The dead sh0ws up at his funeral to chase away his alleged k!ller in Kakamega county

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 144

  • @RamDee_TV_Kenya
    @RamDee_TV_Kenya  ปีที่แล้ว

    What did you think of the video?
    Please remember to LIKE, SUBSCRIBE, COMMENT, and SHARE.

  • @sandrasasha854
    @sandrasasha854 ปีที่แล้ว +10

    The last guy anasema ukweli
    My granny alinikujia Kwa ndoto and the same dream my 2cousins had same dream.This ain't only in luhya luhya land,this is world wide..ni vile sometimes mtu akifa then akukujie Kwa ndoto many pple normally believe ni devil ..that person was among your family so sometimes it's nice to listen to their dreams juu they can even rescue you from danger..may the lord comfort the family.its so painful

    • @comfortmwende
      @comfortmwende ปีที่แล้ว

      The dead appearing in dreams is normal this has been happening to me since my grandma died several times the dreams has saved me big and sometimes I do face hardship after not taking the warning seriously

    • @wkjshsxbbsbs6392
      @wkjshsxbbsbs6392 ปีที่แล้ว +1

      Mm hata kuna time my mum alinionyesha dawa kwa usingizi, nilikuwa stressed up by my mother in law with curses but alipo nionyesha hiyo dawa na akanisho vile nitafanya imagine yote yenye my mum in law alitarget ilibackfire

  • @irenenjagi306
    @irenenjagi306 ปีที่แล้ว +20

    Ya ilagosa pia imfuate aliyetenda hivyo. I miss his music

    • @RamDee_TV_Kenya
      @RamDee_TV_Kenya  ปีที่แล้ว

      Kindly subscribe, we have done his Ilagosa wa Ilagosa's father story. Also there's more to enjoy on our channel. Thank you, be blessed 🙏🏾 🙏🏾

  • @shekilahjerutomuhamed8364
    @shekilahjerutomuhamed8364 ปีที่แล้ว +5

    Good job Ramc 👍 waluyha Nini uwasumbua ,ghai unakill mtu ufaidike n nini,,,so painfully

    • @l.comics6348
      @l.comics6348 ปีที่แล้ว

      Who told you ni waluhya huuana. Umeenda Kisii kweli? 😂

    • @essykenya970
      @essykenya970 ปีที่แล้ว

      Dip waluhya tu kabila zote hadi sio tu kabila dunia mzima watu wanauana kwa jambo moja au lingine hasa mali

    • @elvinzihuramyezihuramye3939
      @elvinzihuramyezihuramye3939 ปีที่แล้ว

      Those who inhumanity killed Jeff are luhya's????rather say Luhya's find ways to haunt the killer.

  • @maureenadhiambo2419
    @maureenadhiambo2419 ปีที่แล้ว +10

    So this things are really,I thought ni kwa Nigeria movie tu🙆🤔

    • @riridre4186
      @riridre4186 ปีที่แล้ว

      Hizo movies have truth to them,life is spiritual

    • @terrytee6507
      @terrytee6507 ปีที่แล้ว

      They are real I remember my Luhya colleague passed and on his burial day the ceremony started well but After 30 minutes the casket opened by itself.. When people checked in, the body ilikua imefura adi hatoshei na sanduku haiwezi fungika tena.. The family talked to the dead ndio mwili ikarudi normal pole pole then removed his socks.. I don know the meaning but this have me chills.

    • @thepatriotickenyan1
      @thepatriotickenyan1 ปีที่แล้ว

      Good grief! Mila za Waluhya ni moto wa kuotea mbali.

