DalaliMwanamke
DalaliMwanamke
  • 401
  • 1 712 692
TSHS MIL 25, NYUMBA (UNFINISHED) INAUZWA KIGAMBONI CHEKA BEACH 🏖️ AYA SOPHIA
TSHS MIL 25, NYUMBA INAUZWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-KIGAMBONI CHEKA BEACH 🏖️
KARIBU NA HOTEL YA AYA SOPHIA
KILOMETA 1 TOKA BAHARINI
KIWANJA CHAKE SQM 952
NYUMBA ILOBAKISHA FINISHING
IMEJENGWA KWA RAMANI YA KISASA
YENYE;
Vyumba vitatu vya kulala kimojawapo ni Master, Dinning, Sebule, Jiko & Public Toilet
INA KISIMA CHA MAJI SAFI
Maji x Umeme vyote vipo
NB; IKO KWENYE POTENTIAL AREA KIBIASHARA AU HATA MAKAZI BINAFSI
BEI INAUZWA TSHS MIL 25
KWA MAWASILIANO PIGA;
+255 718 936 416
+255 768 914 118
มุมมอง: 427

วีดีโอ

APARTMENTS 7 ZINAUZWA KIGAMBONI BAMBA BEACH 🏖️ TSHS MIL 150 MAONGEZI YAPO PIA 🤔
มุมมอง 515หลายเดือนก่อน
TSHS MIL 150, APARTMENTS ZINAUZWA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-KIGAMBONI GEZA BAMBA BEACH 🏖️ UMBALI MITA 50 TOKA BARABARA KUU YA LAMI UKUBWA WA ENEO LIMEPIMWA SQM 4475 ZIKO JUMLA APART 7 NDANI YA JENGO 1 ZOTE ZINA WAPANGAJI & ZINAFANANA @1; Vyumba viwili vya kulala kimojawapo ni master & Sebule yake Gypsum Tiles Slides Windows Umeme x Maji vyote vipo VERY POTENTIAL ASSET TO BUY & OWN IT WADAU BE...
TSHS MIL 25 ENEO SQM 5200 LINAUZWA KILOSA MOROGORO LINAFACE BARABARA KUU YA LAMI 🛣️
มุมมอง 68หลายเดือนก่อน
TSHS MIL 25, ENEO LINAUZWA MAHALI-MOROGORO WILAYA YA KILOSA ENEO LINAFACE BARABARA KUU YA LAMI INAYOELEKEA DODOMA, KM 29 TOKA GAIRO NA 35 TOKA DUMILA UKUBWA WAKE SQM 5200 NYARAKA ZA UMILIKI LINA SALES AGREEMENT MIUNDOMBINU YAKE; Maji x Umeme vyote vipo ENEO KUBWA HEKA 1 POINT SOMETHING LINAFAA KWA BIASHARA; SHELI nk..! BEI LINAUZWA TSHS MIL 25 KWA MAWASILIANO PIGA; 📞 255 718 936 416 255 768 914...
TSHS MIL 155, NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI KIBADA FULL SHANGWE
มุมมอง 2Kหลายเดือนก่อน
TSHS MIL 155, NYUMBA INAUZWA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-KIGAMBONI KIBADA FULL SHANGWE UMBALI MITA 400 TOKA BARABARA KUU YA LAMI UKUBWA WA ENEO LAKE SQM 680 NYUMBA NZURI YA KISASA KUBWA YA FAMILIA YENYE; Vyumba vitano vya kulala vyote ni master, Dinning, Sebule, Jiko, Stoo & Public Toilet SERVANT QUARTER; Vyumba viwili vya kulala vyote master, Jiko & Public Toilet Umeme x Maji vyote vipo Cars P...
