The champions league lost Simba which is a good team that plays beautiful football, but the other team deserved and earned their qualification and gave us a lesson about hope. Congrats for them and better luck for simba next time insha'allah... Much love from Algeria ❤️⚽🇩🇿
Congratulations to our Neighbors Jwaneng Galaxy... you made us proud from Kaizer chiefs fan! Thank You... 😂😂😂😂 amasetu amasetu amasetu Amazao... Thank You for eliminating the NOISE makers..
Mi nasemaga kila siku watu wengine kauli zao zinatuponza mtu anasema atatembea uchi mungu nae anapitisha mkono wake aone kauli inaumba ili utembee uchi simba iacheni kama mmekosa wahamasishaji pengo libaki wazi haya ni majaribu ya mungu kulingana na kauli za watu
Mungu Fundi sana, mwijaku atembee uchi sasa, mdomo uliponza kichwa. Uwanja ni wake.🤣🤣🤣🤣 kabla hujaropoka ujue unaenda vitani, mbaya zaidi silaha ulizo nazo ni gobole.
Jwang galaxy apigwe nje ndani uongozi wa Simba tunawaomba hilo pamoja na wachezaji wetu. Kapombe,shabalala.nyie ndio munajua walitufanyia nn washenzi hawa wapigwe nje ndani
hawa Jamaa Toka Mechi Ya Kwanza Niliwaona Wana Umakini Sana Sema Siku Ile Goal Za Mapema Ziliwatoa Mchezoni Tuwape Hongera Zao Na Tukubali Matokeo Wala Akuna Wa Kulaumiwa Hongera Kwao
goli la pili ni la wawa na manula, na hasa manula coz hakukuwa na maadui wengi kiasi chakumzuia manula kwenda kuudaka mpira....tena angeudaka free kabisa hata huyo wendel amefunga goli kwa mguu kuonyesha uzembe ni wakipa na beki.
I've never seen anything like this 🙌🙌 The true definition of don't lose hope, just keep fighting to the last. Congratulations Jwaneng
The champions league lost Simba which is a good team that plays beautiful football, but the other team deserved and earned their qualification and gave us a lesson about hope. Congrats for them and better luck for simba next time insha'allah... Much love from Algeria ❤️⚽🇩🇿
Potentially highlight of the year,congratration thimbaaaa
Tuliopo hapa leo 2024 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Moja Kati ya highlight ambazo hazichoshi kuzitazama ni hii🤣🤣🤣🤣
Aliesema kuvua nguo kavua au
😂😂😂
Hahhahahahahahah nimeirudia tena leo tar 9 10 2021
UTOPOLO
Nipo Hata naangalia😂😂
Wangapiii wamerud hapa baada ya kula sita 😅😅
Nmekuja kuangalia tulifungwajee na tulishindwaje😂😂😂
nmerud pia 🤣
Asante sana Galaxy kwa kufunga hawa midomo wazi
Kwa kwel mji umepoa sana
Tunakutana tena leo 2-12-2023 God 🙏 bless Simba sports club
Nani amerudi baada ya makundi?
😂😂😂 We jamaa mtata sana mimi nimerudi baada ya 6-0
Nani amerudia kuicheki hii🤣
Congratulations to our Neighbors Jwaneng Galaxy... you made us proud from Kaizer chiefs fan! Thank You...
😂😂😂😂 amasetu amasetu amasetu Amazao...
Thank You for eliminating the NOISE makers..
Kudadadadek hii ndio best come back
Wote chali si Simba...si Yanga....si Azam...wala biashara...kabakia mwijaku tu na tamthilia zake.....
Well done Jwaneng Galaxy 🌌✨ 💯
nimerudi kuangalia ilinijue wanaosemaga meza haipinduki nyumban ni kweli au?
Uyoooo😂🐸
Wamepewa tena
Mi nasemaga kila siku watu wengine kauli zao zinatuponza mtu anasema atatembea uchi mungu nae anapitisha mkono wake aone kauli inaumba ili utembee uchi simba iacheni kama mmekosa wahamasishaji pengo libaki wazi haya ni majaribu ya mungu kulingana na kauli za watu
Kabisa yani
Nikweli kabsa laaana kubwa.
Mungu Fundi sana, mwijaku atembee uchi sasa, mdomo uliponza kichwa. Uwanja ni wake.🤣🤣🤣🤣 kabla hujaropoka ujue unaenda vitani, mbaya zaidi silaha ulizo nazo ni gobole.