  • @godisabletv362
    @godisabletv362 ปีที่แล้ว +2

    Ramsey apo ni western tuna tabia zetu tu😂😂😂 and only in kakamega izo county zingine zicount out😂😂. Mna bahati hajatoka Kwa jeneza atembee,😂😂😂😂,
    Anyway kitu kama hiyo ikitendeka, mhushusika au wahusika huwa karibu na maiti apo2,, alafu mm nashuku uyu jamaa umehoj WA mwisho huyu😂😂😂 mbn anajua kuchoma soul ya Mtu😂😂😂ama pia anafanyaga😂😂😂

    • @floryn1636
      @floryn1636 ปีที่แล้ว

      Bunyore nayo nimejionea yangu yote😅😅😅🤗🤣

  • @liliannatasha3075
    @liliannatasha3075 ปีที่แล้ว +7

    Waaah pia kwetu ishai tokea my cousin aliuwawa yule mtu alimua akakam mataka upepo ilikua apoa alitoka kwa sanduku ata 2 days mwenye alimua alijilete nyumbani usicheze na waluhya ni hatari

    • @RamDee_TV_Kenya
      @RamDee_TV_Kenya  ปีที่แล้ว

      Waluyha ni hatari 🔥🔥

    • @godisabletv362
      @godisabletv362 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂 y lugari 😂😂😂

  • @karendikitchen8439
    @karendikitchen8439 ปีที่แล้ว +10

    Mama jeff hata wewe fanyia watu kisanga wawe funzo kwa wengine

  • @jaydeejed
    @jaydeejed ปีที่แล้ว +3

    Hii ilifanyika kwa mazishi ya nyanyangu pia sio lazima kakamega

  • @ashajuma3497
    @ashajuma3497 ปีที่แล้ว +6

    Mbona kwa matanga watu hulia ati mtu aamke waongee Kisha Leo watu wanatoroka hivi jamani

  • @susankkamau623
    @susankkamau623 ปีที่แล้ว +8

    All killers should have no peace

  • @jennyjano3485
    @jennyjano3485 ปีที่แล้ว +1

    Marehemu alikua mubishi enzi za uhai wake😂😂😂😂😂😂ati keeeeee,ama mm n kipofu weeeh,,,kumbe kisii iko kwetu kakamega pia😅😅😅😅part 2 please

    • @RamDee_TV_Kenya
      @RamDee_TV_Kenya  ปีที่แล้ว

      Yep, coming soon. Subscribe and press that notification bell🔔 so as to know when we upload it.

  • @kelvinecheloti6881
    @kelvinecheloti6881 ปีที่แล้ว

    Uongo tu sienzi kabisa ni msimu wa upepo boss

  • @rebecaaura6108
    @rebecaaura6108 ปีที่แล้ว +11

    Sisi kama Waluhya tuna tabia zetu

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo ปีที่แล้ว +1

      Nakubaliana na wewe

    • @godisabletv362
      @godisabletv362 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂 kabisaaaa😂😂😂

  • @essykenya970
    @essykenya970 ปีที่แล้ว +5

    May the his soul fight for his justice may the person who kill him never see peace rip

    • @johnmeshack4431
      @johnmeshack4431 ปีที่แล้ว

      Ata uku upo😂 unasalimiwa na yuzzy.na.stano😂

  • @jacklinevosevwa9859
    @jacklinevosevwa9859 ปีที่แล้ว +1

    Wow kazi poa ramdee umefika kwetu lugari

    • @ramseykigwa4659
      @ramseykigwa4659 ปีที่แล้ว

      Nashukuru sana kwa support yako 🙏

  • @utukufugloria8393
    @utukufugloria8393 ปีที่แล้ว

    But Sahii ni msimu wa upepo mkali tena hio place hakuna miti 🤔🤔🤔

  • @elizabethkhayasi8422
    @elizabethkhayasi8422 ปีที่แล้ว +7

    Mwenye amemua amekujia udongo aende ajidengeneze but hana bahati, marehemu amekataa.

