ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
I love it
Thank you 🙂😊
Naomba unifundishe kubandika kope dada
Kwenye hiyo video dear unaweza jifunza ila nitapost video nyingine hope utaweza jifunza huko pia
Alf qwn mtu hutumia mikono kueka lashes
Ndo njia rahisi
Umechafua eyeshadow yako jicho la mwanzo
Asante dear kwanza kwa kuangalia video zangu thank you so much. Hahahaha yani nakwambia hiyo lashes ilianza kunitoa kijasho ikabidi niiache tuu hivyohivyo hopefully umeenjoy video.❤
Nashkul umenifungua akili
Karibu sana
Je hizo kope unakaa nazo muda wa miezi migapi au
Hata siku mbili au moja ni wewe tuu
Kwakwel hii gundi ni mizinguo sana
😂😂
ASANTE
Karibu