KAY MZIWANDA ambananisha msemaji wa VITAL'O/ YANGA waache ujanja ujanja waache KURUKA UKUTA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 90

  • @eliaskahory7116
    @eliaskahory7116 2 หลายเดือนก่อน +13

    Sema huyu jamaaa hataman kutoka tanzania

  • @AllyFeruuz
    @AllyFeruuz 2 หลายเดือนก่อน +8

    Huyu na ahmed Ali jora moja mshono tu tofauti

  • @victormoras2554
    @victormoras2554 2 หลายเดือนก่อน +8

    Njoo na Makolo fc

  • @emmanuelmwamlima1027
    @emmanuelmwamlima1027 2 หลายเดือนก่อน +7

    Yaan msemaj wa prison, namungo nk, siwajui afu huyu nimemfahamu ndan ya wiki moja!
    Huyu jamaaa anadrama aisee!!

  • @pilotmbwana6843
    @pilotmbwana6843 2 หลายเดือนก่อน +5

    Jamaa namuelewa yupo fair sana anajua kwamba timu yake haina uwezo,ni mtu wa mpira.

  • @MadinaSuleiman-y5u
    @MadinaSuleiman-y5u 2 หลายเดือนก่อน +2

    Safe kivyake asimuhusishe simba simba yenyewe one mashindano kama yao hatutafuti sapoti popote tunajiamini

  • @LeonidaGasper-t6w
    @LeonidaGasper-t6w 2 หลายเดือนก่อน

    Jaman duh 😢😢😢😢 tukutane kesho mda kama huuu

  • @DouglasChuwa-b2s
    @DouglasChuwa-b2s 2 หลายเดือนก่อน +1

    We in shogaa unajibu

  • @MatandiMatandi
    @MatandiMatandi 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hao wenyewe walikula 7

  • @shabaniahamadi3798
    @shabaniahamadi3798 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kaja kua comedyan uwoo😂😂😂😂😂

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 2 หลายเดือนก่อน

    Yes huyu jamaa anambinu

  • @dullahchitemo2311
    @dullahchitemo2311 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu nae Thom boy nae apewe mimba sana

  • @ga2revocatus91
    @ga2revocatus91 2 หลายเดือนก่อน

    Mwenyewe kavaa yanga damudamuu😂😂😂

  • @Mangara-qx2gg
    @Mangara-qx2gg 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo bwana yuko vizuri kwa promoted kwa maana Ali kamwe Anatumia nguvu kidogo kupromote match

  • @AmranShafik
    @AmranShafik 2 หลายเดือนก่อน +2

    Anaa team ya kufunga yanga...boya sema anataki kiki Tanzania na tumbo lake

    • @levensonsinkamba4772
      @levensonsinkamba4772 2 หลายเดือนก่อน

      Hahaha 😂😂😂😂😂😂❤❤

    • @kasimkassam9565
      @kasimkassam9565 2 หลายเดือนก่อน +1

      acheni afurahi kuongeya kwa furaha ni haki yake jamaani

  • @EliudiLissu
    @EliudiLissu 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli huyu jamaa ni comedian

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nanyie Wapenzi Wa Simba Hamuoni Haya Kukaa Na Mtu Kama Huyu Nenda Wendako Wewe Bakora Tuu Nawewe Unauza Tiem...

  • @JosiaNganyira
    @JosiaNganyira 2 หลายเดือนก่อน

    Ila huyu msemaji wa vitalo ananifurahisha sana alafu anajidai sana anajiachia kwenye nchi ya uhuru kwao hawezi kuongea Kwa uhuru kama TZ

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mnaombeza huyu jamaa hamjajua huyu jamaaa anajua kusherehesha na kutembea na upepo

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kumbe Simwanamme Unaomba Usaidiwe Na Team Za Simba Wao Wenyewao Wamepiga..Wakiaambiwa Mechi Wanaogopa 😂😂😂

  • @seydouside4081
    @seydouside4081 2 หลายเดือนก่อน

    Mziwanda mchukue wifi yako..mpeleke tandale pale pafyum..hana jipya..

