Habari Mashabiki wa House Girl na Busati Tv Ktk kipindi hiki cha sikukuu na Mwaka Mpya tutaomba mtuvulie kidogo, Wasanii wengi wamesafiri hivyo tutachelewa kutoa vipindi. Ifikapo tarehe 10 mwezi wa kwanza inshaallah tutaanza kupandisha vipindi viwili kila siku. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote ambao utajitojeza. Tunapenda sana 🙏 Busatitv burudani bila kikomo
😂😂😂dakika kidgo comments kibao kwn hamfanyi kazi nynyi,Nawatakia mwaka mpya mwema kwa wenye watasoma hii comment yangu nakulike nawapenda nyote kutoka Kenya❤🎉
Mungu awabiri wote na hongera kwa kufika siku ya leo ila ni ñeema za mwenyezi Mungu pekee wala siyo kwa nguvu zetu😍😍😍😍🥰🥰 Like hapa please kwa upendo tuu.
Happy new, ndoa ya kai ikivunjika itakuwa imevunjwa na kibendu coz km angepeleka hb za uongo zuu angemshabulia kai ht km ni mi nisingevumilia na yy ndoa yake na keina haitadumu watawachana tu
Mzome wa mzome karibu boss wangu ❤❤ niwe tu mkweli zuu uwa ananikera samaki dume utamjuaje 😂😂 wangapi kipande kilichopita atukukipenda kilikuwa akionekani vizuri kama hivi
😂😂😂😂😂hpa npo patamu jaman kilamba ww nakukubali 🎉🎉🎉🎉yko ila huyu mjomba nae mmm kwan alikuwa nywanunua zizi la ng'ombe 😂😂hyo ypo ndo tutambaki makwetu maan wazaz wantamaa ajabu,kaeina msikize mumeo tu ww acha na hyo wifiyo ndo walivyo wakitelekezwa n waume zao
Happy new year bwana busati TV ila zuuu unalia nini mpak unakela eti ukikua unamuani ungemutukana eti nìmalaya tayali ametimiza maneno uliyomwambia 😅😅😅
Habari Mashabiki wa House Girl na Busati Tv
Ktk kipindi hiki cha sikukuu na Mwaka Mpya tutaomba mtuvulie kidogo, Wasanii wengi wamesafiri hivyo tutachelewa kutoa vipindi.
Ifikapo tarehe 10 mwezi wa kwanza inshaallah tutaanza kupandisha vipindi viwili kila siku.
Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote ambao utajitojeza.
Tunapenda sana 🙏
Busatitv burudani bila kikomo
Swsw hamn shida
❤❤❤❤Sawa hamna shuda na asante kwa kutujuza kila la kheri kwenu tuna watakia mwaka mpya na mambo mapya
Sawa
Inshaallah Mungu awatangulie 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Musijali mi nawapenda ju pakiwa cangamoto huwa munatujuza mashabiki zenu❤
Nan amekumbuka huyu jomba alisimamsha sania akakataliwa😂😂😂😂😂
Kilamba Leo umenichekesha Leo ety.....sioi mm hata mniue wewe na mjomba wako kwani wewe ni supermarket 😂😂😂😂😂😂😂
Kisaniaaaa masha allah
Kizuriii kipoleee
Kmependeza❤❤❤❤ mash allh mung tup mwish mwem km sani@a wa house girl😂😂
❤❤❤
Mahari milioni 4 aaaa siowi kilamba bwana haya timu kilamba maoni yenu apo kuhusu mahari alotakiwa ❤❤🎉🎉🎉
Ila kiramba na mjomba wote madishi yameyumba somoe kazi unayo😄😄😄😄😄
Walai tena😂😂😂😂
😂😂😂😂
Pwagu na pwaguzi 😂😂😂
@@paulinanhinde6845😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂kilambaa dah hatar ukanye Kumbe ndowakimbia milion nne
Wale ambao tulikuwa tunaichungulia kila wakati gonga lie apa
Ulikuwa unishindi mie nachugulia MPK nabagen mb.😂😂😅
😂😂😂dakika kidgo comments kibao kwn hamfanyi kazi nynyi,Nawatakia mwaka mpya mwema kwa wenye watasoma hii comment yangu nakulike nawapenda nyote kutoka Kenya❤🎉
Na sisi pia twa kupenda kutokaka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@MariamMustafa-w8e asanti nipo huku mm pia🇴🇲🇴🇲
Na kwako piya sikuku njema na mwaka mpya mwema nakupenda sana Niko Oman 🇴🇲
@@HappyNass-mu3lu asanti ☺️ mpenzi
Kher y mwaka mpya wana busati 31/12/2024❤🎉🎉🇹🇿🇴🇲
Candy jmn muchumbake Candy kazi anayo😂😂😂😂❤❤
Kilamba ukwaju umezidisha komedi unakera sana yaan unakeraaa
Nawaombea wote kwa mwenyezi Mungu akatuvushe salama mwaka mpya❤
House girl mwenye part ngumu na anaiwezea n Candy jaman😂😂kituko sana like kwake pls
candy atazaa mtoto wa kike na yy alipiziwe kama alivyo mfanyia mama ake😂
AKILI za mjomba w somoe na kilamba zimeshikan jamani😂😂😂 nawatakia mwaka mpy mwema nawependa❤
Wakwanza happy to all my people wapi likes zanguuuuu from 🇰🇪
Zuu tulia acha kulia mwanakutafuta mwanakulipata Kiramba kimemramba Vizur 😂😂😂😂
😅😅😅
Leo tarehe 31/ 12/ 2024 maombi yangu nikwamba Mungu aku fikiche kecho mwaka mpya ya baraka na mafanikio
Amen
Ameen thuma Ameen
Amen
Amen na wewe pia
Allahumma aaamyn 🤲
Mjomba uyoo manyago matupu thania hongera kw kubadilika kuwa mtot mzur
Hahahahaha jaman kilamba apa katisha jaman kam umeipenda tuungane jaman😂😂
Dada zuuu acha kulia punguza hasira😂
Mungu awabiri wote na hongera kwa kufika siku ya leo ila ni ñeema za mwenyezi Mungu pekee wala siyo kwa nguvu zetu😍😍😍😍🥰🥰 Like hapa please kwa upendo tuu.
