Eddy christian sheggy alikuwa mwanamuziki sana sema ndo mambo ya maisha .....na alikuwa msomi wa kiwango mengine ni tunaawaxhia mwanamuziki wenyewe japo tuna jukumu LA kuwakumbusha sana mini wafanye maishani mwanamuziki wa zama zao walikuwa sana kipato zaidi ya mamesenja na wafanyakazi wa level flan sema ndo changamoto ya kazi
Music huu nilikua nausikiliza kwa utulivu , hayati Babu yangu alipenda sana music .....Asante Mungu kwa kuishi zama ambazo Tz ilikua na Muziki maridadi sana . Zama ambazo wote tulisikiliza Radio ya Taifa ikiungurumisha kwenye mawimbi ya Short wave kwenda duniani kote .
Nikawa radhi hata cfikii nafsi yangu thaman ya kukupenda nilidiliki dunia nzima kunitenga lakin si wewe kipenz.kwa kwel nasema nasikitika kwanza kumpoteza eddie na pia kupoteza mziki huuu jaman daah
...Ufukara umekuwa kashfa ya mapenzi yangu.. nakumbuka migombani street mikocheni mwaka 1989 nikiwa darasa la 3 Mbuyuni primary. Narudi home nakuta ugali na ndondo halafu RTD kinapigwa hiki kibao.
Ndugu Edie Asante sana kwa nyimbo hizi nzuri kwangu umenikumbusha mbali sana toka sukuma land CCM kirumba,Pamba sana Tp lindanda,Pan African kweli Watanzania hawana shukurani vipaji kama hivi havitaweza tokea na wala hawakumbukwi kweli nabii uwa anathamani kwao ,huu ndio muziki uliokuwa unapigwa ns watu wenye vipaji na sauti sio bongo fleva wakati wamekopi soul au zouk au hip hop halafu wanasema bongo fleva asante sana
safi sana nimemkumbuka eddy sheggy fast mover wakati nasoma msingi na secondary Eddie namba niongezee nyimbo za sheggy kama zayumba,ketti ,anita,penzi LA ulaghai,milima ya kwetu, na nyinginezo
munaaisha Khamis Enzi za hunters club miaka ya 80 mwishoni na mwanzoni mwa miaka ya 90, kwa wasio fahamu hiyo iliokua hunters club sasa hvi ni kanisa la askofu Gwajima pale Ubungo. RIP Eddie Shegy
Eddie Nassor kaka ntumie wimbo wa Leila sijui uliimbwa na bendi gani unaimbwa "ahaha yemee yemee nataka nijenge mnara kwa heshima ya penzi letu usiweke moyo wangu mbali mama Leila" plz bro
msafiri suba kwenye trombol, mzee mzima hamza kalala kashika mpini, lead guitar, father kidevu kwa keyboard ndani ya ukumbi Wa hunters club ( sasa ni kanisa la askofu Gwajima) enzi hizo mwishoni mwa miaka 80.
@@willbrodngua3116 Correct. Vijana Jazz pengo la Hamza Kalala aliliziba dogo mmoja anaitwa Shaaban Yohana aka Wanted, wao walikua na mpiga kinanda mwanamke mmoja hivi namsahau jina
msafiri suba kwenye trombol, mzee mzima hamza kalala kashika mpini, lead guitar, father kidevu kwa keyboard ndani ya ukumbi Wa hunters club ( sasa ni kanisa la askofu Gwajima) enzi hizo mwishoni mwa miaka 80.
wakati mwingine huwa nasahau kuwa niliwawahi sehemu ya hii bendi ya ushirika wa tanzania stars! niliwahi kuwa kiongozi wa hii bendi nguli ya ngoma za gorofani....kabla ya watunjatanjata!!! Salvado sailas ndumbalo mzee mapili Hussein sadiki mzee makata makunguru shabani kwenye rhythm bure mussa balaha!! bila kumsahau bi Tabia! Halfani. Mbwebwe allibita pia kabla hajaenda msondo. ama kweli muda ni dhahabu!!!!
We Eddie unataka kutuliza tu!
Uyu mtu nikipaji kikubwa sana ,Kaka yangu Mungu akupumzishe pema ,,kwao vuga lushoto Tanga
Duuh.njata moto wa kuotea mbali.nimekubali eddie
Tumepoteza muziki wetu kwa kisingizio cha kizazi kipya, aibu kwetu. Fast mover Eddie Sheggy alikuwa makini sana
Kweli. Kizazi kipya kimeua real artist. Mbaya kabisa
Duuh! Eddy shage! Umenikumbusha mbali Sana! Asante Sana kwa burudani. Asante washirika
Mnasifia wote mnamuacha mtunzi Madaraka Morissi
Mungu amuweke mahali pema shujaa huyu Eddie Sheggy!Kazikwa akiwa masikini kabisa nyumbani kwao Tanga!Alikuwa anajua sana muziki huyu bingwa!
