BILA KUJITAMBUA HUWEZI KUBADILIKA.......TOKOMEZA WASHIKAJI FANGASI....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 73

  • @johndismaselias5609
    @johndismaselias5609 2 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda hiyo wajomba

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nímependaaaa iyoooo wakubwaaa wenzanguuu

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nice umesahau kua dudu alikupiga ezi zenu

  • @starjay3052
    @starjay3052 3 หลายเดือนก่อน +2

    nakubali sana wazee wa kazi

  • @SAYUKI513
    @SAYUKI513 2 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwa kumtaja Albino mmekosea.

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mnajifajili et sindio

  • @rasheedseleman9779
    @rasheedseleman9779 2 หลายเดือนก่อน

    Chama na Mkude ndani ya Vyura fc😂😂😂😂

  • @NyagoIncmedia
    @NyagoIncmedia 2 หลายเดือนก่อน

    Oyaaa maambaa Kuna mafala wanatumia video zako kupiga hela washtaki upige hela ...angalia channel inaitwa connection TV

  • @msoveicgaspernoic2986
    @msoveicgaspernoic2986 2 หลายเดือนก่อน

    Safi sana ,

  • @NuruNswebe
    @NuruNswebe 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 daaaaah nimecheka kwasauti mbaka Jamii imeshangaa

  • @zeelamipango
    @zeelamipango 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂ila dudu eti wote unaenda kuwapiga pumb daah

  • @The_mediator255
    @The_mediator255 2 หลายเดือนก่อน

    Oraa ma legend

  • @GeraldSwai-ty1hr
    @GeraldSwai-ty1hr 3 หลายเดือนก่อน +1

    General Dudu Baya nakubali sana kaka

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 3 หลายเดือนก่อน

    mr nice kapata kafara ya mwezi huu

  • @HamisLeo
    @HamisLeo 3 หลายเดือนก่อน

    Saf sana malegand rudin kwenye game

  • @abdalahasuman8740
    @abdalahasuman8740 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂nakubali wazee

  • @FabiaoAntonioMartinsAntonioMar
    @FabiaoAntonioMartinsAntonioMar 3 หลายเดือนก่อน

    Daaah😢

  • @JohnMkumbo-d1u
    @JohnMkumbo-d1u 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nawakubaliiiiii

  • @justiceshelukindo
    @justiceshelukindo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Jamaa huwaga anaongeaga vitu vya kulalamika siku zote

  • @BenjaminSumaili
    @BenjaminSumaili 2 หลายเดือนก่อน

    Jo inivyo takiwa bifu zingine za kisenge tunahachanazo wazze

  • @PiusMbwana
    @PiusMbwana 3 หลายเดือนก่อน

    mungu awaweke sana sana nyinyi wakong🔥🔥💪

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu/MUNGU sio mungu

  • @hamisibakari342
    @hamisibakari342 3 หลายเดือนก่อน

    Konki Anakwambia,,Wote Ulienda kuwapiga PUMBU😂😂😂😂

  • @stephenmasha8623
    @stephenmasha8623 3 หลายเดือนก่อน

    Eeeti kunawakati Dudu ulikuwa mpaka na albino 🤣😂

  • @Frank-pn7xr
    @Frank-pn7xr 3 หลายเดือนก่อน

    Nakubali

  • @alsam4881
    @alsam4881 3 หลายเดือนก่อน

    Dudu Baya ni mwanaume Rijali haswa anajituma na anakula kwa jasho lake japo bado anaumwa ni heshima kubwa kwako brother, ,lakini siyo hao wanaume suruali machawa wa bongo wanakula kwa kufanya uchawa kwa wanaume wenzao, Yaani inasikitisha sana kuona wanaume wazima wamekalia uchawa badala ya kufanya kazi na kula kwa jasho lao.

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 3 หลายเดือนก่อน +3

    Awa jamaa wauni wa zamani

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 3 หลายเดือนก่อน

    uyu jamaa alikua anaumwa figo saivi kapata pesa kidogo kaanza kula biaa

  • @djnizoh
    @djnizoh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa

  • @reubenpaulomabula6098
    @reubenpaulomabula6098 3 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉saf sana

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona nyinyi ndo kwanza mko mchana ila mnajilazimiza et mpo jioni 😂😂 nyinyi bado sana

  • @mudywaya328
    @mudywaya328 3 หลายเดือนก่อน +1

    nakubali 💯

  • @kelvinramson2164
    @kelvinramson2164 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @EllyvadiazTz
    @EllyvadiazTz 3 หลายเดือนก่อน

