Revivalfmtz
Revivalfmtz
  • 233
  • 508 427
MKIAMBIWA MWENYEKITI WENU,RAIS NI MUUWAJI WAAMBIENI KWELI AMEUWA "RAIS SAMIA"
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo kwenye Kikao cha Baraza la Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Taifa (UWT) Ukumbi wa Kanisa la Katoliki Bombambili Songea Mkoani Ruvuma, Jumamosi tarehe 28 Septemba, 2024.
มุมมอง: 16

วีดีโอ

WANANCHI WILAYANI HANANG' WAANDAMANA WAUKATAA MFUMO WA STAKABADHI GHALANI.
มุมมอง 4114 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WANANCHI WILAYANI HANANG' WAANDAMANA WAUKATAA MFUMO WA STAKABADHI GHALANI.
TAKWIMU ZA UKATILI MANYARA ZATISHA
มุมมอง 516 ชั่วโมงที่ผ่านมา
TAKWIMU ZA UKATILI MANYARA ZATISHA
WAFUNGWA WALIO ‘TAABANI’ WAACHILIWA HURU
มุมมอง 1319 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WAFUNGWA WALIO ‘TAABANI’ WAACHILIWA HURU
OCT 5, UZINDUZI WA DKT. SAMIA & GEKUL CUP
มุมมอง 1321 ชั่วโมงที่ผ่านมา
OCT 5, UZINDUZI WA DKT. SAMIA & GEKUL CUP
MTOTO WA MBOWE NAYEYE AKAMATWA BAADA YA BABA YAKE KUKAMATWA
มุมมอง 26วันที่ผ่านมา
MTOTO WA MBOWE NAYEYE AKAMATWA BAADA YA BABA YAKE KUKAMATWA
MAGOLI YOTE YANGA WAKIIBAMIZA CBE YA ETHIOPIA, MAWAZO YOTE MAKUNDI
มุมมอง 35วันที่ผ่านมา
MAGOLI YOTE YANGA WAKIIBAMIZA CBE YA ETHIOPIA, MAWAZO YOTE MAKUNDI
GOLI LA CHAMA KWA YANGA VS CBE LEO
มุมมอง 55วันที่ผ่านมา
GOLI LA CHAMA KWA YANGA VS CBE LEO
AMOS MAKALLA ACHARUKA, ADAI WATU WANAPOTOSHA HOTUBA YA RAIS SAMIA KUHUSU SAKATA LA MAUAJI, UTEKAJI
มุมมอง 19วันที่ผ่านมา
AMOS MAKALLA ACHARUKA, ADAI WATU WANAPOTOSHA HOTUBA YA RAIS SAMIA KUHUSU SAKATA LA MAUAJI, UTEKAJI
KIJANA AUAWA KWA KUCHOMWA KISU KISA MABISHANO YA GHARAMA YA SIMU BABATI - MANYARA.
มุมมอง 149วันที่ผ่านมา
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Mustafa Muhamedi (30) mkazi wa mtaa wa Nangara ziwani wilaya ya Babati mkoani Manyara amefariki Dunia mara baada ya kuchomwa kisu maeneo ya Tumboni na Usoni na kijana aliye fahamika kwa jina la omari Hassan (21). #live #trending #lifestyle #breakingnews #trendingvideo #trendingshorts
SIMANZI MTOTO ALIECHOMWA MOTO, BABA AFUNGUKA MUUWAJI AJITAFAKARI
มุมมอง 2314 วันที่ผ่านมา
SIMANZI MTOTO ALIECHOMWA MOTO, BABA AFUNGUKA MUUWAJI AJITAFAKARI
RAIS SAMIA AZUNGUMZA KIFO CHA MZEE KIBAO, HAKI YA KUISHI NA KATIBA YA NCHI