    • @catherinendakwa6777
      @catherinendakwa6777 ปีที่แล้ว +1

      Tayari marehemu asha shika dorian,no escape root for the killer 😅😅

    • @faidamramba4887
      @faidamramba4887 ปีที่แล้ว

      @@catherinendakwa6777 uko kila mahali daa waah haya huku ni kwenu ama vp maajabu haya bt pia kwetu ilitokea hii

    • @catherinendakwa6777
      @catherinendakwa6777 ปีที่แล้ว +1

      @@faidamramba4887 nikose nichekwe,kkmega ni county yangu

    • @jaydeejed
      @jaydeejed ปีที่แล้ว

      Machakos pia ilotokea last year ikiisha

  • @mary-zp2hm
    @mary-zp2hm ปีที่แล้ว +4

    Uchawi n really aliye muwa hana bahati

  • @shilaadxa2943
    @shilaadxa2943 ปีที่แล้ว

    Waah, uyo muuaji alikuwa tu miongoni mwao,

  • @lordbroly2642
    @lordbroly2642 ปีที่แล้ว +2

    wah🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄

  • @chukwethecarAmbulumesheku2002
    @chukwethecarAmbulumesheku2002 ปีที่แล้ว +1

    Pia ya Jeff itajitokeza hivyo we need justice for jeff 😢😢

  • @dianahkebongo9345
    @dianahkebongo9345 ปีที่แล้ว +3

    Mim ni mluya but Pia I saw Kwa kina my mum ni.mkisii something happened na Yule alimuua he died after the burial

    • @jennykabisa3589
      @jennykabisa3589 ปีที่แล้ว

      Wakisii wengine kwa uchawi na wajaluo

    • @lindsieodhiambo4669
      @lindsieodhiambo4669 ปีที่แล้ว

      ​@@jennykabisa3589hakuna Community haina uchawi

  • @ngenyveronicah9073
    @ngenyveronicah9073 ปีที่แล้ว +2

    Also new sub i have to know more about luhyas cultures...

    • @elvinzihuramyezihuramye3939
      @elvinzihuramyezihuramye3939 ปีที่แล้ว

      It's not a culture, rather learn that the dead are still very much around in spirit for they have just moved to where the living cannot see, if invoked they can come back as a good or bad spirit. In Mombasa, you talk of majini.

  • @alimabh4214
    @alimabh4214 ปีที่แล้ว +4

    Mwenye amemuua ako hapo tu kushuhudia akitelemshwa 😢😢😢

    • @RamDee_TV_Kenya
      @RamDee_TV_Kenya  ปีที่แล้ว

      Kindly subscribe to get the next follow up story

  • @emmainyele2700
    @emmainyele2700 ปีที่แล้ว +1

    All western ukiua mtu huwa anarudi kulipisha kisazi

  • @conslatewankio7000
    @conslatewankio7000 ปีที่แล้ว +4

    In love with how you do ur work....voice iko tops.

  • @ngenyveronicah9073
    @ngenyveronicah9073 ปีที่แล้ว +1

    Hapo kwa kuteremsha Petrol mpaka kwa geneza sijapata poa aki🤔🤔Uzi unawekwa kwa pipe? Pipe gani na amedunga na chuma🤔🤔Si mtu anieleweshe🙆‍♂️🙆‍♂️

  • @janetndumi1513
    @janetndumi1513 ปีที่แล้ว +4

    I told you that a luhya blood is a no go zone💪

  • @mercyakech
    @mercyakech ปีที่แล้ว

    Inafaa hivo...Wale waliua servant of God Ilagosa wa Ilagosa msidhani iliisha hicho kifo bado kinaniumiza....

