Kiukweli shishi nakupenda Sana ila ulivyo kuwa na uchebe hapa ulipo nguvu zimeniisha siku chaguliwa mtu ila uchebe bwana mlipendeza saaaaanaaaaa yani lakini hapoo mmmmh haya sijui ndiyo mshaowana hapoo au? Stevu naweyeee hakuna mkamilifu jamanii mkumbukee 😪 namlilia shishi na uchebe😥😥😥😥😥😥😥😭😭😭😭😭😭
Asingekua maarufu Shilole hichi kikinda hata km kilidate nae zamani kisingemkumbuka.Hichi kijana kinatembelea nyota ya Shilole.Ukiwa maarufu kupata mpenzi wa kweli kazi.
Steve leo amekuwa wale mama wazee wa zamani.Siku ya sendoff au harusi walikuwa wanakera walikuwaga wanaongea kasoro zote za mabinti zao mbele ya kadamnasi.Utasikia wanasema,mwanangu zuwena au Halima,tabia yako ya kiburi na kuzura uache mwanangu,sasa hivi unaenda kuolewa unakuwa mke wa watu usiniiabishe,uwe unarudi nyumbani mapema.Ulikuwa unanisumbua kufanya usafi nyumbani,kwa mume wako kafanye mwanangu,masufuria uwe unayang'arisha yanatakata😁😁😁walikuwa wanakera.Kuna mwingine alivyoona mama yake anazidi kumuaibisha akamwambia mc nenda kamnyang'anye kipaza sauti huyo mama asituharibie sherehe🤔🙌😁😁😁.
Wacha fitna wew usimfananishe shishi na akina wema,uwoya na wolper,uyu mie namfahamu alikotokea amezaliwa mwaka 1987 sasa piga hesabu anamiaka ngapi mpk sasa
Wooow mashallh love 😘😍😍😍😍dada shilole 🇰🇪
Hngera sna my cster
waoooooh mamy love san shem wetu rommy
Waooooh shem wetu pa1❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
"Kijana anajua mama anataka furaha" umeelew nn hapo like kam zote.
She's very young. congratulations girl. Enjoy life
Hongeren sana jamani ❤❤
Am happy for shilole na rommy3d
CONGRATS SHISHY BABE GAL AND GOOD LOOKING GUY ROMMY💘🙏
Hongera sana dada Shilshi
Shishi tulia nae mmetka mbali Arafu shemeji mpole mashallah
Kiukweli shishi nakupenda Sana ila ulivyo kuwa na uchebe hapa ulipo nguvu zimeniisha siku chaguliwa mtu ila uchebe bwana mlipendeza saaaaanaaaaa yani lakini hapoo mmmmh haya sijui ndiyo mshaowana hapoo au? Stevu naweyeee hakuna mkamilifu jamanii mkumbukee 😪 namlilia shishi na uchebe😥😥😥😥😥😥😥😭😭😭😭😭😭
Ni kweli stive,mwambie shishi
Duh mambo ni mengi muda hautoshi😂😂😂
Asingekua maarufu Shilole hichi kikinda hata km kilidate nae zamani kisingemkumbuka.Hichi kijana kinatembelea nyota ya Shilole.Ukiwa maarufu kupata mpenzi wa kweli kazi.
Kweli kabisa
Hata usipokuwa maarufu ni ishu kumpata wa kweli
Kweli kabisa
@@viviannjau9910 ushasema 👐
piga kelele kwa shishi baby yakeeeeee😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee😊😊😊😊
Steve leo amekuwa wale mama wazee wa zamani.Siku ya sendoff au harusi walikuwa wanakera walikuwaga wanaongea kasoro zote za mabinti zao mbele ya kadamnasi.Utasikia wanasema,mwanangu zuwena au Halima,tabia yako ya kiburi na kuzura uache mwanangu,sasa hivi unaenda kuolewa unakuwa mke wa watu usiniiabishe,uwe unarudi nyumbani mapema.Ulikuwa unanisumbua kufanya usafi nyumbani,kwa mume wako kafanye mwanangu,masufuria uwe unayang'arisha yanatakata😁😁😁walikuwa wanakera.Kuna mwingine alivyoona mama yake anazidi kumuaibisha akamwambia mc nenda kamnyang'anye kipaza sauti huyo mama asituharibie sherehe🤔🙌😁😁😁.
Hongera
UNANICHEKESHA STEVE , ila umehongelea mazima, na Dada SHISHI, tekeleza HUSIA wa Mzee STEVE .