TSHS MIL 290, NYUMBA INAUZWA GOBA LASTANZA
มุมมอง 1.7Kหลายเดือนก่อน
TSHS MIL 290, NYUMBA INAUZWA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-GOBA LASTANZA UKUBWA WA ENEO LAKE LIMEPIMWA SQM 1,100 NYUMBA NZURI YA KISASA YA FAMILIA KUBWA YENYE; Vyumba vinne vya kulala vyenye makabati viwili katiyavyo ni master vyenye AC, Dinning, Sebule, Library, Jiko lenye makabati, Stoo & Public Toilet/Bathroom Gypsum Tiles Slides Windows Umeme x Maji vyote vipo Cars Parking space Pavingblocks ...
JIWANJA SQM 2328, MBEZI BEACH MASANA, LINATUPWA TSHS MIL 100 😳 ‼️ 😩
มุมมอง 1144 หลายเดือนก่อน
KIWANJA KINAUZWA KIPO-DAR ES-SALAAM Tz MAHALI-MBEZI BEACH MASANA UPANDE WA JUU MNARA WA VODA DK 4 TOKA BARABARA KUU YA LAMI KIMEPIMWA UKUBWA WAKE SQM 2328 HIGHLAND PLOT VIEW KIKUBWA SANA KINAFAA KWA; DREAM HOUSE & APARTMENTS ZA BIASHARA PIA BEI KINAUZWA TSHS MIL 100 MAONGEZI YAPO PIA KWA MAWASILIANO PIGA; 255 718 936 416 255 768 914 118
ENEO 🛣️ SQM 1035 LINAUZWA TSHS MIL 150, MBEZI LUIS, MAONGEZI YAPO PIA
มุมมอง 4024 หลายเดือนก่อน
TSHS MIL 150, ENEO LINAUZWA LIKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-MBEZI LUIS MITA 200 TOKA MOROGORO ROAD 🛣️ UKUBWA WA ENEO LIMEPIMWA SQM 1035 NYARAKA ZA UMILIKI LINA HATI SAFI YA WIZARA VILIVYOMO NDANI; Pagale lenye ramani ya kisasa vyumba vitatu vya kulala viwili katiyavyo ni master, Dinning, Sebule, Jiko, Stoo & Public Toilet Pembeni yake Chumba kimoja master na Sebule yake Jiko & Public Toilet vya nj...
🛣️ KIWANJA KILICHOPIMWA SQM 1400, KINAUZWA TSHS MIL 80, UBUNGO RIVER SIDE
มุมมอง 4515 หลายเดือนก่อน
KIWANJA 🛣️ TSHS MIL 80 KINAUZWA KIPO-DAR ES-SALAAM Tz MAHALI-UBUNGO RIVER SIDE UMBALI MITA 150 TOKA BARABARA YA LAMI UKUBWA WAKE KIMEPIMWA SQM 1400 NYARAKA KINA SALES AGREEMENT KIWANJA KIKUBWA KIZURI KIKO JUU KINAVIEW JIJI ZIMA LA DAR HAKINA MGOGORO WALA MKOPO BENKI KIZURI KWA UJENZI WA APARTMENTS ZA BIASHARA AU PIA NYUMBA BINAFSI YA KUISHI BEI KINAUZWA TSHS MIL 80 MAONGEZI YAPO PIA KWA MAWASIL...
NYUMBA INAUZWA TSHS MIL 150, KIGAMBONI MWONGOZO NHC ESTATES
มุมมอง 4785 หลายเดือนก่อน
