Cha ajabu wanaosimamia tasnia wako kimya, kuna haja gani hata kuwa na hizo kozi za uandishi wa habari? Yaani imekuwa ni kuokota tu ukijua kulopoka, kuchamba watu, kuchekesha n.k. sasa hivi hata vipindi vingi ukifatilia vina impact ndogo sana kwa jamii. Kila redio asubuhi mpaka mchana vipindi vya michezo, alasiri miziki jioni michezo. Sikiliza wakiwafanyia watu interview unaona aibu ww😂
Babaaaaaaaa levo kubali sana uyu ni mtaalam
Yani hawa kila siku ali kiba ali kiba nawao😂😂😂
Hili baba levo zuzu kama lile chezaji la timu fulani mana halina akili pumbavu hili
Kweli utangazaji tz sahv haitaji proffesionalism duh,mtu akipiga domo domo tu tayari mwandishi
Cha ajabu wanaosimamia tasnia wako kimya, kuna haja gani hata kuwa na hizo kozi za uandishi wa habari? Yaani imekuwa ni kuokota tu ukijua kulopoka, kuchamba watu, kuchekesha n.k. sasa hivi hata vipindi vingi ukifatilia vina impact ndogo sana kwa jamii. Kila redio asubuhi mpaka mchana vipindi vya michezo, alasiri miziki jioni michezo. Sikiliza wakiwafanyia watu interview unaona aibu ww😂
❤
Sawa
2:08 kubari baba revo
Anaogea uku anamawazo
Sasa huyu ana utangazaji gani?
Kamlete babako atangaze umbwa kabisa
@@SaimoAbusei kiswahili kibovu unapanic kwa usivyovijuwa