Baada ya miezi mitatu UTASIKIA wamehachana!!!!🌟
KWELI KABISA, Steve
Ongera dada
Twins in love 60
Tena shishi ajitambua akifikasha 40 years atakuambali sana kama sahii anamiliki mjengo wake siwale wakudaiwa kodi kilasiku
Aisee shishi kwakweli hakuwa na mawazo
Wow basi mdumu habbt ikawe kher
Kwani hii ni ndoa?
Nyelele mbea jmn😁😁
Wagu wagu shish baby upoooo
Shilole mkweli
Kiherehere endelea nacho Steve next time sijui utaongea nini.
🤣🤣🤣🤣🤣
Romy ina onyesha ni mpole si msemaji na anampenda Zuwena. Tuna waombea kila la kheri, muoane tena muache zina
Uyo kijana ajiandae kichapo kizuri
Shishi kila cku ww miaka haisongi mbele khaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wacha fitna wew usimfananishe shishi na akina wema,uwoya na wolper,uyu mie namfahamu alikotokea amezaliwa mwaka 1987 sasa piga hesabu anamiaka ngapi mpk sasa
Hyo miwani si akaikaze hizo screw kila saa anaishikilia si itaanguka
Huyo jamaa haendani na shishi ila kwakua wanawake wajanja hupenda wanaume maboya 😁😁😁😁
Ha ha ha umetustukia,unakuwa na Mume Hana kauli unamtuma hadi kudeki chooni
Mbona nyie mnatufanya maboya sasa zamu yenu mkae kwa kutulia mtafanya kazi za ndani
@@maloomaalmnsj5111 ha ha ha haaa
@@fetty1571 divio wanawake wa bongo wanavio taka
Hahahaha nimecheka kizembe
Shishi jaman tulia nahuyu kaka
Shishi bhana msemeji wako mmegombana asaivi umemchukua stive nyelele ila uyo shemeji kama mgonjwa ivi
shilole hajachoka tu kuchezewa na watoto
Ni mpenzi wake wa zamani sana. Mapenzi ya utotoni leo wanayakumbusha
He! Uyo sio mtoto my dear na shilole ni mdogo
Ni mkubwa ukiangalia
@@jescajulius8023 ni mkubwa zile picha Enzi hizo wako Sawa tena anaweza kumzidi ila ni Mpole hivi
Ni k yake muache achezewe. Kipa mtu anahangaika na mapenzi kwahiyo muache ahangaike mpaka ampate wa kumtuliza moyo wake
Shishi sehemu zako za siri sio siri tena
😂😂
😁😁😁
Mfanye nyinyi tu wanaume
kwa mwanamke kawaida tuu mbon
Na ya mama yako je?
Ndio maana wakaitwa wasanii nmekubali leo
Kumbe shishi mdg angu
Shilole ameoa
Stiv wacha kumsifu sana
Ata ufanye nini uchebe harushiki roho baki na huyo kikima chako hapo
Tafut n ww wak kima
Ww
Ndiyo hapo huyo bwana mwenyewe macho Kama katoka kuumwa tumbo la kuhara
Dadaangu wewe huna bahati dooh Kila siku wanakukimbia
wivu ndoa huna danga ww
Acha wivu 🤣🤣🤣
Mpenzi wako Baba levo leo yupo wapi hapo?
Nuhu wanini tena
Kwa hiyo mm sielewi hiyo ndoa itakuwa ya msikitini au kanisani?
Kwan shishi mkirsto
Wote Waislamu anaitwa Rajab, kwanini waoane kanisani?
@@khalekichambo2143 Hilo jina la mchumba wake nilijua ni dhehebu jingine ndo maana nukauliza
@@nuraabdi1379hilo jina naona la kibiashara/kimitandao
hao mabaunsa sasa daaa
Kabemendwa huyoo kijana
Weuweeee wapi uchebe
Gumegume holo
Mnaongea Pumba tu
Huyo bwana arusi mke wake na mtt wameisha achana au shishi mke wa pili
Wanavyodai wote walishaachana ndio wakakutana tenaaa
Mmh
Kila la kheri
Hivi shishi wewe mbona unaolewa kila siku tena na vijana wadogo tu
Unafiki wa tivu ni wa ngaz ya phd
Yangu macho😜
Eti kio cha jamii.. Wafundisha nini waschana wadogo wewe..
Mbona hako kakijna ni katoto sana
Kweli kabisa tuliya shishi
Msemaji mmempata!!! Anaongea pumba tupu...Na pia mpeni kitengo Cha kukusanya michango ya Harus,,,
Shishi tulia nae mmetka mbali Arafu shemeji mpole mashallah