mimi usinipite mwokozi,Unapozuru wengine,naomba usinipite mwokozi 🙏🙏🙏

  • @floridamuthoni5166
    @floridamuthoni5166 ปีที่แล้ว +13

    Remove the poverty that is following my family in Jesus name I trust and believe Amen

    • @josephnganganjoroge6275
      @josephnganganjoroge6275 9 หลายเดือนก่อน

      God will remove poverty, remember hagar cried to God and the bible says God opened Hagar's eyes and she saw a well of water. ask God to open your eyes and see the well. God bless you and your family

  • @mildredijai9024
    @mildredijai9024 2 ปีที่แล้ว +11

    Oooh yesu sikia kilo cha moyo wangu nko chini ya miguu zako😭😭😭🤲💔🙇‍♀️🙇‍♀️

    • @jeffmuriuki9426
      @jeffmuriuki9426 2 ปีที่แล้ว +1

      you will have a testimony soon. Amen

    • @stevestephy1677
      @stevestephy1677 2 ปีที่แล้ว

      Yesu usiniache, nisamehe makosa yangu usinipte baba

  • @Josephkamau-p8j
    @Josephkamau-p8j 10 หลายเดือนก่อน +2

    Usinipite mwokozi unisikie unapo wazuru wengine usinipite baba nakuomba don't left o God please🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤱🤱AMEN

  • @TinaNombo
    @TinaNombo 7 หลายเดือนก่อน +4

    Usinipite Bwana unapodhuru wengine usinipite yesu mwaka 2024

  • @jacklinendinda1495
    @jacklinendinda1495 ปีที่แล้ว +2

    Usinipite mokozi nikumbuke na Mimi 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

  • @FaithWayua-t7t
    @FaithWayua-t7t 10 หลายเดือนก่อน +4

    Naomba usijaribu kunipita God plz I have a hard time plz 🙏🙏🙏😭😭😭😭 just say one ward to me if u see this massage plz

  • @maqueen-rs6in
    @maqueen-rs6in ปีที่แล้ว +2

    Hata Mimi usinipite mungu asbuhi ya Leo,, sikia maombi yangu baba,

  • @MaxwelKipkemboi
    @MaxwelKipkemboi 6 หลายเดือนก่อน +3

    bwana naomba usinipite huu mwaka nataka kuona baraka zako..

  • @jescamuijsers4206
    @jescamuijsers4206 ปีที่แล้ว +5

    Usinipite mokozi nikumbuke na mimi na familia yangu Amen

  • @MerabuMachibula
    @MerabuMachibula 19 วันที่ผ่านมา +1

    Amina mungu amenisaidia mwaka huu naomba aendelee kuwasaidia na wengine kama alivyonisaidia mimi pia nahitaji msaada wake zaidi

  • @LaurencPetro
    @LaurencPetro 2 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉🎉 Mokozi wangu uzinipite unapo zulu wengi usinipite kabisa mungu nakupenda mi laurenti kutoka manyara kwaraaah

  • @Emmie-rx4dz
    @Emmie-rx4dz 11 หลายเดือนก่อน +3

    My pray this year mungu usinipete 2024

  • @alicekatush9388
    @alicekatush9388 ปีที่แล้ว +2

    God has bless other God please bless ,you desire of heart pliz hear my cry

  • @Samwelmangongo
    @Samwelmangongo ปีที่แล้ว +3

    Usinibte mwokozi wangu yes ❤🎉🎉❤

  • @maiaagnes3323
    @maiaagnes3323 ปีที่แล้ว +5

    Usinipite mwokozi unisikie unapozuru mwengine huu mwezi wa Tano usipite mwokozi wangu😢 l will come back with a testimony 😢🙏

  • @doreennaliaka
    @doreennaliaka 5 หลายเดือนก่อน +2

    ni vizuri tu

  • @WebVvc
    @WebVvc หลายเดือนก่อน +1

    God your the one who no my sins and your the one who cleans my sin and I'm a life because of you without you I'm nothing don't for get me while the time comes to entered in the new king dom 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @lawiochieng7488
    @lawiochieng7488 ปีที่แล้ว +45

    Hata mimi,usinipite Mwokozi wangu tunapoanza mwendo kwa huu mwaka wa elfu mbili na ishirini na tatu,wacha niione ukuu wako na Nguvu zako Bwana.

