TUMTETEE MTUME WETU(S.A.W) | USTADH SAID SHIRAZY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 81

  • @braqutourssafaris4672
    @braqutourssafaris4672 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kiboko wa mawahabi uchwar.naam Mashaallah Allah akujaze kher na akupe umr mrefu wenye kher uitumie elimu yako ulio soma kwa ajili ya Allah sio kma hao wengine miaka 2 mtu nae shekhe na hata baba ake na mwalim wake wote anawaingiza moton

  • @abdallhabinmkasibayyat6657
    @abdallhabinmkasibayyat6657 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akupe umri tunufaike na wewe ndigu yangu

  • @ABDINURA-hb9ky
    @ABDINURA-hb9ky 11 หลายเดือนก่อน

    Mche Allah kwa maneno unayotamka kupoteza wasio jua ,,,,Allah amesema kumwambia Mtume Muhammad kuwa ikiwa kweli tunampenda yy Allah tumfuate mtume Muhammad atatupenda,,kumfuata ni kufuata mafundisho yake na kujiepusha na aliyotuonya,,,walinganizi mlangoni mwa jahannam anayewatii basi ameangamia

  • @abubakarbakari9372
    @abubakarbakari9372 11 หลายเดือนก่อน +2

    Masha allah ustadh said omar allah akujaalie umri mrefu uzidi kutuelimisha na naamini bachu yuwasoma kupitia khutba zako

  • @MuhdharMuhammad-qv3zl
    @MuhdharMuhammad-qv3zl 11 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran Sana Sheikh Said kwakutuelimisha Allah akuhifadh akupe umri mrefu na Maisha mazuri hapa duniani na Kesho akhera ALLAH Akuingize peponi kabla hujafa na usife moyo hata Mtumi Muhammad SAW alipingwa shukran

  • @MohamedAdhumani
    @MohamedAdhumani 6 หลายเดือนก่อน

    Shukrani shekh

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 11 หลายเดือนก่อน

    Unamzunguzia mtume kwastaili tamu sana wallahu tuma wallahi allah akupe umri na afya njema na akuzidishie elimu

  • @AbubakarShelali
    @AbubakarShelali 11 หลายเดือนก่อน +1

    Haya jamaaa pamoja tuondokeni na mtume katika nyoyo zetu

    • @سعدياقوت-ت2خ
      @سعدياقوت-ت2خ 11 หลายเดือนก่อน

      Yaaa salaaaam pamoja sanaaaaa❤❤❤❤❤❤❤

  • @Dr-ubaida965
    @Dr-ubaida965 11 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Habib❤ umepita na hiyo Hadith mpk raha

  • @saidichina8105
    @saidichina8105 11 หลายเดือนก่อน

    mashallahu

  • @alhilaltvonline
    @alhilaltvonline 11 หลายเดือนก่อน

    MaashaaAllah. Shukran Habyb

  • @allylassuh4947
    @allylassuh4947 11 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana habeeb

  • @uthaymaanashshiraaziyy2413
    @uthaymaanashshiraaziyy2413 11 หลายเดือนก่อน

    صلوات الله وسلامه عليه

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 11 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mussa wetu wa twariqa we upanga unaokata wale wasio na adabu watto ambao hawataki kusoma wao wakiona media wanaona kama washakua wanazuoni wallah

    • @bagalucha
      @bagalucha 11 หลายเดือนก่อน

      Mnamchomtetea mtume ni kipi?,mbona hamfahamiki,hizo jazba za nini?,wewe unaropokwa tuu,huna,unachokitetea,labda kupotosha,bado hujajitambua,na wala humtetei mtume,waliomtetea mtume ni masahaba,waliopigana jihad naye,mimi na wewe tunatakiwa tumfuata mtume,hii ni dini ya Allah,muumba na mwenye kujaalia kusiko na mipaka,wewe Said wacha usanii,hivi si vinanda,hiyo misifa itakuponza

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

      bagalucha Kasome kumtetea Mtume S.A.W ktk Quran twaambiwa hivi
      فَالَّذِينَ آمَنُوا بِهِ وَعَزَّرُوهُ وَنَصَرُوهُ وَاتَّبَعُوا النُّورَ الَّذِي أُنزِلَ مَعَهُ ۙ أُولَٰئِكَ هُمُ الْمُفْلِحُونَ. Hata hujui Fat'wa yatolewa vipi hapo amenuku Fat'wa sio yeye ametowa kichwani mwake. Hebu piga breki ufungue ubongo usikize kwa makini ndio uje uropokwe. Kisha kama hajitambui waone tukupambanishe nae tuone kama wewe wajitambua lkni uvae Pampers usije ukaibika kama mwenzio

    • @salimobeid1470
      @salimobeid1470 11 หลายเดือนก่อน

      @@bagalucha kufa basi kama imekuchoma nyie mapimbi miwahabi mnapelekwa sana na sifa na ujinga

