HAJI MANARA AMVAA MANGUNGU KUWAITA YANGA MALOFA | AMGUSIA MO DEWJI NA GSM YANGA NA SIMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • C E O WA MANARA TV HAJI MANARA AMEMJIBU MWEKITI WA CLUB YA SIMBA MANGUNGU BAADA YA KUWAITA YANGA MALOFA | AMGUSIA MO DEWJI NA GSM TAZMA FULL INTERVIEW HAPA
    #manaratv #hajimanara #yanga #simbasc

ความคิดเห็น • 232

  • @akidajulius8397
    @akidajulius8397 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    MTAJI MMOJA WA HAJI NI KUIJUA HISTORIA NA KUIHISHI, BIG up sana HAJI

  • @filyakusimsigwa5006
    @filyakusimsigwa5006 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Unafaa kuwa mwalimu wa History uko vizuri mwalimu manara

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sana na ana kumbukumbu sana ni kipaji cha mungu kapewa

    • @hassansalum2572
      @hassansalum2572 54 นาทีที่ผ่านมา

      Wewe unamuamini kwa kua hujui kitu

  • @HassanHassan-dk5db
    @HassanHassan-dk5db 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Upo vizuri Bugatti you are the most Wonderful speaker in public.

  • @kassimjuma4649
    @kassimjuma4649 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Safi sana manara wewe ndio king

  • @JumaBagelle
    @JumaBagelle 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Asante Manara muelimishee lile jizee mwenyekiti azungumza kma kisugu

  • @mbarakasijaona7638
    @mbarakasijaona7638 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Duh yanga ni kubwa mno🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @BenezethEmily
    @BenezethEmily 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Manara angetuliza kichwa haki nimgodi unaotembea, hongera saana aisee

  • @salumally7110
    @salumally7110 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Safi

  • @budebajefta4499
    @budebajefta4499 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mangungu njoo umsikilize Maestro wako huku, Mangungu chukua hapo pen na notebook, Bugatti Boy Mitano tena 🤣🤣🤣🙌🙌

  • @MaonaNjigela
    @MaonaNjigela 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Well said Bro

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu akulinde Bugati uishi miaka mingi 🎉🎉

  • @estonmwandondwa9021
    @estonmwandondwa9021 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Fanya hii mara kwa mara itasaidia sana #elimu,@we king mara

  • @yusuphbenjaminkugaiwa7608
    @yusuphbenjaminkugaiwa7608 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nakupata br

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ukweli unauma

  • @devotabashome1090
    @devotabashome1090 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Msameheni mangungu sio kosa lake

  • @kachoboytz9572
    @kachoboytz9572 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    manara sikuizi uko vizur unaogea ukweli umeacha ushabik maandaz

  • @AbdulmalikFredrick
    @AbdulmalikFredrick ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Manara wewe kichwa sana Alha akujalie kilalaeli inshallah

  • @attiliokasuga1764
    @attiliokasuga1764 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dah! Umetoa somo la maana, nadhani Mangungu hajitambui pamoja na uzee wake!

  • @jacobjames8706
    @jacobjames8706 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Upo sawa kiongozi

  • @AminaMsimbe
    @AminaMsimbe 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hahahahaha mangungu masikini hajui kitu anaropoka

  • @AbdulmalikFredrick
    @AbdulmalikFredrick ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Bugati Mmoja tu mangungu ajasoma

  • @YohanaaroniYohana
    @YohanaaroniYohana 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🔥🔥

  • @RashidiNdilaje-xr2hg
    @RashidiNdilaje-xr2hg 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    bugat kaa kwenye. kiti chako ulichoteuliwa na uongozi wa kilabu Yako ya yanga naamin ukikaa kwenye nafasi yanga itavuna wanachama wengi sana kwengi yanga

  • @MathayoRajabu
    @MathayoRajabu 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uhuru wa makaratasi

  • @ThomasGai-kz5cu
    @ThomasGai-kz5cu 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Haji Manara hapo nimekuelewa sana,safi sana sheikh.

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    MUNGU ni mwema hongera Sana Haji Manara mwambie Sana ukweli ajue na waelewe vyema maana hajui chochote ni kuongea tu mambo yenye hajui wala haelewi kitu kazi njema kila la kheri barikiwa Sana Haji shalom

  • @RajabuMadenge-x9d
    @RajabuMadenge-x9d 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    mangungu anawafurahisha mashabiki wake ili wajifurahishe kupata furaha

  • @jamalmwenda3278
    @jamalmwenda3278 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Umeongea vizuri sana Haji. Umewakumbusha kuhusu mchakato wa vilabu hivi viwili.