  • @sizalutavi5418
    @sizalutavi5418 10 หลายเดือนก่อน +2

    Eeh bwana unapogusa wengine naomba uniguse na mim katika jina la yesu amina

  • @jecintambugua9731
    @jecintambugua9731 2 หลายเดือนก่อน +1

    Usinipite ata mimi mwokozi unapozuru wengine nitendee miujiza katika jina kuu la Yesu Christo.

  • @mahaalzadjali5189
    @mahaalzadjali5189 25 วันที่ผ่านมา +1

    Yesu unapozuru wengine usinipite bwana🎉🎉❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @ConsolataAdhiambo-t3f
    @ConsolataAdhiambo-t3f 9 หลายเดือนก่อน +2

    Usinipite mwokozi unapozuru wengine pia mm unikumbuke mungu

  • @PriscaJohn-rs9pq
    @PriscaJohn-rs9pq หลายเดือนก่อน +1

    Usipite bwana kabla ya mwaka huu kupita unifanyie muujiza kwa jina la yesu amen

  • @LaurencPetro
    @LaurencPetro 2 หลายเดือนก่อน +1

    😭😭😭😭😭. Mokoz wewe ndo unaweza kila kitu wape nyimbo tamu hakika inaingia moyon sana. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @Estella122-m1v
    @Estella122-m1v ปีที่แล้ว +2

    Baba naomba usinipite unisikie kilio changu baba nijibu Sara zangu baba wa mbinguni

  • @InnocentParakeet-cv7ke
    @InnocentParakeet-cv7ke 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu naomba unisikie unapozuru wengine mwaka huu wa 20224. Usinipite

  • @JohnMagondu-zg3zx
    @JohnMagondu-zg3zx 10 หลายเดือนก่อน +2

    Huu waka wa2024 mungu usinipite na family yangu amen, amen 👏

  • @renaldamaiwa7266
    @renaldamaiwa7266 ปีที่แล้ว +4

    Wimbo huu unatufundisha tusioneane wivu kwa wengine,unapoona mwingine amebarikiwa mwambie Yesu usinipite unapozuru wengine.

  • @HussainSalum-do1dk
    @HussainSalum-do1dk ปีที่แล้ว +1

    Usinipite mwokozi wangu sinawakutegemea ila wewetu nakuabudu

  • @Falesta22Ee
    @Falesta22Ee 10 หลายเดือนก่อน +2

    Usipite mungu ninapo ishiwa NGUVU nijaze NGUVU safari ni ndefu nilio nayo bila ww nitashindaa

  • @GraceSanka
    @GraceSanka 8 หลายเดือนก่อน +2

    Eee MUNGU wangu wa mbinguni usinipite nifungulie milango ya ridhiki huu mwaka 2024ukawe mwaka wa baraka kwangu🙏🙏🙏🙏

  • @LoveMwazembe
    @LoveMwazembe 2 หลายเดือนก่อน +1

    Usinipite mokozi unapo nzulu wengene namimi usinipite❤❤❤❤❤❤

  • @annewanjikunjeri8749
    @annewanjikunjeri8749 ปีที่แล้ว +4

    Amen 🙏🙏...unisikie pia usinipite yesu maana wewe ndio msaanda wangu

  • @puritymwendwa9047
    @puritymwendwa9047 ปีที่แล้ว +3

    2023 mungu usinipite you know my heart desires ooh Lord 🙏🙏🙏

  • @Mourine-n1g
    @Mourine-n1g ปีที่แล้ว +1

    Pia NAMI yesu naomba unikumbuke katika maisha yangu kwa maana changamoto z magonjwa zimenilemea na mm peke siwezi

