MZEE BUTIKU ADAI WATEKAJI WAKO KTK VYOMBO VYA DOLA, IGP NA MASAUNI WAWAJIBIKE WASISUBIRI RAIS ASEME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE TH-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

ความคิดเห็น • 15

  • @RizwanAbdallah
    @RizwanAbdallah 6 วันที่ผ่านมา

    Aisee mzee shukran

  • @pendobruno111
    @pendobruno111 6 วันที่ผ่านมา

    Aisee

  • @saidimdoe5246
    @saidimdoe5246 6 วันที่ผ่านมา

    Babu yangu bitiku hapo ulipo agiza soda unywe nakuja kulipa

  • @GeorgeSagumo
    @GeorgeSagumo 6 วันที่ผ่านมา

    Mzee anaogoopa kutekwaa naatumalizia mb zetu

  • @SylvesterKameo
    @SylvesterKameo 6 วันที่ผ่านมา +2

    Mzee Butiku kachoka, unaulizwa maamuzi ya Spika, unajikita na suala la Mpina!

    • @Veni584
      @Veni584 6 วันที่ผ่านมา

      Mzee anakwepa lawama

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 6 วันที่ผ่านมา

      @@Veni584 Huyu mzee anaongea kwa ukakamavu, ukizubaa utamwamini kumbe anapiga chenga za mwili akitafuta point ya kuchomokea!

  • @Mosmwampa
    @Mosmwampa 6 วันที่ผ่านมา

    Kwahiyo shida sio wabunge, shida ni spika, hakutaka lijadiliwe

  • @Mosmwampa
    @Mosmwampa 6 วันที่ผ่านมา

    Daah!! Kwahiyo rais alikili udhaifu na kuibariki rushwa

  • @fedelynntangeki3185
    @fedelynntangeki3185 6 วันที่ผ่านมา

    Kutokuwajibika ndo kukosa maadili.
    Viongozi wetu siyo waadilifu.

    • @LuciaAgustino-pt5mg
      @LuciaAgustino-pt5mg 6 วันที่ผ่านมา

      Viongozi wetu sio waadirifu hawatakibkutenda haki wanajikita katikathuruma yakutompatia kutuhaki

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 6 วันที่ผ่านมา

    Shida nchi inaongozwa na viongozi wasio na uwezo kuanzia juu hata chini
    Viongozi waliowengi wa serikali na chama tawala hawana uwezo!!!
    Wamewekwa kwa vigezo vingine sio uwezo wa nafasi walizo nazo
    Ndio maana taifa haliendi popote

    • @mr.machange1377
      @mr.machange1377 6 วันที่ผ่านมา

      wewe umewahi kugombea ?

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 6 วันที่ผ่านมา

      @@mr.machange1377 kugombea si hoja. Waliogombea wenye uwezo wa uongozi, wakashinda uchaguzi hawako bungeni, udiwani wala uongozi wa mitaa na vijiji. Kamuulize Nape Mnauye atakukumbusha!

  • @BarakaWiliam-hx9nk
    @BarakaWiliam-hx9nk 7 วันที่ผ่านมา

    Alhamdulilah mzee mwenye akili na mkweli