Mbarikiwa HATARINI. polisi Mbeya wanafanyia kazi kwa kusuasua malalamiko yake.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @johnkaliwanje434
    @johnkaliwanje434 7 วันที่ผ่านมา +10

    kiukwel kiongozi Mbarikiwa una vita kubwa sana maana umeharibu kazi za wengi (waovu), na katika upiganaji uko mbele ya kikosi, mpaka sasa unaongea jua Mungu yuko na ww. Ee Mungu mhifadhi mtumishi wako Mbalikiwa.

  • @clevermgedzi4708
    @clevermgedzi4708 7 วันที่ผ่านมา +5

    Kwa kazi nzuri unayofanya mbarikiwa tumeanza kuona matunda yake!! Yeyote atakaye kuuwa nchi itavurugika tupo wengi tunayekuelewa!! Endelea kupigania haki zetu

    • @ulimbombonaulindi5088
      @ulimbombonaulindi5088 6 วันที่ผ่านมา

      Hahaha, eti nchi itavurugika. Nchi itavurugwa kwenye keyboard?

  • @gidionYeremia-n5z
    @gidionYeremia-n5z 7 วันที่ผ่านมา +7

    Mungu alie kufanya uwe na huo ujasili, naamini katika kristo ndie atakae kutangulia mbele, imeandikwa msaada wetu upo katika yeye alie zifanya mbingu na inchi

  • @joshuasilwimba7497
    @joshuasilwimba7497 7 วันที่ผ่านมา +2

    Natamani niseme jambo, lakini ni seme pastor kuna mambo unayapitia ningekuwa mimi yangekuwa yameshanishinda tangu mwanzoni. wanadamu wa leo hawataki ukweli ukisema ukweli wanatumia nguvu walizo nazo kukuzima. Ila Mungu wa mbinguni akupiganie pastor hii vita kwa nguvu zako hutaweza. Mungu pekee ahusike na daima tegemeo lako liwe kwa Mungu tu. Mungu akulinde, akutunze daima akuepushe na mikono ya mwovu. 🙏🙏🙏🇹🇿

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm 7 วันที่ผ่านมา +1

    Pole sanaa Mtumishi wa Mungu daah Mbona nchii hii ya hovyo sanaa???? Mimi nakuombea Baba yetu Mungu yupo lakn pole sanaa polee 🙌🙌📖🙌🙌🇹🇿

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm 7 วันที่ผ่านมา +2

    Pamoja na kwamba Mungu ndo mlinz wetu mtumishi Mimi naomba nijitolee Kukulinda nitakufa na mtu! atakayekugusa✊🙌🙌📖🙌🙌

  • @rebeccamaziku5070
    @rebeccamaziku5070 7 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu yupo pamoja nawe Mbarikiwa usiogope . Hayo yote wanayoganyiwa watu ukatili na unyama Mungu ameona na amesikia maombi yetu. Kisasi cha Mungu kipo njiani. Tuendelè kumwomba Mungu toba ili uovu wa nchi na kuabufu Miungu uondolewe.

  • @TetwigisJoseph-ef4dq
    @TetwigisJoseph-ef4dq 7 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu atakulinda mwakipesile wewe ni mtumishi wa Mungu alive hai ulindwe kwa nguvun ya Yesu kristo

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 5 วันที่ผ่านมา

    Mungu atapigana vitayako na ote watakao nyanyua siraha yeyote Mungu atashughurikanao.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 7 วันที่ผ่านมา +1

    Shukuru Mungu Mbarikiwa

  • @AbelDelaGenese
    @AbelDelaGenese 7 วันที่ผ่านมา

    Mbarikiwa ni mtumishi wa Mungu, waovu hujaribu tu kuwapinga wenye haki kwa nguvu zote lakini mwisho wao ni mbaya sana.

  • @Williamjackson124
    @Williamjackson124 7 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli

  • @sifawayesu7079
    @sifawayesu7079 6 วันที่ผ่านมา

    Hii ndio Tanzania yetu!!!
    Mungu aturehemu

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 2 วันที่ผ่านมา

    Ww ni mhubir wa kweli,

  • @mbelechimakobola8835
    @mbelechimakobola8835 7 วันที่ผ่านมา +1

    Usihofu Mungu tunayemwabudu atakupigania usijali

  • @sophiemsuya6507
    @sophiemsuya6507 5 วันที่ผ่านมา

    Hivi hao wanaoua wenzao, wao hawatakufa jamani. Mungu anawaona na vizazi kumi mbele yao.

  • @DainaMlelwa
    @DainaMlelwa 3 วันที่ผ่านมา

    Piga injili usiogope wataua mwili cio roho waambie watuwageuke palipo harbka pawe sawa hakuna mtu anayependa ukweli wengi hupenda kusifiwa hata uovu

  • @GaboGabby
    @GaboGabby 7 วันที่ผ่านมา +1

    DAH😢 KWELI MBARIKIWA KUNA HATARI KUBWA SANA
    UKIRUDI GEREZANI... ALICHOKIANZISHA MUNGU
    NDANI YAKO AKITIMILIZE.

  • @titonsimbazi5532
    @titonsimbazi5532 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu kijana atakuja kuraniwa hatakuja asahau, ameingia kwenye vita asiyo ijua na asiyo iweza. MUNGU atamuazibu majuto ni mjukuu.

  • @jacksoncharles5411
    @jacksoncharles5411 7 วันที่ผ่านมา +2

    Ameen ❤❤❤❤❤

  • @nabii-zc1hm
    @nabii-zc1hm 7 วันที่ผ่านมา

    Hizo sounds effect vinanda nana ondoa au punguza sauti kabisa

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza 4 วันที่ผ่านมา

    Tatizo we mzee umemuach mung unapend mitandao

  • @SeverinaNgema
    @SeverinaNgema 6 วันที่ผ่านมา

    Hata mimi nmshangaa huyu kijana yanamhusu nini hizo ni mbio za sakafuni .....atapotea yeye Wala si mtumishi wa Mungu Mbarikiwa yeye ahusike na ndugu au na nani?ni mfa maji ahachi kutapatapa nasema Mungu yupo tuliyembeba ni mkuu kuliko miungu yake nafuta ndoto za kurudi gerezani au kupotea

  • @gidionYeremia-n5z
    @gidionYeremia-n5z 7 วันที่ผ่านมา +4

    Huyo kijana ole wake ajichanganye. Walokole wengine ss sio wajinga na wapole kiasi hicho ,mchungaji wetu akipotea atajua kua ss nasi tunamyoyo! Aache ujinga wake asije akapotea yeye mwenyew!!!

  • @GabrielPetro-qj2mk
    @GabrielPetro-qj2mk 6 วันที่ผ่านมา

    BABA wewe ni shujaa wa Imani

  • @SeverinaNgema
    @SeverinaNgema 6 วันที่ผ่านมา

    Baba panmbana kusonga mbele Bwana akiwa upande wako nani aliye juu Yako hakuna kabisa nihao si mtumishi wa Mungu haurudi Kwa jina la Yesu anajidanganya huyo mc namchukia

  • @OptionsLimited-l4s
    @OptionsLimited-l4s 7 วันที่ผ่านมา

    Waefeso 6 : 12 kwa maana vita vyetu

  • @obadiambilinyi27
    @obadiambilinyi27 7 วันที่ผ่านมา

    Tatizo lako hujasoma Mh 7:16, Gal 5:22-26 na 1Sam 17.....
    Biblia unaitekeleza kwenye maandiko uliyochagua wewe tu