    • @bagalucha
      @bagalucha 11 หลายเดือนก่อน

      @@salimobeid1470 Ni kweli hawalali maghurafi,wao ni ushindani wa misifa tu,tatizo masufi elimu yao ina upotoshaji mwingi na urongo,na hii inatoka toka huko nyuma katika asılı ya manhaj,ambayo imejaa mchanganyiko wa madhehebu tofauti,mara atakwambia yeye ni shafi, huku akiikiuka manhaj ya shafi,kwa mengi ambayo imam hakuyatamka wayafanye,hatochelewa mara tarika Qadiria,shadhilia,naqshabandi,na ukitizama kuna mambo mengi wameyachukua kwa mashia,kama arobaini,ambayo asılı ni ya Hussein,hitma,maulidi,ambayo kwa ushahidi wa kumbukumbu za historia waliyaanzisha mashia,na hata haya mambo ya kuombwa makaburini,ambayo siyo asili ya Uislamu,hayakuthubutu,na mengine mengi,na hayo yote sio,maamrisho ya mtume,siku hizi wamekuja na upinzani mmoja,watakwambia kwani wakati wa mtume kulikuwa na gari na kadhalika,wanamkiuka mtume na Quran,na ni wepesi kuleta aya wakaitafsiri kwa hawaa zao,na kuitilia nguvu,lakini mengi ya hayo wanayoshindana yanaishia huku huku kwetu,kwa wakiwa ma maulamaa wa kisaudia au kwenye nchi kama Qatar zenye misimamo aliyoiacha mtume Sallalahu alayh wasalam,wanashindwa kuzisimamisha hoja zao,wanabaki kubabaisha na kuinamisha vichwa,kama Makka na Madina hawathubutu kuusimamisha upotofu wao,kinyume na wanavyodai wao,warongo,wapotoshaji wakubwa.

  • @abubakaromar6101
    @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah MashaAllah Ustadh Said Omar ashiraziy Mwenye Ezi Mungu akupe Shifaa na Nguvu ya kutufundisha na kututia hamu ya kumpenda Mtume S.A.W. Ila mimi nawashanga sana hii mishabiki ya kiwahabi kuitia comments zao kuyapinga Maulid yaani ni mijitu hayana akili hata hayati fahamu.Hivi wacha niwaulize kwani huko kwenu hamuna Bida'a mulizozizusha? Mwanzo si muangaliye za kwenu tena za kwenu ni hatari zaidi AstaghfiruAllah mpaka Mwenye Ezi Mungu mwamgawanya ktk Tauhid ipo Naswi ya Quran au Hadithi ya Mtume S.A.W inayosema ينقسم توحيدإلى ثلاثة أقسم ndio nikawaambia akili na ufahamu hamuna hajielewi

    • @bagalucha
      @bagalucha 11 หลายเดือนก่อน

      Mnamchomtetea mtume ni kipi?,mbona hamfahamiki,hizo jazba za nini?,wewe unaropokwa tuu,huna,unachokitetea,labda kupotosha,bado hujajitambua,na wala humtetei mtume,waliomtetea mtume ni masahaba,waliopigana jihad naye,mimi na wewe tunatakiwa tumfuata mtume,hii ni dini ya Allah,muumba na mwenye kujaalia kusiko na mipaka,wewe Said wacha usanii,hivi si vinanda,hiyo misifa itakuponza,leo unatoa fatwa ya usanii wowote ule afanyiwe mtume,utakuja kuulizwa wewe bwana mdogo,wacha kupotosha.

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl 11 หลายเดือนก่อน +2

    Wasufi acheni uzushiii na polojo

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

      Diudakozi-qu8sl kwenu hamuna uzushi au umejisahau kwa sababu hamujielewi mwaropokwa tu ilhali kwenu uzushi ziko kibao tena za hatari zaidi AstaghfiruAllah mpaka za IBADA ktk Tauhid kumgawanya Mwenye Ezi Mungu ipo wapi Naswi ya Quran au Hadithi ya Mtume S.A.W inayosema ينقسم توحيدإلى ثلاثة أقسم

    • @DiudaKozi-qu8sl
      @DiudaKozi-qu8sl 11 หลายเดือนก่อน

      @@abubakaromar6101 .c kweli watu wa Sunna hawawezi kumsingizia Mtume wetu kama masufi na Mashia.Masufi wanatukuza baba zao kuliko maswahaba Kwa mfano Jafar biidhi

    • @DiudaKozi-qu8sl
      @DiudaKozi-qu8sl 11 หลายเดือนก่อน

      @@abubakaromar6101 Usufi sio uislamu upo tu kama ushia

  • @RashidAli-ft2om
    @RashidAli-ft2om 11 หลายเดือนก่อน +1

    Duuh! Mpaka ligi?