TSHS MIL 150, NYUMBA INAUZWA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-KIGAMBONI NHC ESTATES MWONGOZO UMBALI TOKA FERRY KM 15 & KM 16 TOKA DARAJANI AMBAPO NI KM 1.5 TOKA BARABARA YA LAMI MPAKA KWENYE NYUMBA UKUBWA WA ENEO LAKE NI SQM 378 NYARAKA ZA UMILIKI INA UNIT TITTLE (HATI) NYUMBA NZURI YA KISASA YA KIGHOROFA YENYE; Vyumba vitatu vya kulala kimojawapo ni Master, Sebule, Dinning yenye Open Kitchen, Stoo ...
TSHS MIL 40, KIWANJA KIMEPIMWA SQM 980 KINAUZWA MBWENI KIEMBENI
มุมมอง 2855 หลายเดือนก่อน
TSHS MIL 40, KIWANJA KINAUZWA KIPO-DAR ES-SALAAM Tz MAHALI-MBWENI KIEMBENI KIMEPIMWA UKUBWA WAKE SQM 980 NYARAKA ZA UMILIKI KINA SALES AGREEMENT KIWANJA KIZURI KIKUBWA KIKO TAMBARARE KINA MSINGI TAYARI WA FENCE TOFAUTI KADHAA & MCHANGA NEIGHBOURS HOOD NZURI YA KISHUA HAKINA MGOGORO, KESI WALA SIO URITHI WENYEWE WANAPUMUA KAMA WEWE MKE & MME WAKO PAMOYAA 💍 WANAPENDANA MPAKA KIFO KITAKAPOWATENGAN...
TSHS MIL 130, JENGO (APARTMENTS) LINAUZWA, KIGAMBONI KIBADA
มุมมอง 1785 หลายเดือนก่อน
TSHS MIL 130, JENGO LINAUZWA LIKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-KIGAMBONI KIBADA KISARAWE 2 UKUBWA WA ENEO LAKE SQM 600 NYARAKA ZA UMILIKI INA SALES AGREEMENT NI JENGO JIPYA AMBALO HALIJAKAMILIKA LIMEJENGWA KWA RAMANI YA KISASA YA UNITS ZA BIASHARA YA KUPANGISHA KATIKA JENGO 1 ZIKO UNIT 4 ZOTE ZINAFANANA JUU 2 & CHINI 2 @1 INA; Chumba kimoja cha kulala, Sebule, Jiko & Choo chake ndani MIUNDOMBINU YAK...
TSHS MIL 950, NYUMBA INAUZWA IPO MOROGORO MAHALI KIHONDA ENEO LAKE SQM 8007
มุมมอง 3625 หลายเดือนก่อน
TSHS MIL 950, NYUMBA INAUZWA IPO MOROGORO MAHALI KIHONDA ENEO LAKE SQM 8007
TSHS MIL 200, NYUMBA INAUZWA IPO DAR ES SALAAM TANZANIA MAHALI SINZA MORI
มุมมอง 5155 หลายเดือนก่อน
TSHS MIL 200, NYUMBA INAUZWA IPO DAR ES SALAAM TANZANIA MAHALI SINZA MORI
KIWANJA SQM 2475, KINAUZWA TSHS MIL 450, MBEZI BEACH AFRICANA
มุมมอง 1595 หลายเดือนก่อน
KIWANJA SQM 2475, KINAUZWA TSHS MIL 450, MBEZI BEACH AFRICANA
NYUMBA INAUZWA TSHS MIL 170, BOKO BASIHAYA
มุมมอง 1.1K7 หลายเดือนก่อน
NYUMBA INAUZWA TSHS MIL 170, BOKO BASIHAYA
NYUMBA INAUZWA TSHS MIL 53, KILUVYA MADUKANI
มุมมอง 9057 หลายเดือนก่อน
NYUMBA INAUZWA TSHS MIL 53, KILUVYA MADUKANI
KASRI 🏛️ LINAUZWA TSHS MIL 450, MBEZI BEACH MASANA
มุมมอง 6918 หลายเดือนก่อน
KASRI 🏛️ LINAUZWA TSHS MIL 450, MBEZI BEACH MASANA
