MAZINGE KUKURU KAKARA ULIZA UJIBIWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 16

  • @sulaimansleemalhajri9108
    @sulaimansleemalhajri9108 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah awabariki katika kaziyenu

  • @mwajumamwajuma3756
    @mwajumamwajuma3756 4 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge mashaallah 🙏😂😂😂

  • @ngokaomary5123
    @ngokaomary5123 4 ปีที่แล้ว +3

    MashaaAllah sheikh Suleyman mazinge ..Mpee mic wataelewa tu

  • @jnrhassan4629
    @jnrhassan4629 4 ปีที่แล้ว +2

    MashAllah ilike mazinge kwa ajili ya Allah..ninapotazama clip zako .nasheka sana

  • @salmaissa9793
    @salmaissa9793 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah kama ni wenye kuthaka kuelewa basi bila shaka kwa ufasaha WA ilmu hiyo wataelewa Allah awasaidie wahadhir wetu Allah akawalipe malipo ya juu siku ya hisabu,,

  • @abdilatifhashi9659
    @abdilatifhashi9659 4 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah sheikh Suleiman Mazinge

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 ปีที่แล้ว +1

    Maa Shaa Allah,Shukran Sana Ma Sheikh Wetu,Mabrooq Kwenu.

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 4 ปีที่แล้ว +5

    Assalaam alykum warahmatullah wabarakaatuh sheikh Mazinge na wahadhiri wengine wote.
    Poleni na majukumu makubwa ya kwaelimisha ndugu zetu. Nilikuwa nataka nichangie katika neno moja (NJIA) ambalo nimefatilia mijadala yako na wahadhiri wengine wa Kiislam wakijadiliana na wakristo, basi wakisto wanalileta sanaa neno hilo kuonesha kuwa Waislam hawana NJIA.
    NUKTA MUHIMU
    1. Katika Biblia (Mimi sio mjuzi wa Biblia) Ila niiwahi kusikia kuna baadhi ya aya zinataja neno (DINI) kama dini. Sasa hii inamaanisha kuwa, kama YESU aliposema yeye ndiye njia alimaanisha (DINI) bas bila shaka katika aya hii angelisema moja kwa moja kuwa yeye ndio Dini, na asingetumia neno (NJIA) kwani maneno DINI na NJIA yametuka katika Biblia kwa maana tofauti, hayakuwa na maana sawa. KWAHIYO YESU SIO DINI (Kwani limetumika katika Biblia kumaanisha kitu kingine), ILA YESU NI NJIA (Kwani imetumika pia katika Biblia kumaanisha kitu kingine).
    2. KISWAHILI KINA UCHACHE WA MANENO
    Neno (NJIA) Kwa Lugha ya Kiarabu linaweza kuletwa na maneno mengi, na kama lilivyotumika pia katika Qur'an.
    (A) الدِّينَ (RELIGION) Hili limefasiriwa na wafasiri wa Kiswahili kama Njia katika 3: 19, 3: 85 nk. NENO RELIGION KWA KUFASIRI (DINI) NDILO LAFAA HASAA KWA NENO LA KIARABU (DINI) Kiswahili hatuna neno linalofaa haswa kwa kuwiana maana na neno hili (DINI)
    (B) الصِّرَاطَ (PATH) Hili pia limefasiriwa kama NJIA katika 1: 6-7, 6:126 nk. Neno hili (SIRAT) limemaanisha mambo mawili, Kwanza ni njia nyembamba watakayopita watu siku ya Hukumu, na Pili kwa maana hiyo hiyo ila duniani, ni kila aina ya misuko suko watakayokutana nayo watu katika dunia hii wakati wakifanya vitendo vya Dini. (KWAHIYO NENO SIRAT LIMO NDANI YA NENO DINI JAPO YOTE MAWILI YAMEFASIRIWA KAMA NJIA, Ila kwa asili lazima upate kwanza DINI kisha ndio ufate Sirat na huwezi sema una Sirat wakati huna DINI.
