Habari kaka. Nimejitahidi sana kufanya international account lkn nimeshindikan. Naomba unisaidie kutengeneza iyo account mwaka wa pili huu nmejarib lakn imeshindikana
Bro mimi ni mwana Michezo na nawish sana one day tiktok ije kuniingizia pesa nyingi sana kutokana hii sanaa yangu ya Michezo ninayofanya nafanya sarakasi pia ni mtu wa mapigano
Hey brooo mimi nimecreat account ya tiktok internation lakin kwenye monitization yangu video awards do haipo lakin hvyo vingne vyo vipo je apo itakua imekamilika ama?????
Imekua ni Muda Mrefu sanaaa nikifuatilia hili nimekutana na watalamu mbali mbali wa Mitandao wakaishia tu kuni Scam Mpaka nikakata tamaaaa Leo nimefurahii sanaaa kuionaaa hapa kwako🫡🫡
Bro big up sana,, ila Kuna vitu sija vielewa,lakini naomba uweze kunifungulia na Mimi hio business account. Make naisikiaga mda na nimeshawahi kujalibu kuifungua nikashidwa please help me.
Kaka naomba nisaidie na mimi account nimeshajaribu kutengeneza mara kadhaa account lakini nashindwa na niliyonayo sipati followers na like ninaimba nisaidie kaka
Habari yako bro... Nina uhitaji na hii account ya international kwa kuwa nina taka kumake money kupitia video games. Mana nina influence kubwa sana kwnye gaming na nimeona account hii inaweza kunitoa kimaso masoo pleaz pleaz bro naomba unisaidie kwa hilo🙏🏿
Oyaaa weeeeee umenipa mwanga bl aaaaaa maanaa nimee sotaa sana ila daah Sasa kama unaaaa computer bl unafanyaje maana aaa na shida nayoo sanaa bl ni saidie kakaaaaa
Asante nimeweza kutengeneza
Asante kwa ushauri mzuri
ongera kaka umeisha ufafanuzi mzuri sana
Hongera sana nimekupenda maelezo yako .🎉❤ Nakuomba unifungulie ancout nigei number yako tuwasiliane
Naomba unisaidie jaman kaka nahtaj na mm japo ikiweze kana kama una wsp niunge
Habari kaka. Nimejitahidi sana kufanya international account lkn nimeshindikan. Naomba unisaidie kutengeneza iyo account mwaka wa pili huu nmejarib lakn imeshindikana
Nimevutiwa bro
Broo natamani can kua naiyo akauti lakn na shindwa kutengeneza malanyingi nawafatilia to lakn ata sielewi naomba unisaidie
Bro ningependa kuipata account hio kwa sababu itanisaidia kurusha content zangu za kuinspire Martial Arts and Physical fitness training.
nimevutiwa sana tuu.sikuvutiwa tuu naitaji kuwa naakaunti ya kulipwa ya tiktok
Bro mimi ni mwana Michezo na nawish sana one day tiktok ije kuniingizia pesa nyingi sana kutokana hii sanaa yangu ya Michezo ninayofanya nafanya sarakasi pia ni mtu wa mapigano
Mimi nimeipenda sababu itanifanya niwek huru sana kutengeneza content njing zaidi nazitakiwa zinaenda vairo sana
Hey brooo mimi nimecreat account ya tiktok internation lakin kwenye monitization yangu video awards do haipo lakin hvyo vingne vyo vipo je apo itakua imekamilika ama?????
Nataka kujia pesa zitatokaje na je wewevhuwezi toa huduma ya kufungua hiyo account?
Imekua ni Muda Mrefu sanaaa nikifuatilia hili
nimekutana na watalamu mbali mbali wa Mitandao wakaishia tu kuni Scam
Mpaka nikakata tamaaaa Leo nimefurahii sanaaa kuionaaa hapa kwako🫡🫡
Bro big up sana,, ila Kuna vitu sija vielewa,lakini naomba uweze kunifungulia na Mimi hio business account. Make naisikiaga mda na nimeshawahi kujalibu kuifungua nikashidwa please help me.
Nahitaji kwaniri ya kufanya contet nipate pesa kwajiri ya wanangu
Kaka naomba nisaidie na mimi account nimeshajaribu kutengeneza mara kadhaa account lakini nashindwa na niliyonayo sipati followers na like ninaimba nisaidie kaka
Naomba msaada wako hata pesa nitangaramikia ilimradi nipate iyo accaunt
Nahitaji hiyo account kwa ajili ya kutangaza kipaji changu cha uimbaji nisaidie plz
Habari yako bro...
Nina uhitaji na hii account ya international kwa kuwa nina taka kumake money kupitia video games. Mana nina influence kubwa sana kwnye gaming na nimeona account hii inaweza kunitoa kimaso masoo pleaz pleaz bro naomba unisaidie kwa hilo🙏🏿
Nahitaji hii acount kwasababu nina pesa nyingi kwenye acount yangu lakini siwezi kuzitoa so nitaingina nayo live alafu nijigift zile pesa nizipate
Nataunifu ndishe gisi ya ku busti acti
Je local account hauwezi kulipwa
nitafurahi kama nitapata hiyo account kwa ajiri ya video zangu za mpira za uwanjani pia hata mazoezin
Nakuomba mkuu unitengenezee accaunt mkuu nakuomba sana
Je followers Wa kununua inawezekana
Nahitaji kwa sababu kila nikijaribu kufungua akaunti inagoma
Kwan huwez kutengenez bila lap yop
Je vp kuhusu south africa
ASA mbona hamna nchi za africa
Naomba niwe mm kaka ntakuwa mfuasi wako
Mimi nahitaji account ili niweze kutengeneza pesa za kujikimu kimahitaji yangu mengine❤
Mkuu nipe mawasiliano yako unipe akaunti sasa
Mkuu umenitangaza kabsa tena shida imekuwaje maana naona na comment umefuta kabsa😢😮
Hapana sijaifuta kwenye channel yangu sijaingia nina wiki sasa kwasababu ya ubize mkuu
Nawezaje kupata mawasiliano yako nikupatie account ?
Mkuu samahani mbona kwangu nafungua inagoma
Naomba unipe hiyo please🙏🙏
Hadi mimi nko na moja hulipa vizuri
Na mm nieleweshe nijue
Me naona akaunti nimekosa tu 😢😢
Mkuu kua mpole akaunti unapata mpaka sasa hujanipa mawasiliano yako, nimekuambia andika namba yako ya simu kwa kutumia emoji za namba
Natafuta sana namba yako mwamba
Huwezi kubadili account ya zamani nakuwa international account
mbona hajibu
Shusha namba bana tukupigie
Naomba naomba namba yako
Broo naomba namb please
Kaka mimi sinatra compyita
bro mm naomba unipe inisaidie kulipa kupata fedha nikalipie ada chuon
Oyaaa weeeeee umenipa mwanga bl aaaaaa maanaa nimee sotaa sana ila daah Sasa kama unaaaa computer bl unafanyaje maana aaa na shida nayoo sanaa bl ni saidie kakaaaaa
Xaf xans
Mbona hiyo akaunti sijapata na me ndiyo umenitangaza kuwa ndiyo nahitaji kupata veep sasa huo mwongozo mkuu😮😮
Naomba namba ya Whatsapp
au bl naombaa no yako ya Whatsapp kaka aaaaa 💯🫡