    • @Edgybhthjklew
      @Edgybhthjklew ปีที่แล้ว

      Mmi pia huumia na kifo yake aki😭

    • @mercyakech
      @mercyakech ปีที่แล้ว

      So painful Kuna worship aliimba yesu nena na moto wangu😭😭😭 huo wimbo hua unantoa machozi

  • @Caren254
    @Caren254 ปีที่แล้ว

    Cousin to my dad and his mom waliwaua kwa kuwakatakata 2019 June,lakini Mungu ni nani wote waliowaguza mwaka haukuisha ,walikufa wote Luyhaland 💪

  • @geoffreymuriithi1279
    @geoffreymuriithi1279 ปีที่แล้ว +2

    Walunje mko maneno sana

  • @faithmwangi6207
    @faithmwangi6207 ปีที่แล้ว

    Weeeeh🤔

  • @joylinechelangat1918
    @joylinechelangat1918 ปีที่แล้ว

    Wewe ulifikaje uko na ulijuaje kutafanyika

  • @roselineakinyi8211
    @roselineakinyi8211 ปีที่แล้ว +2

    May his soul RIP ☺️

  • @ruthwaithera4593
    @ruthwaithera4593 ปีที่แล้ว +2

    Ingefanyika pia kwa kifo ya Ilagosa akii

    • @Mariaeboso
      @Mariaeboso ปีที่แล้ว +1

      Ni kama kwa ilagosa wauaji hawakuudhuria matanga yake

    • @ruthwaithera4593
      @ruthwaithera4593 ปีที่แล้ว

      @@Mariaeboso ilisemekana mmoja ni ndugu wake na lazima alikua hapo maybe kuna vile mwili ilifanyiwa before azikwe

  • @nafulaliz
    @nafulaliz ปีที่แล้ว

    Marahemu usinyamaze wamalize wachawi pia wafee fofofo

  • @monicamwazala3669
    @monicamwazala3669 ปีที่แล้ว +1

    Alaa alaa hata huko nikubaya

  • @ruthnangila932
    @ruthnangila932 ปีที่แล้ว +2

    The camera man u r fired

  • @susannaikuni8595
    @susannaikuni8595 ปีที่แล้ว +2

    Hii dunia Mungu tukinge na maadui simama na watu wako Mungu simama na kifo cha ILAGOSA mtetee

  • @melabmoina322
    @melabmoina322 ปีที่แล้ว +1

    Nkama hata hiyo jeneza imeekwa dawa ndio asimrudie lakini wapi congratulations kwa mfu usilale kaburini muandame muuaji kabisa

  • @jackysally7349
    @jackysally7349 ปีที่แล้ว

    Ata mm bro yangu alipasi kifo ya uchungu tu hivyo but mwenye alimua sahi hana maisha mazuri.

  • @sandrakageha9025
    @sandrakageha9025 ปีที่แล้ว +4

    Kama tu mama yangu,alikufa haraka sickness ijulikani kakamega tu kuna watu ni wachawi sana yani

  • @batrish
    @batrish ปีที่แล้ว +1

    waaa iyo ni maajabu bt uyo mtu lazima amufuate

  • @mercyndoli5296
    @mercyndoli5296 ปีที่แล้ว +1

    Nikikumbuka baba alisema nimewasamehe mungu atawaliba inauma saana

    • @RamDee_TV_Kenya
      @RamDee_TV_Kenya  ปีที่แล้ว

      Ukweli kabisa. Malipo ni hapa duniani. May Ken's soul rest in peace. 🙏🏾🙏🏾

  • @aswa3338
    @aswa3338 ปีที่แล้ว +1

    More info ❤️❤️

    • @RamDee_TV_Kenya
      @RamDee_TV_Kenya  ปีที่แล้ว

      More to come on the second part. Kindly subscribe to know when we upload it.

  • @delishabeaut3366
    @delishabeaut3366 ปีที่แล้ว +3

    New subscribe

  • @beety6235
    @beety6235 ปีที่แล้ว

    Iyo inamanisha kua mwenye alimua Ako hapo

  • @abednego2100
    @abednego2100 ปีที่แล้ว

    NA SUBSCRIBE MARA THAT GOOD JOB BROO KEEP IT UP

  • @mariadaniels5653
    @mariadaniels5653 ปีที่แล้ว

    This is normal in luyah land

  • @getrudeliyayi4511
    @getrudeliyayi4511 ปีที่แล้ว

    Good coverage

    • @RamDee_TV_Kenya
      @RamDee_TV_Kenya  ปีที่แล้ว

      Thanks for watching. Kindly subscribe to get more impactful stories.