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl 11 หลายเดือนก่อน +1

    Dj said wambie ukweli hao kwanza mnapenda kusema uongo nyinyi masufi na Mashia

    • @habibumuhammad730
      @habibumuhammad730 11 หลายเดือนก่อน

      Hata sikujibu kiilimu nakujibu kiupotofu dj ni babako na mamako mzazi mwana haramu ww mbwa ww

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

      Diudakozi-qu8sl sisi na Mashia ni baina ya Mbingu na Ardhi Sisi twawapenda Maswahaba hatuwakufurishi na wala hatuna uongo wa kumsifu Mtume S.A.W Quran, Hadithi na Maswahaba wote za msifu. Nyinyi ndio hamuna akili wala ufahamu. Nikuulize kwani huko kwenu hamuna Bida'a mumezuwa? Za kwenu ni hatari zaidi AstaghfiruAllah mpaka Mwenye Ezi Mungu mumemgawanya ktk Tauhid hii ينقسم توحيدإلى ثلاثة أقسم ina tafauti gani na ile ya Manaswara? Manaswara wana uongo wa kumgawanya Nabii Issa A.S nyinyi muna uongo wa kumgawanya Mwenye Ezi Mungu. Kabla hujaangalia ya mwenzako mwanzo angalia ya kwako

    • @ABDINURA-hb9ky
      @ABDINURA-hb9ky 11 หลายเดือนก่อน

      Naam,masufi wanaakili ya maulidi
      Na khitima,,kama kweli maulidi ni ibada basi msipike Biriani uone hakuna yyte atakae kuja,,mapumbavu

    • @LucasNicoraus-xi5ux
      @LucasNicoraus-xi5ux หลายเดือนก่อน

      sijakuelewa ww ila sikuachi kama unamponda sheikh letu basi ww ni chizi ila km ujamponda basisio chizi sorry

  • @AbubakarShelali
    @AbubakarShelali 11 หลายเดือนก่อน

    Naam ustadh said kwa pamoja tumteteeni mtume na kumpenda mtume mtume s.a.w

    • @bagalucha
      @bagalucha 11 หลายเดือนก่อน

      Mnamchomtetea mtume ni kipi?,mbona hamfahamiki,hizo jazba za nini?,wewe unaropokwa tuu,huna,unachokitetea,labda kupotosha,bado hujajitambua,na wala humtetei mtume,waliomtetea mtume ni masahaba,waliopigana jihad naye,mimi na wewe tunatakiwa tumfuata mtume,hii ni dini ya Allah,muumba na mwenye kujaalia kusiko na mipaka,wewe Said wacha usanii,hivi si vinanda,hiyo misifa itakuponza,leo unatoa fatwa ya usanii wowote ule afanyiwe mtume,utakuja kuulizwa wewe bwana mdogo,wacha kupotosha.

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

      bagalucha Kasome kumtetea Mtume S.A.W ktk Quran twaambiwa hivi
      فَالَّذِينَ آمَنُوا بِهِ وَعَزَّرُوهُ وَنَصَرُوهُ وَاتَّبَعُوا النُّورَ الَّذِي أُنزِلَ مَعَهُ ۙ أُولَٰئِكَ هُمُ الْمُفْلِحُونَ. Hata hujui Fat'wa yatolewa vipi hapo amenuku Fat'wa sio yeye ametowa kichwani mwake. Hebu piga breki ufungue ubongo usikize kwa makini ndio uje uropokwe. Kisha kama hajitambui waone tukupambanishe nae tuone kama wewe wajitambua lkni uvae Pampers usije ukaibika kama mwenzio

    • @iddimohamed254
      @iddimohamed254 11 หลายเดือนก่อน

      Kwani mtume wetu amefanyaje mpaka mnamtetea..acheni upuzi...

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

      iddimohamed kumtetea na kumnusuru Mtume S.A.W ni wajibu wetu si lazima eti mpaka awe amefanywa nini wakati wote ni lazima atetewe hata shekhe wako pia analikubali Ibnu Taimiyah
      إنّ نصرة الرسول الكريم لا تكون بالكلمات فقط، وإنّما تكون باتّباع سنة النبي عليه الصلاة والسلام، وتنفيذ أوامره ووصاياه، والسير على عهده في نشر دعوة الإسلام الخالدة، والتقيد بأمور الدين الحنيف والتعاليم التي جاء بها عليه السلام؛ لأنّ نصرة الرسول تتطلب منا أن نكون قدوة حقة لغيرنا، كي نكون خير خلف لخير الأنبياء والمرسلين فالمسلمون هم أمة محمد، ويجب علينا أن نكون جميعاً بحجم هذا الاسم قال ابن تيمية رحمه الله ـ: «إنَّ نصر رسول الله صَلَّى اللهُ عليه وسَلَّم فرضٌ علينا؛ لأنَّه مِن التعزير المفروض، ولأنَّه مِن أعظم الجهاد في سبيل الله، ولذلك قال سبحانه: ﴿ إِلَّا تَنْصُرُوهُ فَقَدْ نَصَرَهُ اللَّهُ ) وهذا دليل على أنّ الله سبحانه وتعالى تكفل بنصرة نبيه حتى وإن تخلى عنه الجميع، فالله تعالى وعد نبيه الكريم بالنصر، والثبات، والسكينة، لذلك فإنّ نصرة الرسول تعتبر من الأشياء التي نتقرب بها إلى الله تعالى، ولأنّ الله غالب على أمره، فكلّ من يحاول أن يشوه سيرة النبي الكريم العطرة سواء بالكلمات أم بتزوير الحقائق، أم بالتشكيك في رسالته أم بالرسومات المسيئة سينال عقابه في الدنيا والآخرة.

