TISHIO LA MPOX NA KIPINDUPINDU || WANANCHI TANGANYIKA WATAKIWA KUFUATA KANUNI BORA ZA AFYA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Katibu Tawala wa Wilaya ya Tanganyika Bw. Lincoln Tamba akizungumza na wananchi wa kijiji cha Bujombe wilayani humo ambapo amewataka kuchukua tahadhari zote muhimu dhidi ya ugonjwa wa Mpox ambao umeanza huko nchi jirani ya Congo DR na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umeibuka katika maeneo ya ukanda wa ziwa hususan maeneo ya Karema na Ikola.

ความคิดเห็น •