HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA
HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA
  • 294
  • 71 758

วีดีโอ

SERIKALI YAPELEKA BILIONI 3.5 TARURA TANGANYIKA, NAIBU WAZIRI KATIMBA APONGEZA UTENDAJI KAZI TARURA.
มุมมอง 235วันที่ผ่านมา
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapeleka kiasi cha shilingi bilioni 3.5 kila mwaka wilayani Tanganyika kwa ajili ya kuboresha na kufungua miundombinu ya barabara wilayani humo.
MHE WAITARA AIPA TANO TANGANYIKA BIASHARA YA KABONI, AOMBA WATAALAM WAFIKE TARIME VIJIJINI.
มุมมอง 80วันที่ผ่านมา
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini Mheshimiwa Mwita Waitara ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kwa kuwa na matumizi ya fedha zinazopatikana kutokana na Biashara ya Kaboni.
DED TANGANYIKA AANIKA MIKAKATI YA UWEKEZAJI SEKTA ZA KILIMO NA UFUGAJI, KUONGEZA MAPATO HALMASHAURI.
มุมมอง 73วันที่ผ่านมา
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika hapa Mkoani Katavi Bw. Shaban Juma Juma akizungumzia mipango mikakati mbalimbali ya halmashauri hiyo katika suala zima la uwezekaji kwenye sekta ya Kilimo na Mifugo ili kuweza kuwainua wananchi kiuchumi na kuongeza mapato kwa halmashauri.
CRDB YAMKABIDHI ZAWADI DC BUSWELU, YAWAPIGA MSASA WATUMISHI KUHUSU SAMIA INFRASTRUCTURE BOND.
มุมมอง 118วันที่ผ่านมา
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mhe. Onesmo Buswelu leo amefungua mafunzo ya Uwekezaji wa Hati Fungani kwenye miradi ya Kimkakati kutoka Benki ya CRDB, UTT AMIS na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine SUA.
AMCOS NA MAAFISA UGANI SIMAMIENI MATUMIZI SAHIHI YA VIUATILIFU KWA WAKULIMA WETU - DC BUSWELU.
มุมมอง 13614 วันที่ผ่านมา
Wananchi wilayani Tanganyika wameshauriwa kuacha kulima kwa mazoea na badala yake waanze kulima kisasa ili waweze kupata mavuno mengi zaidi.
ACHENI KULIMA KWENYE MISITU ILIYOHIFADHIWA KISHERIA, MTAUA BIASHARA YA KABONI - DC BUSWELU.
มุมมอง 12414 วันที่ผ่านมา
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mhe. Onesmo Buswelu amewataka wananchi wote wilayani humo kuendesha shughuli za kibinadamu hususan kilimo kwenye maeneo rasmi yaliyotengwa kwa ajili ya kilimo.
DAS TANGANYIKA ALIA NA WAKULIMA| ATOA UFAFUNUZI MBOLEA YA RUZUKU INAVYOPATIKANA| TUTUMIE MBOLEA
มุมมอง 12414 วันที่ผ่านมา
DAS TANGANYIKA ALIA NA WAKULIMA| ATOA UFAFUNUZI MBOLEA YA RUZUKU INAVYOPATIKANA| TUTUMIE MBOLEA
MUONEKANO WA HOSPITALI YA WILAYA YA TANGANYIKA.
มุมมอง 13921 วันที่ผ่านมา
Huu ni muonekano wa nje wa Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika hapa Mkoani Katavi. Hizi ni juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za afya kwenye majengo yaliyo bora.
ZOEZI LA KUWAONDOA WAVAMIZI WA MISITU NA WAKULIMA WA BANGI KWENYE MISITU TANGANYIKA LAPAMBA MOTO
มุมมอง 15821 วันที่ผ่านมา
Timu ya doria ya misitu kwa kushirikiana na Village Guard Scouts (VGS) wanaendelea na zoezi la kuwaondoa wavamizi wa misitu katika vijiji nane vinavyonufaika na Biashara ya Kaboni.
BAADHI YA WATUMISHI TANGANYIKA WATOA MKONO WA FARAJA KWA WAGONJWA, DAS AKEMEA UVAMIZI WA MISITU
มุมมอง 21121 วันที่ผ่านมา
Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika wamewatembelea na kuwajulia hali wagonjwa wanaoendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika.
WATOTO WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2025 LAZIMA WAENDE SEKONDARI - DC BUSWELU.
มุมมอง 20821 วันที่ผ่านมา
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mheshimiwa Onesmo Buswelu amewataka wazazi wilayani humo kuhakikisha wanawapeleka shuleni watoto wao waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza bila kukosa.
OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI TANGANYIKA INAWATAKIA HERI YA SIKUKUU YA KRISMASI NA MWAKA MPYA 2025.
มุมมอง 11328 วันที่ผ่านมา