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

      Haya mpinge na huyu shekhe wako

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 11 หลายเดือนก่อน +1

    والله المستعان عل ما تصيفون.

  • @RashidAli-ft2om
    @RashidAli-ft2om 11 หลายเดือนก่อน

    Nakubali lkn sio maulidi

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

      RashidAli nini maana ya Maulid mwanzo?

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤😂

  • @abulhanifah254
    @abulhanifah254 11 หลายเดือนก่อน +1

    Msanii huyo ...kajidhihirisha kwa ubora wake .

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 11 หลายเดือนก่อน

      Hasadi inakusumbua utakufa kifo kibaya wewe

    • @habibumuhammad730
      @habibumuhammad730 11 หลายเดือนก่อน

      Msani ni babako na mamako kumma mako sahi naona tuwatukane maana twawaona mumezidi mayahudi wakubwa nyinyi kumma nina zenu mawahabi

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

      abulhanifah ni sawa kama unavyo sema ni msanii kajidhihirisha ubora wake sasa waonaje tukupambanishe na yeye tuone ubora wako una kima gani na ufahamu ni upi? Lkni siku ukitaka kupambana nae twaomba uvae Pampers 😂😂

    • @habibumuhammad730
      @habibumuhammad730 11 หลายเดือนก่อน

      @@abubakaromar6101 hhhhhhhhhhh eeee asiende akakojoa nae kama mwenzake kilicho mkuta juzi

  • @AliShee-mb2gh
    @AliShee-mb2gh 11 หลายเดือนก่อน +1

    naomba dalili kwa nini maulidi na khitima hazifanywi mwezi wa Ramadhan uharamu wake uko wapi?

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

      AliShee Maulid yako kila na khitma hata Ramadhani. Sasa nakuuliza uko na Dalili ya Mashindano ya Quran kisha kwa nini yafanywa Ramadhani miezi mengine hayafanywi?

    • @AliShee-mb2gh
      @AliShee-mb2gh 11 หลายเดือนก่อน

      hamna maulidi wala khitima mwezi wa Ramadhan wacha uongo

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

      AliShee muongo ni mimi au wewe kati ya mimi na wewe ni nani asomae Maulid na Khitma? Wewe hufwati Maulid wala Khitma utajuaje kuwa hayasomwi kwani una setlite ya kujua kila kitu au wewe uwone kama hivi yanavyo fanywa sasa basi kwa taarifa yako ngoja nikutoe mashikio taka Maulid na Khitma kila wakati kuna watu ni Aada wanasoma kila Alkhamis au Ijuma Tatu majumbani au ktk Madaris tena mpaka Ramadhani ulifahamu hili

    • @AliShee-mb2gh
      @AliShee-mb2gh 11 หลายเดือนก่อน

      ni nani kati ya wema waliotangulia walifanya ibada iyo ibada ya maulidi na khitima?maulidi na khitima ni mambo na kula hayafanywi Ramadhan wacha kutetea uzushi ambao ni upotevu

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

      Pole dah kumbe hata hujui Ibada ni nini? Na nini maana ya Maulid? Na nini maana ya Khitma? Alafu kula ni Mtume S.A.W kwa Hadithi Swahih kutolewe Tabaruk. Na Maulid silazima kuliwe hapo hapo waweza kubeba ukale nyumbani

  • @RashidAli-ft2om
    @RashidAli-ft2om 11 หลายเดือนก่อน

    Mtume mnamtetea ana shida gani!?
    Msifu mtume kwa sahihi usitie uzushi

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

      RashidAli usahihi wa kumsifu Mtume S.A.W ni Quran ndio ilotufudisha kumsifu ndani ya Quran imemsifu na twaambiwa tufwate muongozo wa Quran ukikata utakuwa umezipinga Aya zote zilizo msifu Mtume S.A.W na kwa ujumla utakuwa umepinga Quran nzima

  • @iddimohamed254
    @iddimohamed254 11 หลายเดือนก่อน

    Mnamtetea ama mnamuekea sifa za uongo huna lolote unaropoka tu...

  • @bagalucha
    @bagalucha 11 หลายเดือนก่อน

    Mnamchomtetea mtume ni kipi?,mbona hamfahamiki,hizo jazba za nini?,wewe unaropokwa tuu,huna,unachokitetea,labda kupotosha,bado hujajitambua,na wala humtetei mtume,waliomtetea mtume ni masahaba,waliopigana jihad naye,mimi na wewe tunatakiwa tumfuata mtume,hii ni dini ya Allah,muumba na mwenye kujaalia kusiko na mipaka,wewe Said wacha usanii,hivi si vinanda,hiyo misifa itakuponza,leo unatoa fatwa ya usanii wowote ule afanyiwe mtume,utakuja kuulizwa wewe bwana mdogo,wacha kupotosha.

