RASMI AHMED ALLY ATANGAZA HILI LA AWESU AWESU NA YUSUPH KAGOMA SIMBA TUMEKUBALI KUSHINDWA......

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • #BATTLETV

ความคิดเห็น • 90

  • @JosephLamau-yq1lx
    @JosephLamau-yq1lx หลายเดือนก่อน +6

    Simba nguvu moja tujipe moyo maana tunao madui wetu wengi kutufanyia❤ mabaya Mungu Yu upande wetu mwaka huu ❤.tutashinda Kila upinzani SIMBA nguvu mojaaaaaa ❤❤❤

  • @jamesrwenyagira8239
    @jamesrwenyagira8239 หลายเดือนก่อน +5

    Timu 6 ligi kuu zinadhaminiwa na mtu mmoja, hamuoni kuwa kuwa kunaweza kukawa na maagizo kutoka kwa mdhamini kuwa wasitoe ushirikiano kwa Simba ikiwa hata hilo la wachezaji kuzuiliwa kusajiliwa na Simba. Swali: Simba haina wataalamu wa sheria?🙄

    • @juliusjkalela9164
      @juliusjkalela9164 29 วันที่ผ่านมา +2

      Muwe na hoja za msingi huyu anaesema tim 6 kudhaminiwa na mtu mmoja ligi ety Ina tim 16 na huwez kuchukua ubingwa Kwa kuzishinda tim 6 tu na kama ndo hivyo bx hizo 10 zilizobaki zikamshinde yanga ili aspate ubingwa

  • @user-uj5wg9mm2t
    @user-uj5wg9mm2t หลายเดือนก่อน +2

    Dah yaan simba yngu sijui shida inakuwaga wap,,shida ya kukumbatia baadhi ya viongozi ambao hawafai haya ndo matokeo

  • @emmanuelngussa1529
    @emmanuelngussa1529 หลายเดือนก่อน +3

    Huo ni vivu tu kisa Simba kasajili wachezaji wazuri ndo maaana wanachochea kwani yanga kipindi anasajilia yusufu kagoma mbona hawakusema kua ni mchezaji wao huo ni ushamba yanga washamba

  • @user-bz4hy3jb3v
    @user-bz4hy3jb3v หลายเดือนก่อน +6

    Sioni dalili ya Simba kuchukua Kombe tena msimu huu..Ligi ya Tanzania imejaa figisu mnoo...
    Mmiliki wa Yanga ndio anawadhamini team nyingine sita za Ligi hiyohiyo....mjumbe wa bodi ya wadhamini wa Yanga anamiliki team mbili zingine katika ligi hiyohiyo..Pamba ya Mwanza imejaa viongozi ambao ni wanachama wa Yanga kindakindaki...kwa mahesabu hayo wapi unaona Simba itachukua ubingwa msim huu..Viongozi wa Yanga wana akili nyingi mnooo...kuliko viongozi wa Simba kwenye mpira...safari hii tena wamezidiwa maarifa..

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 หลายเดือนก่อน +1

      Iwe iwavyo kitaeleweka tu

    • @mirajiali3926
      @mirajiali3926 หลายเดือนก่อน

      Mo ni tajiri wa 12 africa na yeye si amiliki hizo team nyingine pia

    • @BennBenn-es5fi
      @BennBenn-es5fi หลายเดือนก่อน +1

      Vipi mo nae akamiliki club zote? Tofautisha udhamini na umiliki. Kwanini hamlalamiki Azam kudhamini club zote? Mbona Azam wao hwachukue kombe?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@mirajiali3926AMILIKI TIMU NYINGINE KWA KANUNI GANI?? UNAZIJUWA KANUNI ZA FIFA AU UNAROPOKA

  • @ArafaMkomwele-vi2hp
    @ArafaMkomwele-vi2hp หลายเดือนก่อน +6

    Maadui wengi ni kutokana na mdhamini mmoja kumiliki vilabi zaidi ya 6 vya ligu moja ni ajabu ya nazi kavu inayotaka kulivunja jiwe TFF mko wapi?

