KIMENUKA TENA - HUKU AMA KULE , FIDO VATO NA DAVAN TRAPPE WAMUWEKA KATI KHALIGRAPH JONES UTAJUTA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 53

  • @izzablandamusic5572
    @izzablandamusic5572 4 วันที่ผ่านมา +2

    I like this guy Fido Vato that's the way hip hop game should be done...OG the King...East African Love (EAL)👊👊

  • @LeviMalikisi
    @LeviMalikisi วันที่ผ่านมา +1

    Fido anajifanya serious na in the look of things hana content the og shall be respected forever

  • @Kristoboy254
    @Kristoboy254 2 วันที่ผ่านมา +1

    Og the king remember small kids

  • @mpdaddy9465
    @mpdaddy9465 4 วันที่ผ่านมา +2

    Fido,,,, khali graph hana time na ww bro we mdiss tu i will coming for you

  • @allymohammed5593
    @allymohammed5593 3 วันที่ผ่านมา +1

    Fido vato huna kitu huku Kenya hatukujui na Kwanza isingekua Rayvan hatungekujua wasumbuliwa na banging nyingi na manga tu😅😅😅😅😅

  • @ngonganthemz8562
    @ngonganthemz8562 4 วันที่ผ่านมา +3

    Khaligraph Jones ndio Ndovu alafu Fido ndio muchwa kwa wakenya tutawapaa mazishi

  • @VeneroMaxvely
    @VeneroMaxvely วันที่ผ่านมา

    Respect mbabe fido vatooo

  • @Green_v4w
    @Green_v4w 3 วันที่ผ่านมา

    Ajaribu kizungu kidogo coz OG ni billions

  • @dominickjohn1128
    @dominickjohn1128 4 วันที่ผ่านมา +1

    Davan nakuheshim sana koz usiseme mashabiki ndio wanasemaje nyinyi amuelewan coz fido alikudis sana na wew ukatupa jiwe sasa msituongize mashabiki kwenye uwaki wenu

  • @CheakatanaKambi
    @CheakatanaKambi 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    OG ako juu bana acheni ngwengwe zenu hamuna k2

  • @churchillochieng439
    @churchillochieng439 2 วันที่ผ่านมา

    Nunulieni huyu jamaa sanduku ya kumzika ashajichimbia kaburi 😂😂😂😂enyewe huyu ni Beyonce wa Arusha.Respect the OG

  • @EvansMwatate
    @EvansMwatate 2 วันที่ผ่านมา

    Mm sijui Ngoma ya huyo sijui Fido htaa mmoja

  • @aswaniabdul1922
    @aswaniabdul1922 วันที่ผ่านมา

    Fido ni msani hajitambui.....toa kitu kama vile mex

  • @EvansMwatate
    @EvansMwatate 2 วันที่ผ่านมา

    Hawo walevi two

  • @duruboyzofficial
    @duruboyzofficial 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hamna mashabiki kenya nyinyi...mnatafta kiki....ww nahuyo beyonce wa arushaaa

    • @coolbz133
      @coolbz133 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@duruboyzofficial wameona huyo ndio njia ya kuokoka kwenye mziki

  • @DesayG
    @DesayG 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kuropokwa mingi, Jones hana time yako

  • @AmosNyongesa-g7t
    @AmosNyongesa-g7t 4 วันที่ผ่านมา +1

    Wwe unalilia show,wkt khali ana chumba kubwa na range kadhaa fido huna kitu.sio lazima khali afanye show tz

    • @alisuleiman-d7r
      @alisuleiman-d7r 4 วันที่ผ่านมา

      Watoto wadogo sana og Baba loa😅😅😅😅

  • @SAIF_MUNENE_ABDI_MALIK
    @SAIF_MUNENE_ABDI_MALIK 4 วันที่ผ่านมา

    Fido alipiga na lavosti 🇰🇪 big tune

  • @jonathanrajab9661
    @jonathanrajab9661 2 วันที่ผ่านมา

    Hamna kitu apa asee

  • @gkrapgenius
    @gkrapgenius 2 วันที่ผ่านมา

    simba habishani na ngamia.

  • @coolbz133
    @coolbz133 4 วันที่ผ่านมา

    Vato umeogopa huwezi pound to pound tough to tough two in one pia hamja tosha OG amewakilisha east africa rap

  • @MilyOuma
    @MilyOuma วันที่ผ่านมา

    Sema mwatuogopa ndomaana mukachukua bendera yetu mafala

  • @NasraAman
    @NasraAman 3 วันที่ผ่านมา

    Inbox nakuhitaj😊

  • @HamiduShabriel
    @HamiduShabriel 3 วันที่ผ่านมา

    Hawa ni wachumba tu hakuna kitu wote wachumba tu mashebeduu

  • @hovsback1405
    @hovsback1405 4 วันที่ผ่านมา

    Ni kina nani hawa...?