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

      bagalucha Kasome kumtetea Mtume S.A.W ktk Quran twaambiwa hivi
      فَالَّذِينَ آمَنُوا بِهِ وَعَزَّرُوهُ وَنَصَرُوهُ وَاتَّبَعُوا النُّورَ الَّذِي أُنزِلَ مَعَهُ ۙ أُولَٰئِكَ هُمُ الْمُفْلِحُونَ. Hata hujui Fat'wa yatolewa vipi hapo amenuku Fat'wa sio yeye ametowa kichwani mwake. Hebu piga breki ufungue ubongo usikize kwa makini ndio uje uropokwe. Kisha kama hajitambui waone tukupambanishe nae tuone kama wewe wajitambua lkni uvae Pampers usije ukaibika kama mwenzio

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

      Abraham Wacha uzuzu wewe huna ufahamu hata afadhali CHUNGU Sisimizi ana ufahamu kukushinda pale alipowambiya wenzake ktk Quran حَتَّىٰ إِذَا أَتَوْا عَلَىٰ وَادِ النَّمْلِ قَالَتْ نَمْلَةٌ يَا أَيُّهَا النَّمْلُ ادْخُلُوا مَسَاكِنَكُمْ لَا يَحْطِمَنَّكُمْ سُلَيْمَانُ وَجُنُودُهُ وَهُمْ لَا يَشْعُرُونَ huna akili kama hii ya CHUNGU wewe umejisahau kwani kwenu hamuna upotofu muloutengeza? Tena za kwenu mpaka ktk IBADA ipo wapi Naswi ya Quran au Hadithi ya Mtume S.A.W inayosema ينقسم توحيدإلى ثلاثة أقسم? kigawanyo cha Tauhid! Mumemfanya Mwenye Ezi Mungu ana jinsia kama kiumbe hizi zote ni upotofu na uchafu mtupu mulozusha, kisha Mtume S.A.W kutetewa na kunusuriwa ni wajib haya mpinge pia shekhe wako إنّ نصرة الرسول الكريم لا تكون بالكلمات فقط، وإنّما تكون باتّباع سنة النبي عليه الصلاة والسلام، وتنفيذ أوامره ووصاياه، والسير على عهده في نشر دعوة الإسلام الخالدة، والتقيد بأمور الدين الحنيف والتعاليم التي جاء بها عليه السلام؛ لأنّ نصرة الرسول تتطلب منا أن نكون قدوة حقة لغيرنا، كي نكون خير خلف لخير الأنبياء والمرسلين فالمسلمون هم أمة محمد، ويجب علينا أن نكون جميعاً بحجم هذا الاسم قال ابن تيمية رحمه الله ـ: «إنَّ نصر رسول الله صَلَّى اللهُ عليه وسَلَّم فرضٌ علينا؛ لأنَّه مِن التعزير المفروض، ولأنَّه مِن أعظم الجهاد في سبيل الله، ولذلك قال سبحانه: ﴿ إِلَّا تَنْصُرُوهُ فَقَدْ نَصَرَهُ اللَّهُ ) وهذا دليل على أنّ الله سبحانه وتعالى تكفل بنصرة نبيه حتى وإن تخلى عنه الجميع، فالله تعالى وعد نبيه الكريم بالنصر، والثبات، والسكينة، لذلك فإنّ نصرة الرسول تعتبر من الأشياء التي نتقرب بها إلى الله تعالى، ولأنّ الله غالب على أمره، فكلّ من يحاول أن يشوه سيرة النبي الكريم العطرة سواء بالكلمات أم بتزوير الحقائق، أم بالتشكيك في رسالته أم بالرسومات المسيئة سينال عقابه في الدنيا والآخرة. Huyu shekhe wako pia atakuwa mpotofu? Kwa hivyo wajib wetu kumnusuru na kumtetea ktk Quran Mwenye Ezi Mungu asema فَالَّذِينَ آمَنُوا بِهِ وَعَزَّرُوهُ وَنَصَرُوهُ وَاتَّبَعُوا النُّورَ الَّذِي أُنزِلَ مَعَهُ ۙ أُولَٰئِكَ هُمُ الْمُفْلِحُونَ watafaulu wenye kumnusuru, kinyume yake je ukikata kumtetea na kumnusuru na kupinga jiangalie utaenda wapi! Fungua ubongo vizuri wacha uzuzu kupelekwa kimbumbum. Kasome wacha ushabiki hautakusadia kitu.

    • @bagalucha
      @bagalucha 11 หลายเดือนก่อน

      @@abubakaromar6101 WAABUDU MAKABURI
      Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri.
      Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allaah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na hunasema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18
      Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada."
      [Musnad imaam Ahmad (12/314)]

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie kweli muna mtetea Mtume wenu😂😂😂😂.
    Kikao chenyewe na nidhamu zake mmetunga wenyewe, utetezi wenu ni kwenye kitu gani?
    Na munamtetea kwani kafanywa nini?
    Wenda wazimu huu muufanyao, Bwana Mtume Muhammad Swallallaahu Alayhi Wasallama hatetewi hivyo enyi majuhalaa, bwana Mtume husomwa na kufatwa mafundisho yake na kuacha makatazo yake.
    Nasio kumzulia, na kudai kumtetea kumbe mnatetea maslahi ya matumbo yenu na majina ya mashekhe zenu😂😂😂

