Hapa tumepigwa case ya nyani tumbili asimame kama mwanafamilia,hii inaonyesha family wameshinikuzwa kukubari ndo maana wanashindwa kuongea,haya all in all marehem amefariki
Point kuu ni kwamba mtu alipotea tangu tar 11 alafu taarifa zikasambaaa na watu kwenda mahosipotal awejeee taarifa ijeeee kuwa juli uko mwananyamala wakati tayari walipitaaa watu kuulizia wakaambiwa hayupoo cz mwaandishi kakuulizaaaa hilo swali ukalikwepa au ninyi unajua kilichomuuua
Kama kweli alipata ajali,Je sehemu ya tukio hakuna Uongozi wa Mtaa ambao ndio wangekuwa wakwanza kutoa taarifa polisi? Je,hakuna CCTV camera maeneo hayo? Kwa mujibu wa kauli iliyotolewa na Mke wa marehemu,nikwamba alizungukia vituo vyote wa afya&vituo vya polisi nk,lakini hakuweza kupata taarifa yoyote kuhusu mahala mume wake alikokuwa. Sasa iweje taarifa za mume wake zitolewe baada ya siku zote hizo? Kama kweli Maiti ilikuwepo huko Mwananyamala,mbona mkewe hakuweza kuiona au kuambiwa na wahusika wahospitalini hapo? Kifo chake kina utata! Huyu msemaji wa okoo anadoji maswali!
Mke wa marehem hakuitaja hospital ya mwananyamala jaman binadam tushukuru tu ndugu zetu wakishakufa ni kushukuru Mungu sabb yeye ndiye anapanga kifo chetu😢
Mngengenyamaza mjipe mda ninyi wenyewe ndio mtoe taalifa kwenye vyombo vya habali naona mnajibu jeuli sana wakati chanzo cha tahaluki ni ninyi wenyewe sasa mnajibu jeuli majibu hatuyaelewi hapo kosa la vyombo vya habali ni nini?
BORA UNGENYAMAZA TU MAANA HAUJUI HATA KUELEWA MASWALI,HUAJUI KUJIBU UNACHOULIZWA,UMELISHWA MANENO,MAANA SI LAZIMA KUJUA KILA KITU,ILA KAMA HAUJUI SEMA HAUJUI
Huyo yupo sahihi sana kwa sbb ya maneno yalioenezwa mitandaoni lazima aongee hivyo kwa uwelewa wangu yupo sahihi sana ndugu zangu tushukuru Mungu kwa kila kifo cha ndugu zetu🙏
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Mwenye majibu yote ni marehemu. Mungu awape faraja mke, watoto na wazazi.
Roho imeniuma kuondokewa na mume anaepambania familia,Rest well mkaka mzuri nimelia sana
Pole
Yaani mlipoenda hamkutambua leo mmeitwa mkautambua 😅😅😅 hii nchi ngumu sana hii na yaelekea tutazidi kupotea sana aiee
Mkuu wa wilaya kaja kuongelea familia ya Ulomi ..!?!?
Iko namna ..
Iko spinning inafanyika apo kwa nguvu kubwa mno
Ni kweli kabisa
Yaan huyu hata maneno yake hayana huzuni yaan ankubaliana tu na kila hali
Family ishazumgumza kwaiyo weñgine inabidi muamini ivyo kama family inavyo àmini
Mungu 2 jo anakuwa ukweli wakifo chanduguyetu uyu😢😭😭
Amina😊
Polen familia, Nimependa maelezo
Huyu kaongeza utata tuu. Ajali yenyewe hata haielezwi hata ikitokeaje 😮😮😮😮
Kuna utata sema family ishawekwa sawa nasi tukubali
Huna maana kabisa kichwa maji machafu ya chooni
Utata gani
Aise kumbe anaeongelea msiba nimkuu wa wilaya 🤔🤔,
😂aisee kumbe nilichokisia ni kweli
Mkuu wa wilaya si mtu tu kama ww ana ndugu jamaa na marafiki
@@ramadhanrashidmthailand9553 yes huyo ni dc wa ubungo
Dada zari uyu jamaa unazidi kumchanganyia maswali momi namona kama kalewa ni huzuni lakini msrmaji wa familia kanifanya nocheke sana
Yani unajibu vibaya kama umelogwa kha
Majibu yanatia shaka
Msemaji mwenyewe kumbe mwana si-hasa tena serengeti boy 😅😅😅Na watu km hawa siku ingine ni.kuwatimua aisee ili wapate akili na kuogopa kudanganya
Mbona msemaji kama asotaka kuhokiwa kwani watu wakikuamulia mabaya wanaangalia ni mtu wansmna gani jamani uyu vp?
