Ubora Na Fadhila Za Kukaa Msikitini / Tofauti Ya Imani Na Taqwa Ni Hizi / Sheikh Walid Alhad Omar

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Ubora Na Fadhila Za Kukaa Msikitini /Tofauti Ya Imani Na Taqwa Ni Hizi / Sehemeu Bora Ya Ardhi Ni Misikiti / Sheikh Walid Alhad Omar
    Mashaa Allah Sheikh Walid Alhad akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Ubora Na Fadhila Za Kukaa Msikitini /Tofauti Ya Imani Na Taqwa Ni Hizi / Sehemeu Bora Ya Ardhi Ni Misikiti / Sheikh Walid Alhad Omar
    tizama mpaka mwisho usisahau kushare
    usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
    Support us DARSA TV
    M-PESA +255 765100906
    Paypal 👇👇👇👇
    paypal.me/Dars...
    Get MORE of DARSA TV:
    ► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
    ► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
    ► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
    Subscribe
    Comment
    Like
    And
    Thanks
    Tu follow katika social media zetu
    Facebook @Darsa tv
    Instagram @Darsatv
    TH-cam @Darsa tv
    TikTok @Darsa tv

ความคิดเห็น • 23

  • @aishasaleh4407
    @aishasaleh4407 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @sadakimwaki9791
    @sadakimwaki9791 ปีที่แล้ว +1

    Mashaalah mola akupe umri mrefu tupate kuelimika inshaa allah

  • @alimiahbakari7806
    @alimiahbakari7806 ปีที่แล้ว

    ALLAH akupe umri mrefu .na uthubutu na usibitisho uayaendee hayo uwache adhari nzuri utokapo kwenye nafasi hiyoo . insha Allah hayo ndiyo tunayatamani waisiraam .jamani kubishana kwa mambo yasiyo natija tumechoka wairalaam . ALLA akusimamiye sheikh Waridi unayo yatamani yawe nimakubwa namazuri

  • @abdulrazaktayeb
    @abdulrazaktayeb ปีที่แล้ว

    Salams...
    Ustadh jazakallah...namshukuru allah kutupatiya ustadh kama wewe kwakutueleza..na kufanya tuelewe kirahisi darsa zako..mifano kuruka...one day yes....

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 21 วันที่ผ่านมา

    Masha allah mungu akuhifazi

  • @ibrahkarim617
    @ibrahkarim617 2 หลายเดือนก่อน

    ❤ jazaakallah kheir

  • @mwanaathumani9594
    @mwanaathumani9594 ปีที่แล้ว

    Assante Sana she kwaelim yakunifungua masikio kujua NN maana yauslam inasikitisha Sana nikweli tunafeli Sana katika elim yakislam inaumiza Allah akuzidishie umr uzid kutufunza Yan ellm unayo itoa inapenya Sana katika akili yangu duu najiona kama nimechelewa wallah Allah nisaidie Iman ulio nijaza isipungue naniifanyie kaz Allah azid kukupa saut nzur yaupole yakuelimisha dini yetu hii yakislam nakupenda kwajili yaallah asant🙏💯

  • @pambwemaulidpambwe5526
    @pambwemaulidpambwe5526 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 ปีที่แล้ว

    Allah akusimamie Shekh Walid

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 ปีที่แล้ว

    Kuna haja ya kurudisha ile Program kwa walimu kwenda Mashuleni kuwafundisha na kuwawezesha ikibidi kuwe na Mfuko(Account) kuchangia kwa ajili ya kuwawezesha Walimu wetu wa Madrasa kwenda Mashuleni
    Enzi zetu walikua wanakuja
    Ila Tuamke Hili ni Jambo muhimu sana kwa Chombo chetu cha BAKWATA kuliangalia na kulitafutia Muarubaini
    Ni jambo la Kitaifa
    Tunatarajia Shekh wetu utatoa mfano kwa jiji la Darusalam

  • @busta_malik5971
    @busta_malik5971 ปีที่แล้ว

    Masha'Allah

  • @dr.a.s.mwinyi8143
    @dr.a.s.mwinyi8143 3 หลายเดือนก่อน

    Syllabus ya Islamic Knowledge ni mbovu.

  • @shanimpenike7568
    @shanimpenike7568 ปีที่แล้ว

    جزاك الله خﺅر الجزاء

  • @alnaseralshaukail3350
    @alnaseralshaukail3350 ปีที่แล้ว

    Nimejikuta namwaga machozi

  • @AhmadMuhamed-bu5zd
    @AhmadMuhamed-bu5zd ปีที่แล้ว

    Asalam aleikum ww, from DRC mwalim aukutupa zile guzo 3 za dini

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed ปีที่แล้ว

    Waalaykum salam warhmatullah wabarakat ❤

  • @nadhifamohammed7749
    @nadhifamohammed7749 ปีที่แล้ว

    Sheikh wallah nakupenda kwa ajili ya allah natamani niwe Karibu yako nipate material lkn Alhamdulillah nipo kujifunza

  • @AhmadMuhamed-bu5zd
    @AhmadMuhamed-bu5zd ปีที่แล้ว

    Asalam aleikum ww, from DRC mwalim aukutupa zile guzo 3 za dini

  • @AhmadMuhamed-bu5zd
    @AhmadMuhamed-bu5zd ปีที่แล้ว

    Asalam aleikum ww, from DRC mwalim aukutupa zile guzo 3 za dini