  • @dolphinenaliaka9796
    @dolphinenaliaka9796 ปีที่แล้ว

    Waluhya is a no go zone yafaa ata akizikwa huyo mtu atangulie kwa kaburi yake ndio wazike

  • @deboraanyango5584
    @deboraanyango5584 ปีที่แล้ว +1

    Oh my goodness

  • @catherinendakwa6777
    @catherinendakwa6777 ปีที่แล้ว +2

    Upwpo umbebe aliyeuwa hatutaki macheso alaah 🤦

  • @Dorcamoraa-v5y
    @Dorcamoraa-v5y ปีที่แล้ว +2

    🙆🙆🙆🙆🙆🙆

  • @tnnpodcastmedia
    @tnnpodcastmedia ปีที่แล้ว +3

    Hii ni big bro

    • @ramseykigwa4659
      @ramseykigwa4659 ปีที่แล้ว

      Ingia whatsApp kaka,hupokei simu mbona

  • @tnnpodcastmedia
    @tnnpodcastmedia ปีที่แล้ว +2

    Waiting bro

  • @felister2457
    @felister2457 ปีที่แล้ว

    Majabu ya musa😳😳😳🥺😳🥺😳😳

    • @RamDee_TV_Kenya
      @RamDee_TV_Kenya  ปีที่แล้ว

      Kindly Subscribe and press bell notification ili uone za virauni part 2

  • @mkenyawakenya5094
    @mkenyawakenya5094 ปีที่แล้ว

    Marehemu anaongea?tunataka kwenda mbinguni na hatutaki Kufa?That is a natural wind. Is it a drama?

  • @kingspalacetv1
    @kingspalacetv1 ปีที่แล้ว

    Wooo

  • @electrapo1184
    @electrapo1184 ปีที่แล้ว +1

    VERY POOR REPORTING...

  • @kelfamedia
    @kelfamedia ปีที่แล้ว +1

    Great one keep up

  • @pamj9v
    @pamj9v ปีที่แล้ว +1

    Hapo kuna mwenye amehusika n kifuo cha uyo marahemu nibahati n mtu mzima angekua mtoto wangeshanga

  • @jamesmurimi7076
    @jamesmurimi7076 ปีที่แล้ว +1

    Pastors walifaa kumuita jina lake na kumuamulu arudi Kwa mwili wake na bila shaka angerudi na kufufuka.
    Kitu kama hicho kikitokea Kwa matanga ni kumaanisha hajafa,amechukuliwa msukule na kuperekwa Kwa ngambosh za kichawi Mahalia ambapo hufanyishwa kazi.
    Baada ya siku tatu mchanga pale kaburini utandindimia na kaburi kupasuka ishara kwamba ametolewa na wachawi.

