- 534
- 515 031
UVIRA NEWS TV
เข้าร่วมเมื่อ 22 เม.ย. 2020
La reconnaissance de l'AEJT-Uvira aux efforts du gouvernement congolais.
Lancement officiel du projet d'appui à l'éducation inclusive et lutte contre le décrochage scolaire des enfants en situation de handicap. La reconnaissance de l'AEJT-Uvira aux efforts du gouvernement congolais.
มุมมอง: 135
วีดีโอ
NEL-G : NIMEAMIYA UVIRA ILI KULETA LAZA YA MZIKI MZURI NYUMBANI. SINA MKATABA WOWOTE NA GANSOLIZO
มุมมอง 8714 ชั่วโมงที่ผ่านมา
PRODUCER NEL-G : NIMEAMIYA UVIRA ILI KULETA LAZA YA MZIKI MZURI NYUMBANI. SINA MKATABA WOWOTE NA MSANII GANSOLIZO KUHUSU KAZI ZAKE.
Uzinduzi rasmi wa Juyce ya matunda (Jus Maison) jijini Uvira.
มุมมอง 11614 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#UviraNewsTV#Subscribe#Please#
"Niko na furaha sana kufika nyumbani Uvira tena" JACKSON Ibilisi mchezaji wa zamani wa mpira Uvira
มุมมอง 26819 ชั่วโมงที่ผ่านมา
"Niko na furaha sana kufika nyumbani Uvira tena. Tumeandaa match hii kwa lengo ya kujuliana hali na wachezaji wenzetu wa zamani" JACKSON Ibilisi mchezaji wa zamani wa mpira Uvira
TRESOR TAFU : Nafurai kufika nyumbani Uvira na kucheza tena mpira na wachezaji wenzangu wa zamani"
มุมมอง 18919 ชั่วโมงที่ผ่านมา
"Kwasasa ni miaka kumi na saba sijafika Uvira, nafurai kufika nyumbani na kucheza tena mpira na wachezaji wenzangu wa zamani" Trésor Tafu mchezaji wa zamani wa mpira Uvira
PENALTY iliyo kataliwa na referee kwenye mchezo wa fainali ya vijana wa U17 jijini Uvira
มุมมอง 22014 วันที่ผ่านมา
#UviraNewsTv#Subscribe#Please#
Intervention de l'honorable Claude Misare à l'investiture du gouvernement Suminwa
มุมมอง 32114 วันที่ผ่านมา
#UviraNewsTv#Subscribe#Please#
Intervention de l'honorable Justin Bitakwira à l'investiture du gouvernement suminwa.
มุมมอง 79614 วันที่ผ่านมา
#UviraNewsTv#Subscribe#Please#
Mouvement Citoyen Machozi ya Raia pamoja na FEC-UVIRA, yagoma kulipwa kwa kodi ya TVA.
มุมมอง 20521 วันที่ผ่านมา
#UviraNewstv#Subscribe#Please#
Wanamemba wa FEC-UVIRA wafanya sit-in mbele ya ofisi ya DGI kwa ajili ya kupinga kodi ya T.V.A
มุมมอง 24721 วันที่ผ่านมา
#Uviranewstv#Subscribe#Please#
Première sortie médiatique de Kifara KAPENDA KYK'Y après 6 mois de suspens.
มุมมอง 19628 วันที่ผ่านมา
#UviraNewsTv#Subscribe#Please#
Uzinduzi rasmi wa mradi Kangando propre naye Meya Makamo wa Jiji la Uvira.
มุมมอง 25528 วันที่ผ่านมา
#UviraNewsTv#Subscribe#Please#
Mtazamo wa baazi ya raia Uvira: kazi za ujenzi wa barabara zikiendelea hivi tutapata barabara nzuri
มุมมอง 1.7Kหลายเดือนก่อน
#UviraNewsTv#Subscribe#Please#
wachuruzi Uvira : tuaomba wachuruzi kutoka Burundi waendeshe kazi zao ndani ya soko ya Kavimvira
มุมมอง 407หลายเดือนก่อน
#UviraNewstv#Subscribe#Please#
#BURUDANI Tazama Martin Solo mpiga gita nguli kwa sasa jijini Uvira akionyesha ubora wake.