มุมมอง 1814 วันที่ผ่านมา
RAIS SAMIA AZUNGUMZA KIFO CHA MZEE KIBAO, HAKI YA KUISHI NA KATIBA YA NCHI
HUZUNI WALIVYOUAWA WATATU FAMILIA MOJA DODOMA
มุมมอง 1514 วันที่ผ่านมา
HUZUNI WALIVYOUAWA WATATU FAMILIA MOJA DODOMA
KILICHOTOKEA CBE VS YANGA GOLI NA KOSAKOSA
มุมมอง 13414 วันที่ผ่านมา
KILICHOTOKEA CBE VS YANGA GOLI NA KOSAKOSA
CHADEMA WANATAKA KUTUTOA KWENYE RELI YA UCHAGUZI - POLISI
มุมมอง 7414 วันที่ผ่านมา
CHADEMA WANATAKA KUTUTOA KWENYE RELI YA UCHAGUZI - POLISI
TAIFA STARS WAJAZWA PESA BAADA YA USHINDI VS GUINEA
มุมมอง 8214 วันที่ผ่านมา
TAIFA STARS WAJAZWA PESA BAADA YA USHINDI VS GUINEA
NGORONGORO: AFISA UHIFADHI WAHIMIZWA USHIRIKA NA WANANCHI
มุมมอง 2214 วันที่ผ่านมา
NGORONGORO: AFISA UHIFADHI WAHIMIZWA USHIRIKA NA WANANCHI
HUZUNI MWANAFUNZI AJIUWA KWA KISU..
มุมมอง 4414 วันที่ผ่านมา
HUZUNI MWANAFUNZI AJIUWA KWA KISU..
WAUWA BIBI WA MIAKA 70, CHANZO USHIRIKINA
มุมมอง 1314 วันที่ผ่านมา
WAUWA BIBI WA MIAKA 70, CHANZO USHIRIKINA
MAFURIKO YASABABISHA WATU 30 KUFARIKI DUNIA
มุมมอง 2021 วันที่ผ่านมา
MAFURIKO YASABABISHA WATU 30 KUFARIKI DUNIA
MAUWAJI NJOMBE, WAHUSIKA WATIWA MBARONI
มุมมอง 4921 วันที่ผ่านมา
MAUWAJI NJOMBE, WAHUSIKA WATIWA MBARONI
CHADEMA WATOA TAMKO ZITO, WATU WALIOPOTEA
มุมมอง 6821 วันที่ผ่านมา
CHADEMA WATOA TAMKO ZITO, WATU WALIOPOTEA
UTEKAJI MCHANA INATISHA "DEWJI"
มุมมอง 1621 วันที่ผ่านมา
UTEKAJI MCHANA INATISHA "DEWJI"
UTATA KIFO CHA MAMA MJAMZITO, KAMATI YAUNDWA..
มุมมอง 2421 วันที่ผ่านมา
UTATA KIFO CHA MAMA MJAMZITO, KAMATI YAUNDWA..
POLISI FANYENI KAZI KWA WELEDI "WAZIRI MASAUNI.
มุมมอง 9121 วันที่ผ่านมา
POLISI FANYENI KAZI KWA WELEDI "WAZIRI MASAUNI.
WAZIRI KUZINDUA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NCHINI
มุมมอง 721 วันที่ผ่านมา
WAZIRI KUZINDUA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NCHINI
MAGOLI GUINEA VS TAIFA STARS
มุมมอง 288K21 วันที่ผ่านมา
MAGOLI GUINEA VS TAIFA STARS
DC SHAKA HAMDU SHAKA AGEUKA MBOGO PROPAGANDA KUCHAFUANA
มุมมอง 1821 วันที่ผ่านมา
DC SHAKA HAMDU SHAKA AGEUKA MBOGO PROPAGANDA KUCHAFUANA
12 WATIWA MBARONI VURUGU ZA WAKULIMA NA WAFUGAJI KIJIJI CHA MALANGALI
มุมมอง 2321 วันที่ผ่านมา
12 WATIWA MBARONI VURUGU ZA WAKULIMA NA WAFUGAJI KIJIJI CHA MALANGALI
HUZUNI HALI YA DAWA ZA KULEVYA..
มุมมอง 521 วันที่ผ่านมา
HUZUNI HALI YA DAWA ZA KULEVYA..