  • @Esther-zb9us
    @Esther-zb9us 10 หลายเดือนก่อน +1

    Eeeeeeeeh lord just be have a time for hearing me o God 😭😭😭

  • @lynetwanyonyi-633
    @lynetwanyonyi-633 ปีที่แล้ว +2

    Usinipite mwokozi,,nitetee Kwa kila jambo Yesu wangu

  • @festamwaibabile2190
    @festamwaibabile2190 16 วันที่ผ่านมา +1

    Ee mungu simama nani kipindi hiki kigumu Sana kwangu naomba unitie nguvu bwana

  • @MaryIrungu-n2w
    @MaryIrungu-n2w หลายเดือนก่อน +1

    Thanks lord this song I was in a prayer and it came in my mind when I finished my prayers and i come to realise God 🙏 has answered my prayers.

  • @KirisitinaMwita
    @KirisitinaMwita 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nikisikiliza wimbo huu.najikuta mwenye furaha sana

  • @HappyMwaja
    @HappyMwaja 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ee bwana usinipite mwaka huu 2024 nikafanikiwe kwa jinàa la yesu,

  • @SoosanOman
    @SoosanOman 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ee Mwenyez Mungu usinipite Mwaka huu uniepushe maovu natak kuon Baraka zako 😢

  • @higenyijoramraulings
    @higenyijoramraulings ปีที่แล้ว +11

    Naomba usinipite mwokozi,wapendwa mniombee sana nilipoteza mume wangu last yr,nikaachwa na twins wa miezi mbili,wako mwaka mmoja na miezi,landlord amebeba funguo za nyumba nafukuzwa kwa hao sijui niende wapi sina kazi,familia ilinifukuza niko na watoi watatu mniombee nahisi kujiua tu😭😭😭😭😭😭😭

    • @elijahjosephgmail
      @elijahjosephgmail 9 หลายเดือนก่อน

      Pole sana😞

    • @GradnessMarico
      @GradnessMarico 9 หลายเดือนก่อน

      Mungu wa mbinguni akutendee update pa kuishi

    • @OctavianNgunwa
      @OctavianNgunwa 7 หลายเดือนก่อน

      Tuwasiliane kuona namna ya kusaidiana

    • @SoosanOman
      @SoosanOman 3 หลายเดือนก่อน

      Pole San 😢😢

  • @IreneKalugendo-r9s
    @IreneKalugendo-r9s 5 หลายเดือนก่อน +2

    Usinipit bwan unapozuru wengne niponye na magonjwa yanayoundam mwili wangu amen

  • @carolynndanu9477
    @carolynndanu9477 3 หลายเดือนก่อน +2

    usinipite mwokozi mwaka huu wewe tu ndio tegemeo langu naomba unitimizie haja ya moyo wangu na usiniache kamwe niaibike

  • @SandrineMuhimpundu-f3s
    @SandrineMuhimpundu-f3s 9 หลายเดือนก่อน +5

    Hata na mimi naomba usinipite unapo gusa wengine na mimi niguse mwokozi wangu

  • @abigaeljerotich
    @abigaeljerotich 7 หลายเดือนก่อน +2

    Usinipite mwokozi hii mwaka 2024❤

  • @mariabenjamina6488
    @mariabenjamina6488 2 ปีที่แล้ว +2

    Amina, mimi binafsi nashukuru sana kwa huu utenzi za rohoni, nimeufurahia sana na umenigusa sana,Mungu akubariki sana na aendelee kukuinua katika kipaji hiki cha kutangaza makuu yake kwa watu kwa njia ya nyimbo.Amina

  • @issayaKagyo
    @issayaKagyo ปีที่แล้ว +1

    naomba ustupite na wanao mwaka huu 2024 ameen,,,🙏

  • @Khadijah-gy7ju
    @Khadijah-gy7ju 2 หลายเดือนก่อน +1

    Usinipite mwokozi wangu ukanivushe hapa nilipo kwenda viwango vingine

  • @SoosanOman
    @SoosanOman 3 หลายเดือนก่อน +1

    Unapozur wengin usinipite uniepushe na Magonjwa Amen 😢🙏🙏

  • @MaxwelKipkemboi
    @MaxwelKipkemboi 6 หลายเดือนก่อน +2

    tupoenda kumaliza mwezi pia usitupite tushike mkono hadi tufike mwezi mwingine..