😂😂😂sisi sio milima tutakutana tukiwa kama pipo kitaumana lupaso 💯😂😂
Mikia asanteni kwa kubeba timu nne na msimu huu....mbarikiwe Sana
Poleni wanasimba....! Tunawapa offer ya mapumziko ya safari katika mbuga za Serengeti na Ngorongoro kwa bei punguzo.
Wendell Rudath... 🔥🇳🇦
Aibu kubwa sana kwa taifa. Kolo ni kolo tu.
goli la mwisho lakibabe sana....hawa galaxy wanakitu na watafika mbali. msimu huu litakufa tena jitu kwa mkapa.🤣🤣🤣
Kwanz uwanja haukua na mashabiki, pili hakuna hamsha hamsha, Mpira wa Simba hauna Ladha tena. Haji Manara alikua moto bana
Nitaenderea kuikumbuka hii timu paka naingia makabulini NC timu
Wamepewa tena
😂😂
Asante galax kwakutufungia midomo
Hilo limeisha kw style hiyo!,kinachotakiwa kwa sasa maisha yaendelee kwa makini tutatoboa tu INSHAALLAH
raha sana aisee
Duuuh!kwel watani wangu leo mmetumimina km sio kutuangusha.Poleni sharia ni km msumeno hukata huku na huku,Poleni sana Simba ndio mpira ulivyo
Hahahaha.... Najiskia raha sana yaani, nahisi nitanenepa maana siipendi sana Simba, MIJISHABIKI YA SIMBA INAONGEA NYODO KISENGE
😀😀😀😀
Ule msemo KWA MKAPA HATOKI MTU bado upo?
Hahahahha wametoka wenyew
Umefutwa leo
ni kipimo kua ligi yetu ina maneno mengi sana kuliko kazi
Hii timu staisahau yaani daah
Yule kocha Bonge kawauza Simba nakuwatukuza wakajaa. Usimwamini Bonge hata siku moja wana propaganda sana😂
Mwijaku yuko wapi, alisema apigwe mawe awuwawe lakini tunamusamehe hajui anachokisema😂
Wekeni highlight ya mechi ya KMC NA YANGA ACHENI USHAMBA
Inshallah itajirudia tena jumamosi 😊
Hahahahhh simba ni kama mtu mwenye kipara anagongwa konzi🤣🤣🤣
Hesabu za vichaa kuokota makopo na kuanza kuhesabu ni mangapi kolo alihesabu gori mbili kajua kashafuvu mamae pita ivii
Yani miaka yote Simba mabeki wanakuwaga wabovu sijui kwann
Mtani umemaliza mwendo
Maana hapo Inabidi nicheke tu😂😂😂😂😂😂 makolo
Cheka now
🤣🤣🤣 na leo naangalia
Manula has no game reading those goals were avoidable hongera Simba,,,from yo bro Uganda
Sasa tunasubiri tena itokee
Moja haijakaa, mbili haijatulia na tatu imesimama kama nin vileee ..... Malzia shabik wasimba
Mji umetulia sasa
Jaman mpenja utatuua kwa vicheko "eti anamsadia manula kuokota kurunyaavu 😂😂😂😂😂😂😂
Jwang galaxy apigwe nje ndani uongozi wa Simba tunawaomba hilo pamoja na wachezaji wetu. Kapombe,shabalala.nyie ndio munajua walitufanyia nn washenzi hawa wapigwe nje ndani
amna kitu hapo...munakufa tena kwa mkapa😂😂😂😂
Labda simba apigwe nje ndani, hawa jwaneng wamezid kwa wa moto
Wendell Rudath 🇳🇦 ❤️
Tatizo la kuja na matokeo uwanjani.
Nimekuja kuangaliaaaa mechi hiiii kwa sababu simba wanacheza oktoba 16 nayaona haya😄
Umeumbuka
Kumbe mlibahatisha mechi ya kwanza kwa namna hii?
Ukiwa mshabiki wa team zilizovaa Jersey nyekundu EPL na bongo leo kaz unayo!