TSHS MIL 45, NYUMBA INAUZWA BUNJU 'B MABWEPANDE
มุมมอง 1.2K9 หลายเดือนก่อน
TSHS MIL 45, NYUMBA INAUZWA BUNJU 'B MABWEPANDE
TSHS MIL 150, NYUMBA INAUZWA SALASALA IPTL TAMU SAAAAAANA!! 😍
มุมมอง 2.2K9 หลายเดือนก่อน
TSHS MIL 150, NYUMBA INAUZWA SALASALA IPTL TAMU SAAAAAANA!! 😍
TSHS MIL 1.5 TU! MILIKI KIWANJA KILICHOPIMWA SQM 400+ & SQM 500+, BAGAMOYO FUKAYOSI
มุมมอง 30110 หลายเดือนก่อน
TSHS MIL 1.5 TU! MILIKI KIWANJA KILICHOPIMWA SQM 400 & SQM 500 , BAGAMOYO FUKAYOSI
TSHS MIL 140, GHOROFA LINAUZWA MADALE MIKOROSHINI (UNFINISHED/PAGALE)
มุมมอง 1.8K11 หลายเดือนก่อน
TSHS MIL 140, GHOROFA LINAUZWA MADALE MIKOROSHINI (UNFINISHED/PAGALE)
OFA KWA TSHS MIL 1, MILIKI KIWANJA SQM 400, 500 & 600, NDANI YA BAGAMOYO FUKAYOSI MSIMU WA SIKUKUU
มุมมอง 291ปีที่แล้ว
OFA KWA TSHS MIL 1, MILIKI KIWANJA SQM 400, 500 & 600, NDANI YA BAGAMOYO FUKAYOSI MSIMU WA SIKUKUU
TSHS MIL 500, ENEO LINAUZWA, LIKO-DAR-ES-SALAAM Tz, MAHALI-KIMARA MWISHO
มุมมอง 419ปีที่แล้ว
TSHS MIL 500, ENEO LINAUZWA, LIKO-DAR-ES-SALAAM Tz, MAHALI-KIMARA MWISHO
OFA 🎁 TSHS MIL 1, KWA KIWANJA CHOCHOTE SQM 400, 500 & 600 BAGAMOYO FUKAYOSI 🛣️
มุมมอง 207ปีที่แล้ว
OFA 🎁 TSHS MIL 1, KWA KIWANJA CHOCHOTE SQM 400, 500 & 600 BAGAMOYO FUKAYOSI 🛣️
TSHS MIL 70, APARTMENTS ZINATUPWA, ZIKO-DAR-ES-SALAAM Tz, MAHALI-KITUNDA RELINI
มุมมอง 1Kปีที่แล้ว
TSHS MIL 70, APARTMENTS ZINATUPWA, ZIKO-DAR-ES-SALAAM Tz, MAHALI-KITUNDA RELINI
BAGAMOYO DREAM CITY PROJECT 🛣️SAGULASAGULA KIWANJA CHOCHOTE TSHS MIL 2 TU!!
มุมมอง 452ปีที่แล้ว
BAGAMOYO DREAM CITY PROJECT 🛣️SAGULASAGULA KIWANJA CHOCHOTE TSHS MIL 2 TU!!
𝐒𝐀𝐆𝐔𝐋𝐀𝐒𝐀𝐆𝐔𝐋𝐀 𝐋𝐀 𝐕𝐈𝐖𝐀𝐍𝐉𝐀 𝐁𝐀𝐆𝐀𝐌𝐎𝐘𝐎 𝐃𝐑𝐄𝐀𝐌 𝐂𝐈𝐓𝐘 𝐏𝐑𝐎𝐉𝐄𝐂𝐓
มุมมอง 613ปีที่แล้ว
𝐒𝐀𝐆𝐔𝐋𝐀𝐒𝐀𝐆𝐔𝐋𝐀 𝐋𝐀 𝐕𝐈𝐖𝐀𝐍𝐉𝐀 𝐁𝐀𝐆𝐀𝐌𝐎𝐘𝐎 𝐃𝐑𝐄𝐀𝐌 𝐂𝐈𝐓𝐘 𝐏𝐑𝐎𝐉𝐄𝐂𝐓
EXTRA BIG SALE YA VIWANJA LIPA CASH AU KIDOGO KIDOGO, SQM 1 TSHS ELFU 5000/= KIGAMBONI KIMBIJI
มุมมอง 319ปีที่แล้ว
EXTRA BIG SALE YA VIWANJA LIPA CASH AU KIDOGO KIDOGO, SQM 1 TSHS ELFU 5000/= KIGAMBONI KIMBIJI
TSHS MIL 90, KIWANJA SQM 1800 KINAUZWA GOBA TEGETA 'A
มุมมอง 612ปีที่แล้ว
TSHS MIL 90, KIWANJA SQM 1800 KINAUZWA GOBA TEGETA 'A
TSHS MIL 220, NYUMBA MPYA YENYE FRAME 7 ZA BIASHARA INAUZWA KIGAMBONI TUANGOMA
มุมมอง 1K2 ปีที่แล้ว
TSHS MIL 220, NYUMBA MPYA YENYE FRAME 7 ZA BIASHARA INAUZWA KIGAMBONI TUANGOMA