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

      OmarAlly Ktk Quran Mwenye Ezi Mungu amefundisha njia nyingi za kumtetea Mtume S.A.W hata kwa kumtangaza kwa kuzitaja Sifa zake pia ni ktk kumtetea Mwenye Ezi Mungu asema ktk Quran وَرَفَعْنَا لَكَ ذِكْرَكَ na kama ni mkusanyiko watu tunao ufanya hata wakati wa Mtume S.A.W Maswahaba pia walikusanyika wale Mahabash
      عن عائشة رضي الله عنها أن أبا بكر رضي الله عنه ، دخل عليها وعندها جاريتان في أيام منى تُدَفِّفَانِ، وتضربان، والنبي صلى الله عليه وسلم مُتَغَشٍّ بثوبه، فانتهرهما أبو بكر، فكشف النبي صلى الله عليه وسلم عن وجهه، فقال: «دعهما يا أبا بكر؛ فإنها أيام عيد»، وتلك الأيام أيام منى، وقالت عائشة: رأيت النبي صلى الله عليه وسلم يسترني وأنا أنظر إلى الحبشة وهم يلعبون في المسجد، فزجرهم عمر، فقال النبي صلى الله عليه وسلم : «دعهم أَمْنًا بني أَرْفِدَة». لتعلم اليهود أنَّ في ديننا فسحة،
      الراوي : عائشة أم المؤمنين | المحدث : البخاري | المصدر : صحيح البخاري | الصفحة أو الرقم : 3529 | خلاصة حكم المحدث : [صحيح] na ktk Vita vya Tabuuq Ibnu Abbas R.A alimuomba Mtume S.A.W asimamishe msafara ili amsifu Mtume S.A.W akasimamisha msafara Sayyidina Abbas akamsifu mbele ya Maswahaba zaidi ya laki moja
      عن ﺧﺮﻳﻢ ﺑﻦ ﺃﻭﺱ ﺑﻦ ﺣﺎﺭﺛﺔ ﺭﺿﻲ اﻟﻠﻪ ﻋﻨﻪ ﻳﻘﻮﻝ: “ﻫﺎﺟﺮﺕ ﺇﻟﻰ ﺭﺳﻮﻝ اﻟﻠﻪ ﺻﻠﻰ اﻟﻠﻪ ﻋﻠﻴﻪ ﻭﺳﻠﻢ ﻣﻦﺻﺮﻓﻪ ﻣﻦ ﺗﺒﻮﻙ، ﻓﺄﺳﻠﻤﺖ، ﻓﺴﻤﻌﺖ اﻟﻌﺒﺎﺱ ﺑﻦ ﻋﺒﺪ اﻟﻤﻄﻠﺐ رضي الله عنه ﻳﻘﻮﻝ:
      ﻳﺎ ﺭﺳﻮﻝ اﻟﻠﻪ، ﺇﻧﻲ ﺃﺭﻳﺪ ﺃﻥ ﺃﻣﺘﺪﺣﻚ!
      ﻓﻘﺎﻝ ﺭﺳﻮﻝ اﻟﻠﻪ ﺻﻠﻰ اﻟﻠﻪ ﻋﻠﻴﻪ ﻭﺳﻠﻢ:
      « ﻗﻞ ﻻ ﻳﻔﻀﻔﺾ اﻟﻠﻪ ﻓﺎﻙ» ﻗﺎﻝ:
      ﻓﻘﺎﻝ اﻟﻌﺒﺎﺱ:
      (مِن قَبْلِها طِبْتَ في الظلال وفي … مُسْتَوْدَعٍ حيثُ يُخْصَفُ الوَرَقُ)
      (ثم هبطتَ البلادَ لا بَشَرٌ … أنتَ ولا مُضْغَةٌ ولا عَلَقُ)
      (بَلْ نُطْفَةٌ تركبُ السفينَ وقد … ألْجَمَ نَسْرًا وأهلَهُ الغَرَقُ)
      (تُنْقَلُ من صالبٍ إلى رَحِمٍ … إذا مضى عالَمٌ بدا طَبَقُ)
      (حتى احتوى بيتك المهيمنُ من … خِنْدِفَ عَلْياءَ تحتَها النُّطُقُ)
      (وأنت لما ولدت أشرقتِ … الأرضُ وضاءَتْ بنوركَ الأفقُ)
      (فنحنُ في ذلكَ الضياءِ وفي النُورِ … وسُبْلِ الرشادِ نخترقُ).
      Kasome wacha ushabiki usije ukakosa kuingia ktk Aya hii ukawa mwenye hasara
      فَالَّذِينَ آمَنُوا بِهِ وَعَزَّرُوهُ وَنَصَرُوهُ وَاتَّبَعُوا النُّورَ الَّذِي أُنزِلَ مَعَهُ ۙ أُولَٰئِكَ هُمُ الْمُفْلِحُونَ kufaulu ni kumnusuru Mtume S.A.W kwa kumtangaza