Wlmurisema taree 11 murifika hospitari hamukumtabua jana ndoo mkamtambua mwiri umevimba acheni upumbavu wa kutufanya watoto sisi
Baaaasi nilikuwa sijaelewa hakuna msemaji wa familia hapo
Hebu tuambieni hiyo ajali ilitokeaje km kweli mlishuhudia
Hapa tumepigwa case ya nyani tumbili asimame kama mwanafamilia,hii inaonyesha family wameshinikuzwa kukubari ndo maana wanashindwa kuongea,haya all in all marehem amefariki
Poleni sana. Msemaji wa familia ni ,,,,,, lazima anyooshe maelekezo.
Poleni sana wana familia
Sf sana tabu yanjaa moja kati maswali nilikua najiuliza sana ambayo nimuhim mno
Huyuu..Hassani mmmmmmh hana hata point anaongea kama mlevi😂😂
Jamaa analinda tumbo/kazi yake. Sijui kwanini family wamemfanya kama family speaker
Sijamwelewa kabisa
Mbona kauri.ya Hassani na mwandishi.haziendani mwandishi yupo sasahihi. Lakini Hassani anaropoka hanapointi
Kuongea mbele za watu ni kipaji ndug
Jee alikuwa hana simu jee simu yake ikowapi. Siri yote kwa kwa simu
Lzm kasachiwa tu mapema sana,wale wanaondokaga na Kila kitu,na hao ndio waliharibu Kila kitu
Mmmmh hamna kitu hapo hawa nao washalishwa matanga pori 😊😊😊
Yani ma nyie familia mnatuaminisha kuwa ni ajali 😮😮??
Huyu mjomba anatafuta urithi wa mali mwangalieni sana
Jaman huyu mtu anawajibu jeuri,kibabe kasahau waandishi ndiyo walisambaza habari hadi maiti ikatambulika Kwani familia imekosa msemaji 😭
alihudumiwa vipi bila pf 3 ,hawa kenge wanataka kutuchezea
Kwa niaba yake basi mkewe akabidhiwe hiyo mizigo huko bandarini
😢😢😢
Mwandishi wa habari uwezo wake mdogo sana
Wewe mkuu wa wilaya umesema kuwa siyo msemaji wa jeshi la police mbona unasemea jeshi la police usalama barabaran
Maajabu na ndo mwenyekiti wa ulinzi na usalama wilaya
Point
Yani nyie viongozi mpaka tuwamarize nyie ndoo mnashika adabu ya kusema ukweri
DC Ubungo! Mh HASSAN, : AJALI AJALI AJALI..MMMMHMM RIP , MAMA MFIWA POOLE SANA NA WATOTO NA NDUGUS.
Point kuu ni kwamba mtu alipotea tangu tar 11 alafu taarifa zikasambaaa na watu kwenda mahosipotal awejeee taarifa ijeeee kuwa juli uko mwananyamala wakati tayari walipitaaa watu kuulizia wakaambiwa hayupoo cz mwaandishi kakuulizaaaa hilo swali ukalikwepa au ninyi unajua kilichomuuua
Kama kweli alipata ajali,Je sehemu ya tukio hakuna Uongozi wa Mtaa ambao ndio wangekuwa wakwanza kutoa taarifa polisi?
Je,hakuna CCTV camera maeneo hayo?
Kwa mujibu wa kauli iliyotolewa na Mke wa marehemu,nikwamba alizungukia vituo vyote wa afya&vituo vya polisi nk,lakini hakuweza kupata taarifa yoyote kuhusu mahala mume wake alikokuwa.
Sasa iweje taarifa za mume wake zitolewe baada ya siku zote hizo?
Kama kweli Maiti ilikuwepo huko Mwananyamala,mbona mkewe hakuweza kuiona au kuambiwa na wahusika wahospitalini hapo?
Kifo chake kina utata!
Huyu msemaji wa okoo anadoji maswali!
