When i was young abt 10 yrs ago i never saw any beauty on this girl. But today 2021 I'm watching this vid and im shocked on how beautiful this lady was. This was true beauty ❤
Mimi nimekuja kuhakikisha kabisa 🤣🤣🤣 kweli huyu mkaka huaga hadanganyi kabisa 😂🤣🤣 kumbe kote kasafisha huku 😂😂😂 ndomana bifu aziwezi kuisha 😂😂😂huku king anamtesa mwenzie jaman mpaka na dadaake jirani amepita kote 😂😂😂😂
The most beautiful song from child hood to adult hood king kiba & Queen darling I love this song in 2023 from Khartoum Sudan together tanzanian artist 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tangu nyimbo hii kumjua kwini darling,hakuna nyingine inayozd hii na kwini kupotea mwenye gem,kiba anajua maana ndo aliemtambulishakwini mjini na kujulikana,namkubali sana kiba mchawi wa mzk mzuri.
Queen darlin alianza kuonekana muda kwenye nyimbo ya Abby skilz na Mr Blue naaliendelea kutoa nyimbo baada ya hii pia hii nyimbo ni ya queen darlin Kiba kashilikishwa
Kabla hujawa kingi nakufatilia kabla kakaake na shemeji yetu ajaannza me nakufatilia ww ni noma yani huchuji upotei uko na ubola ule ule kakaangu mpendwa mungu akueke zaidi na uendelee fanya vyema zaidi
Wale tuko 2024 kwa hii ngoma tetemesha like button ✅
Tupo
2024 March Kitale Kenya Hits in Style
Nmeiskia kwa mix flani ikanitake back like maaad! Ngoma safi kabisa!!
2024 tuko hapa 🔥🔥🔥✅✅✅
Wangapi wanaangalia hii ngoma 2023 gonga like twende sawa
Tupo apa
Ndakala man
Siku zoote100
niko
Dah
Wangapi wanaangalia ii ngoma 2024 tujuane kwa like😂
2024 this song reminds me of my child hood memories, now am a father and a grandpa 😮😮😂 Times flies, where is queen D??
How were you child when this song came out and could be a grandpa 😂 😂 i mean this song came out 20 years ago tops
Ali breach siku hizi Ni mzungu
Leo nimerudia kutazama 2024 kama na wewe unatazamq gonga like hapa.
Wale wa 2024 April weka like hapo
Kumbe tupo wengi mediocre imetuleta tujuane jamani😂😂
😄😄😄tumekuja kumuona dada wa mond anavo shikwa
😂😂😂
😂😂
Wangapi wanaangalia iii ngoma 2024 gonga like twende sawa
Am here 👌🏿👌🏿👌🏿
Tupo ndani
Both were still young, raw and beautiful. So full of energy
When i was young abt 10 yrs ago i never saw any beauty on this girl. But today 2021 I'm watching this vid and im shocked on how beautiful this lady was. This was true beauty ❤
😂😂😂😂😂
Hhhhhh
Same here 🤗
Same!!!
Huyo ni real sister wa Diamond
Eeeeh those days the message we used to write on our letters to our girlfriend..2023 who is still around with me
Wacha tu mambo yangu hayo
Sauti Ya Darleen hapa ilikuwa nzuri kuliko ya saizi,,Nani anakubaliana na mimi
Mapenzi mbele. Love this song damn💓💓💓💓
Ata urembo
Mimi dear
Sio sauti hata shape na sura ya zamn ni nzur
Kabisa. Kila kitu kimechange
Back then was the real world now everything doesn’t just seem real and this song will always be a hit
“Wajua nakupenda? “
waliulizana hii swali mara ngapi 😂😂😂 still in love with this song!
Kama mara mia hivi 😂
Moment of silence for those who remembered this song out of nowhere 😂😂💯
😂
Combination imekubali mno naicheki kwa Mara nyngne tena 2024444 king kibaaa
Here in 2022, remembering times when life was just happiness 😊.