    • @OmarAlly-iz8ot
      @OmarAlly-iz8ot 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@abubakaromar6101 Ndugu yangu kumtetea Mtume na kumsifu ni vitu viwili tofauti.
      Khalafu hiki ulicho kiandika kwanza ume kihakiki na kujua sanad zake, na maulamaa wasemaje kwenye hizi riwaya au una payuka tu?
      Pia Mtume wetu Muhammad Alayhisswalaatu Wassalaamu, kaweka mafundisho mazuri kama kweli tuna mpenda na kumtetea tuyafate hayo mafundisho.
      Swali langu kwako;
      Aliyo tufunza Bwana Mtume Swallallaahu Alayhi Wasallama hayatutoshi mpaka tuengeze yakwetu?
      Pia mbona walivyo fanya maswahaba zake na munavyo fanya nyinyi nivitu visivyo endana wala kufanana?
      Tatu nyinyi mnausaidia nini Uislamu kwa kufanya maulid?
      Nne, jee bila ya maulid Uislamu unapungua na kuingia kasoro mahala gani?
      Tano, bila ya Maulid Mtume wetu hatuna nafasi ya kumkumbuka, kumtaja, kumsifu, na kuiga tabia zake?
      Sita, bila ya maulid Mtume wetu hatukuzwi, wala hasifiwi, wala haswaliwi?
      Saba nitajie khasara tano walizo zipata wale mabwana wakubwa ktk maulamaa wa karne tatu bora, na waislamu kiujumla wa zama hizo kwa kuto kumsomea Mtume maulid.
      Nane, nitajie faida tano munazo zipata nyinyi munao msomea Mtume maulid.
      Tisa, mawili uchaguwe moja, ambao walimfata Mtume na kushika mafunzo yake na kuyayetea, na kushika Sunnah zake kwa asilimia mia moja, hawa walikua wajinga, wazushi, hawampendi Mtume, wanakataza watu kumswalia Mtume, na walikua ni wachache wa maarifa ktk Dini, na Qurani na Hadithi walikua hawazifahamu itakiwavyo!!!
      Na nyinyi munao soma maulidi na kumzulia Mtume urongo, na kufanya shirki, na kujifananisha na mayahudi na manaswara, kuchanganyika wanaume na wanawake, kupiga ngoma na mukawa muna kata viuno kama wanawake, au kutingisha mabega na vichwa kama wenda wazimu, au watu walio pandisha mashetani, nyinyi ndio wapenzi wakweli wa Mtume, ndio wenye elimu, na Qurani na Hadithi nyinyi ndio mnazielewa zaidi kuliko wale mabwana wakubwa wa karne tatu bora, maswahaba, mataabiina, na mataabi'itaabi'iin!!!
      Au nyinyi munasoma maulidi ndio wapotofu, wajinga, wazushi, musio elewa makusudio sahihi ya Quraani na Sunnah, na mnaongozwa na matamanio ya nafsi zenu, na hamukerwi na ushirikina na uzushi, nahio ndio Dini yenu, na mabwana wakubwa waliokua ktk karne tatu bora wao ndio wako pfct ktk kila wacho fundishwa na Bwana Mtume Muhammad Swallallaahu Alayhi Wasallama.
      Mawili haya chagua moja linalo afikiana nanyinyi wazushi.
      Nimimi Abuu Aarif, muda wowote kama una elimu ya kunielimisha kuhusu huu uzushi wa maulid, wewe au mzushi yeyote, nipo anitafute, ivisasa nipo Zanzibar, na no yangu ya cimu nihii hapa:
      +255776154109.
      Leo ni siku ya Jumanne 28-11-2023.

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

      OmarAlly au Abuu Aarif umesema meeengi lkni yote ni ya kichwani mwako lkni hujanithibitishia kwa Dalili ya Quran au Hadithi za Mtume S.A.W. Na haya yote naweza kukujibu kulingana na ufahamu wako ulivyo andika hapa. Hizo Hadithi zote niliokuekea hapo zilipokewa na Imam Bukhari kutoka kwa Ummul Mumineen Bibi Aisha. Wewe kwani una elimu kushinda Imam Bukhari. Haya mwanzo nataka nikuulize nini maana ya Maulid? Kisha nikujibu uloandika hapa 😂😂😂 yote yakutesha alafu Ngoma kwa Kiarabu yaitwa رقص hiyo ndio uloiyona wewe ya wanawake na wanaume kukata viuno. Maulid twapiga Twari kwa Kiarabu laitwa الدُّف ni Sunna kupiga Dufu ndani ya Msikiti sawa kusoma muhimu. Ni nini maana Maulid hata kama ni kwa ufupi

  • @ayubuzomboko9502
    @ayubuzomboko9502 11 หลายเดือนก่อน

    Hivi hawa wanaoopinga Maulid kwanini nawao hua wanafuata nini humu?au ndo wanataka kujionyesha kua wajuzi wa kutukana?