Au labda ni kwasababu lwangaa amepewa Kado nyekuduu!?.🤭🤭
To me the man of the match is……WENDELL
best player
I agree
@@g.c-jordan4402 ⚽️🙏
Nisiwe mnafiki leo nimefrah mno
Mary njoo uchukue soda
Hahahahaha
Mmmmmmnoooo
Wale wazungu wa makolo wananifurahishaga likifungwa goli na vibukta vyao wanavyoruka
Jumamosi sio mbali😂
mbwa awa hawawalikuwa majini dah wana simba
Tunasubiri ile ahadi ya muhamasishaji chawa mtoto wa idi amini dada mwijaku
Kwahyo mikia walivyosikia kocha wa galaxy mipango yake ipo kwenye ligi matraako yakalia mbwata sio hahahaa raha sana
Anajiita TAnzania one mpaka kajinyeA
Simba walijitwisha mzinga wa nyuki
😂😂😂
Kweli hii ndo koloo yani kipigo cha mbwa mwitu na kuondolewa kweny mashindano
Marehemu alikuwa na mdomo sana
Simba kama man utd hawana beki kbs
hawa Jamaa Toka Mechi Ya Kwanza Niliwaona Wana Umakini Sana Sema Siku Ile Goal Za Mapema Ziliwatoa Mchezoni Tuwape Hongera Zao Na Tukubali Matokeo Wala Akuna Wa Kulaumiwa Hongera Kwao
Soon happiness vanished makolo walibwanji
😀😀😀😀Mikia Hooi
Kwa mkapa hatoki mtu 😂😂😂😂😂polen sana makolo, mlitukana mamba hamjavka mto 😂😂😂
hakuna sku niliyoumia kama hiyo kidogo2 nihame timu
Magoli ya azizi key
Asec
Walivyo fungua wakajiona wanaumeee🤣😜😜😜😜😜🤩
What's Makolo....
I see this word on each comment...
I don't get it....
I think it's GOALS... not sure..
Magoli yote means all the Goals.. I can corrected if I'm wrong
@@Phaahla97 so Makolo is Swahili word that means Goals in English
Lol i think so. By the way I'm From South Africa i don't know or understand kiswahili
Mabeki wamezngua sana..makosa ya kizembee...ila mkome mnakelele xana 😀😀
Duuuh yaan uchawi wa dhahiri hii kweli Africa
Hazichoshi kurudia hii
Huyu Manula mipira ya cross hamna kitu kabisaa,
Goli la 2 na la 3 ni uzembe wake wa kuto kucheza mipira ya krosi !
🙆♂🤦♂😪
Hapa Afrika mashariki hakuna mpira.. watu huku ni farmers tu wala kabumbu hatujui. Ukweli usemwe!
🤣🤣🤣🤣🤣wendeeeeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Raha sana jamani 🤣🤣🤣🤣
Menina fc chaliiii😂😂😂😂
ZILE TUZO WALIZOPEWA HAZIKUWA ZA HALALI KWAO. BORA WANGEPEWA MWADUI FC😂😂😂😂😂
Simba imepigwa na kitu kizito kichwani
Mji umepoa yanga piga kelele
Oyooooooooooooooooo
Inchallh nhr sebt wydad qualifie osemba tkhserr fi bldha
goli la pili ni la wawa na manula, na hasa manula coz hakukuwa na maadui wengi kiasi chakumzuia manula kwenda kuudaka mpira....tena angeudaka free kabisa hata huyo wendel amefunga goli kwa mguu kuonyesha uzembe ni wakipa na beki.
Mwijaku lazima auwawe
Simba bila Manara hamna kitu, sasa mmeona, muache dharau 😁😁😁
Acha upimbi manala kawaifunga goli Ngapi fala wewe
@@fatumasophu5855 ukimaliza siku zako ndipo nitakujibu
Hahahahaaa
@@calvinoswald4548 😁😁niaje
Uwiiiii Simba waliacha mlango wazi. Kina Wawa waende tu.
Kale kamsemo kwa mkapa hatoki mtu kameishia wap? 😂😂😂😂
Wametoka wenye huo usemi wenyewe maninaaaaaaaah🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Manara aliondoka nao huo msemo
@@petermaro9852 😂😂😂😂😂
@@championalways192 😂😂😂😂😂 sasa hivi wanamwita msukule et
Hyo ndo moja ya mchezo tugange yajayo
Simba kama waliuza hii mechi
Kweli ukitazam wanavyochez simb kam waliuz mechi@
Hii inanikumbusha riverpool ilivyonyolewa na altetico msimu uliyopita uefa hivi hiv muuwaji akipiga mawili ya haraka na kumaliza la tatu
Safi sana, mji umekua kimnya ghafla.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hawa jamaa kumbe niwaongo bna hahaha😂😂😂😂
ITAJIRUDIA MWAKA HUU
Young Africans S C. walichukua msukule wetu, simba tumekwisha
Mimi naludia kila siku
hata mm
Kaangalie na 6-0
Hatoki mtu kwa mkapa🤣🤣🤣
Laana za mwijaku
Hatare saaana hawa Galaxy
Simba viazi