    (C) الْوَسِيلَةَ (METHOD / MEANS) Hili pia limefasiriwa na wafasiri wa Kiswahili kama NJIA katika 5: 35 na 17: 57. Neno hili (WASILA) ndio linatumiwa mara zote na WAKRISTO kuonesha kuwa hatuna DINI, na tumeambiwa tutafute DINI. Wakati kwa asili maneno haya yana maana tofauti japo yote yamefasiriwa kama NJIA. Hili neno (WASIILA) Limefasiriwa na wafasiri wa Qur-an kwa lugha ya kiarabu kama MEANS/ METHOD. Yaani jambo lolote la kheri ambalo utadumu nalo na likakukurubisha zaidi kwa Allah. Yaani ukawa katika daraja ya juu ya PEPONI. Kama swala za Usiku nk. KWAHIYO HATA HII (WASILA) IMO PIA NDANI YA NENO DINI. Kwanza uwe na DINI na kisha utafute Wasila. Na hayatumiki kwa maana moja kama ilivyokuja kwa Kiswahili kuwa ni NJIA.
    (D) سَبِيلِ (WAY) Hili pia limefasiriwa na wafasiri wa Kiswahili kama NJIA katika 6:116-117, 28:22 nk Neno hili (SABIIL) Mara nyingi limetumika katika Qur'an kuonesha NAMNA (WAY) Kama vile NAMNA YA KUEPIKA MATATIZO (Njia ya kuepuka matatizo) au namna watu wanavyozuiwa kuingia katika dini ya Allah (NJIA ZITUMIKAZO KUWAZUIA WATU NA DINI YA ALLAH) NK. Kwahiyo japo hili limefasiriwa kama NJIA ila kwa asili halina maana sawa na neno DINI. KIUFUPI HII SABIIL (NJIA) yaweza kuwa OVU au NZURI. Kwahiyo yaweza patikana (NJIA HII) kwa Waislam au wasiokuwa waislam.
    (E) طَرِيقًا (STREET) Hili pia limefasiriwa na wafasiri wa Kiswahili kama NJIA katika 4: 168-169 nk. Neno hili (TAREK) linamaanisha NJIA HASA ZA KUPITA WATU KWA MIGUU AU MAGARI AU VYOMBO VYOVYOTE VYA USAFIRI. Kwahiyo hata kama limefasiriwa kuwa ni NJIA ila haliwezi kuwa sawasawa kwa asili yake, liwe sawasawa kimaana na neno DINI. Japo yote yamefasiriwa kwa Kiswahili kama NJIA.
    KWAHIYO
    1. Tunashukuru Allah kwa kutulindia kitabu chetu, ambapo lugha yake ya asili haijabadilishwa. Lau ingelikuwa ni Kiswahili tupu bila lugha ya asili ndani yake kama ilivyo Biblia, basi watu wangelipotoa maana zake kadri wanavyoweza ili kutimiza matakwa yao.
    2. As long as Wakristo hawajajifunza kiarabu, basi hawataweza kufahamu maneno ya kiarabu (ISTILAHI) Kama zilivyoletwa ndani ya Qur'an. Kwahiyo msichoke wahadhiri wetu kuwafundisha hao ndugu zetu katika ubinadamu waliopotea na Allah atakulipeni malipo makubwa kabisa.
    Ndugu yako
    Magambo Sinongo
    +966545961436 (WhatsApp)
    JEDDAH- SAUDI ARABIA

  • @nak3477
    @nak3477 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah..

  • @sheyosquad5755
    @sheyosquad5755 6 หลายเดือนก่อน

    Kristo ndiye dini kristo ndiye njia ukristo ni tabia

  • @mkombozimstaff4830
    @mkombozimstaff4830 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimeipata sheikh wangu

  • @mustafam2462
    @mustafam2462 4 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah

  • @zaynabali6109
    @zaynabali6109 4 ปีที่แล้ว

    A salam alykm! Wape aya.

  • @absameosman9113
    @absameosman9113 4 ปีที่แล้ว +1

    ManshaAllah

  • @jaziumusa4131
    @jaziumusa4131 4 ปีที่แล้ว

    K