huruma gani aliyotia hapo nyie global TV online tatizo lenu nini? kwanini mnapenda kutumia vichwa vya habari ambavyo havifanani na habari yenyewe kwanini msingeandika MANJI AFIKISHWA MAHAKAMANI na bado mngepata viewers wengi tu.
Wanaoingiza madawa mbona hawakamatwi!?!kazi kukamata mateja na vijikete.Shikeni kilo 100 kwenda mbele za unga ndiyo tujue muko serious,otherwise wacheni kutuchezea
Mungu amsaidie..
Zahra Munir ila kama anatumia kwel abadilike asije kudhalilishwa tena
Asante kivlin
king osma...hasa haka kachalii kanae soma habari ndiyo kanafiki.
asante calvin hapo mahakama ndio itaamua kama kweli kahusika wala isimuonee huruma kama kweli atakua na hatia kisa tu nimtu fulani
heading yenu ya uongo hata akitia huruma mtamuweza WAP,kama mtonyo anao wakutosha tyu,global tv kuwen makini na kaz yenu
hapo sasa presenter nakubali ume improve sasa
Huyo anatumia madawa haonewi
Ibrahim haruta unauhakika?usiongee jambo ambalo na wewe huna uhakika nalo au ulimuona
شيخة صالح اليعربي powder anatumia huyo na iliyompelaka hospital no alosto sasa ww kalia unauhakika au ulimuona mwambie akapimwe afu atoe majibu uone
Anatuhumiwa
mmmmh😩😩
huruma gani aliyotia hapo nyie global TV online tatizo lenu nini? kwanini mnapenda kutumia vichwa vya habari ambavyo havifanani na habari yenyewe kwanini msingeandika MANJI AFIKISHWA MAHAKAMANI na bado mngepata viewers wengi tu.
poa ataje tu wapi akinunua hamna kuoneana huruma kuhusu madawa
we no chiz. umeona wapi teja akakamatwa
mbona gwajima alipimwa kwanini Manji hakupimwa siku moja na gwajima bado siamini hii Chenga
Hawa jamaa wanamchafua Manji cjaona akitia huruma hata anatuhumiwa lkn heading yenu ni ya uongo
Nasubiri nisikie tena anasemaje bado atamshitaki MAKONDA
sasa kes mbili Kaman atazihudumiaje uhamiaj nako wanamtaka uku madawa
omary mwigura ...hata mimi nasubiria sakata lake lakumshitaki makonda hahahaaaa
wamemuzingishiye kqbisa
Wanaoingiza madawa mbona hawakamatwi!?!kazi kukamata mateja na vijikete.Shikeni kilo 100 kwenda mbele za unga ndiyo tujue muko serious,otherwise wacheni kutuchezea
😷
Figisu za kitanzania zinafahamika
saut yako ndo inatia huruma but sio ninachokiona ndio kinatia huruma. pole
acha ujinga wewe ,,,ameshtakiwa na kesi ya uamiaji,,