KISUGU "IPO SIKU WATU WATAFANYA MAAMUZI MAGUMU / HUWEZI KUKOSEAA WEWE KILA SIKU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 25

  • @pinielloilole4340
    @pinielloilole4340 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tatizo waandishi mnawahoji hadi matahaira. Kisugu nati imefyatuka hakuona red cad wala alichofanyiwa msonda😊

  • @l.marley_2542
    @l.marley_2542 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😂😂 kisugu hadi sauti imepotea😂😂

  • @peterlaurent5969
    @peterlaurent5969 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    This is football

  • @SalmaSonga
    @SalmaSonga 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Léo kisugu umeongea kimichezo huu ndio mpira umekubali kushindwa

  • @allytwalib7787
    @allytwalib7787 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    hapa ukiangalia macho ya hao wanaolalamika utagundua kwamba hata kile wanacholalamikia wanajua hakipo maana tuliokuwa uwanjani tuliona kabisa kibu kaotea hata kocha fadru hakushangilia maana ilikuwa ni offside ya wazi... tusitafute vichaka vya kujikingia maana hata huyo ateba alikosa goli lakini move yenyewe ilikuwa tayali kaotea na kama angefanikiwa kufunga simba wangeshangilia...
    kwani refa alimwambia kamala aufuate mpira uliokuwa unatoka aurudishe kwenye mchezo na kusababisha goli, au alimwambia kijiri ajifunge mpira ambao tayari ushagonga mwamba na kurudi uwanjani !
    tatizo tunakuja ya matokeo uwanjani na kuamini tunashinda ilhali mpira unadunda ...
    tengeneza kikosi ambacho hata wakitoka key players watatu wanaoingia wanakuwa kama wale waliotoka na kuendeleza momentum ya timu sio kurundika wachezaji ambao watawavyonza wengine na kupunguza momentum ya timu...

  • @maryfides591
    @maryfides591 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Leo kisugu umeongea ya maana😅😅

  • @Tee-King
    @Tee-King 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wapeni goli la kibubu jaman wanalia sisi tukae pemben tuangalie filamu 🍿🍿🍿🍿.

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Clears penalty two...
    Clears goal...
    Sio lazima kuongea english

  • @SongelaeliKiula
    @SongelaeliKiula 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kachanganyikiwa kisugu mechi yao yasita hii yeye kakomaa ya yano😂😂😂

  • @hassanmussa6129
    @hassanmussa6129 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Itachukuwa miaka miwili kwenda tena mkapa

  • @PeterIdd-d3c
    @PeterIdd-d3c 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kawaida tuu, kwanza tumejifunga na yanga kabebwa

  • @laurencematitah7046
    @laurencematitah7046 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tatizo Simba inacheza kipindi chakwanza Tu ila wanakata Moto haraka sana

  • @DaudMwanrdy
    @DaudMwanrdy ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acheni kuhoji machizi

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 32 นาทีที่ผ่านมา

    Kayoko anyongwe

  • @VailethLukas
    @VailethLukas 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kisugu kuanzia leo ukitaja yanga malizia midabangulo yaan sema yanga midabangulo wazee wa kudabangula tumesha wadabangula OK haua****

  • @selemanimohamedi6052
    @selemanimohamedi6052 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kisugu reo inakuuma refa kukataagori. umesaau tanga irishinda gori mbiri kwenye ngao refa kakataa ikajirudia juzituu kwa mkapa ngao tena umekataa gori mbiri jani harioni kundure ndiyo wewe kisugu

  • @abdalahmjomba471
    @abdalahmjomba471 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wewe nimpumbv kumbe gori la offside nyie ndio mnatuponza tim mbovu mnakaa kulaumu marefa hapa simba tuache shobo kikosi hiki bado tumepigwa yaani bado sana

    • @mhehejrtv9637
      @mhehejrtv9637 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Na za kibu denisi hukuziona au hujui mpira.....¿

    • @abdalahmjomba471
      @abdalahmjomba471 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@mhehejrtv9637 ww ndio hujui mpira game ya ngao ya jamii sasi alitubeba jmn tuache utot tutafte timu angalia sub za yanga na uan galie sub zetu. Chama simzee basi kakupaka wewe mafta na ahmed ally unaemsaport usenge wakati sisi wenye card za simba tunaumia

  • @Wallacenyusi3326
    @Wallacenyusi3326 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mtangazaji Jane, Rudi mpenja tv ndo ulikuwa unachangamsha mashabiki wa team zote. Kwa sasa mambo hayako mazuri

    • @JJ-fb9jp
      @JJ-fb9jp 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kweli

    • @victormtitu3681
      @victormtitu3681 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kumbe kaondoka. Malisho ya Kijani zaidi yamemvutia huko Wasafi bila Shaka

    • @UrassaPaschal
      @UrassaPaschal 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Anafanya kazi hajitolei ana familia na mipango yake punguza ushauri kwenye maisha ya watu yeye ndio anajua wap na nini anataka Kwan unataka kampuni au mtu?

  • @RahmaShona
    @RahmaShona 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uyu mbwa sindo arikuwa anaambia mashabiki wezie waende kuroga sasa imekuaje warionekana makaburini awa navichungu nvao mungu kawaumbua nyie munaenda makaburini wariko rara binadamu zenu wemunafukua kama si raana nini nabado tutawatimba sana mbwa nyie