  • @mwitadavidmerengo
    @mwitadavidmerengo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Manara kujipendekenza tu unawenza sana lkn hawakutaki bro

  • @jamaloctober23
    @jamaloctober23 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    💪💪💪💪 nainjoi sana nikikusikilizag ukiwa unachambua na kuongea history ya mpira wa nchi hii unatupa vitu sisi watt wa elfu mbili wapenda football

  • @hamidjailos8171
    @hamidjailos8171 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mangungu Mangungu Mangunguuuuuuuh

    • @KevKev-ph1ow
      @KevKev-ph1ow 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwenye kubadil mfumo nmekuelewa

  • @asherymirambo6870
    @asherymirambo6870 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mh,, wamekuelewa

  • @emmanuelshija9402
    @emmanuelshija9402 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    naona uzee sasa ndugu Manara waongea kama CEO.
    ifike wakati simba na yanga zitoke kwenye utani ziende level zingine.

  • @EdrickJohn-mw8pw
    @EdrickJohn-mw8pw 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sema kaka makolo wajuwi

  • @deomusyebi9930
    @deomusyebi9930 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Manara ama kweli wewe ni zaidi unajua mambo mengi sana anaebishana na wewe ni kichekesho maoni yangu serikali aau TFF mchukueni manara ili aandike historia za hizi team tuache Uyanga na Usimba

  • @NicholausFungo
    @NicholausFungo 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    BUGATT Wape madini dunduka wote

  • @abby1974ful
    @abby1974ful 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kuna uwongo mwingi sana Haji ameuongea.

    • @jimmyhabarugira4232
      @jimmyhabarugira4232 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @abby1974ful Haya tupe ukweli wewe

  • @BenezethEmily
    @BenezethEmily 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Limangungu ndolilofa ndio maana linalopokalopoka

  • @AbdulRahman-s7z
    @AbdulRahman-s7z 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapo ndipo ninapokukubali mwanangu upo sahihi sana mm na urafiki makubwa wa baba yako mdogo kassim Ramadhan (MANARA,)

  • @bakariomarimndeme6059
    @bakariomarimndeme6059 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mangunga ni aibu kioo🤭🤭

  • @deniskagwe571
    @deniskagwe571 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukwer manara unajua sana mengi kuhusu Hzi team zetu ndo unaitwa google

  • @michaelmasalago8068
    @michaelmasalago8068 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Duu historia hii sikuitegemea toka kwa manara, hongeravsana, waambie makolo. Sisi ndo WANANCHIII halali na historia tunayo.

  • @estonmwandondwa9021
    @estonmwandondwa9021 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaka unajua sana %

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Halfu anatokea mwehu anawaita viongozi wa yanga malofa

  • @econmirajifacts5411
    @econmirajifacts5411 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Sura yake yenyewe tu yakishamba mangungu. anajuwa nn.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mangungu kama gagula tu

  • @EUGENMAKOTA-qn4su
    @EUGENMAKOTA-qn4su 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Nakuelewa sana bro ktk historia hiyo,hakika ww ni mwamba haswa.

    • @AishshibnShibani
      @AishshibnShibani 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mbona story yenyewe kakosea

    • @songombingo108
      @songombingo108 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe ni Dunduka. Lazima utaona kakosea.

    • @AishshibnShibani
      @AishshibnShibani 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@songombingo108 kwani unaona kapatia au na wewe ndo walewale walikunywa uji wamgojwa

  • @bacarmoinze
    @bacarmoinze ชั่วโมงที่ผ่านมา

    aisee mana uko vizuri na pia una kumbukumbu nzuri huyo mangungu ni shoga tu hajui lolote msenge mkubwa kuma la mama ake

  • @paulotemba8881
    @paulotemba8881 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sauti ya Manara inatusha kumlipa Mangungu mshahara yeye na familia akome kuwaita viongozi wa Yanga malofa

  • @TwahaKahatan-pt9hg
    @TwahaKahatan-pt9hg 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mangungu ni sawa na mtoto hana hekma

  • @MichaelNgowi-nc3vn
    @MichaelNgowi-nc3vn 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daah manara hakika wewe ni gwiji wa magwiji

  • @jonasmziray1103
    @jonasmziray1103 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu jamaa ana akili sana

  • @robertadolf562
    @robertadolf562 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    mang'ung'u hili darasa lina muhusu....

  • @JustinMwakalukila
    @JustinMwakalukila 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Manara hii mara ya pili nakuona unaongea kwa utulivu mkubwa na weredi mkubwa hauna mapepe,kuna Interview ulifanya Na MCHUNGAJI HANANG na Interview ya PILI ni hii umetulia na ndo unatakiwa KUWA HIVI cku ZOTE,hacha ile AKILI unayokuwaga nayo baadhi ya cku,hvi unatakiwa YANI ukiwa hvi watu wakiona Interview yako wataifuatilia kwa sabbu ya MADINI watayokutana nayo lkn ukiwa namna ile nyingne watu watakuwa wanakupuuza tyu.❤❤❤❤

  • @saidwilson6529
    @saidwilson6529 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Siku iz linaongea vizuri

  • @danielmkalimoto773
    @danielmkalimoto773 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Baaaaaasiiiiiiii.....!!!