    • @chillogeorge1383
      @chillogeorge1383 หลายเดือนก่อน

      Azam wanadhamini vilabu vyote na uko kimyaaa

  • @YunusuKantangayo
    @YunusuKantangayo หลายเดือนก่อน +3

    Hayayote yanatokana na maadui wa simba wamepata mshutuko kwa jinsi Simba ilivyo onyesha mchezo ulio eaogopesha watani wao Yanga Simba usajili ni mkubwa Yanga safari mtakoma ubishi

  • @rashidimfaume3939
    @rashidimfaume3939 หลายเดือนก่อน +3

    Vitenge fc acheni mambo ya kichawi hayo

  • @elizabethchigua4675
    @elizabethchigua4675 หลายเดือนก่อน +1

    Udhamini tatizo kubwa sana masharti magumu

  • @JuvensZilabumba
    @JuvensZilabumba หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema tutachukua kombe,pamoja na mapito haya yote.

  • @user-ib2lv3ke7o
    @user-ib2lv3ke7o หลายเดือนก่อน

    simba nguvu moja❤

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 หลายเดือนก่อน +1

    Simba kuwakosa awesu na kagoma sio shidaaa..tatizo la Simba Ni striker wa nguvu.tupate wagungaji wa uhakika..Maana wachezaji wa Kati ni wengi na wazuri. Waacheni kuwasajili

  • @user-mf9wm4mo5f
    @user-mf9wm4mo5f หลายเดือนก่อน +1

    simba nguvu moja

  • @gilbertmaganga9370
    @gilbertmaganga9370 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi ya misukule hiyo

  • @victorkamugisha2282
    @victorkamugisha2282 หลายเดือนก่อน

    Faini

  • @user-ef2zr4un2u
    @user-ef2zr4un2u หลายเดือนก่อน

    Wewe unaesema mtu mmoja amedhamini timu zaidi ya Moja hama dhehebu kuwa muisilamu utadhami wengi

  • @user-oz7qj7vs2k
    @user-oz7qj7vs2k 29 วันที่ผ่านมา

    Afu kumbukeni maadui wa Simba tunao hapa

  • @irfaanhasham1346
    @irfaanhasham1346 หลายเดือนก่อน +1

    Ifike hatua vilabu viache kutumiwa na wachache ili kuikeamisha simba

  • @MohdSaid-ff8lx
    @MohdSaid-ff8lx หลายเดือนก่อน +1

    Mutaongea sana munajulikana magumash timu and club hun

  • @user-yz6ds9hn9l
    @user-yz6ds9hn9l หลายเดือนก่อน +1

    Haya mambo vipi jamani mzee magoli vipi tena ni ubwabwa au ni ubaya yaani tunawapa maneno ya kusema hawa majirani mbon mapema jamani mzee Rage na wenzako

  • @user-oz7qj7vs2k
    @user-oz7qj7vs2k 29 วันที่ผ่านมา

    Sikuzote Simba Huwa hawaipendi

  • @respiciousbishubo1158
    @respiciousbishubo1158 หลายเดือนก่อน

    Ni kweri time tunayo

  • @emmanuelmanu8512
    @emmanuelmanu8512 หลายเดือนก่อน

    Mungu yupo pamoja nasi tusikate tamaa simba nguvu moja

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 หลายเดือนก่อน

    Waache tamaa.