And our smile was real
For real life was beautiful that time no stress and I was having car and girlfriend that time I can't forget
And our loves were GENUINE ❤❤❤
Kkollp
❤❤
Alikiba still the king of bongo music
Alikiba is the East Africa king,,, much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
It’s 2022 whose still listening to it , AND RIP 🪦 TO EVERYONE WHO DIDN’T MAKE IT TO 2022 MAY YOU’R SOULS REST IN PEACE 🙏🏿
How will they know they didn't make it to 2022🤣🤣
Just asking for conversation
Anyway big up to all
❤
nwongo
@@johnmwangi5093
@@johnmwangi5093
After a mediocre ndo nakuja tazam this song From Ethiopia naomba like 20 za toosha wa Tz 💕💕💕💕💕 alikiba
alikiba so mchezo nahakuna msanii wakumufikia ngoma zaalikiba hazichuji atausikilize ngoma yake moja kutwa bado tamu kilangoma akiwepo alikiba lazima iwekali💞🙏👍
I love Ali kiba this song reminds me when Life was peaceful
Kama umekuja uku baada ya mediocre tujuane
Tuko huku kuangalia
Hahha hatari
hahahahha
😂😂😂😂
Mimi nimekuja kuhakikisha kabisa 🤣🤣🤣 kweli huyu mkaka huaga hadanganyi kabisa 😂🤣🤣 kumbe kote kasafisha huku 😂😂😂 ndomana bifu aziwezi kuisha 😂😂😂huku king anamtesa mwenzie jaman mpaka na dadaake jirani amepita kote 😂😂😂😂
Alikiba and queen wot a combination love this,since way back.all listen to songs like this forever,alwys fresh and enjoyable.
The most beautiful song from child hood to adult hood king kiba & Queen darling I love this song in 2023 from Khartoum Sudan together tanzanian artist 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wangapi wamekuja after mediocre
Till Now 2023 This Ting 🎵 is on Fire... 🔥💥🔥💥🔥💥🔥💥🔥💥🔥💥 I Remember Those Days When Moment was So Sweet...😍
Ilitakiwa azae nae kabsa😂😂😂
Waaah 🙆 queen Darleen alkua mremb0 sanaaa
Sana
Alikuwa mzuli sana black biuty,,,asaivi kawa mzungu pka sula imekomaa
But how old is Alikiba that man..
Vaa miwani yakoo umwangalie tena 😂
Mi nimekuja kuthibitisha tu Kama kwel ndyo dada ake ukwel nimeujua naenda Tena kwenye mediocre kutia tik☑️☑️☑️
Hahahahah 🤣🤣🤣🤣🤣
Just heard this in a Matatu, back in the house I just had to watch it again.2022 who is still enjoying this bongo flava oldie?
Cool music!.. brings back memories when I was young walking all around with radio in the village listening to the music.
Tuko wengi tumerudi huku😜😜
Kumbe qeen alikuwa mkal hv kipind yupo na king!!
I love this lady till today.
When I crushed 😍 on Queen Darleen more than 10yrs ago. I still feel the same when I watch this song
U loved her
Lovely voice alienda wapi Queen darleen
@@tonimwas5820 ako tu anaimba
King kiba King 1 yan wewe hatal sana umetisha umechana kinomanoma ila Mediocre ndio imefanya nije huku eshima kwako
2023 they're queens and kings.
Queen darleen
Nakupenda saaaaaaana
Hiiii nyimbo enzi zire ilinifunza mapenzi
Kiba the GOAT! Cheers.
Kama mediocre imekuleta kuona mtu alivyoshikwashikwa makalio like😂😂😂
G
Kanyooshwa kabisaa sana tu kisa kumtetea diamond apate nafasi enzi izo 😂 😂 😂
Hah
Hah
Kiba nomaaa
Brings back strong memories of those ancient days full of peace and love
L. Jh. Let h uxxxs
Ngomakal
Tupo Wangapi tunao Check Ngoma Hii Kwa Mwaka Huu 2024
Hit Mpaka Huko
2024 nimegonga,tuko wangapi
Queen darling alikua anajua kuimba Sana🙆
Darleen was in deed the queen back then
Kiba mkali toka zamani mpaka xx bado yuko juu. Big up xn 🙏🙏
Tangu nyimbo hii kumjua kwini darling,hakuna nyingine inayozd hii na kwini kupotea mwenye gem,kiba anajua maana ndo aliemtambulishakwini mjini na kujulikana,namkubali sana kiba mchawi wa mzk mzuri.
Queen darlin alianza kuonekana muda kwenye nyimbo ya Abby skilz na Mr Blue naaliendelea kutoa nyimbo baada ya hii pia hii nyimbo ni ya queen darlin Kiba kashilikishwa
MY KING......(ONLY ONE KING) Yaaaap ...pop it up ....yooo
This song reminds mi when i was psv driver back then in kenya the song was a 💣
What do you do nowadays
Aaahhh the days when I never had to worry 😂
Kiba my everything ♥ nmpenda bure ak ndo zama nlizaliwa ak ♥ 🎶 👌
kumbe Queen Darling ndio aliimba hii song na King KIba, alikuwa one GB
Ulisema hutamsahau 😂😂😂Alikiba the legend 😘😘😘😘
The best bongo of all times..