มุมมอง 141หลายเดือนก่อน
#uviraNewsTv#Subscribe#Please#
TJE Group : Sanaa ni kazi kama kazi zingine wala sio uhuni
มุมมอง 129หลายเดือนก่อน
TJE Group : Sanaa ni kazi kama kazi zingine wala sio uhuni
Uvira : Usinduzi rasmi wa agora ya raia
มุมมอง 120หลายเดือนก่อน
Uvira : Usinduzi rasmi wa agora ya raia
Wakaaji wa Uvira-Kasenga : tunabomowa nyumba zetu kwasababu tunaitaji barabara Uvira.
มุมมอง 2Kหลายเดือนก่อน
Wakaaji wa Uvira-Kasenga : tunabomowa nyumba zetu kwasababu tunaitaji barabara Uvira.
#BURUDANI Tazama wamama wanavyocheza ngoma ya asili ya Kibembe. Utapenda
มุมมอง 154หลายเดือนก่อน
#BURUDANI Tazama wamama wanavyocheza ngoma ya asili ya Kibembe. Utapenda
"Uvira tulilomba barabara. Kutengeneza barabara kunaleta shida sasa? " Mhe. KIZA MUHATO meya wa jiji
มุมมอง 1.4Kหลายเดือนก่อน
"Uvira tulilomba barabara. Kutengeneza barabara kunaleta shida sasa? " Mhe. KIZA MUHATO meya wa jiji
"Uvira barabara inakuya. Mwenye alijengaka mubarabara nyumba yake itabomolewa" Mhe. Kiza Muhato
มุมมอง 414หลายเดือนก่อน
"Uvira barabara inakuya. Mwenye alijengaka mubarabara nyumba yake itabomolewa" Mhe. Kiza Muhato
"Mke wa mchungaji Espoir Ruhigita ameachiwa huru" KIZA MUHATO meya wa jiji la Uvira.
มุมมอง 6812 หลายเดือนก่อน
"Mke wa mchungaji Espoir Ruhigita ameachiwa huru" KIZA MUHATO meya wa jiji la Uvira.
UVA STAR NEWS : Couple Lyder na Lucie Kalerano waomba sapoti kwa ajili ya kumtukuza Mungu.
มุมมอง 892 หลายเดือนก่อน
UVA STAR NEWS : Couple Lyder na Lucie Kalerano waomba sapoti kwa ajili ya kumtukuza Mungu.
Microfinance Changa Changa yazidi kupewa sifa na raia wa Uvira.
มุมมอง 1912 หลายเดือนก่อน
Microfinance Changa Changa yazidi kupewa sifa na raia wa Uvira.
Rémy KILELA, azungumziya maendeleo na sifa za microfinance Changa Changa.
มุมมอง 1392 หลายเดือนก่อน
Rémy KILELA, azungumziya maendeleo na sifa za microfinance Changa Changa.
INONDATIONS A UVIRA : Plusieurs bâtiments touchés par les débordements du lac Tanganyika
มุมมอง 1.4K2 หลายเดือนก่อน
INONDATIONS A UVIRA : Plusieurs bâtiments touchés par les débordements du lac Tanganyika
Le maire adjoint Kifara KAPENDA KYK'Y parle de ses 2mois d'intérim à la tête de la Mairie d'Uvira.
มุมมอง 2952 หลายเดือนก่อน
Le maire adjoint Kifara KAPENDA KYK'Y parle de ses 2mois d'intérim à la tête de la Mairie d'Uvira.
Eid Uvira : "Katika mafungo yetu, tulikuwa tukiomba mungu atupe amani katika nchi yetu ya Congo"
มุมมอง 1472 หลายเดือนก่อน
Eid Uvira : "Katika mafungo yetu, tulikuwa tukiomba mungu atupe amani katika nchi yetu ya Congo"
#BURUDANI : Utapenda Laurent Bushole muimbaji wa nyimbo za injili Uvira akiimba wimbo wake wa Congo.
มุมมอง 842 หลายเดือนก่อน
#BURUDANI : Utapenda Laurent Bushole muimbaji wa nyimbo za injili Uvira akiimba wimbo wake wa Congo.