Kwa kutambua mwili sio rahisi manake unaenda bila mategemeo ya kupata marehemu
Mke wa marehem hakuitaja hospital ya mwananyamala jaman binadam tushukuru tu ndugu zetu wakishakufa ni kushukuru Mungu sabb yeye ndiye anapanga kifo chetu😢
Wote tumeshafanywa mazuzu uaani
Dah inauma sana
Mbona yuko ivi kapataje huu ukuu huyu?
Polisi ni polisi hata awe ndugu yako, wana viapo vya serikali hao
Mbona anatabasamu 👀 mh
Poleni sana
Kwani siujibu tu kistaarabi jsmaniiii
Huyu sio ndugu amini nawaambia huwezi kua ndugu akawa unajibu hivi
We daisa wewe unajua ulipigwa au umepata ajali
Waandishi ndio chanzo Cha Taharuki
Dah huyu mtangazaji saut kama ya kapten G
Hayaa sasa Umeshikwa na uwongo wako. Jamani HASSANI pia achunguzwe anaropoka tuu kama mlevi
Mngengenyamaza mjipe mda ninyi wenyewe ndio mtoe taalifa
kwenye vyombo vya habali naona mnajibu jeuli sana wakati chanzo cha tahaluki ni ninyi wenyewe sasa mnajibu jeuli majibu hatuyaelewi hapo kosa la vyombo vya habali ni nini?
Nibora kujiepusha na maneno tu Olomi kashatangulia hilo ndo lakuzingatia angalau mwili umepatikana
R.i.p
Poleni
Semeni ukweli
Mashuhuda wa ajali mbona hawasemi chochote
Hakuna namna ni kukubali tuu
Hiiii family nayo mambo kweri
Ni msiba lakini nimecheka
Eti ndugu jamaa na marehemu kama mnavyowaona
😂😂😂
Acha kujigonga kwa family,kwani hamna ndugu?
Usihangaike kuwaelimisha waandishi wanaotaka majibu wanayoyataka,achana nao tena waepuke kama ukoma
BORA UNGENYAMAZA TU MAANA HAUJUI HATA KUELEWA MASWALI,HUAJUI KUJIBU UNACHOULIZWA,UMELISHWA MANENO,MAANA SI LAZIMA KUJUA KILA KITU,ILA KAMA HAUJUI SEMA HAUJUI
Huyu anaeitwa kiongozi ana sifa sana hana mana pesa mbili
Bwana mungu akawe faraja kwenu
Kwa nini kuna tuzo za wasanii na kusiwe tuzo ya mwanahabari bora ili uchaguliwe wewe unapatia sana
Mungu awatie nguvu
Jamani huruma sn pole mke
daah, huyo jamaaa nilisoma naye chuo aiseee
Huyu nindugu au na mishkaki tu! Kwanini asizungumze ndugu au mke!
Jamani
Acha kujibu dry wakati wewe sio ndugu
Siyo presha ya mitandao ya kijamii
Bado ni hatuelewi kizungumkuti
Wewe ni rafiki cyo mwana familia tuache
Acheni kulazimisha mambo
Poleni wana ulomi
Kwani umeambiwa utambulushe waliopo?
😭😭😭😭
Pia nina mashaka nahii familia hasa kuhusu huyo hassan
Muombe Mungu ukienda chooni usiwe unakunya akili ukaacha mavi
@@hassanlikwenangu8471😂 duuuh nimecheka msibanii nisamehenii
kaka ujaguswa ww
Ww ropokatuu
Hakuna kiongozi hapa
HUYU HASSAN NI NANI? MBONA HAELEWEKI MAELEZO YAKE? ANAYUMBA YUMBA SANA;ANAJIHAMI TU;NI KAMA AMELISHWA MAELEZO
Huyu ni mkuu wa wilaya ya ubungo
Huyo yupo sahihi sana kwa sbb ya maneno yalioenezwa mitandaoni lazima aongee hivyo kwa uwelewa wangu yupo sahihi sana ndugu zangu tushukuru Mungu kwa kila kifo cha ndugu zetu🙏
Jamani kutoaminiana ktk taifa ni kwa kiwango Cha juu sana Kuna maovu mengi yametendeka bila raia kupata taarifa kamilifu hofu ni kubwà kwa raia
Acha kujibu dry wakati wewe sio ndugu
😢😢