Kendy ao chizi kweli 😄😄😄😄eti ngonde wawatu alikua handsom tu
House girl wameanza kuzinguuuua woi episode inasubiriwa mda mrefu ivooooo
Mwelezeni zuu kugongewa ni constant yaani *k*😂😂😂😂 atalia Sanaa yaani ndo mwanzo tuu, alfu Kendi banaeeeee utanivunja mbavuuu
❤❤❤❤❤❤ kiramba lipa kiringe chaukoo❤❤❤
Mjomba somoi kilamba wamekutanaaa uwiiiiii mbona rahaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kazini kuna kazi kweli moto juu ya moto ❤❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂😂 Jaman kiramba kishakuramba kama Jina lako. Zuu pole Kwa mitihan ya ndoa ila jaribu kuwa na subra unapo ambiwa kitu anza kulifatilia kwqnza
Pole dazuu jaman
Hivi huyu mjombaake somoe anadhani pesa zashuka kutoka juu au zatafutwa 😂😅😂😅😂😅😂😅😅et mke aolewa na million tatu 😮😂😂😅😂
Uyu zuu kayataka mwenyewe unaliya nini mwanamuke mujinga kira kitu wambiwa wakubariyana nayo😢😢
Wewe zuu mwangalie mtoto achana na watu wazima acha kulia lia bn tukizaa watoto tunaacha kuyaalilia mapenzi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂utaniua wewe
Mapenzi yanauma lakini mtoto anauma zaid
Tena sana mtt muhimu sana
❤
@@bennamush4616kabisa 😂😂😂😂😂😂
Nice movie 🎥❤❤
Duh! Kilamba Leo umeyatimba😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kilamba😂😂😂😂😂😂😂 siowi
Uyu mjomba wa Somoe ndo ule aliomba mechi kwa Sania😂😂😂
😂😂😂😂Ndio huyo huyo
😂😂😂😂 n huyo
😂😂😂
Wenye mnafurahia ndoa WA wapumbavu wenzangu mbarikiwe sana ❤❤❤
Next ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Happy new, ndoa ya kai ikivunjika itakuwa imevunjwa na kibendu coz km angepeleka hb za uongo zuu angemshabulia kai ht km ni mi nisingevumilia na yy ndoa yake na keina haitadumu watawachana tu
Jaman kama kama umecheka na kilamba gonga like😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉
4m. Tajir duh nimecheka sana kilamba kaz unayo
Kiramba bana 😂😂😂😂😂😂😂 wee huogopi🙌🙌
😂😂😂😂😂😂Mm wa mwisho leo na huyu mjombake somoi kwani anauza shamba na nyumba yake eti million Tatu na laki saba weeeee ebu kua na adabu mjomba
Mjomba ana kikwapa hatar 😂😂😂
😂😂😂 nilikua natafta hii komentii ahsante studio
😂et super market kiramba hasa
Uyu mwak hatuow kwamahar miliyon4😂😂😂
Nimekua wakanza nagupenda sana somoy nankiramba munipe like basi nawapenda sana wandugu zangu❤❤❤
Tunakupenda pia
Aya kesho sku mpya mwaka mpya wa 2025 nawatakienini afya njema vipenzi vya busati TV ❤❤
Buyo mjomba wa somoye jamani😂😂😂😂😂 pumbavu zangu😅😅😅 nawapenda bure
😂😂😂😂😂ila kilamba jamaniii ndo umwambie mwenzake kosa lake mahali milion4?😂😂😂😂 Haki leo nimecheka sana
Mzome wa mzome karibu boss wangu ❤❤ niwe tu mkweli zuu uwa ananikera samaki dume utamjuaje 😂😂 wangapi kipande kilichopita atukukipenda kilikuwa akionekani vizuri kama hivi
Mnakera sana kumbukumbu za nini dk zenyewe ndogo
❤❤❤😂😂😂zuu uliyataka mwenyewe lia kisga unyamaze....mwaka mpya mwema busat tv ....❤❤❤❤
Wow, leo mimi wakwanza kutoka Uganda ❤❤❤❤
Kilambaaaa kilambaaa nimekuita mara ngapi😅😅😅