ความคิดเห็น

  • @ramadhanimsemo4426
    @ramadhanimsemo4426 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Poleni jamani

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tatizo mafund umeme weng wa kitanzania hawana weled mzuri katika kaz napia maboss wao wanawalipa hela za mbuz ndio maana Kaz wanakua wanalipua lipua tu

  • @YakoboFilipo
    @YakoboFilipo 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kabisa Mungu atuwezeshe kuomba laana hii iondoke hatutali laana hii sisi watanzania Mungu tusaidie

  • @charlesfrancis9438
    @charlesfrancis9438 วันที่ผ่านมา

    Arusha t lushoto

  • @HamdanAmli
    @HamdanAmli 2 วันที่ผ่านมา

    Tatizo magar yanakimbizwa mpaka yanachemka namoto unaanziaga kwenye brek na feni huwa zinachemka mwishowasiku inatengeza shot

  • @MudiMsigwa
    @MudiMsigwa 3 วันที่ผ่านมา

    Polen sana

  • @bogate156
    @bogate156 4 วันที่ผ่านมา

    SIJAWAHI ONA SCANIA AU ISUZU AU FIATI IKIWAKA...MCHINA HANA KINACHODUMU....NAWASHANGAA SANA WATZ KUAGIZA VITU VYA KICHINA VISIVYODUMU HATA MIEZI 6....TUNAACHA USED SCANIA UNALOWEZA KUTUMIA MIAKA 20 IJAYO....

  • @BAKALIMSANGAZI
    @BAKALIMSANGAZI 4 วันที่ผ่านมา

    Poleni😂

  • @Masoud-j1t
    @Masoud-j1t 4 วันที่ผ่านมา

    Daaah

  • @MboniKassim
    @MboniKassim 4 วันที่ผ่านมา

    Daah inauma sana

  • @yustaluhomola1607
    @yustaluhomola1607 4 วันที่ผ่านมา

    Pole sana

  • @mansoursaid8
    @mansoursaid8 5 วันที่ผ่านมา

    Aisee poleni sana

  • @JailosNzihekele
    @JailosNzihekele 5 วันที่ผ่านมา

    Mabachala

  • @ShumJuma
    @ShumJuma 5 วันที่ผ่านมา

    Hivi hawa train wanakagua magazine au kuomba hela tu

  • @SammyDoh-w9q
    @SammyDoh-w9q 5 วันที่ผ่านมา

    Radiator hamueki maji

  • @AndrewNeemaSikayika
    @AndrewNeemaSikayika 6 วันที่ผ่านมา

    Sorry for that

  • @fredprice1481
    @fredprice1481 6 วันที่ผ่านมา

    Mh Lazaro kazi unaijua.Mungu akutunze

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 7 วันที่ผ่านมา

    Ila haya mabasi ya kichina serekali ifikirie mara mbili mbili jamani.tunapambana na ajali lakini tumesahau hivi vyombo vinavyosababisha ajali vinatengenezwaje?

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 7 วันที่ผ่านมา

    dah msambaa kara hasala hapa Ndio biashala lakini

  • @AllyMandunda-j4h
    @AllyMandunda-j4h 7 วันที่ผ่านมา

    kazi ya BIMA kulipa

  • @faidaimmaculee28
    @faidaimmaculee28 7 วันที่ผ่านมา

    Mungu asifiwe kwakuwaokowa watuwake😊

  • @swafiya254
    @swafiya254 7 วันที่ผ่านมา

    Hamtembei na fire extinguishers

  • @manfredkibona3126
    @manfredkibona3126 7 วันที่ผ่านมา

    Mmetoa mizigo yote mnashindwa kuzima moto michongo io

    • @AndrewTogwa
      @AndrewTogwa วันที่ผ่านมา

      Sasa wata zima na nini na hapo porin hakuna maji

  • @vero57
    @vero57 7 วันที่ผ่านมา

    TATIZO MAGARI HAYA FANYIWI SEVISI!!!! ALAFU YANA KWENDA MBALI BILA KUPUMZIKAA

    • @NautharyIssa
      @NautharyIssa 5 วันที่ผ่านมา

      Wew unafanyuwa servic kwani

  • @DivaMsukuma
    @DivaMsukuma 7 วันที่ผ่านมา

    Bora gar kulikowatu

  • @Jurbeg
    @Jurbeg 7 วันที่ผ่านมา

    mwenye bus hata wasiwasi anaendelea kupiga juis tuu maa anajua bima itanunua

  • @benadetagonde8768
    @benadetagonde8768 8 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana

  • @mamawamireille4872
    @mamawamireille4872 8 วันที่ผ่านมา

    Sasa hamnaga kizima moto

  • @ramadhanjamali
    @ramadhanjamali 8 วันที่ผ่านมา

    Ruti za tunduru to dar

  • @JafaryTimamu-d6m
    @JafaryTimamu-d6m 9 วันที่ผ่านมา

    Ni lini iyo jamani na maningi Nice ilikuwa inapiga luti za wapi

  • @Piscesblair
    @Piscesblair 9 วันที่ผ่านมา

    Bima hiyo mchongo😂

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 9 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana

  • @MengiMeng-fd7sq
    @MengiMeng-fd7sq 9 วันที่ผ่านมา

    Bora kafara la uyu kuliko wale wakuhuwa watu wote kwenye mabasi

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 9 วันที่ผ่านมา

      🤣🤣🤣Astaghafirullah weumeninichokeshaEyiKafara

    • @abdisalim7900
      @abdisalim7900 8 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂 Umejuaje?

    • @nicholausmahenge8247
      @nicholausmahenge8247 6 วันที่ผ่านมา

      Hivi ashindwe kutoa kafara ndugu zake wivu unakusumbua na siyo kila tajiri ni mchawi

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 9 วันที่ผ่านมา

    Magari haya siyo mazingira yetu joto kali yanachemka hatari lazima wabadili muudo WA mabasi ya wachina mipira mingi

  • @frankhoffa8356
    @frankhoffa8356 9 วันที่ผ่านมา

    Hii nembo ya magari ya mh msukuma au

    • @lonesomekabora5547
      @lonesomekabora5547 7 วันที่ผ่านมา

      Konde boy toka Msumbiji zinaenda Mtwara na Tanga hizo basi

  • @ENOCKPHILIPO
    @ENOCKPHILIPO 10 วันที่ผ่านมา

    Amen amen kaka ubarikiwe sana This is so powerful

  • @QuthamAbdalla
    @QuthamAbdalla 10 วันที่ผ่านมา

    Gari gani hili jameni ??????

    • @EmanuelyMbagalla-rt2vm
      @EmanuelyMbagalla-rt2vm 9 วันที่ผ่านมา

      MANING NICE. DAR-MTWARA-MWANZA-LUSHOTO-MASASI, MTWARA-MORO, nk

  • @MsJuniormjunyhandsomeboy
    @MsJuniormjunyhandsomeboy 10 วันที่ผ่านมา

    Watu wametoka jaman 😭😭😭😭😭

  • @NeemaNeema-z9r
    @NeemaNeema-z9r 15 วันที่ผ่านมา

    Polen sanaa

  • @funuki_masala
    @funuki_masala 19 วันที่ผ่านมา

    Akuowe Sasa baka

  • @BatholomeoBeno
    @BatholomeoBeno 19 วันที่ผ่านมา

    Safisana,mama,samia,mungu,ambariki,kwakujitoa,kimichezo

  • @NOVATISIYAME
    @NOVATISIYAME 19 วันที่ผ่านมา

    Taifa letu siyoo la mastaz

  • @kagandeerald
    @kagandeerald 20 วันที่ผ่านมา

    Well done

  • @abdulihamisi9453
    @abdulihamisi9453 20 วันที่ผ่านมา

    Hamjui kuwekavideo inaanza goli la misho nyie vipi nyie

  • @abdulihamisi9453
    @abdulihamisi9453 20 วันที่ผ่านมา

    Hamjui kutengeneza clip

  • @IpyanaPaul
    @IpyanaPaul 20 วันที่ผ่านมา

    Alfu Kuna limtu lipo mtaani et ccm mitano Tena mashetani wakubwa ccm kweli kuuawatu Ila ccm hoja mumeishiwa Ila mwisho wenu umefika

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 20 วันที่ผ่านมา

    FEITOTO Akacheze tu ulaya❤

  • @FadhiliNdutuli
    @FadhiliNdutuli 21 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂

  • @KAZIJAJUMAMTUMWA
    @KAZIJAJUMAMTUMWA 21 วันที่ผ่านมา

    Shenz

  • @YakoboSelia
    @YakoboSelia 21 วันที่ผ่านมา

    Mm mistar kichocholo natamka hata na kesho ushindi upo