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Dkt. Alex Mrema kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halamshauri hiyo anawatakia wananchi na watumishi wote wa Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika Heri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya 2025.
HISTORIA FUPI YA WILAYA YA TANGANYIKA| KAREMA KUTUMIA PESA MARA YA KWANZA| MAKTABA
มุมมอง 26728 วันที่ผ่านมา
Historia fupi ya Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi kama inavyosimuliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Bw. Shaban Juma Juma.
KIKAO CHA MAJUMISHO ZIARA YA KAMATI YA SIASA CCM WILAYA YA TANGANYIKA| MIRADI IKAMILIKE KWA WAKATI
มุมมอง 149หลายเดือนก่อน
Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Tanganyika imekutana kufanya majumuisho ya ziara iliyofanyika siku tatu kuanzia Desemba 11-12 katika maeneo mbalimbali yenye miradi Wilayani humu. Kikao hicho kiliwakutanisha Viongozi wakubwa wa kisiasa na wataalam wa idara na vitengo vya H/W ya Tanganyika, ambapo Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Yasin Kibiriti aliongoza, kikao hicho akiwemo Kamisaa wa Kamati ambay...
ZIARA YA KAMATI YA SIASA YA CCM WILAYA YA TANGANYIKA| YAKAGUA MIRADI NA KUTOA MAELEKEZO.
มุมมอง 72หลายเดือนก่อน
ZIARA YA KAMATI YA SIASA YA CCM WILAYA YA TANGANYIKA| YAKAGUA MIRADI NA KUTOA MAELEKEZO.
UZINDUZI WA MIKOPO A ASILIMIA 10 NGAZI YA MKOA, WILAYA YA TANGANYIKA YAVUNJA REKODI KIMKOA
มุมมอง 119หลายเดือนก่อน
UZINDUZI WA MIKOPO A ASILIMIA 10 NGAZI YA MKOA, WILAYA YA TANGANYIKA YAVUNJA REKODI KIMKOA
KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU WA TANZANIA BARA
มุมมอง 102หลายเดือนก่อน
KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU WA TANZANIA BARA
KABUNGU FC YAIBUKA KIDEDEA BONANZA LA MICHEZO KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU 9/12
มุมมอง 32หลายเดือนก่อน
KABUNGU FC YAIBUKA KIDEDEA BONANZA LA MICHEZO KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU 9/12
KUELEKEA 9 DEC TANGANYIKA YAENDESHA MDAHALO KUANGAZIA MAENDELEO YALIYOFANYIKA.
มุมมอง 40หลายเดือนก่อน
KUELEKEA 9 DEC TANGANYIKA YAENDESHA MDAHALO KUANGAZIA MAENDELEO YALIYOFANYIKA.
DC BUSWELU APIGA ZIARA MACHESHA FM KUELEKEA 9 DECEMBER
มุมมอง 52หลายเดือนก่อน
DC BUSWELU APIGA ZIARA MACHESHA FM KUELEKEA 9 DECEMBER
SHANGWE LA TANGANYIKA KUELEKEA 9 DECEMBER
มุมมอง 218หลายเดือนก่อน
SHANGWE LA TANGANYIKA KUELEKEA 9 DECEMBER
TANGANYIKA NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KUELEKEA 9/DEC
มุมมอง 88หลายเดือนก่อน
TANGANYIKA NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KUELEKEA 9/DEC
TANGANYIKA YASHIRIKI USAFI KUELEKEA SIKU YA UHURU
มุมมอง 83หลายเดือนก่อน
TANGANYIKA YASHIRIKI USAFI KUELEKEA SIKU YA UHURU
MKURUGENZI TANGANYIKA NA BADIMI RANCHI GROUP WAMALIZA MGOGORO WA ENEO LA KUFUGIA MIFUGO YAO.
มุมมอง 124หลายเดือนก่อน
MKURUGENZI TANGANYIKA NA BADIMI RANCHI GROUP WAMALIZA MGOGORO WA ENEO LA KUFUGIA MIFUGO YAO.
VIONGOZI WA MADHEHEBU MBALIMBALI YA DINI TANGANYIKA WAHUBIRI AMANI BAADA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
มุมมอง 78หลายเดือนก่อน
VIONGOZI WA MADHEHEBU MBALIMBALI YA DINI TANGANYIKA WAHUBIRI AMANI BAADA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
VIONGOZI WA SIASA WAPONGEZA UCHAGUZI WA AMANI TANGANYIKA
มุมมอง 157หลายเดือนก่อน
VIONGOZI WA SIASA WAPONGEZA UCHAGUZI WA AMANI TANGANYIKA
DC BUSWELU ATETA NA VIONGOZI WA DINI
มุมมอง 61หลายเดือนก่อน
DC BUSWELU ATETA NA VIONGOZI WA DINI
SERIKALI YAPELEKA MRADI WA MAJI SAFI SEMINARY YA ST. JOHN PAUL II, WANAFUNZI WAELEZEA FURAHA YAO.
มุมมอง 110หลายเดือนก่อน
SERIKALI YAPELEKA MRADI WA MAJI SAFI SEMINARY YA ST. JOHN PAUL II, WANAFUNZI WAELEZEA FURAHA YAO.
DC BUSWELU APONGEZA UCHAGUZI WA AMANI NA UTULIVU, AWATAKA WANANCHI KUJIKITA NA SHUGHULI ZA KIUCHUMI.
มุมมอง 78หลายเดือนก่อน
DC BUSWELU APONGEZA UCHAGUZI WA AMANI NA UTULIVU, AWATAKA WANANCHI KUJIKITA NA SHUGHULI ZA KIUCHUMI.