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 11 หลายเดือนก่อน

    Mtume anatetewa kwakufuatwa acha ujinga sio kukatikiwa viuno na kujitukuza

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

      selemankishema kwa hivyo hawa Mahabash walipokuwa wakicheza ndani ya Msikiti wa Madina na Mtume S.A.W akiangalia pia walikuwa wakitaka viuno?
      عن عائشة رضي الله عنها أن أبا بكر رضي الله عنه ، دخل عليها وعندها جاريتان في أيام منى تُدَفِّفَانِ، وتضربان، والنبي صلى الله عليه وسلم مُتَغَشٍّ بثوبه، فانتهرهما أبو بكر، فكشف النبي صلى الله عليه وسلم عن وجهه، فقال: «دعهما يا أبا بكر؛ فإنها أيام عيد»، وتلك الأيام أيام منى، وقالت عائشة: رأيت النبي صلى الله عليه وسلم يسترني وأنا أنظر إلى الحبشة وهم يلعبون في المسجد، فزجرهم عمر، فقال النبي صلى الله عليه وسلم : «دعهم أَمْنًا بني أَرْفِدَة».
      [صحيح]
      Hata Sayyidina Umar R.A alipotaka kuwazuia Mtume S.A.W akamwambia wawache waendele na Mwanzo wa hii Hadithi Sayyidina Abubakar R.A pia alikatazwa kuwazuia hao Wanawake walikuwa akiimba kwa kumpigia Matwari Bibi Aisha Ummul Mumineen

  • @OmarSwalehe-z9u
    @OmarSwalehe-z9u 11 หลายเดือนก่อน

    Hizo hela kuziweka kwenye masikio ndio Nini hiyo ni Alama ya ujahili nyie watu wa bidaa mna shida muonekano wako unaonesha kwamba wewe ni mtu wa matamanio ya nafsi

    • @30secondsgoals
      @30secondsgoals 11 หลายเดือนก่อน

      Shida Iko wpy akituzwa mtu ndgu yangu. Seriously duh!

    • @LucasNicoraus-xi5ux
      @LucasNicoraus-xi5ux หลายเดือนก่อน

      ww acha uchizi mbwa ww kawekewe pesa chini kwako

  • @allylassuh4947
    @allylassuh4947 11 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana habeeb

  • @bagalucha
    @bagalucha 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mnamchomtetea mtume ni kipi?,mbona hamfahamiki,hizo jazba za nini?,wewe unaropokwa tuu,huna,unachokitetea,labda kupotosha,bado hujajitambua,na wala humtetei mtume,waliomtetea mtume ni masahaba,waliopigana jihad naye,mimi na wewe tunatakiwa tumfuata mtume,hii ni dini ya Allah,muumba na mwenye kujaalia kusiko na mipaka,wewe Said wacha usanii,hivi si vinanda,hiyo misifa itakuponza,leo unatoa fatwa ya usanii wowote ule afanyiwe mtume,utakuja kuulizwa wewe bwana mdogo,wacha kupotosha.

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

      bagalucha Kasome kumtetea Mtume S.A.W ktk Quran twaambiwa hivi
      فَالَّذِينَ آمَنُوا بِهِ وَعَزَّرُوهُ وَنَصَرُوهُ وَاتَّبَعُوا النُّورَ الَّذِي أُنزِلَ مَعَهُ ۙ أُولَٰئِكَ هُمُ الْمُفْلِحُونَ. Hata hujui Fat'wa yatolewa vipi hapo amenuku Fat'wa sio yeye ametowa kichwani mwake. Hebu piga breki ufungue ubongo usikize kwa makini ndio uje uropokwe. Kisha kama hajitambui waone tukupambanishe nae tuone kama wewe wajitambua lkni uvae Pampers usije ukaibika kama mwenzio

    • @bagalucha
      @bagalucha 11 หลายเดือนก่อน

      @@abubakaromar6101 Huyu mtoto Said,masikini roho yake,hana akijuacho,kaingizwa na hayo makoroma makongwe ya kisufi,sasa anajitafutia laana ya Mungu,wewe una thubutu kutangaza wafanye lolote kumtetea mtume,hii sasa laana,nani kakupa mamlaka hayo,kila anaesimama akamuunga huyu,kwa kauli hizi za upotoshaji anachukua fungu lake,kwa kila dhambi itakayofanyika kwa watakaoichukua kauli hii,ya fanyeni mtakachofanya alimradi msimtukane mtu,wekeni ligi,nakadhalika,hivi ndivyo anavyosifiwa mtume???mnapotosha jamii,hamumuogopi Allah???

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 11 หลายเดือนก่อน

      bagalucha sisi huwa hatuendi mbali twawatumia hao hao mashekhe wenu kuwajibu kwa nakutahadharisha na maneno unayo ya sema ulimi utakupeleka pabaya kwa hivo huyu shekhe wako pia atapata laana قال ابن تيمية رحمه الله ـ: «إنَّ نصر رسول الله صَلَّى اللهُ عليه وسَلَّم فرضٌ علينا؛ لأنَّه مِن التعزير المفروض، ولأنَّه مِن أعظم الجهاد في سبيل الله، ولذلك قال سبحانه: ﴿ إِلَّا تَنْصُرُوهُ فَقَدْ نَصَرَهُ اللَّهُ ﴾ AstaghfiruAllah na Aya pia amekutolea inamaanisha Mwenye Ezi Mungu pia ataingia ktk laana. Jichunge na ulimi wako Usiropokwe kama mwendawazimu chunga sana

    • @shadhilfaki1457
      @shadhilfaki1457 11 หลายเดือนก่อน

      Subhana Allah

    • @shadhilfaki1457
      @shadhilfaki1457 11 หลายเดือนก่อน

      Subhana llah