Hapo mnapokosea nakumbuka Serikali ilisha tamka kwamba huo sio ukweli ila nisanaa huyu Bwana hamiliki kiwanda Cha kutengeneza Magari Wala Beatri ya Gari mtangazaji usipotoshe umma
Fikra mbovu kabisa hizi!! Kuna bidhaa kibao, zikiwamo hata hayo magari ambavyo vifaa mbalimbali vinakuwa outsourced kutoka kwenye kampuni zingine! Kwahiyo kwamba eti hana hata kiwanda cha betri ni hoja isiyo na maana yoyote!!
Mfate clouds itakua rahisi kumpata brother
Mambo vipi,,,, Naomba kupatiwa namna ya Kufika kwenda kuonana na Mr. Masudi (Kipanya),,,, Nipo DAR....
Ushasema