ความคิดเห็น

  • @kalingaasukile8730
    @kalingaasukile8730 7 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri ya Samia hiyo

  • @gilbertkyando7425
    @gilbertkyando7425 13 วันที่ผ่านมา

    Hongera CRDB

  • @MAGIDACHIMIJA
    @MAGIDACHIMIJA 13 วันที่ผ่านมา

    Ongerenii..

  • @CharlesDismas-f8i
    @CharlesDismas-f8i 21 วันที่ผ่านมา

    Kwenye miradi midogo kama hii Huwa mnakua wakali kwa watanzania, lakini Kuna mradi uitwao tanzanite ni madini ambayo yanapatikana Tanzania pekee dunia nzima lakini nchi inayo ongoza kwa kutoa tanzanite ni India, je hii imekaaje kitu ambacho kingenufaisha nchi na wananchi wake kinaenda kuinufaisha nchi nyingne, halafu kwenye misitu mnakaza vibaya mno duuu, haya bhana samahanini kama nitakuwa nawakwaza nimawazo yangu finyu🙏🙏🔥

  • @CharlesDismas-f8i
    @CharlesDismas-f8i 24 วันที่ผ่านมา

    Nasikitika saana Kila nionapo mtu yeyote anaye weka uchama kwenye maendeleo ya taifa , embu tujifunze kuitengeneza nchi pasina kutegemea chama tufanye kazi, tuache ubinafsi , ukabira, udini , uchama , hivi Vitu ni Vitu ambavyo vina chelewesha maendeleo, tunahitaji watu sahihi wakusimamia miradi ya nchi hii, pasina kusubili chama tukiwa hivi TANZANIA yetu itakua one of the best country in Africa kuwahi kutokea, samahanini kama nimewakosea🙏🙏🙏

  • @CharlesDismas-f8i
    @CharlesDismas-f8i 24 วันที่ผ่านมา

    Na pia hata sisi Tanzania tujenge viwanda kwaajili ya kuchakata bidhaa mbali mbali, mfano humo humo mkoani KATAVI Kuna madini mengi mfano,madini ya chuma, dhahabu, nk. Hivyo basi 2naweza kuwa na kiwanda Cha kufua vyuma na 2kauza bidhaa kamili siyo Kila siku tunawauzia madini, halafu Bado wanarudi kutuuzia sisi bidhaa hiki kitu ni umaskini mkubwa saana kwenye nchi iliyo balikiwa madini ya kutosha

  • @CharlesDismas-f8i
    @CharlesDismas-f8i 24 วันที่ผ่านมา

    Moja Kati ya Vitu Bora kuwahi kutokea mkoani kwetu KATAVI ni bandari ya karema sasa basi tunaomba wanaohusika na bandari wasiwanyime furusa vijana wa mwkoani humo

  • @RamadhansBazara
    @RamadhansBazara หลายเดือนก่อน

    Huyo Shekh hajazungumzia haki

  • @SeifumpeliMpeli
    @SeifumpeliMpeli หลายเดือนก่อน

    Mmenunuliwa

  • @AllyNgoyogo-ny1sh
    @AllyNgoyogo-ny1sh หลายเดือนก่อน

    Wewe Acha uwongo ww act gani wakati viongozi wako wanapinga matokeo ww Mungu anakuona ujue

  • @mawazoaliselemani8909
    @mawazoaliselemani8909 หลายเดือนก่อน

    duuh hizi ndizo Habari zinazotakiwa ku-trend sio fulani msanii katoa NYIMBO flani.