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria 2 หลายเดือนก่อน

    Bad saan hata mkiungana😂yanga nomaaa

  • @JohnLyakurwa-v8y
    @JohnLyakurwa-v8y 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kavaa jezi ya yanga

    • @samsonkingdom-xc8cg
      @samsonkingdom-xc8cg 2 หลายเดือนก่อน +1

      We chizi iyo t-shirt ni yanga? Kumanyoleko

    • @awetumtengera1147
      @awetumtengera1147 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kabisa huyu atakuwa shabiki wa yanga huyu.🤣🤣

  • @medimajogoo
    @medimajogoo 2 หลายเดือนก่อน

    comedi 😎

  • @subiralema
    @subiralema 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ajaolewa uyo mchukuwe😂😂😂

  • @HalimaMalisafi
    @HalimaMalisafi 2 หลายเดือนก่อน

    Hahaaaa jaman mpeni huyo msaada bac jamn muungane

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 2 หลายเดือนก่อน

    Ameshakuwa comedian sasa kuzungumza na hawa Kolo Ubwela na ww upunguze hilo tumbo ndipo utaweza kumfunga yanga

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa wachaw"utopolo wachaw wachaw saaaana

  • @BullahSambiga
    @BullahSambiga 2 หลายเดือนก่อน

    Uyo unaongea nae alikula mkono njoo na madunduka wote mnara lazima isimame mnajifarij tu apo eti mara gali 2 mara wachezaji wanakuja tofauti jipe moyo

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 2 หลายเดือนก่อน

    K Mziwanda alikuwa na shida ya namba.

  • @damianmcba9525
    @damianmcba9525 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli kichwa zero eti Aende zenji MLANDEGE ndio wampe mbinu za kumfunga Yanga,, huu mdomo qake atapigwa 8-0 Jumamosi we muache

  • @iddfundikira2817
    @iddfundikira2817 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hao unaowaomba msaada nao waliletwa 5-1 yani hapo ni pwagu na pwaguzi

  • @ErickJeremiah-ww3ez
    @ErickJeremiah-ww3ez 2 หลายเดือนก่อน

    Uyu shabiki wa Yanga tu tushamshutukia 😂😂, mbona iyo t-shirt ya njano aivui inaenda week sasa😂.
    Kwani vital'o awana jezi ?

  • @sahraabdallah7242
    @sahraabdallah7242 2 หลายเดือนก่อน

    Ukituma Ahmed Ally online 😂😂😂😂

  • @salamSalehhhhh
    @salamSalehhhhh 2 หลายเดือนก่อน

    Ushakua maarufu bongo😂hamia bongo bro pamekukubali

  • @damianmcba9525
    @damianmcba9525 2 หลายเดือนก่อน

    Kibonge tapeli,, sasa hivi anataka kucharge kapiga nae picha eti

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safi bonge😅

  • @SmilingDachshund-xv5si
    @SmilingDachshund-xv5si 2 หลายเดือนก่อน

    Apewe mke huyoo

  • @salamSalehhhhh
    @salamSalehhhhh 2 หลายเดือนก่อน

    Bucuti piga kichwani bado anapumua utopolo 🐸🙃 dah🐸😂😂😂😂ila huyu bora uwe msemaji wa azam

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj 2 หลายเดือนก่อน

    Njoo na hao makolo

  • @TegemtataChambanenje
    @TegemtataChambanenje 2 หลายเดือนก่อน

    nanyie wasndishi wa habar wa hovyo kweli

  • @NursamiaKiligaliga
    @NursamiaKiligaliga 2 หลายเดือนก่อน

    Ay tutakuja mujiandae na 2 t

  • @rajabuubegete114
    @rajabuubegete114 2 หลายเดือนก่อน

    Uyu jamaa comedy sana

  • @bernardjohn8788
    @bernardjohn8788 2 หลายเดือนก่อน

    Tatizo wanarudisha mechi kwenye kale ka uwanja cha Umitashumta

  • @AyubuThobias-ud8xm
    @AyubuThobias-ud8xm 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanni yanga mliwanyima maji jaman😂😂😂

  • @JovinPeter
    @JovinPeter 2 หลายเดือนก่อน

    Unae mombasa msaada nae tume mla 7

  • @JohnMakao-is9fm
    @JohnMakao-is9fm 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa kageuka komedi hapa tz yaani simwelewi anatapa tapa maneno

  • @robertchazya2351
    @robertchazya2351 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uhuru umemzidia huyu

  • @BurhaniSaidi
    @BurhaniSaidi 2 หลายเดือนก่อน

    Hao unao omba ushauri nao wameliwa kote kote

  • @RisalaSalim
    @RisalaSalim 2 หลายเดือนก่อน

    Ataolewa bongo

  • @AllyFeruuz
    @AllyFeruuz 2 หลายเดือนก่อน +1

    HUYU HARNDI KWAO TENA ANATAFUTA UENYEJI KAONA MAZINGIRA YA TANZANIA ATAPATA AJIRA YA USEMAJI WA TIMU ZA TANZANIA

  • @KulwaBupilipili
    @KulwaBupilipili 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe nanyi mlinyimwa maji