  • @magrethkimaro5140
    @magrethkimaro5140 11 หลายเดือนก่อน +3

    Usinipite Yesu🤲🤲🤲🤲🙏

  • @MaryWangari-z7q
    @MaryWangari-z7q 9 หลายเดือนก่อน +1

    God remember me as i fight all the challenges that may come across my life i pray for the defeat of all evils in my family in Jesus name amen

  • @NeemaMkeha-r2f
    @NeemaMkeha-r2f หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤ usinipitit mokoz wangu nakupenda Sana my dear

  • @BrendaMukhanyi
    @BrendaMukhanyi 9 หลายเดือนก่อน +1

    Remember me o lord

  • @selinanamachi1100
    @selinanamachi1100 2 ปีที่แล้ว +4

    Usinipe Yesu Wangu nisamehe niguze unitakaze Kwa damu yako Ili nipone,kumbuka TU rehema zako juu yangu na jamii yangu unihurumie TU Yesu

  • @FaithNdahani
    @FaithNdahani 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu naomba usinipite katika majaribu nayokumbana nayo unijibu Baba.

  • @GraceNeema276
    @GraceNeema276 หลายเดือนก่อน +1

    Eeh mungu wangu naumia ndani kwa ndani usipite bwana 😭😭

  • @LadonahAzell
    @LadonahAzell 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu remove the poverty in our family none of our siblings will drop out of school please hear my cry

  • @امينهكينيا-ه9ص
    @امينهكينيا-ه9ص ปีที่แล้ว +1

    Usinipite bwana.unapo zuru wengine usinipite eeee mungu wangu nimwambea nn mm nimekuachea wewe unajua ninayopitia❤❤😘😘😭😭

  • @faithsiakilo2163
    @faithsiakilo2163 2 ปีที่แล้ว +7

    Yesu yesu unapozuru wengine usinipite 😭😭😭😭

  • @trizahlydiah3652
    @trizahlydiah3652 ปีที่แล้ว +2

    Amen unapozuru wengine naomba usinipete yesu wangu

  • @Fatima-ks2pk
    @Fatima-ks2pk ปีที่แล้ว +2

    Hata mimi usinipite unapo zuru wengine usinipite❤

  • @everlyneeshitubi9795
    @everlyneeshitubi9795 ปีที่แล้ว +2

    🙌🙌🙌🙌Yesu unaposuru wengine naomba usinipite🧎🏾‍♀️🧎🏾‍♀️🧎🏽‍♀️magoti napiga kwako nisamehee🙏🙏🙏

  • @dainesdiocles6739
    @dainesdiocles6739 2 ปีที่แล้ว +3

    Unapozur wengine ucipite yes Wang .asant Kwa song 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @jacintakadenge9619
    @jacintakadenge9619 ปีที่แล้ว +4

    Hata mimi Yesu usinipite leo.l really need you God

  • @rosemarychero7470
    @rosemarychero7470 ปีที่แล้ว +1

    Eee yesu namba usinipite katika haya mangumu nilipnayo siwezi kubeba haya nilipnayo baba naomba unipe msaada usinipite yesu wangu

  • @emmanuelshukuran2543
    @emmanuelshukuran2543 ปีที่แล้ว +3

    Powerfully this song usinipite yesu wangu unisikie niombapo bwana yesu

  • @AdamMasanja-o8r
    @AdamMasanja-o8r ปีที่แล้ว +1

    Yesu naomba kupitia wimbo huu naomba nikainuliwe kuwa mtendaji mkuu hapa kazini kwangu naomba unibariki amina

  • @thomastheblessed8537
    @thomastheblessed8537 ปีที่แล้ว +3

    Mungu usinipite tarehe Sita huu mwezi ..wakati ya greencard 🎉❤

  • @GraceSanka
    @GraceSanka 8 หลายเดือนก่อน +1

    Na majaribu katika ndoa yangu yesu usinipite,unapodhulu wengine na mm usinipite bwana 🙏🙏

  • @ruth-lb4qf
    @ruth-lb4qf ปีที่แล้ว +3

    Yesu wangu usinipite unapowazuru wengine na mimi nikumbuke

  • @AgnesKambua-im9be
    @AgnesKambua-im9be ปีที่แล้ว +2

    Usinipite hii mwezi yesu nisikieee yesu unapozuru wengine usinipite ww msaanda wangu wa karibu

  • @rehemahawezungu
    @rehemahawezungu 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu unapo zuru wengine usipite usipite wazazi wangu uwasikiye na watoto wangu usiwapite

  • @DoreenEsther-p9k
    @DoreenEsther-p9k ปีที่แล้ว +1

    Usenipite bwana unapo gusa wengine namim nisikiee baba🙏🙏🙏🙏

  • @prudencemxhangao
    @prudencemxhangao ปีที่แล้ว +2

    Yesu niongoze katika wokovu bwana n hii safari ya maisha

  • @SarahLinna-ho6eh
    @SarahLinna-ho6eh หลายเดือนก่อน +1

    Baba usinipite ,nakuaminia wewe tu🙏

  • @Satier47
    @Satier47 ปีที่แล้ว +2

    Amen usinipite 🎉

  • @EliseMasoka
    @EliseMasoka 11 หลายเดือนก่อน +1

    mungu wangu na mimi usinipite unapo gusa wengine ivyo na mimi uni guse mungu wangu naitaji na mimi mwaka uu 2024 na mimi uniinuwe

  • @rebeccajohn4130
    @rebeccajohn4130 6 หลายเดือนก่อน +2

    Usinipite mwokovu 2024 😭🙌🏿

  • @phyllis9446
    @phyllis9446 ปีที่แล้ว +3

    NAMI yesu usinipite katika maisha yangu,nipe ndoa nyingine maana mume wangu hanitaki kwa miaka kumina miwili nikiteseka na yeye.nisaidie mungu

    • @MobigoMobigo-e1q
      @MobigoMobigo-e1q ปีที่แล้ว +1

      Utapata ndugu

    • @CarenBuluma
      @CarenBuluma ปีที่แล้ว

      Mungu hawezi akakuwacha dada yangu mutumainie tuu itawezejana

    • @josephmusyoka6328
      @josephmusyoka6328 ปีที่แล้ว

      Mungu ako nawe mtumainie😊

    • @nelytarus7779
      @nelytarus7779 ปีที่แล้ว

      Mungu atAkupatia mume mwingine in Jesus name amen 🙏

    • @humphreymlagalila1886
      @humphreymlagalila1886 ปีที่แล้ว

      Pole sana dada,, kuachana sio dawa, zungumzeni Kwa kina mkiwa wawili wakati nyote mnafuraha, naamini zipo siku ambazo huwa mnafuraha, mkiwa ktk ndoa ni vzr kuongea hata mambo ya ndani kabisaa, na ndiyo maana ndoa, cheti Cha ndoa huhalalisha kuongea mambo ya ndani Kwa watu wawili tuu

  • @nuruhsamwel2555
    @nuruhsamwel2555 ปีที่แล้ว +2

    Naomba usinipite na mimi yesu wangu

  • @Chef_gaella
    @Chef_gaella 8 หลายเดือนก่อน +2

    Unapozuru wengine,usinipite 😊 Mungu Wangu

  • @StellahKoki
    @StellahKoki 9 หลายเดือนก่อน +2

    2024 usinipite mwokozi yesu unisikie🙏🙏🙏🙏

  • @djmachata6723
    @djmachata6723 3 หลายเดือนก่อน +1

    Emungu usinipite ninaomba barakazako mwaka huu 2024 unapodhuru wengine usinipite

  • @MiriamAmai
    @MiriamAmai 9 หลายเดือนก่อน +1

    Bila yesu sisi ni Bure jina lake litukuzwe