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 หลายเดือนก่อน

    Simba inatakiwa ipewe adhabu ili iwe fundisho kama kweli wamefanya makosa

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 หลายเดือนก่อน

    Simba Timu kubwa kwa nini inafanya makosa kama haya, hivi kwa ukubwa wa Simba wanashindwa kujua mchezaji kama ana au hana mkataba na timu nyingine

  • @flova7022
    @flova7022 หลายเดือนก่อน

    Yanga ni ngiri maji na gsm wao anaharibu ligi

  • @Ngimba-t6w
    @Ngimba-t6w หลายเดือนก่อน

    GSM ndie Anasababisha Anaihujumu simba

  • @shaba822
    @shaba822 หลายเดือนก่อน

    Unajitahidi kupotosha,unaficha details nyingi za Yanga na Kagoma,haipo juu juu hivyo,ingekuwa ni hivyo wala pasingekuwa na kesi

  • @user-oz7qj7vs2k
    @user-oz7qj7vs2k 29 วันที่ผ่านมา

    Ukiona mtu anatoa matusi kwenye koment eleea anashida nyuma mwiko Wana shida San wao ni matusi tu ivi kwer Wana Sali hawa

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 หลายเดือนก่อน +1

    Natamani mwarabu mmoja aje aikamate Simba tungesajili vifaa vya gharama tungeenda mbali sana

    • @mirajiali3926
      @mirajiali3926 หลายเดือนก่อน

      Bakharesa anakuja simba

    • @asteriashios1852
      @asteriashios1852 หลายเดือนก่อน

      @@mirajiali3926 Iko ck mambo yatakuwa Kwa mwarabu tunasajili vifaa Kwa pesa yoyote shida ni pesa tuu tutainuka tuu naamini Simba itakuwa Simba kweli tuombe mungu

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 หลายเดือนก่อน +1

    Tunajua Singida na Utopolo na ndugu na ndiyo maana kunakuwa na shida Simba kusajili mchezaji toka Singida

    • @yakobokuzenza6837
      @yakobokuzenza6837 หลายเดือนก่อน

      Vipi kuhusu kmc?Mataahira ni mataahira tu.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน

      ​​@@yakobokuzenza6837VP PESA WALIZOKULA KWANI BURE KAMA CHAMA KENGE WEWE

  • @user-ik2fg6iu2m
    @user-ik2fg6iu2m หลายเดือนก่อน +1

    Unetumwa na yanga wewe kwanini usikilize upande mmoja hyjui kitu mchezaji haitaki yanga

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 หลายเดือนก่อน

    Wasajiri wa simba ni magumashi ubabaishaji kila mwaka

  • @user-sv3db2gq5p
    @user-sv3db2gq5p 28 วันที่ผ่านมา

    Haya yote yamesababishwa na tff,kitendo cha kuruhusu mdhani mmoja kudhamini zaidi ya tim mmoja matokeo yake ndiyo haya ,simba ni mtoto yatima hapa tanzania iwe upande wa serikali au upande tff ni wote ni haohao tu

  • @MohdSaid-ff8lx
    @MohdSaid-ff8lx หลายเดือนก่อน

    Mushachanganyikiwa

  • @user-co4dx6lo9x
    @user-co4dx6lo9x หลายเดือนก่อน +2

    Haya yote ni Tff kwasababu yakupuuzia mdhamini mmoja kudhamini vilabu zaidi ya 6

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 หลายเดือนก่อน

      Inahusiana nn na kuiba wachezaji wa watu

    • @BennBenn-es5fi
      @BennBenn-es5fi หลายเดือนก่อน

      Basi Azam nae ajitoe kwann anadhamini club zote. Tofautisha udhamimi na mmiliki. Yule ni mfanya biashra anaweka bidhaa zake.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน

      ​@@BennBenn-es5fiWEWE HUJUWI AZAM KADHAMINI NINI UNAROPOKA TU

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@fettiemaganza1484UNAJUWA KUIBA MAANA YAKE KWANI WALIOIBIWA MBUZI AU BANADAMU??? KUWA NA ADABU MATAPELI NYIE MNAKULA HELA ZA WATU KISHA HAMTAKI KUTOWA WACHEZAJI.

