HOMA ya INI ni ZAIDI ya UKIMWI, Daktari AFUNGUKA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ค. 2019
  • HOMA ya INI ni ZAIDI ya UKIMWI, Daktari AFUNGUKA..
    Daktari aliyejitambulisha kwa jina la Jane Mosha kutoka Mkoa wa Kilimanjaro katika kituo cha afya Moshi, amesema katika maadhimisho ya ugonjwa wa homa ya ini, ni ugonjwa ambao unasambaa na kuambukiza kwa kasi sana , hivyo amewahimiza watu kupima ili kutambua afya zao na kuwa makini..
    Daktari huyo amesema moja ya ugonjwa ambao unapata ini na kusababisha kwa njia nyingi kama kujamiiana , kujichoma na kitu cha ncha kali, kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, kuongezewa damu, kushika kidonda cha mtu chenye unyevu, mwenye kidonda na kufanya ngono zembe..
    Maambukizi ya homa ya ini yaanaazna kuonyesha dalili ndani ya miezi mitatu, na dalili ni kuumwa na tumbo upande wa kulia, kichwa kuuma, kupata manjano ya ngozi na mwili, kuchoka mwili sana, joto la mwili kupanda, kuumwa na viungo, kukosa hamu ya kula na kupata choo kichafu.
    #HOMAYAINI
    th-cam.com/users/playlist?list... www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyh

ความคิดเห็น • 5