    Mambas 24 we live or life man
    I am konk Konk konki master

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 3 หลายเดือนก่อน +3

    Vibabu vikikumbushia enzi za ujana

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @madollarmadollar7097
    @madollarmadollar7097 3 หลายเดือนก่อน

    Wahasimu wameshikana leo ama kweli ya dunia tuyawache hapa hapa duniani

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 3 หลายเดือนก่อน

    Aka katv hakafiki mbali, katafungiwa

  • @mussaluhwago8829
    @mussaluhwago8829 3 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @hammerQ954
    @hammerQ954 3 หลายเดือนก่อน

    😅Mamba anasema kawakojoza sana

  • @godsson5954
    @godsson5954 3 หลายเดือนก่อน

    👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 2 หลายเดือนก่อน

    Wajinajipatia tu moyo ila wenyewe wanajua walishapitwa na wakati 😂😂😂

    • @bockerNyarusahi
      @bockerNyarusahi 2 หลายเดือนก่อน

      Wanasema ukweli, lazima wakumbushie ya ujanani, kwani wewe hautazeeka!

    • @ankalmzito254
      @ankalmzito254 2 หลายเดือนก่อน

      ungeliaza na ku like mwanzo

  • @michaelntaly8517
    @michaelntaly8517 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wazee

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 3 หลายเดือนก่อน

    Matajiri wataafu😢

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 3 หลายเดือนก่อน

    Konk mastar💪💪💪

  • @Abby_Shawn_KE
    @Abby_Shawn_KE 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂toeni wimbo bas

  • @IsmailAlly-u3l
    @IsmailAlly-u3l 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 saiv mmekoma..... Ukicheza na maisha lazma yakunyooshe.... Anyway!! Muda upo

  • @Nduwayosiliaki
    @Nduwayosiliaki 3 หลายเดือนก่อน

    Wahuni

  • @Gahondeshongopoo
    @Gahondeshongopoo 3 หลายเดือนก่อน

    Tunafurahi kuwaona pamoja

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 3 หลายเดือนก่อน

    Bab kubwa

  • @madollarmadollar7097
    @madollarmadollar7097 3 หลายเดือนก่อน

    Dudu amelewa amekunywa bapa 😂😂😂😂

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 3 หลายเดือนก่อน

    Dudu kweli umevuluga adi alibino 😂😂😂😂 hapo watasubili sana😅😅😅😅

    • @Lilmbunah
      @Lilmbunah 3 หลายเดือนก่อน

      Daah hapo mbavu ndo zina vunjika 😀😊

  • @shukranisibale1739
    @shukranisibale1739 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 nyie jamaa

  • @emmanueljohn7253
    @emmanueljohn7253 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa hapo nimecheka yaani kuna mwingine alimoiga mwenzake halafu saizi anamwambia hawajapoteza😂

  • @Adrianmellow
    @Adrianmellow 3 หลายเดือนก่อน

    Wasani wangu nikiwa mdogo 😂

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 3 หลายเดือนก่อน

    Mlishachelewa ,,,mlishindwa kipindi kile,,,nyie mmeshalost

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ila mr nice haustaili hayo maisha zamani ulikuwa kama diamond sijuwi kilicho fanya usiwe na maisha ya kifahari kwasasa,juu mziki wako ulitetemeshaga est africa na kati.labda wezi walikuwaga wengi serikali ikashindwa kukupa ulinzi sahihi,mziki wako haujakutendeya haki ipaswavyo.

  • @nurdinkisaria9476
    @nurdinkisaria9476 3 หลายเดือนก่อน

    Mr Nice
    Yule Dem aliyecheza kikulacho yupo wapi siku hizi?😂

  • @wazirmasokola5951
    @wazirmasokola5951 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @madollarmadollar7097
    @madollarmadollar7097 3 หลายเดือนก่อน

    Alafu mpost hio show sio ikawa ni maneno ya pombe 😂😂😂 tunakupenda sana dudu me nko mombasa

  • @cbhofficial3432
    @cbhofficial3432 3 หลายเดือนก่อน +1

    Konki konkii

  • @vallencymacdonalds
    @vallencymacdonalds 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe nyie marafiki

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 3 หลายเดือนก่อน

    Dudu baya miaka 44, ila umekokoroka

    • @sultanmsolon8428
      @sultanmsolon8428 3 หลายเดือนก่อน

      Muongo uyo kapunguza

    • @jumaamohamed2815
      @jumaamohamed2815 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kapunguza sana huyo ni 50 na zaidi"

  • @sanyengefundibatigeita
    @sanyengefundibatigeita 3 หลายเดือนก่อน

    Kwel wewe ni konki upo vizuri

  • @michaelntaly8517
    @michaelntaly8517 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali