MAMA YANGU《Mama ni mama》 |ep 2|
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024
- #Bhailam#Naomy#comedyplus#2024#
⭐⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use Sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
For Sponsorship, Advertisement/Marketing And Booking,
Please Contact Us Call/Whatsapp : +255758515863.
Video content managed by : Nasry Khan (Bhailam)
Subscribe hapa : / @comedyplustz
Subscribe hapa : / @bhailamkhan
Like Ukurasa wetu wa Facebook : / comedyplustz - ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
Mama hata awe vp atabak kuwa mama mama2❤❤nawaombea wamama wote Allah awape kheri Na baraka tele hapa duniani mpk Akhera 🤲🤲
Aaah wanaopenda mama zetu kama bahlam mko wapi 🤣😹😹🤣
Mimi apa nampenda sana mamangu 🎉🎉🎉
ila mama kama huyu hapendekii
@saumodzumbo9671 N kweli lkni huwezi kumkata
@@MwanalimaMwalimu-c4m Kabisa mm mtu akimsema vbya mamangu tushakosana
@@saumodzumbo9671 atakama mazee yeye ndiye wako mzuri utampata wapi
Mamã ni mamã,tuwaonbeye Duwa mamã zetu,kuliko kuwanyayassa,maiwa kua wakina mamã zetu 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mungu atupe subra kwawazazi wetu duuuuh
Bailam unajukuta konde boy mjeshiiii 😅😅😅
Sele ungeshimama babaako angekukata miguu kabisa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sele katimua mbio kuona panga😂😂😂😂😂😂
Ila Mr masoud namkubarii sana sema mkeo Jaman Draaaa nasikia aibuu😅😅😅,team bhailam hamkeri wala hamboiiii🔥🔥🔥🔥🔥
Ila uyu mama daah😅😅
Mchonganishi
Huyu mama anafaa kumbadilisha na viazi 😂🔥🔥🇲🇿
Kazi nzuri bro bhailam mzee simba janet mzee simba Big up sana
Mama kama uyu hasara tupu wallai.. Masoud akataa simu aona haya mke amskie mamake chapombe 😂😂😂 nacheka Km mazuri
Selemani anamundeya ❤❤🎉❤😂muzesimba Baba yake
😂anapenda Mama yake Selemani ataki wakumuzi😂
🙏tumwombe mungu atujalie mwisho mwema amina
Kazi nzur sana bhailam kesho👍👍💖
Tupo kabisa
😂😂😂ila uyu mama 🙌😁
Uko unamulezaya Mama yako iko anakunywa
Mutoto anaishiwa 😂😂❤❤
Huyo kaka ake sele anakosea hakuna km mama hata awe vipi
13:38 ati mlevi hana mana😂😂😂 ye mwnyw mlevi😅
😂😂😂😂😂😂😂😂bhaillam ungekua mwanaumee kweli ungesimama.mbonA mbio
Kazi mzurii bhailam
Asante mwenyezi mungu kwakuturinda adi tunaenda kuvuka mwaka tukiwa nanguvu💪 na aman katika nchi yetu ya TANZANIA comment amen
Amen 🙏
Ukipata mama Kam. Huyu ni msiba😂😂😂😂😂
@@sofiakinyia2734 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hakika😊
Nakupenda sana mama ❤❤
Napenda kazizennu
😂😂😂bhailam panga ilo😅😅 wajifanya zakutosha ungesimama kikukute kitu 😅😅😅ndio mama ni mama lakini uyo wako kazidi😅😊😊😂😂🎉🎉❤❤
Dah mama ake bailam ananifulaisha😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 yaani huyu mama wetu anatisha 😂😂😂😂😂
Wapi kheirat na Naomi twawamiss sana
Massoud big up sana...utafika mbali kakaa..🙌🙌🙌
Huyu mama ni balaaa 😂😂😂😂😂
Huyu mama anajua sana kuekti
We mama sele umezidi uchonganishi sana
Mama ni atari kwa kuchoganisha
Kazi nzuri mashaulllh 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huyu Mama Amewezaaa❤❤ Bhailam Simba unajua bwanaa Wakatae tuone
kazi nzuli sana Bhailam
😂😂😂😂ila huy mama kacheza sana daah nacheka tu km chiz anavyompeleksha bhailam
❤🎉🎉❤😂
Kweli Mama ni Mama haijalishi ana tabia gn ama mapungufu gan 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂mbona uyu mama ni kama mlevi wa kweli sio kuihiza tu???
Kazinzuri sana
My creator🎉🎉
Massude ni muoga sana😂😂😂
❤❤❤🎉🎉🎉 mama ni mama lkn huyu amezidi ndipo
🤣🤣🤣🤣 4:45 huyu mama
😢😢😢😢😢😢😢😢😢Mungu wanguu mwanamke mnafiki umeendaa kuaza fujoo sahii udanganyaa etii umepigwaa
Nimegundua huyu mama analewa kuondoa stress na bailam kawa kbaka kukosa matunzo ya wazaz😢😢
Isabella kwann unamponza mama kwa pombe😂😂😂
Ila mama sele kaniua😂😂😂😂😂
Naomie Mbona anapoteya saana muni rudishe please 🙏
Ile huyo mama chizi😂
😂😂😂😂😂 ila mmke bhailam eeeh umezidi ugombanizi
janet nimekuona jana buza dear
Mmh huyu mama kazidi hata kama mama ni mama
😂😂😂😂😂biii mkubwa anazingua sana
Mama na baunsa wake bhailam😂
😂😂😂😂😂😂
Ila uki angaliya selemani ana makosa au anafanya ipasavyo ki ukweli muvi zeni zina tufunza san mungu Awa bariki 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
😅😅😅😅😅mamaaaa
Ila mama sele😅😅😅😅 unachosha😅😅
Mama Sele😢😂
Wahenga walisema kuwa hakuna kama mama wanao pinga wako wapi
❤❤🎉🎉
😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Bhailam poyoyo na hyo bi mkubwa wake yani wakera 😂😂😂😂
Wa 9 ku comment
😍🇹🇿
Tuko hapa
Jamni naombi tunamtaka naomi atumuoni
😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Sipendagi bailam unavyoongeaga kama Teja
Hii movie sijaielewa hata ile kidogo
Kula mtori,nyama zipo chini😊
Bhailam type sheet🎉
🎉🎉🎉🎉😂😂😂❤❤❤
Nawapa pongezi kwa kazi munayo ifanya mbona Naomi amepotea kwenye izi filamu mpya zote
Kume kuchaaa
Muendelezo pl qs
❤❤❤❤
Hatar
Sele anampenda sana mama yake ila mama sasa ansmpenda kijana wake masouf
Wa kwanza apa
Huyu mama darasa
Jamani Naomi Alienda Wap 😢😢😢😢😢
Nazan mimba imekuwa kubwa au kajifunguaa ndo maana haonekan kwenye kazi
We sele
Huyu mama kiboko
Uyu bi mkubwa kafanana na grace mapunda
Ni mtoto wa dadake😂
Umejua kumfananisha
Ila huyu mama anamkosea bhailam sana
Na mpk bailam kuja kushtuka kama njia anayopitishwa na bimkubwa wake ni siy atakuwa ameshachelewa sana
Ila move ya shetani na ya diwani na ya my family imeishia wap jaman
Wakwanza hpa
Kwa hiyo bailam hukuliona jina kingine mpk ukajiita Sele?
My likes
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇧🇮🇸🇦
Ukiwa na mama mwenye vitendo kama huyu ukijua unamuuza
Walai bac anakera kinoma😂😂
@@barakajoackim-xu3hi... Tena bei dunii hasaa
😂😂😂😂😂