ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Ahsante kwa ujuzi mpenzi, unafundisha Vizuri sanaa. Nilimsuka mtu passion twist nywele zake zilikuwa natural fupi nilipata shida kuifunika japo nilikuwa na Gel, naomba nisaidie nifanyeje mpenz ili siku nyingine zisitokee
Amependeza sana
Asanteee ❤❤❤
Nzur
Asante ☺️
It is cute by the way
Brazillian ocean dear
Mnapatikana wap
Hiyo nywele ya Brazilian ni lazima kuichanganyia
Nzuri sana, kama hivo unasuka shingapi?
65k kila ktu kwangu
Hiyo curly n nywele gani dear❤️??
Passion twist ni mbunda ngap
Passion twist bunda 2
Inadumu miez mingap
Mwezi mmoja na wiki hvi sio miezi mingi
Passion twist unatumia bonda ngapi
Bunda 2-3
Izo curly hair zinaitwaje
Brazillian ocean from Darling
Ni bunda ngap umetumia
Bunda 2 passion twist na nusu bunda afro kinky