Upinzani Tanzania ulishalogwa kitambo, sadaka iliyotolewa ni kubwa sana, vyama pinzani navifananisha na ghorofa lililojengwa na udongo wa tope, jinga sana!!!
Lakini kuhusu slaa kutaka chadema ifutwe nikweli,anachukua chadema hata saut ya I'ma slaa na mwabukusi walianzisha ili kuiua chadema,akijua fika wanachama watatoka chadema walasyvsehem nyingine yoyote. Kwahiyo slaa nimnafika Sana,alipoona chama kipya kimekosa mvuto wakarudi kujipendekeza chadema wote na mwabuks

HAKIKA HATUNA WANAMAGEUZI TANZANIA
Anafutwaje xaxa chadema
Lakini kuhusu slaa kutaka chadema ifutwe nikweli,anachukua chadema hata saut ya I'ma slaa na mwabukusi walianzisha ili kuiua chadema,akijua fika wanachama watatoka chadema walasyvsehem nyingine yoyote. Kwahiyo slaa nimnafika Sana,alipoona chama kipya kimekosa mvuto wakarudi kujipendekeza chadema wote na mwabuks
PUMBAVU!
Kukifuta chama ni hatua,mpuuzi wewe mtangazaji,unaoushahidi wa kuitwa. Magaidi.Nmaudhi sana.Waachenu wafanyebuchaguzi wao.
Kichwa cha habari chako sio sahihi, wewe ni mwandishi sawasawa na wenje huyohuyo