    • @susanmachayo8845
      @susanmachayo8845 ปีที่แล้ว

      so akisha tolewa na hao wachawi kuna uwezekano akarudishwa ao

    • @jamesmurimi7076
      @jamesmurimi7076 ปีที่แล้ว

      @@susanmachayo8845 Kuna uwezekano akarudishwa rakini Kwa njia ya maombi.Wengi wamerudi na ndio hai hutangazwa Kwa runinga au TV unasikia familia ikisema walimzika rakini wanashanga amerudi.wengine wanaporudi Huwa wamekatwa urimi iliwasitoe Siri.
      Kama atachukuliwa msukule utawasikia watu furani wakisema tulimuona mtu wenyu sehemu furani akiwa mwehu,ukisikia kitu kama hiyo njia ni kweli yupo hai ila Yuko mwehu.
      Ndalili ya mtu kuchukuliwa msukule ni kama ifuatavyo kupiga nduru usiku kama amelala au unasikia akinjiongeresha akiwa usingizini,utamuona amefunga macho usiku lakini anafanya mambo ya kianjabu anjabu na ukimuongresha haongei na ukamuliza asubuhi anasema ni uongo,mtoto alikuwa mwerefu shuleni Kisha anaferi gafra na kurudi nyuma na nakula chakula hashibi na Wala hanoni,mtu anagonjeka anapoerekea hospitali zote nchini lakini haponi wakati mwingine utamsikia akisema eti huo mwili so wake,kuota ukilima,ukizaa au ukinyoshesha ukiwa baharini au watu wanakulisha nyama Kwa ndoto na ukiamuka asubuhi umechoka sana ni ishara kwamba Kuna uwezekano ukachukuliwa msukule.
      Mtu aliyechukuliwa na wachawi huchongewa mgomba wa mtu au wa ndizi,kama amechongewa mgomba wa ndizi akifa macho itabaki inatoa machozi hats siku ya kuzikwa kwake,kama ni mti kama vile muthaduku atatoa ndamu Kwa mapua ,mdomo na macho pia na wengi wao huchukuliwa Kwa njia ya Anjali aidha mtoto amegonga mtoto mwezake akafa,magari barabarani,Meri kunguka na Mili kuonekana kama imekuliwa na wanyama kuangukiwa na vitu kama nyumba au miti na Kwa njia ya moto.
      Wachawi hutengeneza njini kutoka angani jini sheketu,kazi yake ni kuzima sehemu furani za mwili ambazo madaktari hutumia kuangalia kama mtu amekufa au akohai,linaingizwa ndani ya mtu bila uhai wa huyo mtu kutolewa linazima mapigo ya Roho,kupumua,kutembea Kwa kifua, me mengine.
      Wakati wa matanga huyo mchawi atakuja akiwa na mwenda zake na atahitaji machozi ya watu wafamilia watakapolia na kusema amekufa basi anaenda baada ya siku tatu anaenda kaburini na kumtoa mwenda zake,jini linatolewa na anarudishiwa ufahamu nusu na mchawi anamuamulu amfuate.
      Lakini pia haikungi lahisi wakati wa matanga,magari huzima,watu hufurushwa na wanyama kama siafu ,ngombe na pia upepo wa kutisha,mwili unalia au unaamuka unakaa chin,hayo sio mapepo,ni ishara ambayo mwendazake anaereza sijafa msinizike mahitaji muniokoe,sasa ni nani atamuokoa,ni mtumishi wa Mungu aliye na nguvu za Bwana na aliye na ufahamu wa mambo hayo,saduku hufunguliwa na anaitwa Kwa njia lake na kurenjeshwa mara Moja hurenjea na mchunganji atamurudishia fahamu zake zote na anarudi hai.kwa upande mwingine mchawi alikuwa amemchukua atapiga nduru mara Moja na atasema ukweli wote na ni Kwa Nini akafanya hivo na amewachukuwa wangapi.
      Nje,kama wachunganji na kanisha litashindwa kumurejesha na akazikwa(Kwa maana Kuna wachunganji hawajui hayo mambo) atawatokea njamaa zake Kwa ndoto akisema Ako njaa,anahitaji pesa,maombi na mambo kama hayo.
      Kwa njia ya maombi na kumuita nyumbani atarenjea siku Moja.
      Naitwa pastor James na Mungu awabariki sana.