ความคิดเห็น

  • @MAGARITanzania
    @MAGARITanzania 13 วันที่ผ่านมา

    Ipo hii??

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 22 วันที่ผ่านมา

    Hapo panajaa maji angalia ukutani maji yalikofikia

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 23 วันที่ผ่านมา

    Anayeuza apo itakuwa kafilisika sana maskini sana sehem potential ya kuuza mamilioni ata 100 anatupa kwa 25m sijawahi kuona maajabu

    • @mzalendomzalendo2567
      @mzalendomzalendo2567 22 วันที่ผ่านมา

      Lazima kuna cutch

    • @FredrickMatiku-xf2uk
      @FredrickMatiku-xf2uk 21 วันที่ผ่านมา

      @ au majiniii uchawii haelewiii kaamua kuuza tu oyaaa msinunue ilo eneo wateja mmesikia

    • @mawazoaliselemani
      @mawazoaliselemani 20 วันที่ผ่านมา

      Sasa si ununue?we unamshauri mtu anauza chake kwa bei rahisi unataka kujua yanayomsibu?yaani wabongo sisi sijui tumerogwa? Kama mtu anauza kwa furaha au kwa huzuni. Ama anauza kabanwa na shida hiyo yote inakuhiusu nini Cha muhimu ni kununua biashara iishe.

  • @bupehippolite7
    @bupehippolite7 25 วันที่ผ่านมา

    No yako

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 26 วันที่ผ่านมา

    Kimbiji ni kijijini huko hakuna ata barabara ya lami

  • @andrewfernandess8898
    @andrewfernandess8898 29 วันที่ผ่านมา

    Basihaya inajulikana kwa mafuriko

  • @andrewfernandess8898
    @andrewfernandess8898 29 วันที่ผ่านมา

    Maji msimu wa mvua

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk หลายเดือนก่อน

    Kimbijiiii ni kijijini barabara ya lami imeishia cheka

  • @HemedyLukindo-y9h
    @HemedyLukindo-y9h หลายเดือนก่อน

    Pesa nyingi kuliko thaman ya nyumba

  • @godloverashid1699
    @godloverashid1699 หลายเดือนก่อน

    Bado Iko sakon naihitaji

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk หลายเดือนก่อน

    Nyumba ya milioni 290 pesa zote hizo alafu chooo cha kuchuchumaaaa na ni kichafuuuu kwelikweliiiii kama cha bar

  • @Princeking-t4f
    @Princeking-t4f หลายเดือนก่อน

    Mbona public toilet ya chini?

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk หลายเดือนก่อน

    Nyumba ina mikopoooooo hiyo nani anunue?

    • @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
      @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly หลายเดือนก่อน

      Hujaambiwa ununue wewe,hata kama ina mkopo anauza ili alipe mkopo awe free,shida nini??

  • @hamadiluhizo-zs3iy
    @hamadiluhizo-zs3iy หลายเดือนก่อน

    Kwanini iuzwe hiyo Nyumba?

    • @msowamhokole7714
      @msowamhokole7714 29 วันที่ผ่านมา

      Ina mhogolo ama maana ck iz mmmm

  • @abdulsimbarakiye4145
    @abdulsimbarakiye4145 หลายเดือนก่อน

    Kaka habari za asubuhi tafadhali naomba kujua kama hiyo nyumba bado hipo sokoni shukran

  • @BakaryYusuph-t9x
    @BakaryYusuph-t9x หลายเดือนก่อน

    gharama kubwa tofauti na nyumba mzee...

  • @sheikhalumbalambaka6213
    @sheikhalumbalambaka6213 2 หลายเดือนก่อน

    Bado zipo inaonyesha za muda sana

  • @fatimajuma3330
    @fatimajuma3330 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni nyumba ama ni shule maana dar

  • @RamlaChiza
    @RamlaChiza 2 หลายเดือนก่อน

    Inauzwa na furniture????