  • @zuberimohamed43
    @zuberimohamed43 3 วันที่ผ่านมา

    Yaan hawa jamaa kuchana hawajui halaf wana mdiss kaligraph??😂😂 Achen utoto Rosaree pekee anawakalisha

  • @SammyDoh-w9q
    @SammyDoh-w9q 4 วันที่ผ่านมา

    Fido Acha shobo kwa papa johnes🙌🙌😁.. Mwanzo wampotezea time bana

  • @yaajefwa94
    @yaajefwa94 2 วันที่ผ่านมา

    Kitu nimegundua kwa Fido ni fan mkubwa Sana wa khaligraph Jones 😅😅,ila anatembelea nyota

  • @petermkindo456
    @petermkindo456 4 วันที่ผ่านมา

    Mnasahau Kenya kuna uswahilini na the other part ya kiingereza. Kuna Tz n Kenya under one roof. Mtaitana Davan hata wasanii 800 na mtazikwa kama blackbone wa Nigeria.

  • @duruboyzofficial
    @duruboyzofficial 3 วันที่ผ่านมา

    Beyonce wa arushaa😅😅😅

  • @benardkitui7688
    @benardkitui7688 2 วันที่ผ่านมา

    Alafu hawa bwana Wana za ovyo mwanzo huyu ajichubua kama mke

  • @WinjiGeorge
    @WinjiGeorge 4 วันที่ผ่านมา

    Mutaeza kwa OG

  • @Manrich31
    @Manrich31 3 วันที่ผ่านมา

    Fido Vado ni mwanamke asiyekuwa na akili

  • @Bayayaa1234
    @Bayayaa1234 3 วันที่ผ่านมา

    Papah Jones Mkali hamumuezi... Mbwa Koko nyinyi 🖕

  • @habelvumbi7016
    @habelvumbi7016 4 วันที่ผ่านมา

    Mwamuogopa that's why mwaungana,one man army anawapeleka mbio😂😂

  • @churchillochieng439
    @churchillochieng439 2 วันที่ผ่านมา

    Ata wewe aujulikani Kenya bro

  • @AmosNyongesa-g7t
    @AmosNyongesa-g7t 4 วันที่ผ่านมา

    Fido we bdo n mtoi na khali ndo baba lao.kiswahili sio lazima, khali anafanya show Nigeria,we hujuligani

  • @Fiat_chizi
    @Fiat_chizi 4 วันที่ผ่านมา

    Watoto warudi shule..hamtoshi mboga kwa OG

  • @FadhiliKato
    @FadhiliKato 4 วันที่ผ่านมา

    Kutamba tu kuimba ahahhah OG ni hatar

  • @AllNEWS-o9m
    @AllNEWS-o9m 4 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @elysoncharo6156
    @elysoncharo6156 4 วันที่ผ่านมา

    Mwana kulitafuta mwana ulipata chungen ujio wa disss truck ya OG huenda ikawa funzo kubwa kwenu.

  • @user-ie8cw9cx2i
    @user-ie8cw9cx2i 4 วันที่ผ่านมา

    Ata Khaligraph mki mdisi atawajib coz ata amjulikan so mnataka fame 😂 OG is the best rapper of Africa... respected the OG

    • @johnsam4942
      @johnsam4942 4 วันที่ผ่านมา

      Acha roho ya kichawi sapoti harakati Respect 255🇹🇿 Rapper wakali ni hawa

    • @duruboyzofficial
      @duruboyzofficial 3 วันที่ผ่านมา

      ​mnachokoza papa mtamezwaa🥸🥸

  • @AlexMumoMalonza
    @AlexMumoMalonza 4 วันที่ผ่านมา

    Sio Kwa ubaya,Mimi siwafahamu

    • @coolbz133
      @coolbz133 4 วันที่ผ่านมา

      hao niwajinga watafuta njia ya kujulikana OG is de best hata waungane rappers kumi kwa OG pekeake

    • @mrconfidencecypherofficial
      @mrconfidencecypherofficial 4 วันที่ผ่านมา

      Duuuh..acheni kuwavunja myoyo wenzenu bana😂😂​@@coolbz133

    • @mccoy-oneofficial5896
      @mccoy-oneofficial5896 วันที่ผ่านมา

      Pia Mimi siwajui kindly anianbie nani hawa

  • @howto-tips254
    @howto-tips254 4 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂

  • @abdullahwaziri5499
    @abdullahwaziri5499 4 วันที่ผ่านมา

    Abdullatif Ramadan Topiwala nimekubali A.K.A Fido Vato
    Nimekubali Keep Going