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🇹🇿💛💚Chapa Bro👍 Wachape

  • @MaguguStore
    @MaguguStore 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yanga umekuwa msemaji wa yanga sikuizi

  • @moshielfesty7992
    @moshielfesty7992 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bugatti 🎉🎉🎉🎉

  • @razalontindya178
    @razalontindya178 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tangu nikufahamu haji leo nimeona nakuelewa kuwa kweli ni mkrugenzi wamanara TV umesimama kwenye nafasi yako.

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    No political i let you Now my brother sport line

  • @husseinjohn8404
    @husseinjohn8404 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Bugatti sanamu lako lijengwe mo arena unakitu

  • @morrispeter239
    @morrispeter239 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ngojeni makololo sare ziongozane ,Sasa hivi utasikia mangungu must go😂

  • @paulotemba8881
    @paulotemba8881 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamani tumsamehe Mangungu maana ni mwenyeki asiejua alisemalo ametukosea sana wananchi

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaani we HAJI ni KIBOKO sana..!

  • @FahadFarid-d9l
    @FahadFarid-d9l 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Masha Allah we mzee sio mchezo hizo ni nondo uliziweka store nn nn?mbona za moto sana utawauwa hawa makolo😂😂😂

  • @Elihurumamathew
    @Elihurumamathew 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nashangaa hapa mnahangaika na historia na mangungu ebu tutafakari hili la kuchangia clabu zetu badala yakutegemea hawa wafathili hii ndiyo hoja ya msingi siyo kushabikia mangungu kaongea sijui nini ebu tupambane tuchangie yanga yetu mambo yaende

  • @frankfelix2063
    @frankfelix2063 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaka nimekuheshimu sana kweli mpira unaujua kweli aisee wewe kweli huna mpinzani

  • @salumchoma8731
    @salumchoma8731 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu NGUNGUS hajitambui anatakiea aelimishwa ili aelimike yanga ndiyo iliikomboa hii nchi ngungus hajui historia ya hii nchi

  • @salymgaimale235
    @salymgaimale235 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Imeekuuma manara

    • @chemstry409
      @chemstry409 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Imeemuuma coz NGUNGUZI hajui History anapotosha watu wasiojua kwahiyo lazima Haji imuume coz anaijua vizuri History ya YANGA NA SIMBA..NGUNGUZI HAJUI LOLOTE BOYA KATOKA KWAO MTWARA ANAKUJA KUTOA MANENO YA KASHFA NA FEDHEHA MJINI....

  • @SaidMkome-q5t
    @SaidMkome-q5t 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uyo ata afanyaje yeye ni simba na mangungu ni yanga😁😁🏃🏃🏃

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bao lilikuwa linachezwa Tandamuti kwa mzee Mshumi

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    YANGA NI MAROFA

  • @MalifezaMajidi
    @MalifezaMajidi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnanikera mnaosemanara nimuongo kiukweli manara unafaa

  • @grationkato7658
    @grationkato7658 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Manara tafuta maana ya jina MANGUNGU utaelewa kwanza bora usinge mjibu huyo bwana.

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwenye suala la uwekezaji Manara ameongea ukweli mtupu

  • @salumally7110
    @salumally7110 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aiseee huyu jamaaa ni hatar sana

  • @edgarcruzee5223
    @edgarcruzee5223 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Umekosea Nyerere akuwa mwanayangu au Office za Chama azikukosa alikuwa na kutemerea wazee na kuongea

  • @jubilatembise8431
    @jubilatembise8431 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu huwa haeleweki aliwahi kusema yanga walikuwa malofa kiasi cha kucheza mgongo wazi

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    du Manara ana uzale do hasa na yanga

  • @zephaniasirikwa7495
    @zephaniasirikwa7495 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wafundishe na uwakumbushe mbumbumbu hao!!Mangungu hajitambui.kuitaja yanga kwa zaidi ya robo saa ndani ya kikao kizito cha simba,ni ushindi mkubwa kwa yanga.