Nyie dk12 mshacomment 44 haya Mimi wa 45 like hapa kama umekumbuka saut ya kazm agah😂😂😂😂😂😂😂😂mjomba ake somoe 🎉🎉🎉🎉
Daaah kwakwelii.sauti yenyewe ileee😊😊
Naipenda sana iyo sauti ya mjomba ake somoe yan kama namuona kazim bey
Mumgu awabariki kwa kanzi nzuri nawapenda wote
Zuli kula chuma hiko😂😂uliyataka wacha apewe furaha we candy wamjua kivuruge 😂
Kilamba umenichekesha😂😂😂😂😂😂😂
Anko ake somoe ndio huyu wa sukari robo😂😂😂 tuandae mbavu jmni mna ni moto
Team strong 💪💪💪 mapema ndio best tumeisubr kwa hamu
Kapunguze kinyezi akaaaa wazimia tena 😂😂😂😂😂
Kazi nzuri sana team Busati tv🇹🇿
Hahaha Kiramba ati afadhali angekua butcher ungechemsha unywe supu
Kumbee zuuu ni jinga tu😂😂😂
Huyu mjomba wake somoe km ww unafatilia tamdhilia Azam two niyy alitafadhil saut yakal kababa kasaut kaiv nikuaga nampenda kwer
Kiramba apa anapata mke kweli mbna mashrti magumu ivo😂😂😂😂😂
Jamani ndoa ya keina na kibengu haki wamemachi sana❤❤❤❤❤❤❤
Eeenh kiramba toa milioni nne 😢😢
Much love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪
❤❤❤ Nawapenda Sana
Mutu na mujomba wake hawana adabu ukanye😂😂😂 niatari kwelivila Candy unaba wewe
Na muonea huruma kibendo alivyo sema marehemu mama 😢😢😢😢😢 nimelia kwauchungu hakuna kama mama
Mnaboa bwana, mnatumalizia MB tu hakula lolote
Mjomb wa somey mbavu zang😂😂😂
Je kilamba atalipa million 4 au atagairi kuoa?.
Ni tatizo million 4
FanyA upone na wewe tumekumisi mashabiki zako bana afu tunataka upone Mimi nitakuonyesha baba yako😅😅😅😅😂😂😂
😂😂😂
Ila milioni 4😂😂
Mtamchangia😂😂😂
Haaaaa kiramba jamni sioiiii nasema mahari milioni nne kha
Iyi movie iko inapoteza upora ju mnaifanya ndefu afu mnaaribu ilikuwa nzuri sana yakuvutiy ila kwasas mnabowa
Hongereni sna kwa kazi nzuri
Kilamba nenda ukatafute mkundaji ndiyo mwenye ndevu 😂😂😂
😂😂😂😂😂hpa npo patamu jaman kilamba ww nakukubali 🎉🎉🎉🎉yko ila huyu mjomba nae mmm kwan alikuwa nywanunua zizi la ng'ombe 😂😂hyo ypo ndo tutambaki makwetu maan wazaz wantamaa ajabu,kaeina msikize mumeo tu ww acha na hyo wifiyo ndo walivyo wakitelekezwa n waume zao
Kai sijapenda ulipyo mfanyia zuu 😂😂
Leo tarehe 31/12/2024 maombi yangu mung atujalie tuvuke mwaka mpya Salam wapenz ote wa hous girl tupendane
Amen 🙏🏼🙏🏼
😂😂😂makofi Kwa kiramba🎉🎉
Kilamba anataka tu vitu za bure kaaa single falaa sana 😂😂😂😂😂
Namuona kilamba anachekerea tu,😂😂😂😂😂😂
Pole sana zuu .
Nauza mafuwa Kwa bei nafuu 😢😢tena ni Yale makalii 😢😢Ila naitaji mnunuzi mwenye uhakika 😢😢😢 18:45
Ndo Nini hayo mafuwa
Nimenpenda sana anko wa somoe yukovizuli kaznzul
Wanaume hatuoi ng'o😂😂
Ila kendy ananifurahisha jmn😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂kuanzia mjomba mpaka mukwe wote wazima jau😅😅😅😅😅
Kendi congratulations
Nawapenda sana kazinzuli watuwangu
😂😂😂kilamba utapigwa fine😂😂 wewe unalopoka hovyo mbele ya mjomba
Happy new year bwana busati TV ila zuuu unalia nini mpak unakela eti ukikua unamuani ungemutukana eti nìmalaya tayali ametimiza maneno uliyomwambia 😅😅😅
😂😂😂😂😂😂
😂 samaki mwenye ndevu waaah😮
Kiramba kimemramba leo 😂😂😂