RC CHONGOLO AKABIDHI GARI LA ZIMAMOTO LILILONUNULIWA NA HALMSHAURI YA MJI TUNDUMA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Halmshauri ya Mji Tunduma mkoani Sogwe imenunua Magari mawili moja la Zimamoto na uokoaji Kwa lengo la kupambana na Majanga ya Moto ndani ya mji huo.
    Akisoma risala mbele ya mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mariam chaurembo amesema katika bajeti ya Mwaka 2023-2024 wamefanikiwa kununua magari mawili yenye thamani ya Tsh mil 524,41447000 kutokana na makusanyo ya vyanzo vya ndani
    Naye mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo amekabidhi Jeshi la zimamoto na uokoaji gari lililonunuliwa kwa mapato ya Ndani ya Halmshauri ya mji wa Tunduma kwa lengo la kupambana na Majanga ya Moto katika Halmshauri hiyo.

ความคิดเห็น • 1