Ni kweli kabisa Charles
HAPO ndo inapouma sana..
Tunasubiri wafe ndio tuanjitia.....ooh marehemu alikuwa mchango na mkubwa sana kwenye muziki wa dansi.
First mover huyo !! Kaka!!??? wee wacha tuu!!!!
Eddy christian sheggy alikuwa mwanamuziki sana sema ndo mambo ya maisha .....na alikuwa msomi wa kiwango mengine ni tunaawaxhia mwanamuziki wenyewe japo tuna jukumu LA kuwakumbusha sana mini wafanye maishani mwanamuziki wa zama zao walikuwa sana kipato zaidi ya mamesenja na wafanyakazi wa level flan sema ndo changamoto ya kazi
Big up sana japo haupo nasi bro.
Nakumbuka miaka ya 1989 JKT Makutupora tukiwa tunaenda kukata kuni ( Mitunduru) asubuhi huku tunasikiliza RTD kipindi cha Kombora.
Nimekumbuka zamani sana tulianzisha band yetu magitaa ya madebe nilikuwa mwimbaji nikijiita
Sheggy
Hahaha wewe wacha kutudanga eddy sheggy wa kuchovya hohoho
Bendi ilikusanya wagosi wengi mno na kazi zake ziko poa asante sana watunjatanjata Abdul salvadoo, sheggy, kalala na wengine wengi
Ingawa nadhani kipindi wimbo Hu unatoka, Abdul Salvador alikua Iringa na wana TANCUT Almas
Music huu nilikua nausikiliza kwa utulivu , hayati Babu yangu alipenda sana music .....Asante Mungu kwa kuishi zama ambazo Tz ilikua na Muziki maridadi sana .
Zama ambazo wote tulisikiliza Radio ya Taifa ikiungurumisha kwenye mawimbi ya Short wave kwenda duniani kote .
Hii ni kabla mambo ya Uaya, Marekani hayatukamata. Tulikuwa tunathamini vya kwetu.
Daaaaahhhhhhh huuu ndio ulikua mziki,,,,,,
Nikawa radhi hata cfikii nafsi yangu thaman ya kukupenda nilidiliki dunia nzima kunitenga lakin si wewe kipenz.kwa kwel nasema nasikitika kwanza kumpoteza eddie na pia kupoteza mziki huuu jaman daah
Hata kuidhiki nafsi yangu
Daah! Wimbo naupenda huu! Asanteni Sana washirika watu njatanjata!
DA JUL ACHA TU MI MPAKA NALIAGA NIKIKUMBUKA ZAMANI ZANGU....2024 sasa ,,,namshukuru Allah.
Julieeeee kwangu ni maumivu makubwa sana niusikiapo huu wimbo
Daaah,92 club,pale siku hizi sanciro....Adam Bakari,panduka,fast mover..aisee kulikuaga hakuna foleni,niko mgabe primary school la 4 b 1992...
Mwanagu nakumbuka sana 92 enzi hizo
...Ufukara umekuwa kashfa ya mapenzi yangu.. nakumbuka migombani street mikocheni mwaka 1989 nikiwa darasa la 3 Mbuyuni primary. Narudi home nakuta ugali na ndondo halafu RTD kinapigwa hiki kibao.
Hahaha
Siku zinaenda kw Kasi sana
Ndugu Edie Asante sana kwa nyimbo hizi nzuri kwangu umenikumbusha mbali sana toka sukuma land CCM kirumba,Pamba sana Tp lindanda,Pan African kweli Watanzania hawana shukurani vipaji kama hivi havitaweza tokea na wala hawakumbukwi kweli nabii uwa anathamani kwao ,huu ndio muziki uliokuwa unapigwa ns watu wenye vipaji na sauti sio bongo fleva wakati wamekopi soul au zouk au hip hop halafu wanasema bongo fleva asante sana
On point bro
Kila kitabu na wakati wake bado tutawakumbuka milele
Nampenda sana Idi Shegi. Yupo sawa .
Watunjatanjata,
WATANZANIA~ TUONDOE~NJAA~TANZANIA
Hatareee. Sana❤❤❤
Mbona nyimbo nyingine azionekani Jamani, kama Anitha, Subila, za Eddy shegy izo
Ilove this song mwamba toka sambaani
asante nyimbo nzuri sana na sauti ya Eddie sheggy..
Claudi Lewete
Duuuuu,hatari sana,kitambo lkn leo ni burudani tosha
Mziki safi sana...nakumbuka mbali sana...Thanks Eddie
Umenikumbusha Mbali sana hongeraaa
Nakumbuka kipindi hicho naenda shule mchana miaka ya themanini huko....