  • @JumaBagelle
    @JumaBagelle 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mangungu ajiona akikashifu Yanga mwanachama wa Simba watampenda akilii ykee ni kma lile jichwa lkee jichwa mchungwaa

  • @NelsonMatambo-m3i
    @NelsonMatambo-m3i 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uko sahihi najuwa makolo watakutukana maana hawapendag ukweli

  • @alfredbowa9677
    @alfredbowa9677 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mandundu ayajielewi, Mangungu uso wake unaonyesha kama nyaya zinacheza

  • @NghabiYohana
    @NghabiYohana 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Manara muongo muongo ila anajua kupangilia maneno na historia ya mpira wa Tz anaijua vyema sana.

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Uongo wake ni nini? Mbona historia hii iko wazi? Wakati mwingine heshimu historia hata kama hupendi!

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa huyu ndo msemaji. Unajua mtu akikuita majinga hutakiwi kumwambia Mimi siyo mjinga, Bali mpe sababu kwamba wewe siyo mjinga. Huyo ndiye Manara Safi Sana. Mimi ni Simba lakini umenifunza kitu.

  • @kalistussimon2171
    @kalistussimon2171 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu mzee mwamba

  • @allyjackson6964
    @allyjackson6964 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukweli ni kwamba ngungu anazeeka vibaya😅😅

  • @paciencemaumba7022
    @paciencemaumba7022 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uwafundishe hawa

  • @emiliankatura1684
    @emiliankatura1684 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu Mangungu ni mzigo.

  • @AishshibnShibani
    @AishshibnShibani 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Story ni zauwongo apo nimadhabi wasimba walienda kupokea timu yao simba ilimtoa zamaleki na ndio arai mkapa alikuwa anatoka safari sio nyerere wala sio timu ya yanga ndugu😊😂😂😂

  • @nsubisimwasandende-kl9vy
    @nsubisimwasandende-kl9vy 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu jamaa ni encyclopaedia .... namshauri aandike kitabu chake hili taarifa ziwe kwenye kumbukumbu sahihii au aandae documentary

  • @SundayMbatia-hr8qp
    @SundayMbatia-hr8qp 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukisema yanga pekeake ndo kapgania uhuru unakosea sana. Uwezi kutaja uhuru wa nchi hii bila jina la mzee Abdul Sykes. Aya tuambie uyu mzee Sykes alikua timu Gani???

  • @lilmojr7
    @lilmojr7 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamani uongozi wa yanga mna mpango gani na manara?mko kimya sana mmepanga kumpa nafasi ipi ndani ya klabu yetu..!!??

  • @SylvesterKameo
    @SylvesterKameo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Young Africans ilianzishwa mitaa ya uswahilini Kariakoo walikoishi wananchi wa kawaida (makabwela). Simba kwa wakati huyo Ikiitwa Young Asians baadaye Queens club kabla ya kuitwa Sunderland iliazishwa mitaa ya Upanga kwa walikoishi matajiri wa kiasia (mabwanyeye). Kwa hiyo Young Africans ikawa ya watanganyika wazawa (wananchi) na Sunderland ikawa ya waasia na wazungu. Kati yao ikaanzishwa cosmopolitan Football club ambayo maana yake isiyoegemea taifa lolote. Mwaka 1971 Sunderland iliitwa Simba baada ya mzee Karume kupiga marufuku vilabu kutumia majina ya kigeni.

  • @NicholausFungo
    @NicholausFungo 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lile lizee lenyewe ndo lilofa tena lisilojitambua ndo maana hata cheo chake limefanywa rubber stamp

  • @ahmeddarus7080
    @ahmeddarus7080 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uko vzuri sana umechambua vzuri sana Bugatti

  • @kennedypeter3227
    @kennedypeter3227 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hongera kwa kutoa elimu nzuri ya mchango mkubwa wa yanga katka historia ya ukombozi wa nchi hii.

  • @sleymanshaffih-vj5pq
    @sleymanshaffih-vj5pq 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kiukweli inashangaza sn na inafikirisha sn hawa wanao semwa kuwa walikuwa malofa nivip hao malofa wamekuwa na Makombe mengi ya ndani kuliko hao makolo hii timu yama kolo ina wazee wahovyo sn.

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wao madunduka,ndio " Malofa " timu haijakamilisha mchakato wa mabadiliko,lakini tayari " inamwekezaji --- kama sio ulofa ni nini ? Kuikubali ofa ya bil 20,za Mo kabla ya kuifanyia tathimin club yao,kama si " ulofa ni nini " kwahiyo ni kweli kuwa Madu club yenu thamani yenu inathamani ya bil 20 ? Kama si ulofa ni nini. Lofa wa kwanza ni yeye mwenyewe,anawaongoza malofa wenzie .

  • @paschalbuzeri2111
    @paschalbuzeri2111 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mda wote naamin Sana maneno yako (ndio sbb wanakuchukia" Unajua sana) we ni zaid ya msemaji;;; Nataman siku 1'
    uwe Rais wa TFF: