NYERERE DAY || Halaiki yawakosha viongozi wakuu wa nchi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024
  • Dakika 10 za halaiki zilivyomkosha Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango na Naibu Waziri Mkuu kwenye maadhimisho ya miaka 24 ya kumbukumbu za kifo cha Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere yanayofanyika mkoani Manyara.
    Hebu tazama nawe ufurahie uwezo na ubunifu wa halaiki ya watoto hawa.
    Imehaririwa na @moseskwindi

ความคิดเห็น • 4