  • @FarhiaAbubakar-f9b
    @FarhiaAbubakar-f9b 2 หลายเดือนก่อน

    Wapi

  • @hajisuleiman5985
    @hajisuleiman5985 2 หลายเดือนก่อน

    Lipo

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 3 หลายเดือนก่อน

    Salasala ndio wapi mkuranga au wapi

  • @SelinaMarco-n7z
    @SelinaMarco-n7z 3 หลายเดือนก่อน

    Bado kipo hicho kiwanja

  • @HajiJuma-d5q
    @HajiJuma-d5q 3 หลายเดือนก่อน

    Mm n azitaka kwa kweli nipo tayari kama hazina mgogoro

  • @GodwinMwakibinga
    @GodwinMwakibinga 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba za kuwasiliana nanyi

  • @bonifaceakyoo1180
    @bonifaceakyoo1180 3 หลายเดือนก่อน

    Hii si ndio île nyumba ya konde boy??

  • @mukhsintwaha5909
    @mukhsintwaha5909 3 หลายเดือนก่อน

    Bado vpo kiongoz?

  • @kagombaEnok
    @kagombaEnok 3 หลายเดือนก่อน

    Nyumba nzuriiii sana

  • @abdallahmbonabona8860
    @abdallahmbonabona8860 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa sasa Nazani ndio hio nyumba Harmonize anaeshi hapo

  • @filskischannel9737
    @filskischannel9737 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona kama konde village ivyo...sijaelewa

  • @bijo916
    @bijo916 4 หลายเดือนก่อน

    Dada vipi vya karibu na bahari jee

  • @bijo916
    @bijo916 4 หลายเดือนก่อน

    Vya karibu na bahari jee

  • @viatorykashabizi2538
    @viatorykashabizi2538 4 หลายเดือนก่อน

    Supper environment !

  • @abdulsimbarakiye4145
    @abdulsimbarakiye4145 4 หลายเดือนก่อน

    Tafadhali nakuomba kuhuliza kama bado hipo sokoni mimi nipo Amsterdam Netherlands

  • @IddyAthuman-f3k
    @IddyAthuman-f3k 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona inafanana na Nyumba ya HARMONIZE

  • @saidnoumani7244
    @saidnoumani7244 5 หลายเดือนก่อน

    Sio Cha urithi kweli ? Sababu ni shamba!

  • @allexmbayayee5346
    @allexmbayayee5346 5 หลายเดือนก่อน

    Nambie ya cm naomba

  • @ZenaZena-vx2ee
    @ZenaZena-vx2ee 5 หลายเดือนก่อน

    Bado vp

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 5 หลายเดือนก่อน

    Harmo

  • @saidnoumani7244
    @saidnoumani7244 5 หลายเดือนก่อน

    Inatisha bro kuwa nyumba ya mbele sio sehemu ya hii deal...how come

  • @miriamahmadi1356
    @miriamahmadi1356 5 หลายเดือนก่อน

    Tuma number ya watsap

  • @ZenaZena-vx2ee
    @ZenaZena-vx2ee 6 หลายเดือนก่อน

    Wapnapo

  • @dullayomwinyi3359
    @dullayomwinyi3359 6 หลายเดือนก่อน

    Ni la kifahari kweli nakubali

  • @YussuphMohammed-bm8jz
    @YussuphMohammed-bm8jz 6 หลายเดือนก่อน

    Yakawaida saana

  • @YussuphMohammed-bm8jz
    @YussuphMohammed-bm8jz 6 หลายเดือนก่อน

    Konde gang verag

  • @sospetershijah5619
    @sospetershijah5619 6 หลายเดือนก่อน

    Baadae mmakonde ndio akawa amehamia hapa sio?

  • @sharifsaidshoka8684
    @sharifsaidshoka8684 6 หลายเดือนก่อน

    Kk hii nyumba bado ipo

  • @sharifsaidshoka8684
    @sharifsaidshoka8684 6 หลายเดือนก่อน

    Tunataka maasiliano ili tupate hii apartment

  • @hadijamachimu5132
    @hadijamachimu5132 6 หลายเดือนก่อน

    Haina dining

  • @hadijamachimu5132
    @hadijamachimu5132 6 หลายเดือนก่อน

    Badoo ipo mbona muda imetangazwa