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 หลายเดือนก่อน

      @@salimmalaka256 nyie wenye adabu ndo matapeli wachezaji wa watu pole sana tena eti umejikaza mwenyewe kuandika kwa herufi kubwa ili uonekane una point acheni janja jnja hzo zama zishapitwa na wakati

  • @user-oz7qj7vs2k
    @user-oz7qj7vs2k 29 วันที่ผ่านมา

    Viongozi walindeni wschezsji nakuwapa mikakati ya kujiepusha nahao manyasi ponda

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwegeeeeeeeeee

  • @makamelila
    @makamelila หลายเดือนก่อน

    Mm siamini kama Simba hawana umakini ila tu naona kila Simba ikitaka kujenga ndiofihisu zinazidi kaaza lawi sasa awesu na kahoma bas waseme Simba usajili nani na nani wasisajili Ili tusifeli Yani mpira wa tanzania umekuwa ujinga mtupu hivi nuilize hakuna vilabu vinakosea ila Simba tu bas mm kama viongozi wa Simba watanisikia wajiyoe twende tukacheze ligi ya Zanzibar iwe bas

  • @AliphonceDOMIANO
    @AliphonceDOMIANO หลายเดือนก่อน

    Acha ukengewewe

  • @CharlesSomeke-b5m
    @CharlesSomeke-b5m หลายเดือนก่อน

    Acheni ubabe fuateni utaratibu wengine wakifanya hivyo mnachonga sana

  • @user-il6rm7cj1g
    @user-il6rm7cj1g หลายเดือนก่อน

    Hawa utopolo wanachokitafta watakipata wapuuzi

  • @ROBERT75376
    @ROBERT75376 หลายเดือนก่อน

    Ubabaishaji umezidi. Kwani sheria inasemaje?

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 หลายเดือนก่อน +1

    Na hiyo ya club moja kufadhili timu zaidi ya nne imekaaje?????Simba amkeni acheni uoga, na nyie fadhilini vilabu vingine, UBAYA UBWELA

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +1

      HAPO SAWA KABISA

  • @luchiusmwijage2863
    @luchiusmwijage2863 26 วันที่ผ่านมา

    Sakata la simba linahusianaje na udhamini wa timu sita?, kwani wakati simba inaenda sokoni haikujihakikishia kama wana mikataba na timu zao? tusitafute huruma tulitaka kurahisisha mambo,mbona wachezaji wa nje hamna aliyesajiliwa kwa ujanja ujanja

  • @HusseinLaizer
    @HusseinLaizer หลายเดือนก่อน

    Huangalii azam anazamini timu ngp? Mbna mnajitoa fahamu? Na azam hana timu kwnye ligi kuu? Gsm anazami i timu 6 azam anazamini timu 14 hilo simba hamlioni mnaona la gsm..acheni upumbavu chezeni mpira.

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani หลายเดือนก่อน

    Hata huyu anayedhamini timu 7 afunguliwe kesi haraka

  • @AlhajiAthumani-j5y
    @AlhajiAthumani-j5y หลายเดือนก่อน

    Tff watoe udhamin was kibwege yanga anazamini vp Timu Zaid ya tano au ndoo ubingwa was kupangiwa halafu tukitolewakimataifa tunalalamika na wakat ubingwa was mchongo ,inatakiwa bingwa see yoyotr hata pamba hiz Timu Zina uwa soka mipango inanzia tff malefa walipwe vzuli

  • @francismwaipopo5046
    @francismwaipopo5046 หลายเดือนก่อน

    Madunduka huo ndoo ubaya ubwela kenge nyie mmezoea chupli chupli mtakoma

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 หลายเดือนก่อน

    Waache waende hamna kulipa.