  • @MoNewsofficial
    @MoNewsofficial ปีที่แล้ว

    Maajabu kakamega

  • @wendymaria3199
    @wendymaria3199 ปีที่แล้ว +1

    Kakamega county haikosi drama

    • @susanmachayo8845
      @susanmachayo8845 ปีที่แล้ว

      real life drama na wakisii pia though wakisii wametulia sku izi wameachia walunje uwanja kiasi 🤣

  • @innocentkaramuta8200
    @innocentkaramuta8200 ปีที่แล้ว

    Huyo MTU hajakufa,amechukuliwa na amehifadhiwa mahali,mngejua mngemuombea na angerudi

    • @susanmachayo8845
      @susanmachayo8845 ปีที่แล้ว

      is this true? na unaomba aje maombi tu ya kawaida ama unamuongelesha plz ni jibu

    • @innocentkaramuta8200
      @innocentkaramuta8200 ปีที่แล้ว

      @@susanmachayo8845 heart feeling prayers,maombi Ile ukiomba we mwenyewe haujiongozi, maombi yenye huwezi kufikiria kitu ingine ukiomba,maombi ukiwa unaomba unasahau hata venye umevaa,unakosa kujua kama imesimama,unapenya Kwa ulimwengu WA kiroho

  • @jeptoobiwott9231
    @jeptoobiwott9231 ปีที่แล้ว +1

    May all killers see no peace

  • @mercyetago4020
    @mercyetago4020 ปีที่แล้ว

    These people are not Christians at all. The dead one probably wasn't a Christian. Ancestors only do such things where God is not present.

  • @mkenyawakenya5094
    @mkenyawakenya5094 ปีที่แล้ว

    Superstition still exists in kenya?when will people stop those nonsense 🙄

  • @endonyivikatsi6603
    @endonyivikatsi6603 ปีที่แล้ว +2

    #Ingo home sweet home never disapoints

    • @ceciliathuo8292
      @ceciliathuo8292 ปีที่แล้ว

      Ingo home sweet home sure

    • @endonyivikatsi6603
      @endonyivikatsi6603 ปีที่แล้ว

      Yeah home is the only place you get such amazing scene. Hope you've heard about the Dead refuse to travel back for burial. Hata gari mpya from DT DOBIE Ina knock ikiwa full tank. Only in Ingo there is no place like Ingo

  • @hellenkerry4078
    @hellenkerry4078 ปีที่แล้ว

    Uo upepo ulifaa ubebe uyo mtu

  • @RoseOside
    @RoseOside ปีที่แล้ว

    The killer is there

  • @bongasasa3895
    @bongasasa3895 ปีที่แล้ว

    This is the reason it was soo freaking easy for whiteman to come rule over this continent we believe in ujinga sana wind blows in all directions na ni mungu peke anaweza move it!

  • @opiyootieno2937
    @opiyootieno2937 ปีที่แล้ว +3

    the dead do speak and react according against the witch

  • @floh1737
    @floh1737 ปีที่แล้ว

    You people don't know God.....mngemuombea muone Mungu akijidhihirisha mlikimbia badala muombe nkt
    ALLAHU AKBAR

  • @evansqwetu
    @evansqwetu ปีที่แล้ว +1

    P.A.G

  • @maryandesh151
    @maryandesh151 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣

  • @millicentwesonga7006
    @millicentwesonga7006 ปีที่แล้ว +1

    Kakamega county ya vituko

  • @delishabeaut3366
    @delishabeaut3366 ปีที่แล้ว +2

    Is this true 😂😂😂 or jokes

    • @sheillahgori734
      @sheillahgori734 ปีที่แล้ว +1

      Ogopa waluya

    • @RamDee_TV_Kenya
      @RamDee_TV_Kenya  ปีที่แล้ว +1

      🤣 🤣 It's a true story just as yoi have seen.

    • @delishabeaut3366
      @delishabeaut3366 ปีที่แล้ว +1

      @@RamDee_TV_Kenya ok sir

    • @delishabeaut3366
      @delishabeaut3366 ปีที่แล้ว +1

      @@sheillahgori734 Mimi pia ni mluhya from busi but sahi Niko Canada

    • @sheillahgori734
      @sheillahgori734 ปีที่แล้ว +1

      @@delishabeaut3366 oooh but mwajijua vema

  • @GULF444
    @GULF444 ปีที่แล้ว

    New sub.here.nipen like jamani