napenda uaminifu kwa kweli. nikiona mfanyabiashara anaongelea uaminifu nasikia vizuri sana. mimi pia najitahidi. sio mkamilifu. uaminifu ni nguvu kubwa.
Watu wanatakiwa wajue Kila mmoja ana DELIVARANCE yake na Mungu he is a night God,shuhuda inajenga saaana,kuvumilia na kuchuchumilia ni ngumu kwakweli,kuna muda uchumi mbaya,Madeni,magonjwa hoffu inakaa adui anainukaaa balaaaa,ilaa simama imara imara,ibada na maombi na kuhudhuria ibadaa it's very important
Imani ya huyu mama nmeipenda!
mimi Nimwana biashara mdogo....ila natamani ku tap ...tha blessing in Jesus name🙏🙏🙋...
Ameeeeeen, nimebarikiwa na ushuhuda, na mm Nina Imani Mungu atafanya kwa mme wangu🙏
Namshukulu sn Mungu kwaajili ya uhu ushuuda umenikuza kiimani,Amen
These is powerful
Aminaaa kaka ushuhuda mzuri wenye nguvu👏👏👏
napenda uaminifu kwa kweli. nikiona mfanyabiashara anaongelea uaminifu nasikia vizuri sana. mimi pia najitahidi. sio mkamilifu. uaminifu ni nguvu kubwa.
Shuhuda nzuri sana!
I tap this in Jesus Name 🙏🏾.
Am Emmanuel from Kenya nashukuru mungu kwa hiyo mathabao
Watu wanatakiwa wajue Kila mmoja ana DELIVARANCE yake na Mungu he is a night God,shuhuda inajenga saaana,kuvumilia na kuchuchumilia ni ngumu kwakweli,kuna muda uchumi mbaya,Madeni,magonjwa hoffu inakaa adui anainukaaa balaaaa,ilaa simama imara imara,ibada na maombi na kuhudhuria ibadaa it's very important
Powerful testimony. Our God is surely able
jamani this is beautiful.
Ameeen utukufu kwa Yesu
Indeed Glory to God 🙏💪
Amen
Ameeeen
Wanawake n mashujaa sana
I tap it in the Jesus Christ
Amen This is Powerful
Amen Amen
🙏🙏🙏
, 😢
🙏
Mnapatikana wapi Mtumishi
Tupo Dar es Salaam, Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA. Karibu sana.
@@realityofchristchurch nimebarikiwa sana sana; Tamaa ya Moyo wangu Mungu anisaidie nije Sinza Mori
@@realityofchristchurch,
Hongera sana nakufatilia sana you are anointed