GHOROFA LINAPANGISHWA LAKI 8X6, MBEZI BEACH JK NYERERE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024
- LIKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH JK NYERERE
UPANDE WA CHINI DK 4 TOKA BARABARA KUU YA LAMI
NYUMBA NZURI YA KISASA
YA FAMILIA KUBWA
INAJITEGEMEA
YENYE;-
Vyumba vinne vya kulala vyenye Makabati kimojawapo ni Master, Dinning, Sebule, Jiko lenye Makabati, Stoo, Choo/Bafu vya ndani public
TnG Tiles Shutter Windows
Umeme upo wa Luku x Solar pia
Maji yapo ya bomba 24hrs plus reserve tank ya lita 7000
Nje Pavingblocks
Fencedhouse
INAFAA KWA MATUMIZI YA OFISI PIA
KODI TSHS LAKI 800,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
PAMOJA NA MALIPO YA KODI YA MWEZI 1 WA @Dalalimwanamke
___________________
KWA MAWASILIANO PIGA:-
+255-684808232
+255-768914118
KWA #MATANGAZO + #PROMO ZA KIBIASHARA
WhatsApp no +255-718936416
_________
PIA TUNAHAMISHA VITU, KUFANYA USAFI WA NYUMBA, KUBEBA NA KUSAFIRISHA MIZIGO AINA YOTE NDANI/NJE YA NCHI #MoveSafewithus @Dalalimwanamke_movingservices
______
Hosted by enjoyable @MCMtaenjoy 🎤
Maneno yako i see
Haiyendani na bei yke ipo chafu Sana nyumba na mbaya sna😔
😂😂😂😂 eti wanakila kitu alfu wajumbe wamewachinja...
Bora nikapange mazes tu, hivi laki nane eti nigorofa , peleka ujinga wako wewe