Watu Wakikukataa Wewe Usijikatae

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @TheodoraLema-ne9vb
    @TheodoraLema-ne9vb ปีที่แล้ว

    Amen

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 ปีที่แล้ว

    Amina Babangu nimekuelewa sana,nimeimarika

    • @familyofprayingwomen587
      @familyofprayingwomen587  ปีที่แล้ว

      Amen amen , Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu Rose Muhando. Neema ya Bwana izidi sana kwako.

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana nilikataliwa na Mme wangu waNdoa akidai simfai na akidai Mimi Ni mgonjwa! Baada ya week moja alipatwa na Ugonjwa wa sukari ya kupanda,ninajiuliza Nani alinilipizia kisasi? Ni MUNGU au shetani,?mwanamke alievunja Ndoa yangu yupo anauguza badala ya kubebishwa! Naomba jibu Mchungaji Nani kanilipia kisasi? Ubarikiwe na Bwana!

    • @MgeniRamadhani
      @MgeniRamadhani 8 หลายเดือนก่อน

      Sio kisasi mpenzi, Mungu alikuepusha na balaa

  • @jklymollel5992
    @jklymollel5992 ปีที่แล้ว

    Amina Mchungaji kazi yako ni njema

  • @JUDITHSEMKIWA
    @JUDITHSEMKIWA ปีที่แล้ว

    Amina Amina!
    Ujumbe unarudisha matumaini kwa tuliokata tamaa.
    Zidi kubarikiwa Mchungaji