  • @mawazoaliselemani8909
    @mawazoaliselemani8909 2 หลายเดือนก่อน

    jamaa amesema wamepokea bilioni 22.5 na mpaka sasa wametekeleza miradi ya bilioni 18 ila ameishia kutaja miradi isiyozidi bilioni 3 kwanini asimalizie maelezo ya miradi yote?yaani hapo kuna bilioni 15 hazijatajwa matumizi yake. tujifunza kuwa wenye ukweli na nidhamu tunapotoa taarifa kwa wananchi.

  • @Planks-g9w
    @Planks-g9w 2 หลายเดือนก่อน

    Watujengee barabara kiwango Cha lami kutoka sitalike Hadi kibaoni/kizi

  • @kalingaasukile8730
    @kalingaasukile8730 2 หลายเดือนก่อน

    Mnaijua Bilioni 201 nyie?

  • @zenobinzobha7997
    @zenobinzobha7997 3 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana kwa maendeleo ya jamii na ustawi wa afya za wana Tanganyika

  • @EmmanuelElias-g7b
    @EmmanuelElias-g7b 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Mh mkuu wa mkoa wa katavi kwa hamasa kubwa sanaa

  • @sarahbenson9306
    @sarahbenson9306 4 หลายเดือนก่อน

    hongereni mabosi wetu

  • @januarymwaila9723
    @januarymwaila9723 5 หลายเดือนก่อน

    👏

  • @januarymwaila9723
    @januarymwaila9723 5 หลายเดือนก่อน

    👏

  • @aluteonlinemedia5574
    @aluteonlinemedia5574 5 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉

  • @alphoncemwakyusa8645
    @alphoncemwakyusa8645 6 หลายเดือนก่อน

    Safi sanaa

  • @KANONO-u4b
    @KANONO-u4b 6 หลายเดือนก่อน

    Aiseee nimeipenda sana

  • @LinusiMeza
    @LinusiMeza 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera diwani Kapata..mm Meza nitkja kkuona soon!

  • @CosmicWorld2024
    @CosmicWorld2024 8 หลายเดือนก่อน

    Kazi Iendelee. CCM oyee

  • @alphoncemwakyusa8645
    @alphoncemwakyusa8645 8 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏

  • @FREDRICKZABRON
    @FREDRICKZABRON 9 หลายเดือนก่อน

    Poreni.namafuriko

  • @mustaphaallymosha3659
    @mustaphaallymosha3659 9 หลายเดือนก่อน

    🙌🏾🙌🏾

  • @BoniphaceNsokolo
    @BoniphaceNsokolo 10 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi unayeacha alama, mtoto wa Majalila. Mwamba wa Tanganyika.

  • @OfficialMsamiboy-zh4tu
    @OfficialMsamiboy-zh4tu ปีที่แล้ว

    Ccm.

  • @felixmwedipando9070
    @felixmwedipando9070 ปีที่แล้ว

    Hongera Comrade Iddi Kimanta.Wana Katavi mmepata jembe.

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂 hebu tuacheni tupumuwe mkulima hafunikwi mwevuli

  • @vitusvitalis1373
    @vitusvitalis1373 ปีที่แล้ว

    Tanganyika....

  • @kamswekekaseko46
    @kamswekekaseko46 ปีที่แล้ว

    Hongereni xaana2 madiwani wetu

  • @jacklolenjackson5511
    @jacklolenjackson5511 ปีที่แล้ว

    Asante sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Samia Suruhu Hassan pamoja na uongozi wa H/W ya Tanganyika Mh. Mkurugenzi Shaban J. Juma kwa haya yote yanayofanyika kwenye hii Halmashauri

  • @DALALIMTOTOMPANDAKATAVI9169
    @DALALIMTOTOMPANDAKATAVI9169 ปีที่แล้ว

    Pole sana kwa walio poteza ndugu zao

  • @jameszefania-uj9ex
    @jameszefania-uj9ex ปีที่แล้ว

    Umeongea kweli Tanganyika Kuna vipaji

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 2 ปีที่แล้ว

    Hongera kwake mama oyeeeeeeeeee

  • @malimachisumo2959
    @malimachisumo2959 2 ปีที่แล้ว

    Kazi iendelee

  • @gabrielmapunda6017
    @gabrielmapunda6017 5 ปีที่แล้ว

    CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!! KAKOSO OYEEEEEEEEEEEEEEEE,,,,,,,

  • @gabrielmapunda6017
    @gabrielmapunda6017 5 ปีที่แล้ว

    Kiongozi mwenye busara na mchapa kazi,big up sana.

  • @marcomgowole7676
    @marcomgowole7676 5 ปีที่แล้ว

    Msilewe madaraka

  • @sonnvax6760
    @sonnvax6760 7 ปีที่แล้ว

    Uwanja wa wapi huo?