HISTORIA YAWEKWA KONGAMANO KUBWA LA MAOMBI MANYARA, HAIJAWAHI KUTOKEA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 มิ.ย. 2024
  • Redio Revival FM 91.1 Mhz ya mkoani Manyara Juni 22, 2024 imefanya kongamano kubwa la kuombea taifa la Tanzania na mkoa wa Manyara lililokuwa na lengo la kuombea amani, toba, vitendo vya ukatili, uchaguzi, uchumi n.k
    Aidha kongamano hilo limefanyika katika kanisa la TAG (Victory Christian center Babati) na kuudhuriwa na viongozi na waumini wa makanisa mbalimbali.
  • เกม

ความคิดเห็น •