Nimekubali unacheza na dada zao kweli.........Nilikuja kuthibitisha tu...👍👍👍 big love from Uganda kiba
😂😂
Creativity matters alot in music ...it has agreat theme about love /message ..that is way it will last.....
I was disappointed not to find this song on spotify. It was a good song.
There are quite a number of ways to kill a rat
Someone told me they were siblings 😂😂😂😂 it was always weird how cosy they were in this song
The beat is crazy....Oh oh!! 🇰🇪💯
Africa mashariki Kwa ujumura tuko pamoja.
Elias - Uganda
Alikiba anachekesha (lakin nimekuja sababu ya mediocre)
Kabla hujawa kingi nakufatilia kabla kakaake na shemeji yetu ajaannza me nakufatilia ww ni noma yani huchuji upotei uko na ubola ule ule kakaangu mpendwa mungu akueke zaidi na uendelee fanya vyema zaidi
2023 watching from kenya.please Alikiba bring this lady back to music.she is🔥🔥🔥
She is queen darleen on wasafi record
Alikiba King hawakutoshi.
axsan cod Ali kiba 👍 ok saxib hore u soco
King na qeen kwenye ubora wao😂😂😂
Dah kwel ni king na queen wake
I'm from Somalia watu wana kuNakupenda nakupenda ♥️♥️♥️♥️
Ali kiba ameutumia vizr ujana na sasa ivi wala hana mambo mengi yaan kwa sasa ana enjoy tuuu
2021 still hit.... Dedicated to all beautiful girls
Queen darlin kashawah hojiwa kwanin haimbi hii nyimbo kwe wcb tour kajiuma uma tu
.. Mediocre on fire 🔥
One of the best hit
2023😘😘
We need a remix of this song.. with Ali kiba
Back then when simba was still struggling😢. ❤❤❤❤❤
I used to love this song played it several times
Awesome 🎉 alikiba we love you from Kenya.this Africa nature adventure tour
People change...look how they are
😂😂😂😂
They look like 2 teenagers madly in love😂
😂🤣🤣🤣😂 mediocre imefanya nijee gong lik tujuan
Akishikwa tetemesha roho pagawisha hathari sana king kiba🤣🤣🤣🤣
Hope queen darling bado anakumbuka hizi ahadi alimwambia Alikiba
My hit to date💕💪🔥🔥
Sichezi na Dada zangu nacheza na dadaako hahahaha King wewe ni shidaa
aliyekuja kuangalia hii nyimbo kama mimi baada ya habari za Nyange, hebu like
Fanyieni live show hii ngoma siku moja..
Hizi nyimbo zinakua tamu kama uko na mrembo mwenye unajua kakupenda chaki kweli
I was in Me mom's belly when this song came out she would ding it to mere brings back memories ❤😊😊
😍😍😍😍my king.queen darling is an example maisha ya mwanamke ni fupi kwanza ukishaoleka
guys we are from far perspect the Ali kiba looks as far as now and how he looked back 20 years
Alikiba tabia ya kucheza na dada za watu sio nzul kbisa hahahahaha!
Nimekumbuka hii ngoma Enzi izo kwenye TV za chogo oy sio poa mzee
14/06/2021 ngoma bado Kali tu. Wangapi wanaona Queen alimpenda sana King
Watu wanazeeka haraka sana hapa Ali na queen walikuwa wazur
🤣🤣🤣
this track is on another level, biggest collabo of centuries
I’ll always love this video, 1st time I watched this a big crush on Queen Darleen became imminent, she literally became my girlfriend…..I wish😜😜😜
Life was good during those time, sai tunafikiria bill
Yan akuna kubisha uyu ndo king wa bongo kama unakubaliana na mm gonga like ya nguvu
Queen Darleen alikua mrembo hapa Wueh ☺️💖💖
Imebid nirudi kuhakikisha 👏🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bongo old skuul is the best gonga like if you believe so
Daaahhhh huu wimbo unanikumbusha kitambo sana
Tulio ipitia nyimbo hii kuisikiza tena 2023 tuanee kwa like
Dada wa mediocre yupo na mtalme wa music tz