Bado nasikiliza November 16 2024
safi sana nimemkumbuka eddy sheggy fast mover wakati nasoma msingi na secondary Eddie namba niongezee nyimbo za sheggy kama zayumba,ketti ,anita,penzi LA ulaghai,milima ya kwetu, na nyinginezo
Nirikuwa nazisikiriza Sana nirudipo shureni mchana kwenyekipindi chapokeasaramu RTD
nakumbuka baba alivyokuwa anaupenda huu wimbo, hatari sana....
Joseph Kidunda
Ngoma Safi Sana
Asante ndugu , mwaka 2022 Bado kitu kinasikika
daaa kwakweli. macho. nimeloa.yani.kama.namuona.bab.yangu.anavyo.tikisa.kichwa.
Ni kweli Muna, wanaopendwa na wengi hufa wangali vijana.
munaaisha Khamis
Enzi za hunters club miaka ya 80 mwishoni na mwanzoni mwa miaka ya 90, kwa wasio fahamu hiyo iliokua hunters club sasa hvi ni kanisa la askofu Gwajima pale Ubungo. RIP Eddie Shegy
Fast mover tunakuombea
Ufukara nilio nao ee Julie hatari sana, nahisi kama nilikuwepo vile enzi hizo.
I love this song 😍 Julie
First mover alikuimbia wewe, Julie Kay :-)
@@jacksonzebedee4668 and the same
Hatokei tena kama huyo,
shukrani kaka Eddie kwa huu wimbo aisee
Karibu tena Nasir
@@eddienassor480 kaka huu wimbo Anita mbona siuoni au upo kwa jina gani?
Ilikua hotell 92 shekilango
Eddi nasor kuna wimbo wa vijana jazz unaimbwa hivi. nyote wake zangu mapenzi yangu kwenu ni sawa mpendane ndio heshima ya ndoa he
Nakumbuka tukiwa kijiji cha chitekete kule Newala baba yangu mzee Mpanji akiwa mwalimu miaka ya 80-90
Wakati ukuta
kaka Eddie hebu anza kutupia za toto tundu hapa matching itakuwa murua
Zote ulizotaja zipo hewani tayari
asante kaka
Eddie Nassor kaka ntumie wimbo wa Leila sijui uliimbwa na bendi gani unaimbwa "ahaha yemee yemee nataka nijenge mnara kwa heshima ya penzi letu usiweke moyo wangu mbali mama Leila" plz bro
Anita, siuoni umu na subila vp mkuu
Ya kale diamond zaidi ya Dhabi
Umeona eh?
Nimeona Swahiba inaburudisha na kusahaulisha taabu realy like it mwa
Haya burudika mwaya!
Usihofu, ila natafuta mapenzi ya wake wawili hayawezi kuwa ya kweli eze unaupata swahiba?
Wa nani huo?
Dah!
Kwanza nashukuru kwa nyimbo nzuri ila naomba nyimbo zifuatazo bulwa tabia mwanjelwa ubaya wa jilani malijani rajabu kilamunu avena kwao 1
Walijitahidi kutuliza akili wazee wetu....
msafiri suba kwenye trombol, mzee mzima hamza kalala kashika mpini, lead guitar, father kidevu kwa keyboard ndani ya ukumbi Wa hunters club ( sasa ni kanisa la askofu Gwajima) enzi hizo mwishoni mwa miaka 80.
Mbele yapo shegy....zahir Adam bakari etc hebu endelea kaka tafadhati
Kati ya 1987__1990 nikiwa o level Ruvu ss daaaa machozi
Hapo Mzee hamza kala alihama vijanjaazi natimu mzima nauanzisha watunjatanjata washirika tz stars
@@willbrodngua3116
Correct. Vijana Jazz pengo la Hamza Kalala aliliziba dogo mmoja anaitwa Shaaban Yohana aka Wanted, wao walikua na mpiga kinanda mwanamke mmoja hivi namsahau jina
ll
msafiri suba kwenye trombol, mzee mzima hamza kalala kashika mpini, lead guitar, father kidevu kwa keyboard ndani ya ukumbi Wa hunters club ( sasa ni kanisa la askofu Gwajima) enzi hizo mwishoni mwa miaka 80.
wakati mwingine huwa nasahau kuwa niliwawahi sehemu ya hii bendi ya ushirika wa tanzania stars! niliwahi kuwa kiongozi wa hii bendi nguli ya ngoma za gorofani....kabla ya watunjatanjata!!!
Salvado
sailas ndumbalo
mzee mapili
Hussein sadiki
mzee makata
makunguru
shabani kwenye rhythm
bure mussa balaha!!
bila kumsahau bi Tabia!
Halfani.
Mbwebwe allibita pia kabla hajaenda msondo.
ama kweli muda ni dhahabu!!!!
galinoma
Mkuu Galinoma nakukumbuka sana tu, kidogo nimepoteza kumbukumbu, ulipitaga pia TANCUT Almasi ya kwenu Iringa?