UVA STAR NEWS : Hypolite Bakari afunguka kwanini alichaguwa kuwa mchekeshaji
มุมมอง 712 หลายเดือนก่อน
UVA STAR NEWS : Hypolite Bakari afunguka kwanini alichaguwa kuwa mchekeshaji
👍
Vraiment nashukuru sana kuona kwetu uvira kunakuwa kizungu kabisa
❤❤❤❤❤
Courage sana 👏👏
Uvira yangu kweli😢
Referee alikuwa na sahii kabisa... Goalkeeper ametambuka mustari kabla ball kupigwa
🎉❤
🎉felicitation
❤❤❤❤❤❤
Tokalini raiya aka kataa kutoka kampuny irudi serekali ipi hiyo❤Vyliongozi wetu wa east kubebwatu
👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼bien dit
Unaongeya kweli ila sapoti akuna apa nyumbani
👍🏼👍🏼👍🏼
👍🏼👍🏼👍🏼
N'importe quoi.
Story za uongo hizo zimechosha. Kama serekali ikikusudia kufanya kazi yoyote haiwezi kuomba au kujililia kwa raia. Le sol et sous sol apparteint à l'état. Kama nia ya kujenga barabara ingekuwepo serekali inge orodhesha nyumba zitakazo bomolewa na kufidia wenye nyumba na kazi inaendelea. Habari za kulalisha fikra za raia hizo.
kinshasa kwenyewe kuna kosa mabarabara halafu nyie mnaitika kubomoa nyumba zenu
Vujeni izo nyumba atakaye kata sauri yake watu wanataka maendeleo
Asante bwana Meya wa jiji la Uvira Kiza Muhato kwa ujumbe wako wa umoja kati ya Wavira na Wafuliiru, na zaidi sana kwa wito wa vijana wanaoleta aibu kwa wakaaji wetu kiasi ya kumushambulia na kumteka Espoir na Sylvie Ruhigita.
Ni sawa kabisa kuko unyanyasi sana kwenye vitengo vya kutoza kodi Ya serekali, na pesa hivi wako natiya mu mifuko yao. Kama muko preuve Ya corruption mu mupeleke uyo ku justice. Habo batu ni ba mwizi sana.
❤❤❤l love u so much my G u are doing well great job 💪
Uⓥⓘⓡⓐ ⓜⓤⓢⓘⓠⓤⓔ
Fatshi béton wumela till mokolo yesu akozonga
Huyu kicheche atakuja kufichwa na waaasi wa polini shauri yake
Big up guys kwakazi zenu, ndawasaidia kushare kwenye magroupe za WhatsApp. Na mukuwe serious kwahiyo kaza
You mean homeowners are demolishing There houses' wajt a minute who's going to pay for the labour work? Who's paying the compensations in moving this people out
Uvira music
Félicitations les VDP du Sud Kivu pour vous féliciter
Poleni sana kabisa
❤❤❤❤❤tukuze vipaji jamani kwenye Sanaa Uvira
Vijana wa pambanaji kabisa
UVIRA tunaweza kupitia vipaji vya nyumbani !!! Ensemble nous Pouvons 🤝🤝🙏
Epoque ya Kabila nayo mulifanyaka ivio ila akuna kitu mulifanyaka cha barabara
Mu nya rwanda a kujenge Bar ara
Raia imekubali kweli ila gouvernement wakubalj kujenga pia barabara nzuri Sasa wale walibomowa Nyumba zao wataishi wapi
❤❤❤
Safi saana, kazi nzuri, miundombino kwanza
mukuwe wakweli maraba musibomoleye watu manyumba kishamukose kuijenga tena
Maendeleo na Umoja. Tujenge inchi yetu. Vile vile tugombanishe adui M23 ili amani irejeye kando kando za provinces zilizokamatwa na Paul Kagame !
Attendons voir
Jitumi🎉
Niko pa Bagira Bukavu.
Uko kiongozi mzurii kabisaa, ingekuwa weye njo gouverneur wa province ya Sud Kivu votre,batu angefurahi sana tena sana.
th-cam.com/video/PhFF8LYEFfw/w-d-xo.htmlfeature=shared Pole Sana wandugu zangu
pole sana 😂😂😂😂
Courage à notre serviteur,
C'était bien cette émission.
Maswali magumu umeyejibu kwa hekima mno 😊🙏🥰 🇨🇩🇲🇼 maisha marefu
❤❤❤
Well done
th-cam.com/video/uG__xhndt9g/w-d-xo.htmlsi=ypeFgbWJZQYxPCib Halleluya