  • @Gospelofjesustv.
    @Gospelofjesustv. หลายเดือนก่อน

    Hapa Simba hii ya Waarabu wa Sandalend ingefutwa ikasajiliwa nyingine ya wazawa Simba ni kama siyo ya Tz kabisa

    • @AyubuIssa-np3vc
      @AyubuIssa-np3vc หลายเดือนก่อน

      Sasa naww sandalendi wanausikanini nausajili

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt หลายเดือนก่อน +1

    Kwa vile mtangazaji ni utopolo hakuna jema la Simba utaongelea. Kenge wewe

    • @user-uj5wg9mm2t
      @user-uj5wg9mm2t หลายเดือนก่อน +1

      Kbsaaa😂😂😂😂

  • @FABIANBENARD
    @FABIANBENARD 29 วันที่ผ่านมา

    Kumamako msenge wewe

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb หลายเดือนก่อน +1

    Nasisi tuliazishe mzamini mmoja kuzamini vilabu 6.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +1

      KABISAAA TENA KESI TUIPELEKE CAF MPAKA FIFA

  • @flova7022
    @flova7022 หลายเดือนก่อน

    Yanga , nchemba, kkagoma hawatakii eleweni

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 หลายเดือนก่อน

    Simba wakati mwingine tunafanya vitu bila weledi. Kwanini tumekumbwa na matatizo katika usajili wa wachezaji watatu Awesu, Kagoma, na Lawi. Huu ni uhuni unaooneshwa na viongozi wetu. Naamini tunafanya sajili bila weledi. Naamini ndani ya Kamati ya usajili Kuna viongozi wahuni au matapeli. Samahani Kwa kutumika kauli hizo lakini ningekuwa na mamlaka ningeivunja hiyo kamati

  • @makamelila
    @makamelila หลายเดือนก่อน

    Hubu wachezaji wote wasajiliwe na yanga iwe bas ujinga tu

    • @irfaanhasham1346
      @irfaanhasham1346 หลายเดือนก่อน

      Kweli waende yanga na pia simba wasisajili hapa teende mbele huko hapa tuwaachie yanga

  • @abdisalim7900
    @abdisalim7900 หลายเดือนก่อน

    Hapa viongozi wetu mnakatisha tamaa,mnafanya kazi kana kwamba hamjui mnalolifanya naamini ubahili ndio unaowafanya mkwame ktk sajili hz.Simba ni klabu kubwa kwa nn isubiri hadiujinga huo ufanyike?Viongozi amkeni mmetutesa miaka mingi msiendekee kutusononesha

  • @fedinandnjeleka4102
    @fedinandnjeleka4102 หลายเดือนก่อน

    Ila simba kweli tunataka vya bwelele yaani ni hovyo hovyo

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +1

      BWELELE NA MAMILIONI WAMETOWA WEWE NI UTOPOLO NYAMAZA HAYAKUHUSU

  • @ShukuTete-wb1fp
    @ShukuTete-wb1fp หลายเดือนก่อน

    Viongozi munazingua

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 หลายเดือนก่อน

    Viongonzi viongonzi nyie?

    • @econmirajifacts5411
      @econmirajifacts5411 หลายเดือนก่อน

      Hakuna viongozi hapo ni ubabaishaji tu mnasema tajiri karudi shida nini hela hana. ana uwezo wa kuonesha dada zake lakini kusajili hawezi. mikia bwana.

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 หลายเดือนก่อน

    Mbona toka mwanzo mgogoro ulishaonekana?? Simba msimu huu wamekurupuka mno katika usajili. Kumekuwa na ubakaji mwingi wa wachezaji bila kuongea na timu wakati mchezaji bado anamkataba.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +1

      WEWE NI UTOPOLO MPUMBAVU WEWE NYAMAZA HAYAKUHUSU

  • @user-yz6ds9hn9l
    @user-yz6ds9hn9l หลายเดือนก่อน +1

    Haya mambo vipi jamani mzee magoli vipi tena ni ubwabwa au ni ubaya yaani tunawapa maneno ya kusema hawa majirani mbon mapema jamani mzee Rage na wenzako

  • @user-sv3db2gq5p
    @user-sv3db2gq5p 28 วันที่ผ่านมา

    Simba imekuwa na maadui wengine sanà baada ya mafanikio Yao makubwa,vilabi vingi hapa nchini vinapambana kuidhoofisha simba.ila ngoja tuone,