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni taahira

  • @badendavid8456
    @badendavid8456 2 หลายเดือนก่อน

    Saido mtu wewe,acha MVP SIMBA

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 2 หลายเดือนก่อน

    kumbe na maji waliomba😊😊

  • @stapinuswilliam860
    @stapinuswilliam860 2 หลายเดือนก่อน

    Kashapata bwana bongo

  • @HamisaSalum-q7m
    @HamisaSalum-q7m 2 หลายเดือนก่อน

    Unae muomba akusaidie kachezea Tano unaakili kweli

  • @SADIKIMDUGGI-g4l
    @SADIKIMDUGGI-g4l 2 หลายเดือนก่อน

    Wadada wa bongo mmmmmmh

  • @ManjaHisani
    @ManjaHisani 2 หลายเดือนก่อน

    Hili jamaa linatafuta kiki kilasehem aendako habu wachezaji wetu huyumtu akomeshwe kwa kichapo kizito

  • @JJ-fb9jp
    @JJ-fb9jp 2 หลายเดือนก่อน

    Hamsikiki kabisa

  • @NelbatKasekwa
    @NelbatKasekwa 2 หลายเดือนก่อน

    Tipwatipwaa😂😂😂😂😂 yanga ikuogope wewe unajichimbia kaburi lako wewe mwenyewe!😂

  • @AllyFeruuz
    @AllyFeruuz 2 หลายเดือนก่อน

    SIMBA NA AZAM WAMETAFUTA WAKILI

  • @SADIKIMDUGGI-g4l
    @SADIKIMDUGGI-g4l 2 หลายเดือนก่อน

    Pipa na mfuniko,mmoja kachezea Tano na mwingine nne

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 2 หลายเดือนก่อน

    Mziwanda anataka bwana

  • @GeorgeMsavano
    @GeorgeMsavano 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe huyo unaemwmbia bwege Kama wewe yeye mwenyewe amechezea Mara tatu mfululizo halafu nimeamini watu wenye vichwa Kama wewe wengi ni vichaa

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 2 หลายเดือนก่อน

    K Mziwanda kapata Dume anauliza aliko fikia

  • @makejamaduhu7618
    @makejamaduhu7618 2 หลายเดือนก่อน

    Unahangaika tuu na hao walokutuma wote unaowaita hawaiwezi yanga. Simba na wenzake wote wanapigwa na wewe unavyoongea na hao ndo unachochea upuuzi ya ga wakunyuke

  • @JELSONMAUKI
    @JELSONMAUKI 2 หลายเดือนก่อน

    Mpelekeni karume au steshen hyo 😅😅😅😅

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kwao hawezi kuongea kwa Uhuru wangemminia virungu Kiunoni. Huku kwetu anaongea kwa kwa kujidai. K Mziwanda ataomba kuelewa

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq 2 หลายเดือนก่อน

    Comedy

  • @MatandiMatandi
    @MatandiMatandi 2 หลายเดือนก่อน

    Tuungane virabu vyote hapa tanzania yunapigwa na yanga.

  • @user-princs
    @user-princs 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂

  • @HamadMkubwa
    @HamadMkubwa 2 หลายเดือนก่อน

    Hao simba wenyewe wanataka wasaidiwe nyote nyie ni wafu 😂😂😂😂

  • @PendoUrassa-xm7ru
    @PendoUrassa-xm7ru 2 หลายเดือนก่อน

    Tom b.............y

  • @asharamadhani948
    @asharamadhani948 2 หลายเดือนก่อน +1

    Umekwisha wewe utapigwa nyingi tu

  • @amanisebastiani2827
    @amanisebastiani2827 2 หลายเดือนก่อน

    Jiungen wote mtoe timu moja na bado tutawapiga

  • @MadinaSuleiman-y5u
    @MadinaSuleiman-y5u 2 หลายเดือนก่อน

    Hana lolote anatafuta kiki tu

  • @RichardAmosi-hz3nm
    @RichardAmosi-hz3nm 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa hao unaowaomba msaada arikula 7

  • @samlema3536
    @samlema3536 2 หลายเดือนก่อน

    Apo akuna anae furahi mazuri ya yanga juu wote hawooo tumewalawa kama pilau

  • @Sylivester-fv2cx
    @Sylivester-fv2cx 2 หลายเดือนก่อน

    We Kay umetoka nae wapi uyo😂😂

  • @mbokanitaribo5106
    @mbokanitaribo5106 2 หลายเดือนก่อน

    Mjinga sana kabisa 😂😂😂comediane

  • @SADIKIMDUGGI-g4l
    @SADIKIMDUGGI-g4l 2 หลายเดือนก่อน

    Wadada wa bongo mmmmmmh